ZA NDAAANI! MWAMBA KALETA 'NOMA' ANATAKA KUONDOKA / UONGOZI WAMJIA JUU WAOGOPA KUMUACHIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 85

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chama

  • @AudaxDaniel-x6s
    @AudaxDaniel-x6s ปีที่แล้ว

    Jaman napenda sana kuwasikiliza wasaf tv wakat wa michecho lakn huwa sijui mnachambua mda gani make zamani tulizoea kuwaona saa nne

  • @maigathomas2353
    @maigathomas2353 ปีที่แล้ว +1

    Et thank you

  • @rogersiddy
    @rogersiddy ปีที่แล้ว +7

    DJUMA SHABANI YANICK BANGALA Dah yanga wakifanya haya kuwaacha hawa watu watafanya kosa

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 ปีที่แล้ว +1

      Huwezi fanya kazi na watu ambao hawapo tayari kufanya kazi na ww

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 ปีที่แล้ว

      Hakika faza uwezi kufanya kazi na watu hawana utayari

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +1

      @@jaffjeff6912 mdau sio kweli tambua Yanga imetoka Fainal Shilikisho tambua hata wachezaji wanapanda dhamani pia kwaiyo unafanyaje ili kuwa nao misimu mwingine ijayo? kuwaboreshea mikataba yao ili wakufanyie kazi nzuri msimu ujao kwenye CAF CHAMPIONS League unaposema siongezi mshahara tambua kuna timu zimewaona hao wachezaji waliocheza Fainal wanaitaji huduma zao kama utashindwa kumuongezea wanahaki kufuata dau nono mpila ndo kazi yao

  • @strikerforce4949
    @strikerforce4949 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli. Bangala na wenzake walidhani Yanga ni timu ndogo. Hii ndio Yanga, pale kuna Mtine akili mingi. Hatujaribiwi

    • @strikerforce4949
      @strikerforce4949 ปีที่แล้ว

      Hawa jamaa na hata viwango vyao vimeshuka. Bangala alijipeleka Azam. Hata baada ya fainali ya Tanga vs Azam baada ya mechi alijipeleka kwa Poppat

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 ปีที่แล้ว +7

    Mkude na Nikson Kibabage wapo yanga😅..Djuma shaban na Bangala walitak kumjaribu Boss G.S.M!!!😅

    • @chamyluna8030
      @chamyluna8030 ปีที่แล้ว

      Hujiskii aibu????

    • @farlykunga8599
      @farlykunga8599 ปีที่แล้ว

      @@chamyluna8030 Aibu itoke wap..na nina mataji matatu ,,medal ya Africa kiatu cha mfungaj bora wa Africa na nyumbn..jmnn..nina Mvp nina kip bora,Aibu ona ww..kolo

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      @@farlykunga8599 Hicho kiatu cha Mfungaji bora Africa kimetoka wapi tena? Hakunaga hiyo tuzo ndugu 😂😂😂😂

    • @lizashagilliard2336
      @lizashagilliard2336 ปีที่แล้ว

      Sasa inawezekanaje et wachezaji wa yanga watake kwenda timu nyingine hapa bongo?? Sio kweli

    • @farlykunga8599
      @farlykunga8599 ปีที่แล้ว

      @@TM.Sullusi sawa kwa ajili ako,,tutoe bac khatu cha mfungaji bora wa Cuf Confederations,,aya nabaki na makombe yangu,,ww una nini umebaki nacho??

  • @yusufujamali4577
    @yusufujamali4577 ปีที่แล้ว +2

    Bangala na Djuma Shaban na waliosajiliwa ni Mudathir Yahya na Sureboy

    • @mackysuphian
      @mackysuphian ปีที่แล้ว

      Mudathir na sure boy ni wakigeni kumbe😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊👍✌️.

  • @fettymilly7664
    @fettymilly7664 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 bango la kijaaaaaa

  • @mnyusihiza9161
    @mnyusihiza9161 ปีที่แล้ว +2

    Kod nyepesi bangala na juma shabani

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 ปีที่แล้ว

    Ndio raha ya kuwa na viongozi vijana...mutaza manhunga anaweza kuwa na akili hii???

  • @yusuphmwaigomole3104
    @yusuphmwaigomole3104 ปีที่แล้ว +4

    Bangala na lomalisa !😄😄😄

    • @haymanish
      @haymanish ปีที่แล้ว

      Uwe unaelewa amesema namba 2 na 6

  • @jumahamad3272
    @jumahamad3272 ปีที่แล้ว +2

    Kipre jr na akaminko ao

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 ปีที่แล้ว +1

    Uyo bangala😂😂😂alitaka kuyakanyagaa😂😂

  • @mecksonjoseph2522
    @mecksonjoseph2522 ปีที่แล้ว +1

    Lisa

  • @kigoratheson4676
    @kigoratheson4676 ปีที่แล้ว +1

    Mbangala na juma shabani walitaka kulikanyaga

  • @najmarashid2136
    @najmarashid2136 ปีที่แล้ว +3

    Bangala na Djuma/Lomalisa
    Hakuna mchezaj bongo asietaman kucheza Simba bhn😆😆

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 ปีที่แล้ว +1

      Sio Simba bhana ni Azam 😂😂😂

    • @rehemaabdullah7606
      @rehemaabdullah7606 ปีที่แล้ว

      Simba mnapesa ya kuwalipa kama mmeshindwa kumlipa Okwa mtaweza hao😂😂😂😂Azam hiyo

    • @Erickmjuni-ev6dc
      @Erickmjuni-ev6dc ปีที่แล้ว

      Sio Simba azam baba,timu iliyotimiza wachezaji 12 Ni Azam,Simba bado mnasajili au ujamuelewa

    • @hamisishirikisho2199
      @hamisishirikisho2199 ปีที่แล้ว

      Kwani simba nafasi 12 zimejaa?

