Jamani brother Pole sana Japo ni movie mmedizaini kitu ambacho kinatendeka Wanawake hawaridhiki Sasa unampa Kila kitu lakini anasubutu kumuita mme wake eti kunguru mweusi!!!😢😢😢 Dahhh nimewakubali Kwa Hiyo nizaina Ila hicho kitoto duh maneno kama kitu kizima! Judith congrats Ila happy punguza Tamaaa Japo najua ni kazi ila ni uhalisia wa maisha tunayo yaishi mko vzr ila mjaribu kutuwahishieni episode ya 3
Judith n mtt ambae anajua sana kuigiza ila mama ake ss analinga2 alegeza saut akinuna akucheka akiwa na mawazo hajulikan plz dada tunapenda sana kaz zenu nyinyi ndo ss na ss ndo nyinyi badilika kua serious sio kila saa unaringa
Movie imetawaliwa na mtoto ila pongezi kwa muandaaji na pongezi za dhati kwa Watanzania kwa kweli mumetunukiwa kwa kila aina ya vipaji mimi kutokea kenya 🇰🇪
Judith pacha wake Rafiki yangu hongera also yeye ana talent ya kuigiza kama wewe LOVE YOU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❣️❣️❣️🥰😍
Asante anakaa wap??
Wow ❤❤❤ jamani Judith Allah akuzidishie una kipaji mtoto mzuri hata mavazi masha Allah nimeyapenda sana hongereni wapenzi wangu mko vzr ❤❤❤❤
Santee my
Daah hii nmaaaa
Kanzi nzuri my son
Asante sana
Tumeisubiri kwa amu kweli 😊😊😊Thank you guys for sending this movie
Asante sana kwa sapoti🎉
Hongereni Sana kwa kazi nzr
Asante sana
Hii movie ni tamu kwakweli nasubiri muendelezo nampenda sana judi❤❤❤
❤
Tamu baraa
Jamani brother Pole sana
Japo ni movie mmedizaini kitu ambacho kinatendeka
Wanawake hawaridhiki Sasa unampa Kila kitu lakini anasubutu kumuita mme wake eti kunguru mweusi!!!😢😢😢 Dahhh nimewakubali Kwa Hiyo nizaina
Ila hicho kitoto duh maneno kama kitu kizima! Judith congrats
Ila happy punguza Tamaaa
Japo najua ni kazi ila ni uhalisia wa maisha tunayo yaishi mko vzr ila mjaribu kutuwahishieni episode ya 3
Nitapunguza usijali
Kipande kinachofuata lini wahisheni mtupatie burudani movie yenu nzuri sana
Mpe Salamu Judith
Kinajua kuigiza
Wow that's wonderful I'm CTN PETRO from Kenya 🇰🇪 in the word of God.
Yaani wewe Judi mungu akuzidishie nahilo vazi mashalah🧕❤️❤️❤️❤️
🥰🤝
Hongereni sna kwa kazi nzur
Hongera xna mtoto unaigiza vzr xna
Mtoto anapenda amani
Jamn et kunguru mweuc kweliiii, siku zote ukipata kipya usitupe cha zaman
Nakupenda saaan dear Judy
Waoo mnzuri sana
hongereni sana nyote allah awaongoze katika kipaji chenu twasubiri party nyengine
Mtoto nimependa anavyo igiza💕💕💕💕👏👏
Wanza leo mimi naombeni like zangu 🙏🙏
Mama wa kambo nishakulike😂
pmj nashukur
Wow Judith you did a great work
I love you mtoto mzuly uko vizuli sana
Kazi Nzur Sana Ongera Kumbau
Hyo xf Mana mama wa kambo wamezidi kunyanyaxa wtt wawenzao utazania hawajui uchungu wa leba nimeipenda hyo
Nakupenda sana judith❤❤
Waooo ukovzur jud
Sisi wanawake mungu anatuona eti kunguru mweusi kaondoka😢
😂😂nyie boda boda Allý😅😅....ikiwa boda boda Ally kakubamba gonga like kabla ujapita mazee😅😅
Nakubali ndugu judc ongela
Nimependa huyu baba wa nyumba ❤❤❤😂😂naeza pata no
Mtoto judth nimepanda Bure mama wa kambo akasome kwanza kwa habari yakurea watt wa wenzio
Nimeipenda hongera sana mtoto judith😅😅
Judith n mtt ambae anajua sana kuigiza ila mama ake ss analinga2 alegeza saut akinuna akucheka akiwa na mawazo hajulikan plz dada tunapenda sana kaz zenu nyinyi ndo ss na ss ndo nyinyi badilika kua serious sio kila saa unaringa
Movie imetawaliwa na mtoto ila pongezi kwa muandaaji na pongezi za dhati kwa Watanzania kwa kweli mumetunukiwa kwa kila aina ya vipaji mimi kutokea kenya 🇰🇪
Asante
Nmeikubali sanaaaa🥰🥰🥰
Nice
Wow jmni mashllah Judith
Wanawake walaah wengne pepo tutaion 2
Yupo vizul
Nikwel mama yakambo nimubaya sana jama
Akina happy sisi niwapole ila tunavisa we acha2 sas tutafundishwa na jud jud bc tuperekeshe talatibu khee😢
Natamani sana kuendelea.
