Mtumishi napokea sana mahubiri na ninabarikiwa mno. Baba naomba maombi kwa ajili ya mume wangu, hamtaki Mungu wa wokovu ana moyo mgumu mno na pombe anakunywa
Amina, kweli neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili,naomba kubadilika zaidi kupitia channel hii, injili inachoma, hakika imenichoma,barikiwa Mtumishi wa Mungu
Ni nani atasimama mahali palipobomoka ktk nyakat hiz,,, Mungu azidi kuwainua watumishi kama Hawa ,,,nimepokea kbs Mungu anisafishe kbs,,, Mungu akutumie zaidi baba yangu
Usiulize ni nani atasimama ww simama kwa nafasi yako na ukatende haki ya Mungu wa mbinguni mda sikitambo tutavutwa machozi na Bwana Yesu Kristo na tuingie rahani mwake na kutawala pamoja naye milele 🙏🙏🙏
Roho yangu nakusihi umisikilize Mungu wa mbinguni akutemgeneze ili uimgiane sawa sawa na tabia na maisha ya walioko mbinguni kwa maana bila tabia na maisha hayo unafundishwa mbinguni ni mchucho kubali tabia hii na maisha haya kwa lazima kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏
Amen Baba, Yesu anirehemu
Amen Baba Mungu akutunze sana uishi sana nisije nikapotea njia
Mchungaji nipo mwanza nakufatilia sana. NENO unalofundisha hakika linauhai sana ndani yake🇹🇿
Amen, Mungu azidi kukutumia kwa wingi wa nguvu zake. Mafundisho haya yanatujenga sana, Mungu aliye hai azidi kukuficha.
Mtumishi napokea sana mahubiri na ninabarikiwa mno. Baba naomba maombi kwa ajili ya mume wangu, hamtaki Mungu wa wokovu ana moyo mgumu mno na pombe anakunywa
Mungu azidi kukuinuwa mtumishi wa Mungu ❤❤
Amen pastor ubarikiwe sana mi niko kenya nakufuatilia sana🙏🙏🙏🙏🙏
May the lord God almighty keep you continues in his pavilions place
I really love you and your revelation
Amina Sana Mimi ni Tomas Nina pata neno la mungu kutoka Nairobi Kenya
Amina, kweli neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili,naomba kubadilika zaidi kupitia channel hii, injili inachoma, hakika imenichoma,barikiwa Mtumishi wa Mungu
barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏
Yesu anihurumie mimi mdhambi😭
Mungu akubariki sana
Ni nani atasimama mahali palipobomoka ktk nyakat hiz,,, Mungu azidi kuwainua watumishi kama Hawa ,,,nimepokea kbs Mungu anisafishe kbs,,, Mungu akutumie zaidi baba yangu
Usiulize ni nani atasimama ww simama kwa nafasi yako na ukatende haki ya Mungu wa mbinguni mda sikitambo tutavutwa machozi na Bwana Yesu Kristo na tuingie rahani mwake na kutawala pamoja naye milele 🙏🙏🙏
Roho yangu nakusihi umisikilize Mungu wa mbinguni akutemgeneze ili uimgiane sawa sawa na tabia na maisha ya walioko mbinguni kwa maana bila tabia na maisha hayo unafundishwa mbinguni ni mchucho kubali tabia hii na maisha haya kwa lazima kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ukweli siku zote umiza sema kweli baba kuna wale watasikia
Ubarikiwe mutumishi
Amen neno lenye nguvu, barikiwa mtumishi
Ubarikiwe mno Baba ,Huduma yako iendelee duniani kote
Mungu wetu uturehemu BABA
Ubariwa mtumishi wa Mungu
Mungu atusamee
Nabarikiwa na Neno hili na linanifinyanga
Mungu unirehemu
Amina,
🙏🏾🙏🏾🙌🏾
Amina mungu akutunze
Amina ubalikiwe
The really Gospel ❤🙏
Mungu nitie nguvu... nisiwe na kibuli cha kusema ndatubu .. na hali nyakati ni za atali MUNGU ni saidie
Mimi nakufuatilianga nikiwa Kenya wanibariki zaidi Baba wakiroho
Mchungaji waumin wengi wa Sasa wanapenda starehe na kuvaa maguo ya aibu kanisan na hawamheshim mungu kabisa
❤❤❤❤❤Ameeen
Aminaaaaaa🎉🎉
YESU UNISAMEHE
Mimi nipo😂 Dar masaki baba naomba maombi kwa ajili ya ndoa yetu
Nakufuatilia mtumishi nikiwa omani injili inatufikia
Naeza pata huo wimbo aje ni wa Nani na unaitwaje 🙏🏾🙏🏾
Mbarikiwa mwakipesile
Mchungaji mahubiri yako yanayoingia moyoni
Laiti angekuwa Arusha huyu mchungaji
Kanisa lako kwa Arusha liko sehemu gani ?
Mchungaji waumin wengi wa Sasa wanapenda starehe na kuvaa maguo ya aibu kanisan na hawamheshim mungu kabisa
Wewe mwenyewe muheshimu Mungu andika kwa herufi kubwa neno Mungu