Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kukuinuwa na kukutunza pia ili jamii ya ya kristo izidi kuimarika, kukua kiroho na kuongezeka kwa maarifa ya Mungu.
Mungu akubariki mtumishi wamungu , jana nmeskiliza mafundisho yako, nami nikawa natamani kujazazwa roho mtakatifu ninene kwa lugha , nikajikuta ghafula Leo asubuh wakati na sikiliza tena mafundisho nmekaa kwenye sofa nikaanza kunena kwalugha bilahata kujielewa , mungu akubariki sana
Yaani walimu wakiroho wakusaidie tena kushape lugha uliyopewa yaani waiimarishe!??biblia inasema ikitokea kunena kwa lugha pawe na mfasiri lakini kama wewe ni mgogo ukinena nena kigogo itakujenga wewe mwenyewe maana umeomba mambo yako ya siri na Mungu wako 1 Kor 14:11 "Basi nisipoijua maana ya ile sauti nitakuwa kama mjinga kwake yeye anenaye; naye anenaye atakuwa mjinga kwangu" 1 Kor 14:22 "Basi, hizi lugha ni ishara, si kwao waaminio, bali kwao wasioamini lakini kuhutubu si kwa ajili yao wasioamini, bali kwa ajili yao waaminio" Yaani Paul anaongea hajui kama mtakuja kutafsiri mnavyopenda ninyi muelewe, sasa rejea kwenye chimbuko la kunena kwa lugha watu walinena na kila mtu alisikia kwa lugha yake mwenyewe si hivyo mnavyojua ninyi mtu anaongea lugha isiyojulikana LENGO LA KUNENA KWA LUGHA ILIKUWA NI UZINDUZI WA KUPELEKA NENO(INJILI)KWA MATAIFA YOTE ILI NAO WASIKIE ILA HAWAKUWA NA UWEZO KWA SABABU HAWAKUJUA LUGHA ZINGINE NDIO ROHO ANAWAJIA NA KUONGEA NA KILA MTU ALISIKIA NENO KWA LUGHA YAKE MWENYEWE Rejea MATENDO YA MITUME 2 : 7 Wakastaajabu sana, wakasema, “Hawa wote wanaozungumza ni Wagalilaya. 8 Imekuwaje basi tunawasikia wakinena lugha ya kila mmoja wetu? 9 Hapa kuna Waparthi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Yudea Kapadokia, Ponto na Asia, 10 Frigia, Pom filia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene; na wageni kutoka Rumi, Wayahudi na watu walioingia dini ya Kiyahudi. 11 Watu wen gine wametoka Krete na Uarabuni. Sisi sote tunasikia watu hawa wakisema katika lugha zetu wenyewe mambo makuu ya ajabu aliyofa nya Mungu.”(UNAWEZA KUANZIA FUNGU LA KWANZA) NA KWENYE WAKORITHO PIA ....Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.” 1 Kor. 14:27
Mwalimu M M, nimeipenda hiyo Aina ya Kunena kwa lugha iitwayo Glossolia....yaani Lugha ya Kimaombi....Naiita pia 'Prayer Language'....ambayo ni vema na muhimu kwa kila aliyeokoka na kubatizwa kwa Roho Mtakatifu, ainene KILA siku ktk faragha yake ya maombi....Atajengeka kila leo....Hallelujah...Zidi kutufundisha Mwalimu Wetu...
Inapokuja kwenye swala la kumjibu mwl unahitaji utafiti zaidi ya kile ulichokuwa unakijua vinginevyo unaweza tu toa changamoto kwa sababu mwl kaongea tofauti na unachojua na hapo ni uharibifu.
@@isayakigava9283 J K anahitajika msaada mkubwa wa kuhabarishwa kuhusu lugha.... Mwl Mgisa yuko vizuri weweeeee!!! Wako na walimu wengine wengi tuuu wa "dizaini hii".... Mfano Kenneth E. Hagin (10 Reasons Why we should Speak in Tongues)...Be Blessed...
