MACHAFUKO KENYA, BUNGE LAVAMIWA, RISASI ZARINDIMA, OFISI ZACHOMWA, “RUTO AONDOKE”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 270

  • @hidayaismail-fk1js
    @hidayaismail-fk1js 3 หลายเดือนก่อน +35

    serikar zetu sijifunze kuskiliza kero za wananchi wao na wasijikute kwamba wao wanauwezo wakufanya chochote watambue wao kama viongoz wamepewa zamana na wana nchi na kuzalau kero za wananchi ni tatzo kubwa ambalo linaweza kuleta mpasuko mkubwa ambao aukutegemewa sabab maandamano si mazuri lakn serikar skivu ni nzuri ambae inajua nn kero za wananchi wao nakufanyia kazi kwa haraka sana

    • @MkungwaNgwarumbwa
      @MkungwaNgwarumbwa 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nimependa comment yako, love yuu hidaya 💞💞

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน

      Kweri mtu wamana kabisa huyu

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 3 หลายเดือนก่อน

      NI sawa waliruhusiwa kuandamana Ila maandamano yao yanaonesha NI uvunjifu wa Amani. Matusi vurugu mpaka unyang'anyi. Mbona sisi huku chadema waliomba maandamano Nchi nzima na yalikuwa ya Amani Tena Sana.

  • @SaminiJembee
    @SaminiJembee 3 หลายเดือนก่อน +14

    Watu wa kenya tupo liiiveeee na hatuogopi chochote 😂😂😂❤❤

    • @OmanSd-i8y
      @OmanSd-i8y 3 หลายเดือนก่อน

      Uogopi NA uko ndani umjifungia😂

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 หลายเดือนก่อน

      SEMA Da!! Ruto Kawabana Et Ni Kweli Mnakula Unga Wa Nyas?

  • @godrinshine3604
    @godrinshine3604 3 หลายเดือนก่อน +2

    That's why i love people of kenya

  • @rasymb6190
    @rasymb6190 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wakinya wanajua haki zao wabongo ovyoooo

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kenya muda mrefu wako na shida, na hiyo pia ni sababu ya ajira vijana wengi hawana KAZI wanamlaumu Ruto ila hii ni mabaki ya Kenyatta na kingine ukabila una wangyanyasa akichukuwa Rais wa kabila Fulani kabila hili Lina madhira acheni ubaguzi wa ukabila na si wao Kuna mkono wa alie nyuma anajificha sasa umekufa, umeumia anakusaidia nini

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@samwa9496ndio tatizo letu Kenya ukabila ndio donda sugu tukiacha ukabila Kenya NI nchi safi Sana 😢

    • @DELAVEGA-c5x
      @DELAVEGA-c5x 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@samwa9496Kuma kwel ww kwahyo nchi Yako ww Haina shida shida zimewajaa tupu sema mmegeuzwa mazombi hamjielew tu manina mtabeba mizigo kama punda Ili mabwana zenu wale vizur

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 หลายเดือนก่อน

      @@samwa9496 Point..

  • @MichaelStarlyaku
    @MichaelStarlyaku 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo must go aise ni hatari sio poa.

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya mmeweza mmeweza mmeweza tena

  • @mathahosea6783
    @mathahosea6783 3 หลายเดือนก่อน

    Daah

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania ijifunze hilo iko ck viongonzi jifunzeni kuwapa wananchi haki zao uhuru wao katiba mpya wanaotaka wananchi

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wanaojitambua

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi ya amani sana, karibuni wote

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe Wacha hizo haki Yako hautaletewa kitandani yetu tuna ipambania hivi,wewe muoga nini?

  • @omarykinyesa6405
    @omarykinyesa6405 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hapa bongo ukijichanganya hamna rangi utaacha kuona 😂😂

    • @CTM.24Updates
      @CTM.24Updates 3 หลายเดือนก่อน

      😊😅😅😅😅

    • @ibramayno8447
      @ibramayno8447 3 หลายเดือนก่อน

      Ipo siku itafika ww tulia muda ndio msema kweli

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ibramayno8447upo ndani hutaki kulima ajira mtapewa wangapi akili MGANDO kula kulala madawa na bangi zinawapa nguvu ila KAZI hataki ngumu

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      TZ 700 unakula ugari 1000 unauhakika wa kutoboa siku nzima bado kunanafac nyingi za kujiajili kwanini nikaandamane nitafute matatizo we angalia kenya yaani watu wanaaandamana wengine wanaiba na kutafuta mitaji tusishabikie sanaa maana hao wote sio watafuta haki wengine Ni wavivu na ni wezi tu na hata hawaja wahi lipa Kodi😂😂😂 walipa Kodi Ndo wanaibiwa madukani na wapo home

    • @eldios831
      @eldios831 3 หลายเดือนก่อน

      Uwoga kitu mbaya wataua watanzania millioni sitini

  • @dismasdastan5493
    @dismasdastan5493 3 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa na huku ije tu..Maana hali ya maisha ya mwanachi wa chini ni ngumu mno...(Tozo za serikali ni kubwa sana na uizi mwingi)

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂hadi wana Kula Kweli kenya njaaa nyingi 😂😂😂

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 2 หลายเดือนก่อน

      Hicho chakula tumelipia na taxes zetu, alaaar!

