Amina mtumishi wa MUNGU Abiudi unaubiri ukweli wa Msalaba ambao umeadimika sana nyakati hizi ..,... MUNGU akuzingile na ua la moto unapolipua ngome za adui 👍
Pia naomba unikumbuke kwenye maombi unayoyaendeleza kuhusu familia na watoto,natamani kuona nyumba yangu mke na watoto tukiwa tumemsimamia Yesu kwa ukweli na haki zote kikamilifu....Ken Gitonga natokea maeneo ya Kenya 🙏
Amina nabarikiwa Sana kwa mafundisho yako
Amina baba
Amina mtumishi wa MUNGU Abiudi unaubiri ukweli wa Msalaba ambao umeadimika sana nyakati hizi ..,... MUNGU akuzingile na ua la moto unapolipua ngome za adui 👍
Amina hakika nabalikiwa🙌🙌🙌
Amen