ABBY CHAMS:NAMPENDA DIAMOND/MTOTO ANAUMWA SANA/NILIFURAHI BEYONCE ALIVONI POST/SAUTI SOL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 251

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว +36

    sasa huuu wakimuona anapenya sasa waanze maneno watu wanavipaji duuuh mungu akuongoze mamy ❤❤❤❤

  • @bramwelambei2536
    @bramwelambei2536 3 ปีที่แล้ว +50

    When you thought zuchu is the best in tz until you meet abby cham nice voice🥰

  • @danielezekiel1718
    @danielezekiel1718 4 ปีที่แล้ว +60

    Daaaa moja ya wadada wanaweza kumfanya nyoka akatoka kabisaa kwenye shimo na kulisusa kabisaa shimo lake 🙌🙌

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 4 ปีที่แล้ว +40

    Abby! I like her voice sooo much 😍😍😍

  • @jallyjonster4006
    @jallyjonster4006 4 ปีที่แล้ว +46

    Uyu Dada anapiga ngeli tamu sana

  • @saidrajabu9589
    @saidrajabu9589 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali sana Chams uko humble and she's very beautiful ❤

  • @ntirampebaodila5237
    @ntirampebaodila5237 4 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mutoto namupenda sana anajuwa 💖

    • @naisafiimedia
      @naisafiimedia 3 ปีที่แล้ว +1

      😞😂😂😂😂😂

  • @fbr5113
    @fbr5113 4 ปีที่แล้ว +30

    VIPAJI VIZURI VYOTE VINAENDA WCB NA HUYU NAONA ATAKUWA WA WASAFI HUYU WAZIDI KUTUPA BURUDANI ZA KILA LADHA😘😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥🔥

    • @lamecknkini1041
      @lamecknkini1041 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama uliota huenda akawa wa next level music

    • @ahmedibrahim2127
      @ahmedibrahim2127 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu si msanii wa kuwa label yoyote Tanzania hakuna anaemuweza kwa kipaj TANZANIA NZIMA

    • @sarahaluka4636
      @sarahaluka4636 2 ปีที่แล้ว

      Ulitabiri kweli,, uliona mbali, kipaji chake si ya mjini bali globally.. Now in Sony wonderful

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 4 ปีที่แล้ว +7

    Baba ya maman yangu.mtoto mungese sana kieehh

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +14

    Welcome NLM my youngest sister, you're in the right and safe place,Where success is Available 🎵🎶

  • @ezekiel_mazune3563
    @ezekiel_mazune3563 2 ปีที่แล้ว +5

    I'm just smiling when she is talking

  • @alainsypamuhindo1450
    @alainsypamuhindo1450 3 ปีที่แล้ว +7

    Vizuri sana from Congo

  • @zantayerogordon4036
    @zantayerogordon4036 3 ปีที่แล้ว +11

    her voice is so beautiful

  • @hadijamasanja7771
    @hadijamasanja7771 2 ปีที่แล้ว +8

    Her voice is so sweet.

  • @ibrahimabdallah9518
    @ibrahimabdallah9518 4 ปีที่แล้ว +38

    Duh Leo na mm nmewah Kwan mkinipa like Kuna ubya 😰

    • @johnson20176
      @johnson20176 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna😅

    • @wilsonstephen1668
      @wilsonstephen1668 4 ปีที่แล้ว

      Nkiangalia uwezo wa mtoto huyo ulivo mkubwa alaf nashuka comment section nakutana na mtu mzima yeye anaomba likes za comment tu😂

    • @ommytheone
      @ommytheone ปีที่แล้ว

      @@wilsonstephen1668 😂😂😂😂

    • @ommytheone
      @ommytheone ปีที่แล้ว

      @@johnson20176 😁😁😁😁😁

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 3 ปีที่แล้ว +6

    Dogo mrembo sana 😍😍🔥🔥🔥🔥

  • @butwaandulile4231
    @butwaandulile4231 3 ปีที่แล้ว +6

    Nice interview young girl👍🙏

  • @symphonymoid335
    @symphonymoid335 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman ad raha she’s such a storyteller 😍

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 ปีที่แล้ว +2

    God be with u good girl❤️❤️❤️

  • @hadiazahor6874
    @hadiazahor6874 4 ปีที่แล้ว +8

    Mashllh nimepnd bure unvyongea 🌹🌹

  • @snapwizzy4509
    @snapwizzy4509 4 ปีที่แล้ว +5

    The one thats i love ...abby cham am #1 fan since i was know yo..