  • @Official_BlueLights_Music
    @Official_BlueLights_Music 3 หลายเดือนก่อน

    NA BADO

  • @willykabamba-qr9kt
    @willykabamba-qr9kt 3 หลายเดือนก่อน

    Na subutisha wana kenya kumuondosha yule RUTO . Atageuza tu namna zingine maneno yale kwa saabu ni mitindo ya FMI ya America.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    TULETEENI HABARI YA ILE NDEGE INAYOENDELEA KUUNGUWA SASA HIVI VIDUME WAMEIPIGA MOTO

  • @victorfungo
    @victorfungo 3 หลายเดือนก่อน

    mnataka idadi ya waliokufa mtawafufua au? naunga mkono wakenya....viongozi wa afrika wanafikiria sana matumbo yao kuliko wananchi wao pumbavu

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 3 หลายเดือนก่อน

    Tungekua na uraiya pacha mm ningeenda Kenya kwani naiyona south africa ile ya2

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 3 หลายเดือนก่อน

      We nae ni mpumbavu tu kwana kiandamana ndio wameanza leo njaa ya jlan yako inakuusu nn ww?? Haya matatzo hayataisha duniani nchi yoyote viongoz wanalaumiwa Abadan hayatakwisha

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 3 หลายเดือนก่อน

    Wanna wanakula chakula bungeni 😂😂😂😂

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      😂 njaa kali wala sio mashujaaa

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 หลายเดือนก่อน

    😳😳Njaa😂😂😂

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 3 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka waseme bado bongo wanatuchezea xana😪

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 3 หลายเดือนก่อน

    Nichagueni mimi ni Rais wa Africa.kiongozi asiyependa kukosolewa hafai.
    Kwanini usiwasikilize wapinzani wako? masihi ISSA bin Mariam alishasema: mpende jirani yako kama nafsi yako!! Lile usilopenda wengine wakutendee usiwatendee na wewe!!

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Utasikiliza wangapi si utakuwa kiongozi bwege

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 3 หลายเดือนก่อน

    Naona wakenya hamtaki amani haya haribuni kwenu ila huku Tz msije mbaki huko huko na maandamano yenu ya kuharibu mali za watu.

    • @Evywaff
      @Evywaff 3 หลายเดือนก่อน

      TZ kuna nini kitacho wafanya waje? Kwani TZ ni ya kwako?

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 uliza wa kongo watakwambia TZ kuna nini tunawapa muda tu mtabakizaa magofu na kupigania chakula maana unafikili ni mfanya biashara gani atafanya biashara sehemu yenye fujo?

    • @evanswafula2145
      @evanswafula2145 3 หลายเดือนก่อน

      @@BoazDilluutangojea sana..kwani Kenya tumeanza leo? Nyinyi mmefukwa kama ng’ombe..hamjui haki zenu..hamjui kujitetea..Kenya ni watu hawapendi ujinga na mchezo

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      @@evanswafula2145 Ndugu yangu usizani watu miliona 70 wote niwajinga kama.unavyofikilia maana hao wote ni makabila zaidi 120 but tukowamoja, nafikili ujinga wetu uko nafaida pia but tusubili tuone matokeo chanya na hasi juu ya hili but tukumbuke kuwa sio malayakwanza kuandana ukiona mambo yako hvyo jua kuna mahali msingi unamatobo,ndomana Tanzania licha ya kwamba mnatudhalau but uchumi haushuki unaoanda

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 2 หลายเดือนก่อน

      Back to sender, utangojea sana!😅😅😅

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shida kenya wasomali ni wengi

    • @Felix-sc8ku
      @Felix-sc8ku 3 หลายเดือนก่อน

      You're sick

    • @Chaliwachuga-ns4hh
      @Chaliwachuga-ns4hh 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe uko kenya

