Nabarikiwa sana kwa masomo mazuri unayotoa pastor. ombi langu wanaorusha haya masomo watoe matangazo yanayoingilia katikati ya somo kama kuna uwezekano maana yamezidi sana. Asante
MTU Wa Mungu habari za Leo Mimi hapa nashukuru mahubiri YA kila wakati Napo fuatilia kutoka Kenya Nina ombi moja tu afya kwa familia yetu Ina Hadi watoto wetu wamefikiwa tuombee tu
Nabarikiwa sana kwa masomo mazuri unayotoa pastor. ombi langu wanaorusha haya masomo watoe matangazo yanayoingilia katikati ya somo kama kuna uwezekano maana yamezidi sana. Asante
Tunashukuru sana kwa somo nzuri. Tunabarikiwa sana kutoka DRCongo, Goma town ijapokuwa vita tunaimani kwa Mungu
Fact!
Tunashukuru sana kwa somo.songa mbele mtumishi wa Bwana
Amina
Barikiwa
MTU Wa Mungu habari za Leo
Mimi hapa nashukuru mahubiri YA kila wakati Napo fuatilia kutoka Kenya
Nina ombi moja tu afya kwa familia yetu Ina Hadi watoto wetu wamefikiwa tuombee tu
Nabarikiwa sana kutoka Burundi
Barikiwa na share ujumbe huu kwa wengine
Pasta barikiwa
Mchungaji ubarikiwe
Hekima hii❤❤
Barikiwa sana
Somo ili lime nibariki sana
Barikiwa sana