Mwalimu asante kazi safi ...we bless Jesus for the now word that comes alive through your mouth....most messages are very short can we get the full range videos of teaching...asante Mwalimu
KWA MUDA MREFU SANA NAENDA KANISANI HII KITU NILIKUWA SIJAIELEWA VYEMA KABISA ILA HAPA NIMEPATA MWANGA, UBARIKIWE SANA MWALIMU UMENIPA FUNZO KUBWA SANA KWENYE SOMO HILI.
Kila jambo jema na baya lipo pembeni. Karama ya kunena kwa lugha ni ahadi isipokuwa shetani naye anawatumishi wake nao wanaombea ujazo wa roho wachafu. Tunatakiwa kuombewa ujazo wa roho mtakatifu toka madhabahu halisi na mtumishi halisi wa Mungu. Ukweli kunena kwa lugha humjenga mkristo binafsi.
@estherkoyo- nikupe pole mwana wa Mungu kukatishwa tamaa kunena kwa lugha. Ni adui aliefanya hivyo maana alijua ukinena umemmaliza. Usingoje mpaka ufike mbinguni.
Kaka rudi darasani ukaisome vizuri lugha ya kiyunani kuwa inasema nini juu ya kunena kwa lugha naomba namba yako uniandikie ili tufundishane juu ya hili swala ambalo shetani amelifanya kuwa mtego mkubwa Nakuomba tuingie darasani kidogo mimi na wewe ili tuone chimbuko la lugha ya injili ambayo ni kiyunani maana kiswahili kimechukua kutoka kwanye English nayo English imechukua kwa kiyunani sasa twende kwenye lugha mama naomba namba tafadhali.
Asante Yesu Kristo kwa mafundisho haya. Mungu Baba akubariki Mwl. Mgisa Mtebe kwa huduma na wote unaotenda kazi nao. Amina.
Asante Roho mtakatifu kwa ufunuo kwa mtumishi wako
Asante Yesu kristo unapo pita kujaza wengine na Mimi usini pite baba
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kukuinuwa na kukutunza pia ili jamii ya ya kristo izidi kuimarika, kukua kiroho na kuongezeka kwa maarifa ya Mungu.
Mungu akubariki mtumishi wamungu , jana nmeskiliza mafundisho yako, nami nikawa natamani kujazazwa roho mtakatifu ninene kwa lugha , nikajikuta ghafula Leo asubuh wakati na sikiliza tena mafundisho nmekaa kwenye sofa nikaanza kunena kwalugha bilahata kujielewa , mungu akubariki sana
Asante Roho Mtakatifu kumjaa Mwanahamisigomo
Amen hii ndo nataka ni elewe vizuri karama za Rohon naomba hili somo mtumishi 🙏🙏
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa mafundisho mazuri
ubarikiwe mtumishi ujumbe nimeupata
Ubalikiwe sana mtumishi Mungu azidi kukuinua nimebalikiwa kwa mafundisho
Ubarikiwe mtumish wa Mungu mtakatifu
Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa mafunzo sifa nautukufu zimulindie MUNGU kwa hinyo upako ametia ndani yako
I put
Mtumishi ubarikiwe kwa ujumbe mzuri sana
Amina, Kwa kweli mwalimu unatufundisha vitu muhimu maishani mwetu hili tuishi maisha ya Ushindi hapa duniani.
Thank you bro.Mungu aendelee kukutumia tutiwe Maarifa
Mimi natamani sana kujazwa na sijui nitapokea lini mutumishi wa mungu ,natamani sana kunena niombee nijazwa roho mitskatifu
Nimebarikiwa, sana, nahitaji, ushauri, kutoka, kwako, Nina karama ya kuona maono, na kutafsiri ndoto, nifanyaje, ili, uduma yangu, iwe, wazi?
