Na kwa kweli huyu ni miongoni mwa wanazuoni wachache sana nchini ambao unapo wasikiliza unapata ucha mungu na Allaah anaweza kukuongoza na ukaongoka bi idhnihii.
Vizuri sana dada Neema Nakuombea Allah akuongoze katika kutambua ukweli na haki...fanya research kwa kina ili kuelewa njia sahihi ya mwanadamu ni ipi katika kumuabudu mwenyezi mungu
Nenda haraka, biblia inasema mlikuja Kwetu lakini hamkuwa wa Kwetu maana mngekuwa wa Kwetu mgekaa nasi,mimi nakushauri ondoka haraka kwa Yesu nenda kaabudu jiwe jeusi na mtume mbumbumbu
Sheykh wangu kipenzii Na Mwalimu wangu Shaykh Rusaganya, na namba yake nmepoteza kwa bahati mbaya naomba nitumiwe namba yake. Mimi ni Mwanafunzi wake. Mussa Ally Kantumba.
Shehe ningependa kujua kama shetani naye ni mwislamu au lah kwasababu nimesoma kitabu cha asili ya majini kinasema ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa mwislamu
0:00 @@abdalahsuleiman8989sasa kwanini koran isiseme ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha jini akawa mwislamu.Na pia kwenye vitabu vilivyotangulia kama torati na injili hatuoni mahali popote pakifanyika ushirikiano Kati ya majini na wanadamu zaidi ya kwenye koran 0:00
@@abdalahsuleiman8989shetani ni umoja na mashetani ni wingi,sasa ni shetani yupi aliyemslimisha mtume bali na wale wengi waliokwenda kusikiliza Koran kwa Muhammad.
Na kwa kweli huyu ni miongoni mwa wanazuoni wachache sana nchini ambao unapo wasikiliza unapata ucha mungu na Allaah anaweza kukuongoza na ukaongoka bi idhnihii.
M.aa
Mussa nakubaliana nawe.
🕊🕊
Masha Allah
Mashaa Allah shekh hashimu lusaganya umeeleza kwauzuri kabisaaaa
Mungu akupe kheri nyingi
Masha Allah zidi kutufunza mengi shekhe wetu na MUNGU akujaalie kheri hapa duniani na kesho akhera
Poleni Ndugu wa Majini Njooni kwa Kristo Yesu Mwana wa MUNGU mpatee Uzima wa Milele
Allah ihafdhik
Mashallah Allah akuhifadhi sheikh in sha Allah
MashaAllah shkh
Musipo tubu Mungu Atawazibu nyinyi wa Islam
ALLAH Akujalie kila la kheory Sheikh wetu na akujalie maisha mazur ya japa Dunian na kesho Akhera pamoja na family yako na waisilam kwa ujumla
Majini pepo mbaya
Barakallahu fikhy sheikh wetu
Maa shaa Allah walaa kuwwata illaa billah laaliyyu l aadhiim
Mashaallah
maa sha allah tabarakallah.
Aslm alkm ww... jazakallah kheir 🙏
Nampenda uyushekh sana kwajili yallllah
Me ni mkristu ila kupitia mawaidha ya huyu shekhe navutiwa sana na uislam..mungu akutunze sana kwaajil ya kutimiza kaz yake
Vizuri sana dada Neema
Nakuombea Allah akuongoze katika kutambua ukweli na haki...fanya research kwa kina ili kuelewa njia sahihi ya mwanadamu ni ipi katika kumuabudu mwenyezi mungu
Amin allah akuwoneshw haki uwifatee. Insha allah
Usivutiwe na majini dada kaa kwa yesu
Nenda haraka, biblia inasema mlikuja Kwetu lakini hamkuwa wa Kwetu maana mngekuwa wa Kwetu mgekaa nasi,mimi nakushauri ondoka haraka kwa Yesu nenda kaabudu jiwe jeusi na mtume mbumbumbu
Inawezekana Bado ujawa Wakristo ww Yesu aliwashinda Majini
Mashaallah allah akuhifadhi na akulinde ili uzidi kutukumbusha
❤❤❤❤❤❤❤
Allah baarik
💯
Naomba namba yashekh
Sheykh wangu kipenzii Na Mwalimu wangu Shaykh Rusaganya, na namba yake nmepoteza kwa bahati mbaya naomba nitumiwe namba yake. Mimi ni Mwanafunzi wake. Mussa Ally Kantumba.
Mwanafunzi wake!! Samahani Sio Mwalimu wake, Bali mimi ni Mwanafunzi wake.
TVIMANI
TVIMANI
Soma biblia kitabu cha ufunuo sura 12:9 inaeleza vizuri bi Aisha aliwaona majini alafu wakabadilika kuwa nyoka utajua kwamba majini ni mashetani.
Eti majini
Eti majini ya mesilim
Assalam alaykum,mm nnaomba no za huyu shekhe Nina shida nnataka anipe fatua ,
Alikutana na majini namna gani alikuwa ana ushirikiano gani nao
E Wa Islam Musidanganywe
Mbone munatisha eti majini ya mesilimu
Eti majini mutowe ukafiri apo
Shehe ningependa kujua kama shetani naye ni mwislamu au lah kwasababu nimesoma kitabu cha asili ya majini kinasema ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa mwislamu
Jini ni kiuumbe sheitwan ni sifa ya waovu baina ya majini na watu mashetani hata wale wenye mabar ni mashetani kama hujui
0:00 @@abdalahsuleiman8989sasa kwanini koran isiseme ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha jini akawa mwislamu.Na pia kwenye vitabu vilivyotangulia kama torati na injili hatuoni mahali popote pakifanyika ushirikiano Kati ya majini na wanadamu zaidi ya kwenye koran 0:00
@@abdalahsuleiman8989shetani ni umoja na mashetani ni wingi,sasa ni shetani yupi aliyemslimisha mtume bali na wale wengi waliokwenda kusikiliza Koran kwa Muhammad.
Kumbe mtume mohamard alikua na ushirikiano na majini duu hii dini kweri ni ya shetani
Shida uwezo wako wa upapanuz ndo unao kusumbua mana unajua majini wote ni mashetan
Majni???
Mtume kakiri si mtume Quran yasema
Plz usiongee kit'u hujui heshima haiyuzwi
@@jaymwinyi6957 Kwan amesema uongo Kwanza majini na MUNGU vitu viwili tofauti
Mashaallah