Uharifu siyo uraia, raia hawezi chukua vifaa vya ncha kali kupambana na majeshi halafu ukasema huyo ni raia, kwanza Rutto kachelewa sana kushughuruka na wahuni hao
Tomorrow unapinduliwa na Jeshi . Umekosa utulivu ...Hekima hapo ungeshuka sasa kutumia jeshi kupambana na wananchi wako ni kukosa uzalendo na jeshi litagawanyika kesho.... Hii comment mtaniambia kesho
Umeongea kitu kikubwa sana tena sana. Hayati Raisi Dr JPM. Ni Raisi pekee Tanzania alipata kuwa Kielelezo cha uzalendo wa kweli kwa Nchi yake. Hakuwa muonga pale linapokuja Maslahi ya watanzia. Naamini maneno ya Prof LUMUMBA Kongamano la chuo kikuu UDsm alisema viongizi wa kenya ingefaa wajifunze uingozi kwa Raisi MAGUFULI. Hii inaleta tafasiri ya maono makubwa ya siasa za Afrika mashariki.
bana.. unadhani huku ni Tz kwenye mnachukuliwa na TIS kiholela 😂😂Bana , We have a working Constitution . Nyinyi endeleeni kuongozwa na Mtu lazima aketi ili akojoe .. Waoga nyinyi😂😂
kumbuka ruto jeshi linakaaga umpande wawanchi ndio mana linaitwa jeshi la wananchi kama askari wako aameshindwa kuku saidia jeshi hawanaga mambo yakijingaa tuko hapa unaondoka madarakani mzeee
Nearly all people are in street fighting for what sounds their rights, you're there still calling civilians criminals! My kenyan brothers and sisters, it's time to turn your eyes to GOD, pray as much as you can the situation not become much worse. We Tanzanians love you so much and we pray for you're always.
ila Kenya msimtukane kiongozi wenu kiivi. Najua inauma lakini muombeeni ili Mungu ageuze moyo wake afanye yale Munngu Anataka kwa nchi yetu ya jirani. Mungu ailinde Kenya jirani yetu, Mungu Amkumbuke Rais wao Ruto. Mungu Bariki E.Africa. Tunawapenda sana Kenya yetu jmni tuko pamoja nanyi..love from Tanzania
Hapo marekani kimya maana anapata ulaji kwa ruto,ila ingekua ruto ni kiongoz anaejielewa kama jpm ungeskia haki za binadam na marekani wangeingiza hadi nato kuwasaidia waandamanaji,ila kwa kua ni kibaraka wao wamekausha
Watanzani wenzangu mmeona mfano Bora kutoka Kenya 🇰🇪 ❤, sasa imebakia Kazi kwa Watanzani muandamane huu sio Muda wa kuongea na Samia imetosha sasa Nimuda wa Vitendo, Afrika kusema..... Hapana kwa Viongozi wasio fanya kazi kwa manufaa ya watu walio wachagua Tuseme Hapana
Kazi ya kuongoza nchi ni kazi ngumu kuliko kazi nyingine nyingi sana,,, Maamuzi aliyoyachukua Mr President ni sahihi sana kwaajili ya usalama wa nchi na kwa upande wangu naona kachepewa sanaa, hakuna raia anaejielewa wa nchi yoyote anaeweza protest kwa kuharibu ofisi kubwa katika nchi kama Mahakama au Bunge na zingine kama izo
sio vizur kwenye kisasa ila jaman ndugu zetu tuache masihara nyie waandamanaj mmewaza negative side za maandamano, wewe baba , ewe mama kama una familia tulia umewah kuwaza ukikutana na bahati mbaya ukapoteza maisha vip kuhusu wanao umejipangaje kuwaacha msinipopote ni mawazo yangu madogo all in all mwenyez Mungu awatangulie ipatikane amani
Jamani nakumbuka si wakenya ilikuwa huna chakuwaambia kwa raisi wao Ruto tena imekuaje? Poleni sana wakenya tunaomba amani itawale na mgogoro uishe haraka