Bwana Yesu akubariki Sana
this is such a blessing.ahsante Mwalimu..nimejifunza kutu.utukufu kwa Mungu!
Mungu akuinue sana Mwalim ❤
Ameen, hongera mtumishi kwa kuongeza muda wa haya mafundisho
Amen Mwl...naekewa hii chakula.
Thanks mtumishi
Amina mwalim
Amen Mwalimu
Asante mtumishi wa mungu
Shukrani mwalimu kwa somo
Barikiwa mwl..tunakuelewa
asante mungu kwa kunkfungua
Yaani walimu wakiroho wakusaidie tena kushape lugha uliyopewa yaani waiimarishe!??biblia inasema ikitokea kunena kwa lugha pawe na mfasiri lakini kama wewe ni mgogo ukinena nena kigogo itakujenga wewe mwenyewe maana umeomba mambo yako ya siri na Mungu wako 1 Kor 14:11 "Basi nisipoijua maana ya ile sauti nitakuwa kama mjinga kwake yeye anenaye; naye anenaye atakuwa mjinga kwangu"
1 Kor 14:22 "Basi, hizi lugha ni ishara, si kwao waaminio, bali kwao wasioamini lakini kuhutubu si kwa ajili yao wasioamini, bali kwa ajili yao waaminio" Yaani Paul anaongea hajui kama mtakuja kutafsiri mnavyopenda ninyi muelewe, sasa rejea kwenye chimbuko la kunena kwa lugha watu walinena na kila mtu alisikia kwa lugha yake mwenyewe si hivyo mnavyojua ninyi mtu anaongea lugha isiyojulikana LENGO LA KUNENA KWA LUGHA ILIKUWA NI UZINDUZI WA KUPELEKA NENO(INJILI)KWA MATAIFA YOTE ILI NAO WASIKIE ILA HAWAKUWA NA UWEZO KWA SABABU HAWAKUJUA LUGHA ZINGINE NDIO ROHO ANAWAJIA NA KUONGEA NA KILA MTU ALISIKIA NENO KWA LUGHA YAKE MWENYEWE Rejea MATENDO YA MITUME 2 : 7 Wakastaajabu sana, wakasema, “Hawa wote wanaozungumza ni Wagalilaya. 8 Imekuwaje basi tunawasikia wakinena lugha ya kila mmoja wetu? 9 Hapa kuna Waparthi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Yudea Kapadokia, Ponto na Asia, 10 Frigia, Pom filia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene; na wageni kutoka Rumi, Wayahudi na watu walioingia dini ya Kiyahudi. 11 Watu wen gine wametoka Krete na Uarabuni. Sisi sote tunasikia watu hawa wakisema katika lugha zetu wenyewe mambo makuu ya ajabu aliyofa nya Mungu.”(UNAWEZA KUANZIA FUNGU LA KWANZA) NA KWENYE WAKORITHO PIA ....Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.” 1 Kor. 14:27
Yaan tunachanganyikiwa Nani mkweli hapa mafundisho yamekua mengi sana siku hizi
Mwalimu M M, nimeipenda hiyo Aina ya Kunena kwa lugha iitwayo Glossolia....yaani Lugha ya Kimaombi....Naiita pia 'Prayer Language'....ambayo ni vema na muhimu kwa kila aliyeokoka na kubatizwa kwa Roho Mtakatifu, ainene KILA siku ktk faragha yake ya maombi....Atajengeka kila leo....Hallelujah...Zidi kutufundisha Mwalimu Wetu...
Inapokuja kwenye swala la kumjibu mwl unahitaji utafiti zaidi ya kile ulichokuwa unakijua vinginevyo unaweza tu toa changamoto kwa sababu mwl kaongea tofauti na unachojua na hapo ni uharibifu.
