MAJIZZO asikitishwa na CLOUDS kumfanyia FIGISU kuvuraga SHOW yake, Harmonize, ALIKIBA watajwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Majizzo #Efm

ความคิดเห็น • 132

  • @amoji126
    @amoji126 2 ปีที่แล้ว +16

    🤣🤣🤣 diamond aligombana na hawa wenye media kitambo sana kwa mambo km haya, especially hz show za bure.

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 2 ปีที่แล้ว +16

    Haya mambo aliyaongea diamond , unaitwa show mbili moja usipo enda nyimbo zako hazipigwi

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 ปีที่แล้ว +23

    Jeshiiiiiii 🐘🐘✔️🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 ปีที่แล้ว +19

    Wangekuwa ni WASAFI wamefanya hivyo
    Mitandao yote ingewaka moto
    Ila clouds na Efm wanalumbana chumbani,ila kimeumana,wacha movie iendelee

  • @rayfaakim1920
    @rayfaakim1920 2 ปีที่แล้ว +5

    Hihihihihihi piganeni tu ngoja mvua inyeshe tuonane wapi panavuja😁😁😁😁 kuna siku wasanii wa bongo mtakuja kumuelewa Diamond one day nawaambia yani mond anacheka tu maiaha hayaa daah

  • @ngoshazedon4085
    @ngoshazedon4085 2 ปีที่แล้ว +13

    Kiukwel mnatakiwa muwe wamojaa ili muweze kuinua wasanii walio chini zaidi🔥

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 2 ปีที่แล้ว +18

    Leo Dozen anawasnitch clouds pamoja na Majizzo😂 ... Maisha yanaenda kasi sana

  • @MrMbwelwa
    @MrMbwelwa 2 ปีที่แล้ว +5

    Mbona we hupigi nyimbo za wasafi

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 2 ปีที่แล้ว +2

    It’s been ages Diamond Platinumz spoke about these issues and he’s yet being attacked to date but it was facts. This man with glasses anaongea kwa maneno tofauti ila content ni ileile ya Platinumz. Na shida kubwa ni kuwa media houses (wafanyakazi) hawana taswira pana na ndefu ya sanaa, wao wanataka traffic tu.

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 ปีที่แล้ว +8

    clouds ni watu wenye kujali zaidi maslahi yao tu ! na tabia hii inawaumiza wasanii but kwa jicho la tatu inawaua wenyewe taratibu taratibu hadi nowdays nani asiejua clouds ni media inayopoteza mvuto siku hadi siku aise - wasafi efm Mungu aendelee kuwabariki sasa na kwa future 🔥🔥🔥

  • @badruhussein175
    @badruhussein175 2 ปีที่แล้ว +5

    Tamasha zenu za kinafiki sana ERM, na clouds wote nyie wanafiki Sana.

  • @malleironworks4586
    @malleironworks4586 2 ปีที่แล้ว +4

    Wote mnalumbana bure tu.. Mnaandaa matamasha ya bure ili muwatoe kwenye reli wanaoandaa matamasha ya viingilio..

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 2 ปีที่แล้ว +11

    Ndoa maana diamond hafanyi show za bure wote wapuuzi CLOUDS na E MEDIA wote wapuuzi,🤣

  • @mhandoomary8539
    @mhandoomary8539 2 ปีที่แล้ว +9

    Hapo msije mkasema diamond anahusika

  • @nassoropigauwa2503
    @nassoropigauwa2503 2 ปีที่แล้ว +7

    Hao ndyo clouds wazee wa figisu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu anapenda kujikweza clouds hajaandaa show ila ni mkuu wa mkoa ndiye aliwaita ila huyu majizzo anapenda kujishindanisha hakana chochote akalale na bidazeni tu akwende bashahuyo

    • @yaedlifemedia3203
      @yaedlifemedia3203 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      Hata huyo mkuu 5mkoa pia hajielewi 🚮

