Mgisa Mtebe - NYAMAZISHA NAFSI YAKO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni
    mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe
    wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya
    kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing)
    Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka
    Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.
    Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika
    Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya
    Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa
    Baraka nyingi kwa watu wengi.
    Mobile : +255 753 497 655
    Website: www.mgisamtebe....
    facebook : / mgisa-mtebe
    Instagram : www.instagram.com

ความคิดเห็น •

  • @glorytogod-lb5yd
    @glorytogod-lb5yd ปีที่แล้ว

    Watumishi hawa ndio hazina ya Bwana.Glory to God Almighty.

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 8 หลายเดือนก่อน

    Hii clip ina ujumbe mzito sana, nairudia kil mda nikiongozwa hapa.

  • @goodluckmdalingwa4565
    @goodluckmdalingwa4565 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho mwalimu ni mazuri mno .

  • @wilfredlaizer2965
    @wilfredlaizer2965 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you mwalimu kwa somo zuri🌺💞👏

  • @lizvalence9590
    @lizvalence9590 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki,tunamshukuru na Kumtukuza kwa ajiri yako,umefanyika baraka kwa wengi. Tunaomba mafundisho zaidi,maana nimeangalia mpaka inanibidi nirudie kila mafundisho yako,kila siku lazima niingie kuangalia kama umeweka fundisho jingine,tuna kiu na mafundisho ya kweli. Asifiwe Yesu

  • @VeroWin
    @VeroWin 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @magesomi6142
    @magesomi6142 5 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akuinuie na kukuongezea maisha marefu zaidi mwalimu

  • @Gracesiyon1234
    @Gracesiyon1234 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe.

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu umenibariki na kunipa matumaini tena

  • @zeituntwevetweve1239
    @zeituntwevetweve1239 4 ปีที่แล้ว

    Hakika nimelipenda sana neno lako BABA ubalikiwe

  • @abitykaria5655
    @abitykaria5655 3 ปีที่แล้ว

    Akika nabarikiwa na mafundisho yako mungu akubariki

  • @japhetmasanja4151
    @japhetmasanja4151 ปีที่แล้ว

    Asant mwl kwa neno

  • @richnova2331
    @richnova2331 3 ปีที่แล้ว

    Hongeraa Mwl Mungu akubariki xn

  • @esiveanderson7227
    @esiveanderson7227 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutumia zaid ili tupone kiroho.

  • @christianmuro8815
    @christianmuro8815 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho Mungu akuzidishie baraka tele

  • @kajenjesarah
    @kajenjesarah 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @sireddy2012
    @sireddy2012 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @noahurio6446
    @noahurio6446 5 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru

  • @chobalikosimon6459
    @chobalikosimon6459 5 ปีที่แล้ว

    nabalikiwa sana mwalimu mgisa mtebe

  • @methodugwede4071
    @methodugwede4071 5 ปีที่แล้ว

    Mwalimu wetu Mungu akubariki sana kwakua wewe chombo kupitia injili. Amina

  • @ezequielmasesajr.3845
    @ezequielmasesajr.3845 5 ปีที่แล้ว +3

    Very powerful

  • @mabulakakilla2697
    @mabulakakilla2697 4 ปีที่แล้ว

    Salute Mwalimu

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 5 ปีที่แล้ว +7

    you are one of the preacher ,preach until the Lord Jesus Christ came back!😀😁😂

    • @alimambabazi3666
      @alimambabazi3666 5 ปีที่แล้ว

      preacher may Almighty God bless you and your family and your ministry, continue to preach the truth Amen and Amen😁

  • @hellenalbart9230
    @hellenalbart9230 5 ปีที่แล้ว

    Amen..ubarikiwe sana kwa neno zuri la baraka

  • @shimimamaimu1974
    @shimimamaimu1974 5 ปีที่แล้ว

    Ni Mungu mwenyewe anisaidie niweze kusamehe..

  • @rehemajacob2706
    @rehemajacob2706 5 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mwalimu kwa somo nzur sanaa

  • @judithruta3688
    @judithruta3688 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mwalimu wetu.

  • @kinabonavo9195
    @kinabonavo9195 5 ปีที่แล้ว

    nimebarikiwa sana baba na mafundisho yako

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Dodoma unakuja lini?

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani nashangaa mbona nilichelewanga kufuatilia channel hii..duh...

    • @lovenamice6036
      @lovenamice6036 5 ปีที่แล้ว

      Mwalim kanisa lipo wapi?

    • @lovenamice6036
      @lovenamice6036 5 ปีที่แล้ว

      Nataka kuja kusari milele umli wangu bado mdogo mwalim nataka niikwepe dunia

    • @gadimbajo
      @gadimbajo 2 ปีที่แล้ว

      @@lovenamice6036 ubarikiwe kwa huo moyo wako, Mungu akufanikishe

  • @edinakiluka9157
    @edinakiluka9157 5 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @barakaisaya6630
    @barakaisaya6630 5 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏Amena

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 ปีที่แล้ว

    Thanks you