#ZaNdaaani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 57

  • @Cao_ZeKai
    @Cao_ZeKai ปีที่แล้ว +1

    Richardo Momo shikamoo, una info sio poa

  • @georgemanase6266
    @georgemanase6266 ปีที่แล้ว +7

    Fabrizio Romano wa Bongoo here we go 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 ปีที่แล้ว +4

    Mwenetu analipwa mshahara mdogo kazi anayoifanya ni kubwa

  • @simoncosmos3094
    @simoncosmos3094 ปีที่แล้ว +2

    Maboss wetu wa hizi tim mbili wanaangalia sana raia wakigeni,angalia hata makocha wazawa yaani tabu tupu,halafu uzeeni utasikia alichezea yanga huyo,aibu tupu

  • @stefanontandu2041
    @stefanontandu2041 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri fei toto….. BADO YANGA NI KUBWA WATAKUJA WENGINE

  • @mosesnyamhanga449
    @mosesnyamhanga449 ปีที่แล้ว

    Fei wamuache tu hana lolote atarudi tu atakua amechina! yanga n taasisi brother

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 ปีที่แล้ว +13

    Faisal analipwa Milion 6 ungekuwa wwe Ungekubali Wenzio pesa wanachukua CRDB wewe Unaenda Kuchukulia kwa Wakala Muchacho 😂😂😂😂

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 ปีที่แล้ว +3

    momo unatisha sana unapochoka kushikilia bomba, have a sit broo🤣🤣🤣🤣

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 ปีที่แล้ว

    Za NdaaaaaaaaaaaaaN za NdaaaaaaaaaaaaaN za NdaaaaaaaaaaaaaN kabisa

  • @immanangi8723
    @immanangi8723 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kudele hapo kwenye ulimi laini😳🤣🤣🤣nimecheka Sana kwamba mwamba ukimsikikizatu umekwishaaa🤣🤣🤣

  • @hassanrashid9436
    @hassanrashid9436 ปีที่แล้ว

    mzee wa kudere taratibu watanza kuelewa kazi yako bro big up sana. unatupa za ndani halaf sasa za ukwel mtupu. wapo watu sasa wanaona ukwel walikua wanakuponda wameutia koko sasa hahahaha. za ndaaaaaaaaaaani kabisa.

  • @obedpeter6874
    @obedpeter6874 ปีที่แล้ว +1

    Mchezaji analipwa 6M izo ni zalau aende akachukue 16M na majengo wa wazazi kiukweli aende kwenye maslai maana kazi ya mpira ni ya msimu

    • @mamaraheem5371
      @mamaraheem5371 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaaaa ukishakosa ujana ukubwani huwezi kupata maslahi kwanza

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 ปีที่แล้ว

      kabisa kaka

  • @husnamusa3178
    @husnamusa3178 ปีที่แล้ว +1

    Ila wasafi waongo 🤣🤣🤣 eti hapo ndo mnateta

  • @shukurumotima6846
    @shukurumotima6846 ปีที่แล้ว +1

    Fei sali anaondoka

  • @twalib09
    @twalib09 ปีที่แล้ว +2

    Fei toto ......mzee wa kudere

  • @daffangov6074
    @daffangov6074 ปีที่แล้ว

    Eti magoli yake na Messi semsem.. yan yana fanana

  • @ramadhannasoro2719
    @ramadhannasoro2719 ปีที่แล้ว

    wewe una kili wewe una lipwa beigani

  • @philiponjalika5769
    @philiponjalika5769 ปีที่แล้ว +1

    Fei angalia mtonyo bro

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 ปีที่แล้ว +1

    Fiesal Toto ndio basi tena.

  • @uswegekamwela9825
    @uswegekamwela9825 ปีที่แล้ว

    Kwani unapata wapi hizi 😂😂

  • @eckreygelard7791
    @eckreygelard7791 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hatari!

  • @mishentown3259
    @mishentown3259 ปีที่แล้ว +1

    Fei toto

  • @wilbertthomas8530
    @wilbertthomas8530 ปีที่แล้ว

    Aongezwe mshahara tuuuuu full stop

    • @suleimanrashid8238
      @suleimanrashid8238 ปีที่แล้ว +1

      Easy case mukitaka abakie alipwe mshahara kama azik ki au mayele.... actually wazawa wananyinwa kwenye benefits....so limewaka....bakhera ameamua

  • @MrKabaka83
    @MrKabaka83 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @legangatzmedia4846
    @legangatzmedia4846 ปีที่แล้ว

    Ana mkataba mrefu saana harafu alisaini mwenyewe alikubali hio hela so amalize mkataba aende

  • @kidulaally1479
    @kidulaally1479 ปีที่แล้ว

    Porojo hizo hapa bongo hakuna timu ya kushindana na Yanga ya sasa kwenye usajili

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 ปีที่แล้ว

      yanga si kamavi t flani hivi wanaume wamekuja sasa hahahaha

  • @khadijakiwambu7265
    @khadijakiwambu7265 ปีที่แล้ว

    Fei aunzwi wewe acha utahira wako

  • @Mohamedamin-xx6lz
    @Mohamedamin-xx6lz ปีที่แล้ว

    Clement mzize

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +2

      Kwenye maongezi ameitaja Zanzibar Clement Mziza sio Mzanzibar mdau FEI Toto

  • @masasyjoseph6559
    @masasyjoseph6559 ปีที่แล้ว

    Uyoo Mauyaa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว

    Fey akitoka yanga kspoteya

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 ปีที่แล้ว

    Hili jamaa liongo😂😂😢inawezekana anabwia unga ,mnaajili machizi

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +3

      Hayo ni ukweli mtupu mimi Yanga Dam ila uongozi wetu unazingua sana wangemuongeza mshahara hata Milioni.15 au 10 sio mbaya lkn juhudi zake zinajionyesha wazi kbs

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 ปีที่แล้ว

      utamjua saaa chizi ni nani. watu wana kazi zao sio ww umejikalia tu hujui kinachoendelea.

    • @yusuphjilala846
      @yusuphjilala846 ปีที่แล้ว

      @@hassanrashid9436 unauhakika naunachokiongea (unachocoments)aunimmjawapo wa machizi duniani😴😴

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 ปีที่แล้ว

      @@yusuphjilala846 kwani kaka pengine kusoma hujui bas harufi pia husikiii???

    • @godfreyjustine4040
      @godfreyjustine4040 ปีที่แล้ว

      Muongoooooo

  • @barakamollel1659
    @barakamollel1659 ปีที่แล้ว

    Faisal Hatoki Yanga

  • @mikidadijoseph5612
    @mikidadijoseph5612 ปีที่แล้ว

    Labda sio Mwigulu A ha mi

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว

      Mwigulu au tozo?

  • @mohamedchigochigo3325
    @mohamedchigochigo3325 ปีที่แล้ว

    Jilambeni mkichoka kanyeni mkalale

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 ปีที่แล้ว +2

    uyo ni ibra baca

    • @godwinananias5358
      @godwinananias5358 ปีที่แล้ว

      😅😅hyooo fei kak

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 ปีที่แล้ว +1

      Baca amefunga lini?Huyu Feisal na ni kutokana na dharau za viongozi.

  • @dotoamour700
    @dotoamour700 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 ปีที่แล้ว

    Kudere maviiiiiiiii

    • @bashirumpalamba3627
      @bashirumpalamba3627 ปีที่แล้ว

      Hakuna kitu hicho fei bado yupo saaaaaaaaaaaana yangaaaaaaaaaaaa daima mbele makolo nyuma