Wakaazi wa eneo la Moyale walalamikia biashara haramu ya dhahabu inayoelekezwa taifa la Ethiopia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Wakaazi wa eneo la Moyale wamelalamikia biashara haramu ya dhahabu inayotolewa eneo hilo ikielekezwa taifa la Ethiopia. Sasa wakaazi hawa wanataka serikali kufanya msako na kukomesha Biashara hiyo. Wakaazi hao pia wamelalamikia usalama wao pamoja na kukodolewa macho na magonjwa mbalimbali eneo hilo.

ความคิดเห็น • 3