Ruto that's good 👍 refuse a few people to destroy the infrastructure of the Nation for any reason.It is true that they have the right to demand what they want, but it should be in the right order, not to destroy people's property, keep laughing at them
Ila ninaloliona mimi huu ni uchochezi ambao Tanganyika na Zanzibar wanatakiwa waige ili Amani ipotee maana Tanganyika na Zanzibar ni nchi pekee Africa mashariki yenye Amani na utulivu ,sio wote wanafurahia hali hiyo sasa hapo ni kazi kwako Tanganyika na Zanzibar wakiiga tu wamepotea mazima
Huyu jamaa Sasa anaitoa nchi kwajeshi lakenya kutawala nchi baada ya siku 4,maana jeshi haliwezi kupiga laiya ndomaboss wajeshi, nchi imemshinda ajihuzulu tu, kuilinda amani ya jilani zetu wakenya, shida watawala hawaongozwi na hofu yamungu, juu ya madalaka Yao, mungu inusulu Kenya🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hili suara la kuwapokonya askari polisi nguvu ya matumizi ya siraha kwa waharifu hilo ndiyo lilikuwa kosa la kwanza kwa Serikali ya RUTTO. Hapo inabidi IGP wa Kenya ajiuzuru, huwezi ruhusu wahuni kuvamia bunge na uwaache tu, hiyo haiwezekani, ni lazima hatua kali zikiwepo kuwasaka na kuwapoteza na adhabu kali za fundisho zichukuliwe iliwatakao taka kufanya uhuni kama huo ambao wameufanya kwa sasa.
Mbona amekataa kusign bill.. pretending to be tough but deep down ameterema..so selfish ametuma polisi Haiti he doesn't care if they die there..MADARAKA ya kuiba hauwezi handle cz God didn't choose you.
Okay!!! I am now starting to see something is wrong with this president 😢
He is a virus to all of us East Africans, he is a puppet and snitch. He can not be trusted
Kibaraka namba moja WA NATO na USA
Lakini pia ni ufala kuwa kibaraka wa UARABU na imani za Kiarabu. So baki na ufala na yeye abaki na ukibaraka
Hii speach itazidisha hasira kwa wananchi
SASA inasaidia nini nawakati wanauwawa watakula mauti mpaka watatulia wenyewe Niko palee 👉
Hasira hasara
@@user-nb6yh2bn9ymatako yako umbia ndio kazi yenu
Ruto watch your mouth 👄
What goes around comes around
Ukome kusapport MASHOGA....... MMMMMMMXXXXXXZ
😂
Sikipendi hiki kibaba cheusi kama mkaa Pmbv zake
LOL
Hakuna Cha maana kaongea mtoeni madarakani uyo hajali maisha ya wakenya anajali pesa tu
Waambie nato wakusaidie shoga yao 😂😂😂
Who's he calling criminals? Citizens fighting for their rights are now criminals? Politicians🙌
in peaceful demonstration there are some intruders injected in ..... these are criminals
@@novatv3970if you have nothing to say shut up
Mambo ya kiraia hayapaswi kushughulikiwa na wanajeshi. Ruto anazidi kuharibu!
Atakuja kukumbuka mda hamna
Raia wanafikia kuingia Bungeni na kuharibu bado waachiwe tu kesho na kesho kutwa si watakwenda Ikulu kuvamia lazima wachapwe kidogo
Ni kweli @@rajabmsinzia1715
Uharifu siyo uraia, raia hawezi chukua vifaa vya ncha kali kupambana na majeshi halafu ukasema huyo ni raia, kwanza Rutto kachelewa sana kushughuruka na wahuni hao
Anapinduliwa na Majesh ya kesho, Bora angekaa kimya
Tatizo kamuuwa mkuu wa majeshi juzi juzi tu
@@majengaomar636hlo sio tatizo zakayo lazima ashuke
Watu wanatetea maslai yao wanaitwa wahalifu, daaah!!! Hii hataliii😂😂😂😂😂
Kazi yao ku copy & paste!
