FUNDI SEMINA BAGAMOYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tulivuka mkoa mkoa tukagonga Hodi hadi Bwagamoyo jiji la kihistoria, ni kupeleka semina na Zawadi mbalimbali kwa mafundi wetu wa Tiles na kuwapelekea Habari njema kutoka Goodwill, Ni Mwaka wa Kupeleka Habari kwa mafundi wote nchini. POPOTE ULIPO TUTAFIKA
    Tiles za Goodwill zinapatikana katika maduka ya mawakala walioenea nchi nzima fika ujipatie Tiles kwa ajili yako.
    Endelea kutufuatilia katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii kupitia Facebook, Instagram, Twitter, TH-cam na Tiktok kwa kaundika @goodwillceramics_tz

ความคิดเห็น •