MCHAWI ULOZI NILIKUWA NATUMIA MAJENEZA KUSAFIRI NA KUINGIA KUZIMU/NILIFANYA TENDO NA MNYAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @ahmedomary2474
    @ahmedomary2474 ปีที่แล้ว +6

    Davistar watu wenye simulizi konki siku hizi hutuwekei tafadhali tunaomba ututafutie wakali tulichangamka kwa mzee wa maskadi

  • @alineciza6373
    @alineciza6373 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidiye

  • @deodatusmaliti7790
    @deodatusmaliti7790 ปีที่แล้ว +1

    Davista huo mtindo ulioleta wa ku-hold kwa siku kadhaa hizi shuhuda za matendo makuu ya Yesu ujue unawapotezea watu ujumbe wa Yesu kwa ajili ya kutafuta pesa, acha mara moja nakwambia!

  • @hydrazineazine8764
    @hydrazineazine8764 ปีที่แล้ว +1

    Very informative and educative testimony usitucheleweshee D. Mata

  • @KaswahiliDaud-yv8gq
    @KaswahiliDaud-yv8gq ปีที่แล้ว +1

    Leta story kama za mzee wa scud tumezi misss sana

  • @dankiragu720
    @dankiragu720 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Davistar from Kenya next time maybe your guest can explain on the 28 types of ulozi,, eg delay, stagnation etc good job

    • @SaaS-Guide
      @SaaS-Guide ปีที่แล้ว

      Bazu unasema afanye aje?

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana story..ila nachagua..

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi vitu unavyo shudidia vya nguvu kama Timo nausikiliza ushuuda wake kwa shebby Alawi bwana yesu Asifiwe 🤲🇹🇿🇬🇷⛴⚓

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi wa mafundo ni mbaya sana Tena sana sana

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว +1

    Satanism in this world is beyond explanation God I pray for your protection always, cover us with the blood of Jesus.

  • @lynodari3824
    @lynodari3824 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Davista for what you are doing. Ubarikiwe na familia na watoto wako wote ..... From Kenya

  • @Foodie_Tv1
    @Foodie_Tv1 ปีที่แล้ว +1

    Yaani jambo analizungumzia ya kujigawa mara kadha nimetoka kutizama leo kwa movie ya Dr strange asee kumbe mambo ya kweli kabisa

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 ปีที่แล้ว

    Ule dame wa tarekea huwa mnamfuatilia??Nimemiss story zake

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj ปีที่แล้ว +1

    Maombi na utakatifu + sadaka hakuna cha kushinda juu ya mtu

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 ปีที่แล้ว

    Naomba siku moja tuone Live ili tukio la kupasua kaburi na maiti kuja juu bila kufukuliwa.. Nakumbuka kuna Guest/jamaa alimwambia Mr DM kuwa inawezekana alafu atukumuona tena uyo jamaa ☺☺☺

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su ปีที่แล้ว

    Je ukita kumuona nyuma ya mlango unafanyeje?

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 ปีที่แล้ว

    Hapo amesema Kenya kuna lango la kuingia kuzimu ni wapi huko haswa?

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

    Mimi Leo wacha tu niwaambie ukweli hyu anae komenti kila siku j. Boys 1999 Ni................ 😂😂😂😂😂Kesho mnikumbushe niwatajie na hamtaamini

  • @MBerny-ez5su
    @MBerny-ez5su ปีที่แล้ว

    Hiyo lango ya kuzimu iko pahali gani Kenya.

  • @dulayowakiba569
    @dulayowakiba569 ปีที่แล้ว

    Sijawahi ona mchawi mdogo mdogo kitumishi, wanahojiwa wote ni viongozi uchaeini

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi amenawiri

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว

    Namtaka baby wangu wamayo 😢

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว

    27:21😮

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Shetani hana shukurani

  • @mitaamichafu7882
    @mitaamichafu7882 ปีที่แล้ว

    Jamani mi ushuhuda wa Mzee wa maskadi sijaupata Bado niandikaje ili niupate?

