Muganda wange well done, for sure hawa watoto wapo amazing nilishiliki mashindano live ug 2018 East Africa motorbikes champion duuu kwa kweli niliogopa sana vile watoto wadogo wanarusha piki piki yaan nilibaki mdogo wazi.. Hey East Africa champion please we need more since covid we didn't see any champion in Uganda.. Well done ayooo pongezi pia
Kwakweli huyu mtt ni mdogo sana istoshe mwamchanganya kiakili shule na mchezo vitu vi2 tofauti na akiendelea hivi atakuwa shule hayuko vizuri mwamuharibu kisaikolojia mwishoe atakuja kuwacha shule afatwe huu mchezo talent zengine kwa watoto sizakuzisapoti acheni mtt asome bhana
Ikija kumuua utasikia hakuwasikiawa wazazi hawakupa malezi bola kumbe wazazi wenyewe ndio hao vilaza hapo vifo vingine vyakujitafutia tu michezo Iko mingi lakini mh bola salaamaaa
Tunaomba kwa heshima mtuletee hii rally Arusha Chuga hii NI asili huku jamani tunaomba Sana wapoloo tuko tayari any time just come #kaskazinian baik #miami baik #chugga baik...
Hapana, hii Ni hatari kwa maisha yake. Apewe ushauri tu ili atumie kipaji kingine alichonacho, siamini km mama yake Yuko happy na hii kitu,hatari kwa future yake pia
Mimi sikubaliani na huyo mtoto kuendesha pikipiki kwa mashindano.ni mtoto mdogo na huo mchezo ni wa hatari sana.Sasa sisi watuwazima tukimruhusu ni kumuangamiza
😭😭😭 namkumbuka mdogo wangu JUNIOR BIKE 😭... pumzika kwa amani uko ulipo mdogo wng JUNIOR
Kikubwa Dua, hiyo ni risk kubwa Sana ya maisha ✌️🤝
Kikubwa n dua n risk san huo mchezo mungu awapiganie kwa kila hatua🇰🇪
Muganda wange well done, for sure hawa watoto wapo amazing nilishiliki mashindano live ug 2018 East Africa motorbikes champion duuu kwa kweli niliogopa sana vile watoto wadogo wanarusha piki piki yaan nilibaki mdogo wazi..
Hey East Africa champion please we need more since covid we didn't see any champion in Uganda.. Well done ayooo pongezi pia
Kwakweli huyu mtt ni mdogo sana istoshe mwamchanganya kiakili shule na mchezo vitu vi2 tofauti na akiendelea hivi atakuwa shule hayuko vizuri mwamuharibu kisaikolojia mwishoe atakuja kuwacha shule afatwe huu mchezo talent zengine kwa watoto sizakuzisapoti acheni mtt asome bhana
Bado upo na dhana ya education is better than money?? 🤣
This Kid is too talented with much confidence! I like the way he handled an interview!! These are the typical African talents we need to push
Mimi ningekuwa mama ako, nisngekuja kuhudhuria aisee maana kizazi kinaniuma
Hahahahaaa, aise inahitaji moyo mim hadi mshipa wa moyo umeruka juu
Halafu ukipata ajali ni ww na wazaz wako
We hata mimi hapo tu nataman asiendelee naogopa
Kizazi tungekifunga kamba
😀😀😀😀😀
Ikija kumuua utasikia hakuwasikiawa wazazi hawakupa malezi bola kumbe wazazi wenyewe ndio hao vilaza hapo vifo vingine vyakujitafutia tu michezo Iko mingi lakini mh bola salaamaaa
The kid has so many pontentialitiies at his age...talent, the native language, confidence and english too.
Kalembalemba kazi nzuri kwa tafasiri ya kiganda kuja kwa kiswahili 🤝
Mimi ni mwandishi WA VITABU VYA neno la Mungu nimesoma Hadi dalasa la 5 elim ya msingi
Tunaomba kwa heshima mtuletee hii rally Arusha
Chuga hii NI asili huku jamani tunaomba Sana wapoloo tuko tayari any time just come
#kaskazinian baik
#miami baik
#chugga baik...
Arusha hii n kawaida asee kisa ni waganda wanampromoti wake waone Wala shada wanavyokitupa
Mimi kama mama, haijalishi pesa ajira au cjui nini!