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ikiwa wasomali ni wengi ndiyo inahusiana nini na vurugu hizo? Usihushishe ukabila na wacha kauli za kibaguzi kama hujui wako wasomali wakenya kama ambavyo wako wakurya wakenya na wakitanzania wako wamasai pia wako wajaluo na wapo watu wa Tanga na watu wa kilimanjaro

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 3 หลายเดือนก่อน

      Washukuru wasomali ... wakenya wangekufa njaa kitambo

    • @allytv1714
      @allytv1714 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo la viongozi wa African ni wezi alf wanaangalia maslai yao binafsi unakuta Rais tangia ameingia kazi yake ni kuiba pesa na kuficha nje na kubinafsisha mali za nchi kwa wakuja kwa maslai yao binafsi hawana uzalendo kbx

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakenya mna nini nyinyi? Acheni hiyo

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 หลายเดือนก่อน

      Waache nn au nyie ndo mnanufaika na serikali watu wanaumia huku nje maisha magumu afu wananufaika wachache

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe haupo Kenya tulia

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 3 หลายเดือนก่อน

      Watu wanakodi ndege waenda talii masikini anapandishiwa kodi kilasiku maisha magumu kenya

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

    DAH NDUGU ZANGU WA KENYA HATA KAMA N KUTAFUTA HAKI SIO HIVI NYIE NAONA MNAIYAFUTA VITA SHAURI YENU

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 3 หลายเดือนก่อน

    .

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 3 หลายเดือนก่อน

    Huku Tanzania hakuna huo ujinga,, Kenya mnabembeleza watu sana, Tanzania ukiandamana utajuta kuzaliwa ,utapigwa kama mwizi

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂🎉

    • @TumaJulius
      @TumaJulius 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni nchi nyingine kabisa. Fanya utafiti Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani yenye watu wengi ugaibuni hususa ni Amerika na Ulaya.

    • @EvodiusRichard
      @EvodiusRichard 3 หลายเดือนก่อน

      SI ndo maana mtazidi kuwa maboya we ushituki chama kimoja kuongoza miaka yote tangu uhuru kama hakuna vyama vingine vile

  • @AlainShadrackUwimana
    @AlainShadrackUwimana 3 หลายเดือนก่อน +11

    wanao andika eti, wakenya hawako sahihi nyie ni maboya, wakenya wooote popote mlipo ongereni sana, mmeonyesha mfano mzuri kwa vijana wa Afrika mashariki, ni kosa kubwa sana kuona inchi yako inaharibiwa wewe unakaa kimya,

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kbs vibaraka wote waondolewe wapenda misaada hakika kenye mmeonyesha wengine watafata watu wameshachoka wao wanaendekeza matumbo t

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 3 หลายเดือนก่อน

      Wasenge ukiona wanasema hivyo

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      Matusi ya nini basi wewe mwenye akili nyanyua bango alafu sisitujifunze kwako tuache matusi kila mtu anamtazamo wake😢😢

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 3 หลายเดือนก่อน +24

    Huu nimfano mzuli sana Kwa viongozi wetu wa Africa Kwa sababu kizazi Cha Sasa na kijacho nihatali zaidi kuliko wanavyo zani viongozi wetu wa Africa wanajisahau sana wakipata madalaka from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 3 หลายเดือนก่อน +26

    Kula chakula chambunge nisaf sana, hapo nimependa

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @RashidRamadhani-b5o
      @RashidRamadhani-b5o 3 หลายเดือนก่อน +3

      Tafsiri yake ni kwamba wao wana enjoy wananchi wanateseka

    • @salomekisanga560
      @salomekisanga560 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwann wale wenyew

    • @azizambise
      @azizambise 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wako good, wameshiba kwanza then mengine yafuate

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jamaa Anakula Vidali Vya Wabunge😁😁😁

  • @allytv1714
    @allytv1714 3 หลายเดือนก่อน +34

    Uwezi kuelewa haya mambo kama ww unayaishi haya
    1. Unalelelwa unalipiwa kila kitu ww kazi yako kula na kulala
    2. kama ww unaishi kwenu unakula juu ya wazazi wako unachangi chochote
    3.kama ww unaishi kwenye nyumba za uridhi kazi yako kubwaa ni kushangilia mpira na kusubiri kodi uwezi elewa haya mambo
    3. Kama ww umeoa umepewa room na wazazi wako au unalipiwa kodi na wazazi wako uwezi kuelewa haya mambo
    4.kama ww ni chawa unakula na wanasiasa uwezi kuelewa hiyo situation cz ww kila kitu ni ndio
    5.mwisho kama ujuii kusoma at kilicho andikwa ujuii na kama ujuii kuwaza at kuandika ujuii

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 3 หลายเดือนก่อน

      I love this

    • @salomekisanga560
      @salomekisanga560 3 หลายเดือนก่อน

      Wat wa Cuba ndio wanaelew hiz mambo maisha n magumu ukiangalia waliop nyuma yako wanakutegemea n huzuni kwa kwel

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @monicacyprian9137
      @monicacyprian9137 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kama hutafutii Kwa jasho lako huwezi kujua ugumu

    • @mujahidibnimrani3058
      @mujahidibnimrani3058 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@monicacyprian9137
      Kwaio walioajiriwa wote hatuwezi kuelewa??