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว

      ​@@hamisishirikisho2199mpaka sasa ziko wazi

  • @marselojr9884
    @marselojr9884 ปีที่แล้ว +1

    Bangala na Juma shabn

  • @animooshq
    @animooshq ปีที่แล้ว +1

    Bango la kijani na njano. Huyo ni yanic na juma. Waende tu vyuma vipya vije

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 ปีที่แล้ว +1

    dijuma uyo

  • @allyzaidi5707
    @allyzaidi5707 ปีที่แล้ว +1

    Bangala huyo😅

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 ปีที่แล้ว +1

    Wamuulize tshishimbi

  • @honestlasway5996
    @honestlasway5996 ปีที่แล้ว

    Litombo 😂😂

  • @AllySaid-nz1ri
    @AllySaid-nz1ri ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mumefuatilia sana nimuongo kinoma mimi hata simfuatilii tena

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 ปีที่แล้ว

      We nenda tu kaka sisi bado tupo.. maana hapa kama daladala unashuka wanapanda wengine..ulikuja mwenyewee😆😆😆

    • @kevoomgayajr1082
      @kevoomgayajr1082 ปีที่แล้ว +1

      Humfuatilii na ume kuja kumuangalia TH-cam na uka comment 😂😂😂

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu ปีที่แล้ว

      Kama umfatilii mbona wazidi kukoment...mnafikitu

  • @athumanngogote
    @athumanngogote ปีที่แล้ว

    Ah uyoo onyango uyooo🤣🤣🤣

  • @williamsalum5844
    @williamsalum5844 ปีที่แล้ว +2

    Bangala

  • @HamisiMkamwa-kc4uq
    @HamisiMkamwa-kc4uq ปีที่แล้ว

    Bangala na Lomalisa

  • @saidiwakufuta
    @saidiwakufuta ปีที่แล้ว +1

    Ishmanula ndo kajivunja

  • @JohnZambi-jb4sd
    @JohnZambi-jb4sd ปีที่แล้ว +1

    Juma shabani huyo

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 ปีที่แล้ว +2

    Bangala nadhani yatawakuta ya tshishimbi

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo. Mbona hujawataja majina yao.

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume ปีที่แล้ว

      Ni kesi kubwa sana kutaja majina mzee

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว +1

    Bangala alikuwa anaitaka Simba MDA mrefu SN na pia limalisa nae anataka kuondoka

  • @songombingo108
    @songombingo108 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa huwa mwongo Sana... Nimefatilia muda mrefu Sana anachokitabiri au kukisema si cha kweli.. Mnafiki tyuuu na umbea. Halafu watu wazima na akili zenu mmekaa kumsikiliza..

    • @ahmada2072
      @ahmada2072 ปีที่แล้ว +2

      Kaza mwanaume haujalizimishw kuview

    • @AidaHamza-li7kr
      @AidaHamza-li7kr ปีที่แล้ว +2

      Hujalazmishw kumfatilia

    • @haido.99
      @haido.99 ปีที่แล้ว

      Itakuwa ww ndio muongo ila vitu vingi anavovizungumza vinakuwa vinatokea kwel yaan nilikubal hilo kweny issues ya feisal yy ndio chanzo cha kuiyanzisha na kusema imemalizika nilikubal km huwa ukituliz akili yako utamfahm momo na anayoyazungumza ni yakwel

    • @haggthankjah
      @haggthankjah ปีที่แล้ว

      hujalazimishwa wewe tulia kama 1

    • @saidswalehe932
      @saidswalehe932 ปีที่แล้ว

      Unakumbuka sakata la Fei na Yanga?..Basi huyo jamaa ndoalikiwa mtu wa kwanza kuvujisha kwamba kuna timu inamnyemelea fei kama yanga hawatakuwa makini dogo anasepa

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 ปีที่แล้ว

    Manula aishi

  • @ndonetz6342
    @ndonetz6342 ปีที่แล้ว +1

    Cham

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 ปีที่แล้ว

    YANGA N KUBWA KULIKO MCHEZAJI YOYOTE TUNAWAHESHIMU NA KUWAPENDA SANA LKN AKILETA POYOYO TWAWALIPUA MPKA WAO.BEWE MSAMAHAA NA MABALOZI WAO

  • @williamsalum5844
    @williamsalum5844 ปีที่แล้ว

    Bangala

    • @mnyusihiza9161
      @mnyusihiza9161 ปีที่แล้ว

      Kod nyepesi bangala na juma shabani