Naipenda sana pesa, lkn hapana.
Inatetemesha moyo
Kwakweli ndugu, mimi siwezi.
Kweli itamuua subiri tu
Mt0t0angu hatakaaa afanye huuu upuuuzi f0rever
Alafu mwanao akitaka kijiunga na jeshi unafurahia mbona jeshi pia ni risk
@@abduljuma4944 yes risk but si0 kw hiii
Inye Ndi Tanzania Lakini Ogu Mwanamukubali🤝💪
Ipo siku tutamzika kwa ajali ya hiyo pikipiki acheni masihara nyie na hivyo vyombo
Mimi napenda maendeleo na pesa pia napenda ila mimi Mwanangu simruhusu kwakweli, moyo unatetemeka 🙈😀
Niiitieni zari akuje amuone Mdogo ake akifanya maajabu 👏👏👏👏😂😂
Aise millard ayo media yenu iko Makini balaa, mnaleta story adimu sana
Good job home Africa message from USA 🇺🇸
th-cam.com/video/Dq-bry4nHCQ/w-d-xo.html
Doqo akadeal na masomo
Ayo mambo ya bike sio mda wake.
Dogo acha michezo ambayo haiwez kukufikisha miaka mingi soma shule mdogo Wangu
Hapana, hii Ni hatari kwa maisha yake. Apewe ushauri tu ili atumie kipaji kingine alichonacho, siamini km mama yake Yuko happy na hii kitu,hatari kwa future yake pia
Kwa kweli😂😂
Acha dhana hzo ....kuumia kupo ,kufa kupo hcho ndo kipaji chake
Yaani mpk nimesisimuk mwili mxm Duuuh Allah akulinde bby boy
Mungu akulinde bby boy ❤️🥰
Best wishes to him
I salute you Dogo junior
Mmmm👀🚶♀️🚶♀️
mm simsurport uyo dog kaz zpo nying lakin xio iyo
Hatari sana tunacheka tu
Mi mtto wangu apana kwakweli
Napenda xana mchezo wa pikipiki komaa xana mdogo wangu.
Mhh, 😭. Mtangazaji wa Ayo Tv yupo makini kusikiliza lungha🤣
mhhhh hongera saaana dogo
Kijana anajiamin hongera sana ✊🏿
Uganda hawajui kiswahili ? Loh!
Utumbo wa uzazi unanicheza mm uku🤔🤔
ayo kaleta lugha ya bala😁😁
😂😂😂😁😁
Mh,nyie furahini sekunde moja tu inakukolimba,
Kawaida hii ni mazoezi tu
duh mchezo hatari wallah....
Huku kwetu alionekana dogo anaendesha trekta mzazi kafatiliwa mpaka Mzee wawatu kaomba msamaha cjui vipaji kama hivi unavipataje, tz kuhama no.
😂😂 Tanzania yetu
Kaomba msamaha wa nini Sasa?😳
Ni kosa kisheria mtoto chini ya umri wa miaka 18 kuendesha chombo cha moto.
@@maxgerad5083 Hapo sawa
@@maxgerad5083 sio kweli, leseni unapata kuanzia miaka 14 mimi nimepata leseni ya driving school nikiwa na miaka 16
aaah kudadeki mi naendesha tu kwa adabu mana naijua iyooo
ningekuwa mamakoo nisingekubali
Mbona wapo weng hata huku kwetu Kuna madogo Wana miaka 4 wanaendesha gari
Lkn zile gari za udogo c mnazijuwa
😂😂😂😜😜Watanzania kwa wivu hatujambo 😂😂😜😜😜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
Khaaa 🤣🤣🤣🤣
Z😂😂😂😂😂😂😂
I love this game so much...
lkkkk
sio maajabu kawaida2 njoo Znz uone vipaji
Kifo chake kitamkuta kwenye hiyo pikipiki anayoichezea
Safi sana junior ochikozeko
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html Ty u
Sema waganda wa lugha nzuri 😁 kama wa zulu tu nafurahi wanavoongea inapendeza
Kwakweli
Eeee sebo bulunji...
Wapo wengi sana tu Arusha..