Mr. President umeamua vibaya badala ya kufanyia kazi matatizo wewe unaongeza petrol kwenye moto. Angalia sana kauli zako zitakumaliza mapema
Tunawaombea Amani majirani zetu.
Tomorrow unapinduliwa na Jeshi .
Umekosa utulivu ...Hekima hapo ungeshuka sasa kutumia jeshi kupambana na wananchi wako ni kukosa uzalendo na jeshi litagawanyika kesho....
Hii comment mtaniambia kesho
Tumia hakili Bro haujui yaliyopo nyuma ya pazia sokaa kimya
Wewe
Can imagine huyo akili zake hazipo Sawa kabisa
Huyu jamaa kichwani zipo kweli
Akuna combination mbaya kama ujinga na confidence, Mungu ibariki kenya
Uongozi sio ubabe mheshimiwa. Magufuli alikuwa mbabe lakini alitanguliza mbele maslahi ya wananchi hasa wanyonge.
Umeongea kitu kikubwa sana tena sana. Hayati Raisi Dr JPM. Ni Raisi pekee Tanzania alipata kuwa Kielelezo cha uzalendo wa kweli kwa Nchi yake. Hakuwa muonga pale linapokuja Maslahi ya watanzia. Naamini maneno ya Prof LUMUMBA Kongamano la chuo kikuu UDsm alisema viongizi wa kenya ingefaa wajifunze uingozi kwa Raisi MAGUFULI. Hii inaleta tafasiri ya maono makubwa ya siasa za Afrika mashariki.
Nakupongeza sana kwa kuwa na kumbukumbu sahihi kwa Mwamba JPM Rest in peace.
alikuwa kama mm
Pole sana ruto nilikupenda kosalako nikusapoti malekani na not
Tunawasihi wakae wajadiliane hili jambo limalizwe kidiplomasia ili kulinda maisha
Dam, ya raiya wakenya ni mhim zaidi kuliko cheo, rais achia nganzi, maisha yaendelee, mungu ibaliki Kenya🙏
If you sign up the bill it will be a road map to go home
Wanaooganaze hao wapinzani , watu wa intelligence wawafinyeeeeeee kimya kimya, usiwape Uhuru Sana , watakusumbua hao makusudi , tumia jeshi
bana.. unadhani huku ni Tz kwenye mnachukuliwa na TIS kiholela 😂😂Bana , We have a working Constitution . Nyinyi endeleeni kuongozwa na Mtu lazima aketi ili akojoe .. Waoga nyinyi😂😂
Walikupigia kura unawaita Kikundi cha waharifu?? 😂😂
Damu ya Yesu inene mema kwenye nchi yangu Kenya
kumbuka ruto jeshi linakaaga umpande wawanchi ndio mana linaitwa jeshi la wananchi kama askari wako aameshindwa kuku saidia jeshi hawanaga mambo yakijingaa tuko hapa unaondoka madarakani mzeee
Huyu aondoke kesho
Leo hata kiswahili haongei anaongea kingereza ili mabwana zake wa magharibi wamuelewe vizuri 😂😂
Nearly all people are in street fighting for what sounds their rights, you're there still calling civilians criminals! My kenyan brothers and sisters, it's time to turn your eyes to GOD, pray as much as you can the situation not become much worse. We Tanzanians love you so much and we pray for you're always.
People who voted 🗳 u call them criminals
Badala ya kukaa na wananchi wake yuko ulaya , mzee wananchi hao watakusumbua
Wacha asira bana shuka
Ruto nimemwona sasa ni kibaraka
ila Kenya msimtukane kiongozi wenu kiivi. Najua inauma lakini muombeeni ili Mungu ageuze moyo wake afanye yale Munngu Anataka kwa nchi yetu ya jirani. Mungu ailinde Kenya jirani yetu, Mungu Amkumbuke Rais wao Ruto. Mungu Bariki E.Africa. Tunawapenda sana Kenya yetu jmni tuko pamoja nanyi..love from Tanzania
Freedom has limits
Ruto ni raia wa kenya?