    • @oscarmatanatv6190
      @oscarmatanatv6190 2 ปีที่แล้ว

      Speak swahili if you cant articulate words well in your writing. Puga

  • @mohamedyally9673
    @mohamedyally9673 2 ปีที่แล้ว

    HUYU DADA NI WAKAWAIDA SANA ILA NILICHO KUNDUA WATANZANIA TUNA SHOBO DUNDO SANA.

  • @Soccer_Life2
    @Soccer_Life2 4 ปีที่แล้ว +32

    team wasafi like zenu

  • @peterjohn7613
    @peterjohn7613 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyie Waandishi maandazi mnaua sana Kiswahili, huyo msanii anaongea kiswahili kizuri sana, kiswahili cha Kenya, msijifanye mnajua kiswahili wakati hamjui chochote

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +43

    Mtoto napenda aendelee kuongea

  • @DARAJANI_TV
    @DARAJANI_TV 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu anatoa karama na ajamaliza kugawa vipawa ila pible imesema watu wasasa watskua namaarifa mengi haijalishi kama wataenda shule au hawatasoma neno linatimia

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 4 ปีที่แล้ว +12

    Ila aka katoto nikazuri pamoj na kiswahili chake hicho

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 3 ปีที่แล้ว +4

    Anajua sanaaaaaaa🙌

  • @liveupdates445
    @liveupdates445 2 ปีที่แล้ว +2

    She is ze best💥💥💥

  • @moviesreview101
    @moviesreview101 4 ปีที่แล้ว +4

    Wasafi FM nawakubali sana ila nakipaji cha utangazaji naombeni support

  • @krenzmobilegraphics3495
    @krenzmobilegraphics3495 3 ปีที่แล้ว +4

    I think am in love with everything out of that lady😋😋big up abby 👊👊

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +39

    Duuuh dogo ana akili ya kizungu kabisa

    • @jessicabrown5885
      @jessicabrown5885 4 ปีที่แล้ว +6

      Akili ya kizungu ndo ikoje

    • @farajibuteta6258
      @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +3

      @@jessicabrown5885 kujiamini na uwezo mkubwa wa kufikiri

    • @jessicabrown5885
      @jessicabrown5885 4 ปีที่แล้ว +4

      @@farajibuteta6258 kwahiyo wewe hujiamini nahuna uwezo mkumbwa wa kufikiri

    • @farajibuteta6258
      @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +1

      Watoto wengi wa kiswahili hatujajengwa kujiamini mtu anajiamini mpaka akiwa mtu mzima pia wengine hata wakiwa watu wazima bado hawajiamini

    • @farajibuteta6258
      @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +3

      Leo ni ngumu mtoto wa kiswahili kumwambia baba umekosea hata kama ni kweli pia baba wa kiswahili ni bora afe kuliko kukubali kwa mwanae kama kweli amekosea kujiamini ni tamaduni ambayo kwa kiwango flani waswahili hatuna

  • @abdulrahmanmandandu8519
    @abdulrahmanmandandu8519 ปีที่แล้ว

    Anajikubali sana huyu dada hadi raha

  • @YOBOYSADIO
    @YOBOYSADIO 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwa wale wapenzi wanao penda kutazama the story hii ndio account mpya ya the story book video zitakuwa zina postiwa kila siku fanya kusubscribe ili usipitwe

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +8

    Hii ya kizazi sana *Abby chams*

  • @emilydominick3123
    @emilydominick3123 4 ปีที่แล้ว +16

    Huyu so mtanzania bana watanzania Tunajiona sana

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว +3

      Mtanzania kutoka Tanga mbondei

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +2

      Anasomea international school

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume 4 ปีที่แล้ว

      Mtanzania bana sema anasoma international school zile za Cambridge

    • @hellenshayo3454
      @hellenshayo3454 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni mtanzania halisi mchaga +msambaa