Roho mbaya hiyo
@@stevenclaud6648 Yaani kusema Arusha wapo wengi ndio kosa 😂😂😂 khaaaa
@@stevenclaud6648 KWA HIYO KAMA WAPO ASISEME???? KUWA MUELEWA.
Acha uwongo Arusha hakuna bingwa kama huyo labda misifa tu ya hovyo
Waambie nawapa hi
Ndugu yake zari
Hii siyo michezo ya kurisisha watoto kabisa…
pelekeeni ARUSHA CHUGAA Wakomeshane
BRAVOOOOOO. 👍 boy.
🎉🎉🎉🎉🤝🤝👏👏👏
Unaona sifa cyo hicho cyo kipaji Bali Ni ushetani
Mpaka atakapokufa ndipo atujuwa hajuwi
Good good 👍
Mungu azidi kumpa njia
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html hi i
Good
Una hatari mwangu wewe!!!!
Bravo
Nice
Mmh mimi wangu siwezi kumruhusi mchezo huo
Ni kosa kwa watoto wa umri wake kuendesha vyombo kama hivi
Pityenii nahy channel jaman nawqomba
Anazidi miaka 10 huyo
Weee mmi utumbo unacheza uuuwi ila hongera
tafuta hatari2 badae uanze kuomba msaada.wa matibabu
Chakuv miaka 4
Duuu uyu dogo simchezo
Nimefrai kuskia ruga yangu
Achana na mchezo huo dogo.
Bukoba!!!!!
Nikajua mtazania basi kumbe dogo wa uganda
Kutoka Africa
🇺🇬🇺🇬🇺🇬uganda zahabu
Millard Ayo uko vizur napend kaz zko hao wengine wakasome tena
Dog komaa maana wabongo wanaongelea.maswala yakufa nasio kukwambia utafika mbali
Apa hamna tena masomo akili ishatekwa na piki pik
Ndio maana tutaendelea kuwa maskini, mtoto kama anakipaji unataka shule gani tena? Na hayo masomo unaona yanamsaada gani zaid kwa waliosoma
@@stanleyevanda797 majibu ya maswali yako nmemuachia mkeo atakupa
@@hamidmweusiii35 asante
power of i am
Wow
JE HUU MCHEZO UNALIPA?? JE UNA HELA NZURI?? KAMA HAUNA ACHANA NAO MAN KWA NN UFE BILA SABABU.
Ndambga nechilala😂😂😂
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Ninomaaaaa
Fanyeni michezo mingine, acha kabisa kabisa huo mchezo wa kijinga, hasara yake Ni maisha
Kalemba lemba 😅😅
Endelea tu dogo utapata unachokitafta
Usimnene mabaya wapo ambao hawajui hata honi ya pkpk iko wp na walipata ajali wakiwa abiria
👊
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🥰🥰🥰
Uganda hawaongei kiswahili wakat Africa mashariki
Kwani afrika mashariki ni kiswahili tu?
Wanaongea ila wengine hawajuhi lakini wanaelewa
Uganda wanaongea kiswahili ila siyo wengi mm naish nao hapa kiswahil chao cha shida san .
Uganda ukiongea KISWAHILI wanasema wewe ni msomi tena wanaona unajiona😀😀
@@deusdedit789 acha bana😁
mh!
mzazi wa mtoto huyu una roho ngum kwel.hatar sana
Anafurahia mwanae kufa mapema! Huu hatari sana
@@mamalandynangy52 nimetafakari vikagoma
Tumezika mtoto wa dada angu!! Kwajili ya piki piki! Na mengi tumeona! Huruma sana
Very talented
Hata bodaboda ya kawaida mwanangu simruhusu
Changala bhona
Dogo ananoma huyu
kawaida sio hatari wala nn
Hapana kwakweli ingekua mwanangu nisungemruhusu
Duuh noma
Dogo saaafiii sana. Badala ya kuwafundisha ufuska.
@@patrickmsekwa4947 nkwambia yan mpk kanishtyua uko mbingun nabdo mdg t sna
😊😊 mm o
Dogo anajiamini
R.I.P
KAKA NAHITA JI KUFANYA ENTERVYOU
Mimi sikubaliani na huyo mtoto kuendesha pikipiki kwa mashindano.ni mtoto mdogo na huo mchezo ni wa hatari sana.Sasa sisi watuwazima tukimruhusu ni kumuangamiza