We jamaa utapinduliwa heshim raiya
Calling your citizens criminals
Mbona napata hasira hivi wakati mimi siyo Mkenya 😢
Lakini Sisi wote ni Bindamu
Mi ndo nimekuzidi 😢😢😢
Ni kwa sababu ktk nnchi yako pia kuna hayo yanayotokea kenya
Ni kwasasbabu sote ni ndugu. Tena udugu wa damu.
@@ibramayno8447Nikweli Bungeni mambo tunayaona yanavyopekwa. Afadhali wakenya wameonyesha kupigania maslahi yao
may GOD be with you neighbours
Naipenda kenya❤natokea Tanzania
Analeta vita😂😂 wanachi wakigomea jeshi maana yake ni uhasi
Mr president your approach is bad, kenya is bigger than this bill?....We shall not relent!✊🇰🇪🇰🇪
Ndio shida ya kuwa Kubaraka
viva Citizen wote wa Kenya,Mungu awapiganie
Shit😢😢kenyans we got no president
Tamko la mauaji.... Kesho idadi ya vifo itaongezeka kwa asilimia kubwa
Kibalaka wa marekani nyani wawazungu uyo ana bweka ujinga apo
Shukaaaaa bwanaaa hawakutakiiiiiiiii
Protecting while are dying
Kudos mr.president
Kudos?😢 how
Ruto bora ujiudhuru tu,huna busara ungekaa kimya ..
Hakuna Rais Humu.... tatizo hili
Hapo marekani kimya maana anapata ulaji kwa ruto,ila ingekua ruto ni kiongoz anaejielewa kama jpm ungeskia haki za binadam na marekani wangeingiza hadi nato kuwasaidia waandamanaji,ila kwa kua ni kibaraka wao wamekausha
Kama kawa tu!
Wakenya poleni wote ila najua memkumbua uhurukinyata sasa
Kenya kutakuwa na mapinduzi na mtashangaa kama atatumia jeshi kupiga Raia... Ruto aombe Mungu maana anaweza kuwa na mwisho mbaya
Hawakutaka Awe raisi huyu jamaa maana wanashindwa kumpa saport ni kama mangungu tu dah
Tulikupendesana lakini ulipenda tumbo kutuliko
Wewe utake usitake utatoka tu 😂😂😂
Tena atatoka Kwa herufi kubwa lazima zakayo ashuke
What a time to be a live in Kenya
Kenya just go go again to the 🛣️ mpk kieleweke
Alshabab wanataka kutumia kinachoendelea kenya ya maandamano kufanya yao plz kenya mkuwe makini mtadhan ni maandamano kumbe Alshabab
Duuu nilimkubali mwamba mwanzoni,,sijui kapotea wapi?
Madaraka yanalevya
Unasolve tatizo au unataka kuliongeza??? Kwan iyo sheria si muibadilishe tuu.
Millard ayo nitafsilie bana
LOL kweli hapo sie sio wazungu weusi bana 🤣
Who is this guy 😢😢
Watanzani wenzangu mmeona mfano
Bora kutoka Kenya 🇰🇪 ❤, sasa imebakia
Kazi kwa Watanzani muandamane huu sio
Muda wa kuongea na Samia imetosha sasa
Nimuda wa Vitendo, Afrika kusema..... Hapana kwa Viongozi wasio fanya kazi kwa manufaa ya watu walio wachagua
Tuseme Hapana
Si ungeweka link tu yavideo hii uanaandika taarifa lkn hutoi ufafanuzi
Kazi ya kuongoza nchi ni kazi ngumu kuliko kazi nyingine nyingi sana,,,
Maamuzi aliyoyachukua Mr President ni sahihi sana kwaajili ya usalama wa nchi na kwa upande wangu naona kachepewa sanaa, hakuna raia anaejielewa wa nchi yoyote anaeweza protest kwa kuharibu ofisi kubwa katika nchi kama Mahakama au Bunge na zingine kama izo
sio vizur kwenye kisasa ila jaman ndugu zetu tuache masihara nyie waandamanaj mmewaza negative side za maandamano, wewe baba , ewe mama kama una familia tulia umewah kuwaza ukikutana na bahati mbaya ukapoteza maisha vip kuhusu wanao umejipangaje kuwaacha msinipopote ni mawazo yangu madogo all in all mwenyez Mungu awatangulie ipatikane amani
Jamani nakumbuka si wakenya ilikuwa huna chakuwaambia kwa raisi wao Ruto tena imekuaje?
