NAFSI, MWILI NA ROHO - Mwl. Mgisa Mtebe -

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • BWANA Yesu anakuja kuchukua Kanisa tukufu, Takatifu, lisilo na ila wala makunyanzi, Kanisa bila lawama (Efe 5:25-27, 1Thes 5:23). Yatupasa kujitakasa kabisa, Roho, Nafsi na Mwili. Lakini mchakato huu wa Utakaso, hauwezi kuwa mkamilifu, bila mhusika kujijua namna alivyoumbwa, yaani kuzifahamu vizuri sehemu Kuu za Mwanadamu, zinazohitaji Utakaso Kamili, yaani Mwili, Nafsi na Roho. Katika SOmo hili, tulijifunza kwanza Kujitambua, ndipo tukajifunza Namna ya Kufanya Utakaso Kamili, ili ajapo Mwana wa Adam, Yesu Kristo, atukute tupo tayari na tupo safi. Unaweza kujipatia DVD na CD za somo hili, kwa Mawasiliano haya; +255753497655. Mungu akubariki. Tafadhali washirikishe na wenzako wengine wengi.

ความคิดเห็น • 43

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 ปีที่แล้ว

    Asante mwalimu umenifunza kitu kuhusu roho nafsi na mwili

  • @christianngowi
    @christianngowi ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumish wa mungu

  • @liomgaya2852
    @liomgaya2852 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @simonkiguge9962
    @simonkiguge9962 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza Mwl
    Umetufundisha kua mtu niyule yuko ndani nasi mwili kama tudhaniavyo
    Je! Nikwanini Yesu alisema mtu hatoishi kwa mkate pekeake bali kwakila neno litokalo kwa Mungu
    Umesema ninapokula si mimi bali mwili na ukasema mtu hali ugali bali mwili

  • @stephenkiai1838
    @stephenkiai1838 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa tafsiri hii

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 11 หลายเดือนก่อน

    nimekuelewa vzr sana mwalimu mgisa

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว +1

    🙌 hallelujah 🙌 Amen asante yesu kwa ajli ya mtumishi wako nakuomba uzidi kumtumia kama chombo

  • @Muka_26
    @Muka_26 ปีที่แล้ว +1

    Roho yangu anaye Sema yangu kwenye hii roho yangu nani anasema yangu

  • @alexnadome7253
    @alexnadome7253 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana

  • @TukuzoSebastian
    @TukuzoSebastian ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sanaa

  • @ramxonabeid5639
    @ramxonabeid5639 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki san baba azidi kukupa uzim tuzidi kubarikiw n mafundisho yako

  • @elishadeulitv2711
    @elishadeulitv2711 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen..

  • @rodinemahega9925
    @rodinemahega9925 3 ปีที่แล้ว +2

    We ni mwalimu mzuri Sana

  • @davidnkanda5227
    @davidnkanda5227 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu akuinue zaidi ya viwango uvifikiriavyo kwa hali ya kibinadamu

  • @bethasanga4288
    @bethasanga4288 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @enelisekasonso1738
    @enelisekasonso1738 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa masomo mwalimu mgisa tunaomba somo zima la siku

  • @owenmaengo8360
    @owenmaengo8360 2 ปีที่แล้ว +1

    For real Baba umebarkiwa na kupendelewa sanaaa nataman Sana’a kukutana na wew

  • @darajani1905
    @darajani1905 3 ปีที่แล้ว +2

    najifunza neno ndani ya 2021

  • @patrickmusyoka3544
    @patrickmusyoka3544 5 ปีที่แล้ว +2

    thanks kwa ilo neno

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi!
    Tunaomba kupata full package! Kwa uelewa zaidi!
    Asante, barikiwa

  • @ivanmatalu4028
    @ivanmatalu4028 6 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa Neno Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 3 ปีที่แล้ว +1

    Genures huyuu pr Mungu akubarik

  • @rogersgeorge2920
    @rogersgeorge2920 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuinue sana, Amen.

  • @kajunagify
    @kajunagify ปีที่แล้ว +1

    This is fantastic. Umebarikiwa mtumishi.

  • @angumbwikemwalupogo8500
    @angumbwikemwalupogo8500 6 ปีที่แล้ว +2

    Dady kwanini usiweke mafundisho session nzima in full. So blessing

  • @abermnyama6683
    @abermnyama6683 3 ปีที่แล้ว +1

    Bigup xanaaaa nimekuelewa

  • @ellyminja5707
    @ellyminja5707 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi na uhitaji wa ili neno lote

  • @luccabosslugendo9722
    @luccabosslugendo9722 6 ปีที่แล้ว +3

    asante kwa video hii nilimiss masomo yko mwalimu endelea kutuma masomo yko youtube yanatubariki tulio mbali naww kimwili

  • @aberlusana1803
    @aberlusana1803 3 ปีที่แล้ว

    Yaan wew mtumishi huwa nabarikiwa Sana

  • @deusbngika5838
    @deusbngika5838 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakpnda sanaaa

  • @colex115
    @colex115 6 ปีที่แล้ว +3

    Tumekumisi mchungaji, tunaomba semina nyingine Azania Front Cathedral.

  • @veronicamshota1546
    @veronicamshota1546 6 ปีที่แล้ว +6

    Nabarikiwa sana na mafundisho haya,
    Please kwa wale mnaohitaji kujitambua wewe ni nani tafadhali usiache kununua CD/DVD hii,maana naamini imebeba majibu ya kila mtu
    "Mungu ametenda kwangu ni zamu yako sasa Don't ever miss'' this

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว +1

    GOD Bless you

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of God

  • @nelsonlazaro8329
    @nelsonlazaro8329 6 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe

  • @LightnessTimotheo
    @LightnessTimotheo 14 วันที่ผ่านมา

    Thanx alot

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 5 ปีที่แล้ว

    Praise the Lord! we are blessed to have a great preacher like you!😀😁🤗

  • @alexanderobaye7576
    @alexanderobaye7576 4 ปีที่แล้ว +2

    Hi, mwalimu napenda masomo yako sana ila mafupi mno. Angalau tu dakika 30 ili yanijenge vyema

  • @isihakajongo4832
    @isihakajongo4832 3 หลายเดือนก่อน

    MTU NI NAFSI, ROHO NI ASILI AU KANI (NGUVU) YA UHAI, BIBLIA IMEELEWEKA VIBAYA

  • @tinajoseph8619
    @tinajoseph8619 5 ปีที่แล้ว +3

    umefundisha vitu vizito sana tumekuelewa