  • @tumainimosha5685
    @tumainimosha5685 3 ปีที่แล้ว +1

    She’s soo sweet ❤️

  • @gdggghh2052
    @gdggghh2052 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasaaa mbon anaongeyaa kikenyaaaa kwanii viip😁😁😁

  • @westcijosh
    @westcijosh ปีที่แล้ว

    Hv huyu dogo kwann anaongea kiswahili hv ananichekesha sana 😂😂

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyo kuna siku atasainiwa wcb yuko ki wasafi sana

  • @giftmtemi1049
    @giftmtemi1049 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakapenda haka kabint💕💕💕

  • @lilianjerome4192
    @lilianjerome4192 4 ปีที่แล้ว +5

    Kidogo anafanana n dokii

  • @ramaamusic2148
    @ramaamusic2148 4 ปีที่แล้ว +6

    Ramaa music ft Da wizzy-KISA WEWE search TH-cam now

  • @Saphiakingo
    @Saphiakingo หลายเดือนก่อน

    Yan inaongeza kingereza kizur sana

  • @salhamamake6796
    @salhamamake6796 3 ปีที่แล้ว

    Kizungu 👌👌👌

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 2 ปีที่แล้ว

    Slow down you will be there don't rush fame!

  • @tedngowa5487
    @tedngowa5487 3 ปีที่แล้ว +3

    She sound like a Kenyan from Nairobi city....

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil 4 ปีที่แล้ว +7

    nani kaona kwny caption na maelezo ya dogo ni tofauti?
    dogo kasema anampenda burna boy yaan kamtaja wa kwanza kabisa..
    lkn kwny kichwa cha habari mmeandika kasema nampenda diamond duh..

  • @elinamwanjela364
    @elinamwanjela364 2 ปีที่แล้ว

    I love you Abby

  • @gertrudefadhli408
    @gertrudefadhli408 2 ปีที่แล้ว

    Very interesting

  • @jordanblack4536
    @jordanblack4536 4 ปีที่แล้ว +2

    Mshana iyo umepga ngumu ya msanii gani ungependa ampost

  • @alphonceskapu9416
    @alphonceskapu9416 4 ปีที่แล้ว +8

    Ipigike kolabo moja ya uyu Dada na Zuchu naisi nchi itasimama kwa balaa lao

    • @justinefrancis3390
      @justinefrancis3390 4 ปีที่แล้ว

      Super woman yumo huyu

    • @leeldavid3712
      @leeldavid3712 4 ปีที่แล้ว +1

      Iwezekani ju Abby anaimba gospel,na zuchu anaimba bongflava ya kaswida pliz!

  • @zhuninggadgets1344
    @zhuninggadgets1344 4 ปีที่แล้ว +11

    sisi wa buza tunacomment wap

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 2 ปีที่แล้ว +3

    Aliposema anampenda diamond ni wap duh

    • @tifashadrack7135
      @tifashadrack7135 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 hahah ili uitazame tu hamn cha kumpenda diamond wala nn haa kivutio

  • @imafricanandafricaisourbus5228
    @imafricanandafricaisourbus5228 3 ปีที่แล้ว +1

    THE AD😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 2 ปีที่แล้ว

    She is blessed

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 3 ปีที่แล้ว +1

    Kanajikombaga Sana kwa Mond...hakata achwa salama haka,,,

  • @mishiwamunyu7063
    @mishiwamunyu7063 4 ปีที่แล้ว +16

    vile hao ma presenters wana pronounce some words wakiweng vi mwiru lol makes me think out loud na vile the humble teen anaongea kiasi tu with no strain jaman don't force it