  • @SalimuKimaro
    @SalimuKimaro 3 หลายเดือนก่อน +11

    Kenya wamepeleka polisi Hait kutuliza fujo ,Hait itasaidia vipi wakenya?

    • @HolyGhostFireAndIce
      @HolyGhostFireAndIce 3 หลายเดือนก่อน +3

      Ulafi wa ruto

    • @alibinali_
      @alibinali_ 3 หลายเดือนก่อน +2

      Swali lako kamuulize Ruto naumbia mwengine pia ata kupa

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 2 หลายเดือนก่อน

      Sio wakenya ni zakayo sisi kama wakenya hatuna habali ulavi ndio umepelekea haya yote.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmh Mwenyezi Mungu wanusuru hawa

  • @charlesomondi4608
    @charlesomondi4608 3 หลายเดือนก่อน +25

    Sisi hatunaga mzaha...Mtuache hivi hivi

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 3 หลายเดือนก่อน +5

      Aisee wakenya sarute💪💪hamtak mzaha !! Sis watanzania waoga 2naendexhwa kama watakavyo wenyewe

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abedysteven4930 Huyo anae kwambia Hana mzaha Yuko getho anakula popcorn uku anaangalia TV wenzie wanavyo kufa pamoja nayoote naipenda Tanzania yangu nchi ya Amani

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sana aisee wakati wa tozo hapa tuliambiwa tuhamie burundi ingekuwa kenya kingewaka nakwambia

    • @Enjoy-ge5cy
      @Enjoy-ge5cy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa ma journalism wa Tanzania ni machawa ya serikali hawana lolote wakenya wenzangu😊

    • @AshaMwamba
      @AshaMwamba 3 หลายเดือนก่อน

      Hamnaga utanii kwekiii jamnannn

  • @Moonro-collection
    @Moonro-collection 3 หลายเดือนก่อน

    Hiii ni bado vita lazima vita itatokea,, UHURU GO NOTHING mbo mengi yamefichwa kwa kitambaa mbandia

  • @mzeemselem1657
    @mzeemselem1657 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya wako sawa watanzania sisi wengi ni machawa wa raisi😂😅😂tunasifia ata visivyoonekana😂alafu pia tanzania hakuna chama pinzani cha maana kwaiyo wananchi wote ni wanyonge 😂😅😂

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 หลายเดือนก่อน

    Tunawachagua lakini hawataki kusikiliza kero zetu

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanasiasa wanaharibu mambo afu yakiwashinda wanawaleta Askari kupambana na raia Yani Kwa Kiswahili kizuri inaitwa Polisi na wanasiasa Lao moja

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 3 หลายเดือนก่อน +20

    Hatutachoka💪

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 3 หลายเดือนก่อน

      Acha maneno mengi ngoja mauti ifike speed 180 ndyo Tuta jua hamchoki au laa Niko palee 👉

    • @ains1122
      @ains1122 3 หลายเดือนก่อน

      Wantuuwa kila siku but tuko nao hadi kidleweke​@@Jurbeg

    • @tatukingi2543
      @tatukingi2543 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Jurbegnani alikwambia tuna ugopa kufa

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 3 หลายเดือนก่อน +2

    This is a very good example for our African leaders, because the current and future generations are more serious than they are because our African leaders forget themselves when they get power from Tanzania 🇹

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto aundoke madarakani shetani uyo.

  • @AlainShadrackUwimana
    @AlainShadrackUwimana 3 หลายเดือนก่อน +2

    wa Tanzania nyie tayari mmeshakubali kuwa chini ya utawala wa chama kimoja, huo ni ukoloni, ndio maana taifa lenu kila kukicha vitu vinapandishwa bei pasina utetezi, ondoweni uoga piganieni uhuru wa taifa lenu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuiba mali za watu, kuchoma moto maduka ya wananchi hayo ndio maandamano?? alafu vikiumana huko mtaanza kuvuka mipaka kuja TZ, muandamane kwa amani sio kuchoma maduka na kuiba mali

    • @mwanashoogobo1785
      @mwanashoogobo1785 3 หลายเดือนก่อน

      Tuje Tanzania kufata nini😂😂😂

    • @azizimtege
      @azizimtege 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanza njia sahihi ni kumgeukia mungu na kumtaka msaada sio kuandamana kunakoendana na kuiba na kuharibu mali za raia mwenzako.