Poleni sana wakenya tunaomba amani itawale na mgogoro uishe haraka
❤
This is kenya sending the army to Haiti ila Ruto kwa sifa 😂😂
Wakenya mtaisoma namba
Ruto that's good 👍
refuse a few people to destroy the infrastructure of the Nation for any reason.It is true that they have the right to demand what they want, but it should be in the right order, not to destroy people's property, keep laughing at them
Ila ninaloliona mimi huu ni uchochezi ambao Tanganyika na Zanzibar wanatakiwa waige ili Amani ipotee maana Tanganyika na Zanzibar ni nchi pekee Africa mashariki yenye Amani na utulivu ,sio wote wanafurahia hali hiyo sasa hapo ni kazi kwako Tanganyika na Zanzibar wakiiga tu wamepotea mazima
Who is this guy!?😢😢
William Ruto Zuwena Zakayo
Wanataka sasa utoke kwa kiti
Kwa nini haongei Kiswahili?
Huyu jamaa Sasa anaitoa nchi kwajeshi lakenya kutawala nchi baada ya siku 4,maana jeshi haliwezi kupiga laiya ndomaboss wajeshi, nchi imemshinda ajihuzulu tu, kuilinda amani ya jilani zetu wakenya, shida watawala hawaongozwi na hofu yamungu, juu ya madalaka Yao, mungu inusulu Kenya🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ww sio raisi mkundu sana ww sijui mwasubiria nn auwawe huyu
Mbona hajavaa kaunda suti leo?
Mh Ruto wananch hawana siraha jeshi lina siraha vipi apo haki za kibinaadam umezingatia? Hivi kwel muuane kisa mswaada
Wahuni wote sukuma ndani wote
Hili suara la kuwapokonya askari polisi nguvu ya matumizi ya siraha kwa waharifu hilo ndiyo lilikuwa kosa la kwanza kwa Serikali ya RUTTO. Hapo inabidi IGP wa Kenya ajiuzuru, huwezi ruhusu wahuni kuvamia bunge na uwaache tu, hiyo haiwezekani, ni lazima hatua kali zikiwepo kuwasaka na kuwapoteza na adhabu kali za fundisho zichukuliwe iliwatakao taka kufanya uhuni kama huo ambao wameufanya kwa sasa.
Waharifu tena? 😢😢
Tanzani nakupenda kwamoyo wote ww utamaliza laiya wako ila naww ujue iposiku utatokatu boya ww
Mr president freedom of expression imezidi Kenya, tumia jeshi kuwafinya wao wanaomobilize
Atutakufa Kwa jaa zakayo
Alitombwa n wazungu nn huyu
Ukimya pia ni busara ila kwa haya yanongeza chachu ya vurugu
Unakoelekea utapindulia kijeshi ww usizani atajeshilako linakupenda
Mbn napata mori, wanajeshi kwa wananchi tu wakawaida, no criminals but he is criminal who is going against common mwananchi 😢.
Wakenya kumbe kwisha habari yao
Huyu babu kiherehere ndo kitamponza
Hivi watu wanafikaje mpaka kwenye kiti za spika ??? Ulinzi uko wap? Wamjui namna ya kufanya kweli !!! Acheni utani bana , jeshi haina bunduki au
Ukiona mlinzi snaangali tu mwizi mlindwa umeisha
ukitunia nguvu umengoka. tumia busara. kenya si kama tazamania. wakenya wamepinda.
😂😂😂😂
Watu wanaingia kibaruani
God bless ruto's government
Punguani huyu wamarekani wamemshika anasaidia Haiti, nchi yake imemshinda inawaka moto!!
you don't talk nonsense about our president talk about your prostitute samia that useless mama of yours
Ruto is no longer useful