Copy of LIVE KONGAMANO LA UAMSHO NA MAOMBI YA FAMILIA MBEYA-MCH ABIUD MISHOLI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024
  • Ni saa ya matengenezo na kusafishwa kwa kanisa, Ni saa ya nguvu za Mungu na matengenezo matendo makuu ya Mungu kuonekana ndani ya kanisa, Ni saa ya kukomeshwa kwa vitendo vibaya ndani ya familia zetu...Ushoga,ulawiti,usagaji,ubakaji,ulevi na magomvi na vifungo mbali mbali
    Ni saa ya kurejeshwa kwa ibada za Roho na kweli.
    Sikikiliza Nyimbo za Mch. Abiud Misholi kwenye mitandao mbalimbali kupitia Link hizi.........
    Spotify - open.spotify.c...
    Boomplay - www.boomplay.c...
    Mdundo.com - mdundo.com/a/2...
    Amazon Music - www.amazon.com...

ความคิดเห็น • 26

  • @JimmyKalinga
    @JimmyKalinga ปีที่แล้ว

    Ww una nikumbusha Moses kulola jitahid hivo hvo mungu akutangulie

  • @leajujsinigana5502
    @leajujsinigana5502 ปีที่แล้ว

    Asante sana pastor na muke wako mafundisho muna tupa ana tusayidiya sana mungu awabariki.shukrani

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AWABARIKI SANA SANA

  • @SeuriSiodi
    @SeuriSiodi ปีที่แล้ว

    Ubariki mtumishi mungu akutuze

  • @hebronijaluomahuvi1025
    @hebronijaluomahuvi1025 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu yupo kwenye hili kongamano

  • @LameckAmani-pd8xs
    @LameckAmani-pd8xs 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni mkuu sana

  • @jeniphabutondo1448
    @jeniphabutondo1448 2 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana mchungaji Abiud pamoja na mom Abigail kwa utumishi....Mungu aendelee kuwatumia kuleta uamusho ndani ta inchi ya Tanzania 🇹🇿

  • @anusiathasimbagae2710
    @anusiathasimbagae2710 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mungu atufungue kupitia kongamano hili

  • @eunicekithome1205
    @eunicekithome1205 2 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu amka

  • @jacquelinebyaombe9729
    @jacquelinebyaombe9729 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏❤

  • @neemasazia-vg9sh
    @neemasazia-vg9sh ปีที่แล้ว

    Utunzwe na Mungu mtumishi Abiudi Mishor

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @EdwinMbwilo-fj6bf
      @EdwinMbwilo-fj6bf ปีที่แล้ว

      Ni mch pekee Assemblies uliyeamua kuiacha elimu ya thiolojia na kumsikiliza Roho Mt
      Mbingu zimesaini jina lako kwenye kitabu cha uzima wa milele.

  • @goodluckjoseph3540
    @goodluckjoseph3540 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakikaa kunautukufuu katka Kongamano hili tuko pamojaaa paka mwishoo

  • @josephmwambu6541
    @josephmwambu6541 2 ปีที่แล้ว

    The family of worship my God I need the more grace of worship and true worship, amen.listening from Kenya Nairobi

  • @tumainimwakisile4855
    @tumainimwakisile4855 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki watumishi wa mungu.

  • @juniormakoko1355
    @juniormakoko1355 2 ปีที่แล้ว

    jina la Yesu libarikiwe

  • @joycelufunda8230
    @joycelufunda8230 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki watumishi wetu

  • @josphineareyo9444
    @josphineareyo9444 2 ปีที่แล้ว

    Jesus deliver me 🇰🇪

  • @daniajohannsen2373
    @daniajohannsen2373 2 ปีที่แล้ว

    Utukufu kwa Yesu

  • @daniajohannsen2373
    @daniajohannsen2373 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @josphineareyo9444
    @josphineareyo9444 2 ปีที่แล้ว

    I receive restoration through these conference

  • @agnestweve7218
    @agnestweve7218 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona Kama camera hainuyoshi vizuri

    • @danielmwakalinga6959
      @danielmwakalinga6959 2 ปีที่แล้ว

      Ameni ni kongamano kubwa sana kama upo mbeya karibia viwanjan