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 หลายเดือนก่อน

    Africa uongozi ni changamoto sana !! Ukitazama kero za wananchi ni nyingi zaidi kushinda maendeleo waliyonayo, tafsiri yake na matokeo yake ni kutokuelewana kati serikali na wananchi wake. Ukitazama miswada inayopitishwa na mabunge nayo haina uwiano, utakuta mzigo mkubwa wanaubeba wananchi, viongozi wanatetea zaidi maslahi yao wenyewe, na ndio maana unakuta mabadiliko yanayohitajika hayafanyiwi kazi, labda ndiyo sababu uongozi unaogopa kupoteza maslahi yao binafsi !! Afrika !! Afrika !! Afrika

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wabongo wote wanawake

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kuchoma mali za serekari sio sulusho kuzisha umasikini

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 3 หลายเดือนก่อน

    Soma Mithali 29:2
    Wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali mtu muovu atawalapo watu wanahumia
    Na
    Police pia soma
    Luke 3:14, Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe
    Tanzania kuwa Jini ya kugandmizwa,
    Kero zenu eti makonde Ndio akipata Siku moja atasikia na kuwapa jibu...ngooooo

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 3 หลายเดือนก่อน +2

    Les congolaises vous êtes là 💪🏾💪🏾💪🏾

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi wakenya mnaandama au mnaharibu na kuiba mali za watu huku Tz tukiandamana tunasindikizwa na Polisi kufikisha ujumbe wetu huko mnaharibu na kuzuia watu wasifanye kazi endeleeni muone NGUVU ya DOLA ilivyo THIS IS AFRICA mnaujua utamu wa kukaa madarakani kweli eti "ZAKAYO must go" aache kiti KIRAHISI RAHISI hivyo.

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 2 หลายเดือนก่อน

      Heri nyinyi basi. Elewa kinacho endelea before you comment!

  • @trancefarah
    @trancefarah 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nyinyi mafala tunapigania haki yetu hamna mnachojua. Aim was to invade and discipline the corrupt leaders. It's revolution if we die its fate but we must fix our country period!

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa lakin,,mvunje bungeni🤐🤐🤐

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 3 หลายเดือนก่อน

      Mukishapigana Risasi na kupoteza wapendwa wenu hiyo haki itapatikana?
      Sana sana kukaa chini meza moja kuyamaliza ila waliokufa tena ndio imetoka!

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน

      @@hatibbaraka3956 kweli kabsa

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@jeremiahcharles6027 Nahisi nyuma yao kuna na mkono wa mtu,kwa sababu hawawezi kufanya uharibifu kama huu wakaachwa tu,basi mpaka symbol ya Bunge pia wamesepa nayo ipo mitaani,chakula cha wabunge wamekula.
      Kama mimi ndie Ruto ningetembeza kipigo cha Mbwa koko hasa.
      Ofisi ya Gavana wamechoma,tokea Ruto awe Raisi wanamtengenezea mazingira ashindwe kuiongoza nchi.

    • @GwamakaMwampulule
      @GwamakaMwampulule 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@hatibbaraka3956kweli kabisa Kuna mkono wa mtu.
      Ruto chezesha kichapo cha maana watakunyea hao.

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 3 หลายเดือนก่อน

    Muendelee musichoke sababu hawa maraisi wakisha kuchaguliwa wanaona kama waliowachaguwa hawana mafaa na hawajui kama wale wanainchi kamavyo walikuweka kitini ndivyo hivyo wana uwezo wa kukutoa kwa hicho kiti.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 หลายเดือนก่อน

    Nawachukia watu wanaofanya kazi serkalini wa Africa aa kazi yao kulinda uhalifu wanawatawanya wana nchi badili ya kutawanya wabunge wanaopitisha wasiyo wataka wana nchi nawachukia siwapendi watumishishi wa serkali za Africa bas

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya wanajielwasana.Si wabongo wako kama mbuzi tuu hawana utofauti nambuzi.watu wanapigania haki za family zao zabaadae ili waje wale matunda ya nduguzao wanaojitowa muhanga.