  • @masagadaud5448
    @masagadaud5448 4 ปีที่แล้ว +5

    Mtanzania au mkenya😁😁 xielew

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 ปีที่แล้ว +1

      Mtz tena mtanga uyo Mbondei

    • @masagadaud5448
      @masagadaud5448 4 ปีที่แล้ว

      @@RioIpo duh ametixha

    • @charlescosmas7823
      @charlescosmas7823 4 ปีที่แล้ว

      Mmakonde

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว +3

      @@RioIpo bora brother umetuambia maana kuna watu hapa walianza kusema ni mkenya maana wakenya duuh kila kitu chao hahaaaa

    • @mannabu9333
      @mannabu9333 4 ปีที่แล้ว +3

      Mmmh nilijua tu kenya watasema

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 ปีที่แล้ว +1

    Abby shams wangu

  • @joseph__kaale
    @joseph__kaale 2 ปีที่แล้ว

    Omy i heard you like "payaino"

  • @leonardagnatio6779
    @leonardagnatio6779 4 ปีที่แล้ว +2

    1st

  • @ramahassan9171
    @ramahassan9171 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzuriii

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 4 ปีที่แล้ว +3

    🙄🙄🙄🙄🙄Hivi you Payano ndio PIANO?

    • @nover8035
      @nover8035 4 ปีที่แล้ว

      kabisa, yawasukuma lakini

    • @selffan1583
      @selffan1583 3 ปีที่แล้ว

      Mshamba huyu kutaka kumodify mpaka kaharibu

  • @shameelashameela9857
    @shameelashameela9857 2 ปีที่แล้ว

    Huy mkenya au

  • @balapesatvc.balama3565
    @balapesatvc.balama3565 3 ปีที่แล้ว +2

    anaongea vizur kulik mimi mtz pure

  • @sulleymnhamad3522
    @sulleymnhamad3522 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtt anaongea vzr mno

  • @_sivodesi
    @_sivodesi 3 ปีที่แล้ว +3

    She speaks too good

  • @salmonluambano6981
    @salmonluambano6981 3 ปีที่แล้ว

    @abby Chams I wish......

  • @heri_bway2478
    @heri_bway2478 4 ปีที่แล้ว +2

    Naon presenters wanapigwa gepu la ngeli na uyu teen

  • @raphaelkanoni3453
    @raphaelkanoni3453 4 ปีที่แล้ว +9

    Ivi Haka kadada ni kabongo Kweli?

  • @emmanuelnyawile2664
    @emmanuelnyawile2664 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahah Abby tell em that... It is jst a good way to say... "He passed on "

  • @sandramuganga48
    @sandramuganga48 4 ปีที่แล้ว +4

    Love u girrl

  • @mrzuhura2300
    @mrzuhura2300 4 ปีที่แล้ว +3

    We ni mzuri

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 ปีที่แล้ว

    Woww

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 3 ปีที่แล้ว

    Nimeenda kwenye page ya beyonce mbona sioni iyo picha

    • @changanataliforlife3760
      @changanataliforlife3760 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahaha lazima tuakikishe

    • @nasratanzania1690
      @nasratanzania1690 3 ปีที่แล้ว

      Wanatumia shida account ya beyonce ni wengi yan mastar wana kazi unaweza ukakuta beyonce ana account hata kumi 😂😂😂😂😂😂

    • @blairmathew5605
      @blairmathew5605 3 ปีที่แล้ว

      Na ww uache umbea

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว

      Ulienda Account Fake ndugu. Haka kadada kapo kamevaa Jinszi T-shirt na kofia sehemu ya maua

  • @lingardmichael2047
    @lingardmichael2047 3 ปีที่แล้ว

    Yeah

  • @briantsuma189
    @briantsuma189 3 ปีที่แล้ว

    Kiswahili cha kenya hiki

  • @alfamale_tz
    @alfamale_tz 4 ปีที่แล้ว +1

    💪💪💪

  • @kiruidias5580
    @kiruidias5580 3 ปีที่แล้ว

    Huyu msichana though 😍🙈

  • @richardnjunju1791
    @richardnjunju1791 3 ปีที่แล้ว +3

    Sauti yako tu baba mwenye nyumba ameisikia Jana usiku...leo asubuhi anasema amenisamehe Kodi miezi
    Sijui alijua nimeleta demu mpyaaa🤣🤣🤣