Hata nam nimeipenda xana
Yani mtoto yuuko vizur sana ♥️ nmependa pafmas yake
🎉🎉🎉Nzuri sana
Mtoto yupo vizur Sana ila mna chelewesha Sana hady tunssahau
Huyo mtoto anajitaidi kuigiza vizuri pongezi zake👐👐👐
Aiseeeee mmechelewa xn 😢😢😢 nawapenda xn qwa kazi nzuri😂😂
Nimeipenda kibokooo
Mbna uy dada amefanana na mm sura
Mmhhh kweli
Pacha wako
Nzuri lakini mnachelewa kutoa jmn
sawa tutalifanyia kazi hiyo sorry
@@kumbautv6926ahsante tutafrahi mno
🎉🎉🎉
Mbona mwa helewa kuitoa
cjakwelew
Hongera sana Judith
Mtoto anakipaji kizuli sana mungu amjaliye jamani
Mama wa kambo kapatikana 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Wee jmn mtoto wajua kutetea mmako 😂😂
Hii nzuri ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nimesubir kwa hamu n gham❤❤❤
nimeioenda
Hiyo
❤❤❤ hongela san
Wow Judith 🎉
Judith wake jamn mvi pambe siyo pw ❤❤❤
Asante sana
Nampenda sana juthi
We🎉
Mheshimiwa juhudi pngela
Jaman jaman mtoto mzr nakupenda unajua sanaaaaa
Mashalaa
Mtoto Ana nipa burudani huyu😂😂🎉🎉🎉❤
Ongelen jaman mmetisha🎉
This was nice to meet this channel
🎉nimeipenda
Good girl ❤❤
Mimi wa pili waooih
Mama wa kambo nishakulike
nashukur sana
Smart@@kumbautv6926
Nimependa Sana hii
Jina la mwanangu nae Ana majibu ya mkato
Hongera judith wewenimtoto mwenyekipaji unapatikana wapi
It's so good work 💕💞💓💝💖❤️
Lakini
Malawi
Iko poa sana
Lv
😂😂😂😂 dereva wapikpik ywataka kunya wachezea bastola wewe
Hahahahaaa
Mashall Allah
Judith a good girl ❤❤❤❤
Jaman nakiranga chote icho😂😂
Waoh nimeipend san
Hyu mtt enyewe anajua kuigiza nimempenda sana❤❤❤❤
Asante
Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤
🤜
Mko vizuri sana❤❤❤
Rvkhdh
Awugdboh
Good work
Waah hii Kali😂😂
Nampenda Judith jmn❤❤❤❤
Jamani nimependa sana hiyo movie
Akiii huyu mtt anachekesha😂😂😂😂
Hope bodaboda Ali amejikojolea maan haikuwa rahis walai😂😂😂😂😂😂
🎉Asante sana
Judy anapenda mmke wakambo
Aaaah 🤣🤣🤣 boda boda kajipupulia najua hapo😂😂😂😂
Wow judith your did well
kali iyo wamam
Judith unawez
Endele dafangu judhith
Kunguru mweusi tena😂😂😂
Nimewapenda xana
Judithi.unatisha.sana.nimekupenda.sana.unaweza
Wabongo 2nawaza
🤝
😂😂😂😂😂😂jamani mtoto kafukuza wateja
Akuna kitu ngumu Kua mama Wa kambo