    • @nbwchannel4997
      @nbwchannel4997 3 หลายเดือนก่อน

      sasa iyo inasaidia nini kaziyenu kuiga tu mpaka mahandamano munawaiga wa South😂😂

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 หลายเดือนก่อน

    njaa tu zina wasumbua mmekula chakula cha wabunge kingekuwa na sum je hapo vipi

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto is such a liar, he is lying to the world while is is the enemy of the people. How can citizens be criminals... Ruto and his member of parliament...they are the real criminal in Kenya. People of Kenya we are safe and we are asking for our rights.

  • @luckyhamici1987
    @luckyhamici1987 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tugekuwa twajivunia na inch yetu ya kenya sahihi angalieni sahihi watu wamepigana hakuna faida yeyote wengine wamefariki hasara kwa nani umepoteza wakati kufanya maandamano bure hasara wengine wako simtali

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa akili zako fupi we unaona hakuna faida jinga kweli hakuna haki inayopatikanaga kwa maneno matupu

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 หลายเดือนก่อน

      Faida kubwa IPO waliyokufa kwakupiga Nia haki Yao wamekufa kimwili kiroho Wana ishi na hao waliyo sababisha wengine wafe faida ya kufa milele wataipata TU kufa sote tutakufa usiogope kundenda haki. Atii kwasababu kifo na Mungu anasema ni Dhambi kuacha kudai mali Yako

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussein-gx4quwewe hujaenda unaongea kwenye simu ni upuuzi kwanini unaharibu vitu andamana kwa amani hata Mimi ningeuwa tena hao ni wachache na kubonda pumbu zako tuu nione uana ume wako na wewe bint finyanga matiti yako

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Njaa itawauwa watoto watima siku iz mnaishia kusema baba alikuwa ana pesa

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Hasa hawa yangu miaka ya 90 ukienda Kenya vijana ni machokoraa akiomba pesa mpatie vinginevyo hata mavi wanakupa hawa akili bangi linawahatibu we wote mtaajiriwa kulima hawataki chakula kitoke nchi jirani sasa Bei lazima UPANDE ye Ruto alete mkate kimyani

  • @luckyhamici1987
    @luckyhamici1987 3 หลายเดือนก่อน

    Kama inch ya inje gas ni hiyo pesa ya inje ikija kenya inamaendeleo sanaa Bahrain gas ñi 2.50 ambapo hiyo pesa ikija kenya ñi mia sita ya kenya

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naanza kuingiwa na woga hali hii ilianza hivhiv sudan, nitahuzununika mungu aepushe mbali kuingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.....

    • @OtamarPatrick
      @OtamarPatrick 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu watu wanachukulia kawaida lakini siku moja watakuja kujilaumu wakati wamechelewa Acha tyu baadh ya wa bongo wanataman itokee hii kitu jifanye mjinga siku ipite kuwa na hofu ya mungu pekee kunatosha na sio kufuata mkumbo mara nyingi wanaoharibi Aman ni wenye mari nyingi ikiwa wa Hali ya chini wanafurahia hapo mabeberu ndo furaha yao piga tasmini hyo bajet sidhan kama sisi watu hal ya chini tunafaifaida nayo kubwa tunajidai tunapigania haki kumbe tunaharbu Aman

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Ukabila umewazidi Kenya jirekebisheni

    • @JustoOluoch
      @JustoOluoch 3 หลายเดือนก่อน

      @@samwa9496 huelewi kinachoendelea Kenya

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@samwa9496Wacha ni kujuze msee hapa hakuna ukabila ni raia na kundai haki ukiongelea ukabila kwa maandamano utakipata.

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 3 หลายเดือนก่อน

    Angaa viongozi wamejua sasa wakiziendeleza purukushani zao, watakuja kukiona cha mtemba mbao.

  • @sheddythemix321
    @sheddythemix321 3 หลายเดือนก่อน

    Watu Wanauwana Raisi yuko anacheza Game na Mama watoto wake duh binadamu bhana

  • @luckyhamici1987
    @luckyhamici1987 3 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu wakenya tunataka maendeleo kwetu wa kenya tujipende wenywe jamani tusiagalie nyuma tusoge mbele

  • @HansChuma
    @HansChuma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bado bongo cz bongo kuna wabunge vilaza xana

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 หลายเดือนก่อน

    Wanainchi wakichoka na uongozi WA kishenzi razima iwe hvi

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน

    Hiiii ni mbaya sana ,,,,,ni kweli hatukatai kuandamana ,lakn hii imezidi,,,huu,,,

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 3 หลายเดือนก่อน +1

    Les congolaises vous êtes là 💪🏾💪🏾💪🏾

  • @RASHIDMOHAMMEDI
    @RASHIDMOHAMMEDI 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ukiangalia kwa upande wa kawaida unaweza ukahisi ni sahihi lakini siamini kama ni sahihi ni rahisi sanaa kuiondoa amani lakini ni ngumu sanaa kuileta amini wachunge sanaa isije ikatokea vita watajuta sanaa