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 4 ปีที่แล้ว +4

    Habari yako ndugu mm ni msanii chipukizi naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu Ahsanteni Sana🙏🙏

  • @peteveprosper7186
    @peteveprosper7186 4 ปีที่แล้ว +3

    Utazani sio mswahili

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 ปีที่แล้ว +2

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa HERO ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video mpya ya mziki wangu mpya naouzindua muda hii GUSA HAPA KUONA th-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/w-d-xo.html

  • @chrismukiri396
    @chrismukiri396 4 ปีที่แล้ว +7

    English speaking in Tanzania inakuwanga big deal.

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +6

      Ilikuwa zamani sio siku hizi. Kwa sasa kuzungumza kiingereza ni km ushamba na kihele hele tu. English doesn't bring you food on the table.

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 ปีที่แล้ว +2

      Hebu zungumza wewe tukusikie ila usitukane tu Kuna sheria

  • @mrishomasudi7103
    @mrishomasudi7103 3 ปีที่แล้ว +1

    Like zangu jmn kam unampenda huyu dada

  • @anitakamene5073
    @anitakamene5073 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @kingbashar4293
    @kingbashar4293 4 ปีที่แล้ว +12

    Ame sema ana mpenda Burna boy na sio diamond 😂✌🏿

  • @emmanueljaphetjr1116
    @emmanueljaphetjr1116 3 ปีที่แล้ว +1

    Udaktari chaliiiii

  • @imafricanandafricaisourbus5228
    @imafricanandafricaisourbus5228 3 ปีที่แล้ว +1

    SAUTIIIIIIIIIIII MAMAAAA

  • @annkabbz8544
    @annkabbz8544 4 ปีที่แล้ว +6

    Ommy wishing he'd talk like her.. lol!

    • @imafricanandafricaisourbus5228
      @imafricanandafricaisourbus5228 3 ปีที่แล้ว

      😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

  • @ceciliabuger8613
    @ceciliabuger8613 3 ปีที่แล้ว

    Wowoo

  • @moanahlavidas3962
    @moanahlavidas3962 3 ปีที่แล้ว

    mtangazaji ni catilage syo katles

  • @gervaismbunda3718
    @gervaismbunda3718 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisi🔥

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @manchestercitybettartv5922
    @manchestercitybettartv5922 3 ปีที่แล้ว +1

    Anaeongea vizur jamani anaishi wap nimfate

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuuj mtoto hampendi diamond

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว

      Nimeshangaaaa pia!!!¡!

    • @fadhiliibrahim9702
      @fadhiliibrahim9702 4 ปีที่แล้ว

      Kwani lazima

    • @nover8035
      @nover8035 4 ปีที่แล้ว

      Ajui kiswahili vizuri na Mond anaimba kiswahili

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Kwan mond n nan mpaka apendwe na woteee, alaf hiyo inathbitisha n namna gan unaujua ukubwa wa mond

  • @DLMEDIA254
    @DLMEDIA254 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ako na kenyan vibe

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 ปีที่แล้ว +1

      She's Tanzanian 🇹🇿😒

    • @DLMEDIA254
      @DLMEDIA254 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Swahili14 yes bt I said she have a kenyan vibe bana😁😂

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 ปีที่แล้ว +2

      @@DLMEDIA254 but 😭 WHY you Kenyans wanna grab every merry thingy from US 💔

  • @ngarathecomedian5743
    @ngarathecomedian5743 4 ปีที่แล้ว +5

    Like jamaaani

  • @marcocharles2724
    @marcocharles2724 3 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu binti origin yake Ni nchi gn?

    • @allyally7248
      @allyally7248 3 ปีที่แล้ว

      Mhaya

    • @ericamkoba9101
      @ericamkoba9101 3 ปีที่แล้ว +1

      Alisemaga mama yake mchaga baba yake mtu wa tanga mbondei wahaya mtoe chombo iko mlinge

    • @sakinashomar6790
      @sakinashomar6790 3 ปีที่แล้ว

      @@ericamkoba9101 😆😆😆