Zaidi ta watu watano wamefariki kufuatia mzozo wa migodi Moyale

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2024
  • Zaidi ta watu watano wamethibitishwa kufariki katika eneo la illo kaunti ya Marsabit kufuatia mzozo wa maeneo ya kuchimba migodi. Taharuki imeendelea kutanda huku wakazi wakihama maeneo hayo kwa kuhofia usalama wao. Migodi ya illo katika eneo la dabel imevutia zaidi ya watu 30,000 wa kutoka maeneo mbalimbali yakiwemo meru, migori na hata nchi jirani ya Ethiopia, wakipiga kambi kutafuta riziki.

ความคิดเห็น • 5

  • @patriot_2022
    @patriot_2022 2 หลายเดือนก่อน

    This is exactly how DRC is in conflict. No government, just chaos of people trying to find minerals and clashing with each other

  • @rockstarlifestyle9980
    @rockstarlifestyle9980 3 หลายเดือนก่อน

    I think there is gold... It's just that the area hasn't been mined for long enough... In western Kenya if you can remember they started mining way before Kakamega existed as a town and that's what built the town... Even the British didn't help... So it will take time
    So they should just work together and they'll end up finding a huge mountain of gold faster to lead to the big vein...

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana mm usikia uchungu sana kuvaa thahabu

  • @raphaeljulo3826
    @raphaeljulo3826 3 หลายเดือนก่อน

    Lack of employment. Shame on the government

  • @isaacmuiruri6334
    @isaacmuiruri6334 3 หลายเดือนก่อน

    I was to listen then nikasikia "atírìrì"