    • @geraldguda
      @geraldguda 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wenzako wanapigania haki yako, ndo maana wakenya wapo vizuri sio kama tz, Watz sisi waoga sana kupigania haki yetu

    • @yusufujemson9020
      @yusufujemson9020 3 หลายเดือนก่อน +2

      We sema amani huku unakandamizwa na ccm ukiona ni amani daaaaaah bongo usenge mwingi

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 3 หลายเดือนก่อน

      Vita inaletwa na viongozi wasio na huruma kwa wananchi wao

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 3 หลายเดือนก่อน

      Ww rashidi kula ukojoe ukalale mama yenu anawakopea hela now tilion 90 sawa

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@geraldgudaHakim IPO ya kuharibu mali ua Umma upuuzi hizo bangi, jiulize vyama vingi alikuwa nani kama si walala hoi wahusika hupewa chai ya MAZIWA, sasa ivi Iko wapi watu wanatetea matumbo yao mzungu anapenda mjikoroge ili aje kutawala maana wote mshakuwa mazwazwa

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo 3 หลายเดือนก่อน

    Kataka kuwafanya wakenya wakimbizi waukrain sasa yeye atageuzwa zelensky na marekani na wakoloni.
    Hongera wakenya.
    Nyinyi ni wazalendo

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 3 หลายเดือนก่อน

    Ur neighbors we come through same demonstration 😢😂😂ishaalah from some where kwa air hostess 😅😅

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 3 หลายเดือนก่อน

    Safi nyakati zime change serikali ziache upuuzi wananchi saivi wanaakili

  • @mwanashoogobo1785
    @mwanashoogobo1785 3 หลายเดือนก่อน

    Very ironical taking solders to haiti while your country is suffering.

  • @alfaniomary2506
    @alfaniomary2506 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna watu wa puuz kama askari wanatumika kama kubwa kwenda anaenda na sio kutumia akil yake hata kidogo anabenewa akil na watu wengine😊

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Unataka afe kwani hiyo si ndio ajira yake ulete jiwe nikuangalie kufa wewe kwanza nitajibu bde

  • @laxavwap9119
    @laxavwap9119 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kifo cha vijana waliopigwa marisasi wakafa

  • @ezekielwema3829
    @ezekielwema3829 3 หลายเดือนก่อน

    Polisi wa kenya wamekuwa wapole sana , magari ya washawasha na askari yanatakiwa yawe mengi , na mtu akitangaza maandamano kwanini mnamwacha kamata raila na wenzake wote weka ndan

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 3 หลายเดือนก่อน

      Sio rahisi kama unavyofikiria

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 3 หลายเดือนก่อน

    Jana wamewaluusu wenyewe awandamane apo kuna wezi vbaka mjinga

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaniii Sasa kwanini raisi asiwatetei wananchi wakeee jamanii

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wabunge wamekimbilia kwenye mahandaki 😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi Tanzania viongozi wetu walivyo nazarau paka inafikia kiongozi anasema kama Tanzania unaona tozo zimezidi hama Tanzania 😂😂😂😂kisa hatuna elim😂😂 kweli tz kiboko wananchi wakenya respect sanaaa nawakubali

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda nawewe ukakae kenya kama unaona mambo ayo mazur wale ukila unawasumbua walisha wai kusema wageni wote wafukuzwe nchni mwao

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlWewe ni kumamako msenge mmoja unaefirwa na wasenge wenzio ,uliezaliwa na baba shoga na mama kahaba,hanisi mmoja wewe

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน

      @@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl kisa ww unakula hera za wananchi sio lakini mwisho utakuja kufika

  • @ains1122
    @ains1122 3 หลายเดือนก่อน

    Millard hizo sio bender za nchi ni za majimbo

  • @tatusalehe8775
    @tatusalehe8775 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani hii ni Hali mbaya Sana viongozi mjifunze Tanzania

  • @Kabazmboy2000
    @Kabazmboy2000 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wamekufa san mim mwenyewe nipo kenya kaka

  • @mkorinthomgalilaya6700
    @mkorinthomgalilaya6700 3 หลายเดือนก่อน +1

    Za kenya mnapost za Tanzania aaaah

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini marais wanatabu lakini jamani

  • @MussaJabiri-l5y
    @MussaJabiri-l5y 3 หลายเดือนก่อน

    Ongeren wa keny ss tz uog mwing

  • @NuruJara
    @NuruJara 3 หลายเดือนก่อน

    Huku pwani kwenye nko mombasa watu wamefariki wengi leo juu ya maandamano mungu tulindie inchi yetu Kenya 🙏🙏🙏😭😭🙏🙏