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Hakika shetani hana shukurani

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Shuhuda nyingi za watu wanosema walikuwa wachawi au waganga ati wote wanakuwa watumishi wa Mungu wengine bado ni wawachawi lakini wamejificha na neno laMingu na bibilia wanajua kwamba wakristo wengi hawawezi kumtabua mtumishi mwitu/fake ebu wakristo tuwe watu wa maombi mengi na kumuhusisha Roho Wa Mungu kwe Kila jambo tunaishi siku mbaya sana

    • @sarabura8933
      @sarabura8933 ปีที่แล้ว

      Kwani.MUNGU anawaokoa watu gani watu kama hao ndio wanatakiwa kumtumikia MUNGU shetani achukui mtu asiye na wito wa kimungu ndugu

  • @ahmedomary2474
    @ahmedomary2474 ปีที่แล้ว

    Mfano weke wawe wakali kama mzee wa maskadi

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 ปีที่แล้ว

    J.boys 1991 let's together .

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว +2

    mi story ikishakuwa na maswala ya mtumishi, bwana yesu ahhh haininogei kabisaa

    • @lawmarcusmwakagenda355
      @lawmarcusmwakagenda355 ปีที่แล้ว +1

      Kwani una shida gani na Bwana Yesu Mwokozi wa wanadamu??

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว +3

      Unataka za mashoga na wasagaji ndio itanoga

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 ปีที่แล้ว +1

      Sio lazima kuisikiliza ili usije kereka

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      ​@@lawmarcusmwakagenda355ndio nashanga sijuhi anataka nn

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว

    J.boys 1999

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭Mimi Mwenzenu niko nchi za nje lakini kila siku naota niko kijijini na marafiki zangu tulio soma nao na maranyingi tunakuwa tuko shule yaani hizi ndoto niza mara kwamara hadi najikutaga sina ile ham ya kurudi nyumbani maana nikila siku nakuwa huko 😢Mara naota niko chini ya mlima napandisha mara niko kwenye daraja jembamba na chini ni mbali sana Mara nakimbizwa au nakimbiza watu na sijuwiii nawakimbizia nini yaani kiukwelii imekuwa ni mtihani sana 😢

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 ปีที่แล้ว +1

      Kuna mtu/watu au mapepo wanakufunga usiendelee wanakurudisha ulikotoka ndio maana ya hio ndoto hata mimi naziota za kuwa shule hio ina maana unarudishwa nyuma kimaendeleo na usipoanza kusal na kufunga mapema vitatokea kwenye ulimwengu huu wa nyama maana vitu vinaanzia roho

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

      @@josephatjoseph1755 hii nikweli kuna sehemu walinirudisha nyuma kwa kasii ya ajabu sana hadi sasa nimaumivu tu jamanii natangu nipitye huo mtihani hadi leo sijaota tena ile ndoto nimebaki na Maumivu tu japo nilifidiwa laKini sikufikya yale malengo yangu😭😭😭

    • @FatemaHajl
      @FatemaHajl ปีที่แล้ว

      ​@@edithaeugeni9695wewe ni mim kabisa na maumivu makal yaan sina kitu

    • @cheddarman8436
      @cheddarman8436 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndoto tafsiri yake ni mambo yako hayaendi (haya songi mbele).

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 ปีที่แล้ว

      @@edithaeugeni9695 ndo hivo sasa jilazimishe kusali sana na mara moja moja kufunga hata msos mmoja kwa siku kwa ajili ya maombi na sio kila weekend utoke zingine baki ndansoma biblia usal. Maana ukiwa bado unaota hizo ndoto ni taarifa kuwa unapangiwa shambuliz lengine. Me yalishanikuta tena nlikuwa nabid nrud nnchi za nnje nlirud kutengeneza work permit na safar haikutokea. Kwahio jitoe sana kwenye maombi SIO RAHIS ILA JILAZIMISHE MAANA HIO NDOTO INA MAANA WANAKUSHUGHULIKIA BADO

  • @SevelinaPaul-jo1zf
    @SevelinaPaul-jo1zf ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Shetani hana shukurani

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Shetani hana shukurani

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Shetani hana shukurani

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Shetani hana shukurani