Kweli kabisa her Bwana asifiwe
@@isayakigava9283 J K anahitajika msaada mkubwa wa kuhabarishwa kuhusu lugha.... Mwl Mgisa yuko vizuri weweeeee!!! Wako na walimu wengine wengi tuuu wa "dizaini hii".... Mfano Kenneth E. Hagin (10 Reasons Why we should Speak in Tongues)...Be Blessed...
Tuna jifunza na kubarikiwa
Aminamtumishii
Wakati wa Roho kutenda kazi bila kujali mipaka ya kidhehebu...Moto wa Roho Mtakatifu....
be blessed Man of God
Parts zingine ziko wapi
Mwalimu asante kazi safi ...we bless Jesus for the now word that comes alive through your mouth....most messages are very short can we get the full range videos of teaching...asante Mwalimu
Hongera mwalimu kwa kutupa hii mana,, Tafadhali naomba uwe unatuwekea hata za lisaa limoja....
Am blessed here in Rwanda. God bless you man of God.
Tunaongeza maarifa
Amen
KWA MUDA MREFU SANA NAENDA KANISANI HII KITU NILIKUWA SIJAIELEWA VYEMA KABISA ILA HAPA NIMEPATA MWANGA, UBARIKIWE SANA MWALIMU UMENIPA FUNZO KUBWA SANA KWENYE SOMO HILI.
Amen Mwalimu, imefundishwa vzr sana!!
MUNGU atusaidie kuna mafundisho niliyasikia yakanikatisha tamaa ya kunena kwa lugha, ila tusipopata maarifa tunaangamia
Kwel
kwel sister
Kila jambo jema na baya lipo pembeni. Karama ya kunena kwa lugha ni ahadi isipokuwa shetani naye anawatumishi wake nao wanaombea ujazo wa roho wachafu. Tunatakiwa kuombewa ujazo wa roho mtakatifu toka madhabahu halisi na mtumishi halisi wa Mungu. Ukweli kunena kwa lugha humjenga mkristo binafsi.
@estherkoyo- nikupe pole mwana wa Mungu kukatishwa tamaa kunena kwa lugha. Ni adui aliefanya hivyo maana alijua ukinena umemmaliza. Usingoje mpaka ufike mbinguni.
LAKINI HUKO SO KUNENA KWA LUGHA Mtumishi hapa tunapishana
Good
Things add up daily, hiyo siyo lugha ya Roho mtakatifu. Dalili ndo hizo, manabii wa udanganyifu wataendelea kuja.
Asante mtumish
Huu ni uongo na utapeli wa hali ya juu hizo ni lugha za kipepo zisizo na maana usitudanganye kabisa
Baba Mungu akubariki sana nimejifunza kitu kikubwa naomba msaada wa number yako
..hilo li mziki la nini?
Nilitamani kusikia zaidi hili somo maana lina nihusu kwa100% nijifunze ila naamini Maswali siwezi uliza hapaa ila umenielewesha kwa kiasi
Ukiuliza hapa utawasaidia na wengine hivyo utakuwa umefanya kazi ya Mungu.
Yaani nikutie moyo uulize swali hapa.
Kaka rudi darasani ukaisome vizuri lugha ya kiyunani kuwa inasema nini juu ya kunena kwa lugha naomba namba yako uniandikie ili tufundishane juu ya hili swala ambalo shetani amelifanya kuwa mtego mkubwa
Nakuomba tuingie darasani kidogo mimi na wewe ili tuone chimbuko la lugha ya injili ambayo ni kiyunani maana kiswahili kimechukua kutoka kwanye English nayo English imechukua kwa kiyunani sasa twende kwenye lugha mama naomba namba tafadhali.
Mwalimu naomba number yako na nadhani kwako ntapata maswali ya majibu yangu ya muda mrefu 0719337380
Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa mafunzo sifa nautukufu zimulindie MUNGU kwa hinyo upako ametia ndani yako
ubarikiwe mtumishi ujumbe nimeupata
Amen
Good
Amen