    • @JohnathanMottoka
      @JohnathanMottoka 3 หลายเดือนก่อน

      Hiii ndio Afrika tatzo viongozi wetu hawaridhiki wakuwa na hofu ya mungu mungu wanusuru kenya

    • @OtamarPatrick
      @OtamarPatrick 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@JohnathanMottokanakukata kauli ndugu tatizo Sisi waafrika tunajuwaga maendeleo yanapatkana kirahisi na huwa ni rahisi kudanganywa si ajabu hapo ni kwa shinikizo la mabeberu msifanye hvo kataeni wenyewe kimya na vitambi vyao ndan Sisi tunapigizwa na mabom ya machoz mabarabaran tunaumia wengne hata kuharibu mwelekeo wa maishan Yao familia had kuteketea ww ukitaka kujuwa kuwa mwafrika anapendwa kudanganywa Zaid tasmini ya kulipa kod ni hak yake lakini atakupa had risit fek ili apate yeye faida nying lafu hapo hapo anataka Barbara nzur mtoto wake asome sehemu nzur hospital nzur na hajui yooote yanajengwa na yeye kwa kushilikiana

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Mtaa waalika na Alshabab kwa upuuzi wenu

    • @NuruJara
      @NuruJara 3 หลายเดือนก่อน

      @@samwa9496 wasema

  • @EmanuelElphas
    @EmanuelElphas 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haki huinua taifa

  • @stephenziro8530
    @stephenziro8530 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kama nchi salama naeza kimbilia saa hii ni Tanzania, you guys live land of peace land of humanity, truthful and sincerely we admire your political leaders, makonda, 😢😢😢😢😢 keep on loving equality

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Hata Tanzania kumeoza sema watanzania hawawezi kuandamana kwa sababu ni waoga

    • @ashykilz9853
      @ashykilz9853 3 หลายเดือนก่อน

      Uoga mwingi mnoo Tz🇹🇿 😂😂😂 viva Kenya 🇰🇪

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@rumdeesonsoa1811 uoga wetu ni matunda ya mafanikio baadae vipi unataka na ww ukabomoe bunge ule chakula? Uchome gari za police,ukawasukume police vifua kama yulw binti wa kikenya thwn utapata nini? Misingi ikiharibika huwezi boresha nyumba juu,kama kunamahali tuliteleza labda huko nyuma basi alzima palekebishwe na sio rahisi kama unavyo zani ukitaka uone hilo uwe na wewe rahisi uongoze watu miliona 70 went Dini,kabila,na mitazamo tofauti tusidharau amani tulio nayo tuache ushabiki na ushujaa wa TH-cam😢😢😢

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 3 หลายเดือนก่อน

    Msela kisanueni Hadi ikulu,,,fire burn

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 3 หลายเดือนก่อน

    Uholanzi nao wametuchania mikeka😢😢😢

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 หลายเดือนก่อน

    Wanawamwagilia waandamanaji kama bustan

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania adi ichanwe bibilia au msaafu ndio tunaandamana

  • @IddyAmir-gq1jr
    @IddyAmir-gq1jr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe njaa

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto must goo

  • @hameezhami7795
    @hameezhami7795 3 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa tz yungekuwa tunahesabiwa vifo tuu

    • @c-4839
      @c-4839 2 หลายเดือนก่อน

      Hio ni pi 22/7 hata Kenya sahivi wapo watu wamekufa, lakini ndio gharama ya mabadiliko utakayoyataka chanya kwenye mfumo. Hakuna kitu cha bure duniani.

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@c-4839good fikla kumbwa

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 3 หลายเดือนก่อน

    ZAKAYO I HATE YOU BUOK...😢😢

  • @stanleyamlima2085
    @stanleyamlima2085 3 หลายเดือนก่อน

    Nilisema wakenya wamepoteza hekima kidogo daaa ...

    • @BinRabbah-t5g
      @BinRabbah-t5g 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shida ni serikali haitaki kusikiliza wananchi,wanafanya chenye wanataka na sisi pia tunafanya chenye tunaweza,Kila mtu acheze part yake

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 3 หลายเดือนก่อน

      Hilo bunge lilitakiwa liachane na huo mswaada

    • @_bonfaceadera
      @_bonfaceadera 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe si mkenya unajua nini kuhusu nchi yetu!Ghasia!!

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya nchi yangu 😅😅😅😅

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi Muogopeni Mungu..