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 2 ปีที่แล้ว +7

    Awa clouds ni wanafki sanaa

    • @fadhiliyusuph5195
      @fadhiliyusuph5195 2 ปีที่แล้ว

      Hyo ni fitna kubwa sana na km wangekuwa wasaf hapo dunia ungejua

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 2 ปีที่แล้ว +10

    Wabongo you need to Style Up nikama hampendani

    • @kiki16805
      @kiki16805 2 ปีที่แล้ว

      U can say that again , na Huko ndio wameru wanapelekwa kufundishwa adabu MCA🤣🤣🤣

  • @makamebakery1964
    @makamebakery1964 2 ปีที่แล้ว +10

    Kondeboy katisha🔥🔥🔥

  • @hassanmwaihojo8261
    @hassanmwaihojo8261 2 ปีที่แล้ว +6

    Clouds ni toplevel aiseeh

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 2 ปีที่แล้ว +1

    Clouds hawana lolote habr ya MJINi ni Efm home of sport pamoja kutokea rock city Mwanza Mwanza

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 ปีที่แล้ว +6

    Cloud juu

  • @kelvinshinangonele1409
    @kelvinshinangonele1409 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂dozen anawenge

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 2 ปีที่แล้ว

    Dozen anaelewa vizuri hizo figisu

  • @fatinasaid7670
    @fatinasaid7670 2 ปีที่แล้ว +7

    Ingekuwa WCB ndo wamegonganisha shoo na EFM wangesemwa mpaka basi ila kwasabu ni clouds na wote wanategemea wasanii haohao wapo kimya na hakuna msanii atakayesema ukweli coz wanaogopa media kutowasupport.

  • @fadhiliyusuph5195
    @fadhiliyusuph5195 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii ishu wangefanya wasafi wangeonekana wanoko na wangesemwa mpk dunia inaisha, then mnataka muunganiko wa wasanii na Sanaa yao

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 2 ปีที่แล้ว +21

    Sasa ndiyo mjue kuwa clouds waroho. Diamond alipokuwa anawatuhumu hao ninyi mkasema hafai,Sasa mnateseka. Wasafi walishawagundua clouds kitambo sana.

    • @ramadhanamryhassan814
      @ramadhanamryhassan814 2 ปีที่แล้ว +2

      Diamond na Clouds tofaut yao nn? mbn yeye kamlipisha Konde Boy 600M? hawana tofauti ni watoto wa Baba mmoja KUSAGA

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanamryhassan814 hivyohivyo

    • @lelarubea6405
      @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +7

      Daimond hana roho mbaya,mutambue Hamo alisaini mkataba mbona hakujulikana mwanzo alitolewa BSS hajui kuimba dai akamtengeneza hakuna aliemfata kumsaidia,hamo hana shukuran vyote vyote vile hamo ametolewa na dai,hao marafiki zake hamo mbona hawakumtoa leo anajiona yuko na watu

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 2 ปีที่แล้ว

      Kuna jambo hakuna mtu anaefanyiwa kitu bila sababu lazima kunajambo wanajuana kama kama dai alivyokuwa namtuhumu konde kumbe nyuma ya pazia kuna mambo kibao

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanamryhassan814 💪✌👊

  • @cholocaptain1623
    @cholocaptain1623 2 ปีที่แล้ว +7

    Kwani nyinyi simnapata faida achen kutuongopea

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila kweli umeongea vzr huko nikuwagawa wasanii.kwann na wao wasingepanga siku nyingine ndio maana mond alikataa huo upuuz

  • @edsonjeremiah5905
    @edsonjeremiah5905 2 ปีที่แล้ว +5

    Masnitch wameanza kusnitchiana hahahahahahaha wcb for life

  • @zou7470
    @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

    Kbs walivuruga mana ukiangalia walienda kwenye shoow ya pili wakiwa wamecoka japo walijitahidi wasani wetu

  • @expeliusmuhumuliza4758
    @expeliusmuhumuliza4758 2 ปีที่แล้ว +4

    Dozen kapgwa na kitu kizito 😀😀

  • @lissadee9009
    @lissadee9009 2 ปีที่แล้ว +6

    B dozen kamuon bby katulia😂

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 2 ปีที่แล้ว +1

      Hv hii ikoje jaman maana naisikia juu juu tu🤣🤣

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwanini msikubaliane mpange wote show huwezi clouds nao walipanga

  • @alhadkatundu2142
    @alhadkatundu2142 2 ปีที่แล้ว

    Dah b dozen anavyomwangalia huyo majey naelekea kumuelewa mange😛😛😛😛

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว +2

    Imagine Efm wanataka kumkuza Harmo na Ali Kiba....hahahahahaha

    • @roycerolls9641
      @roycerolls9641 2 ปีที่แล้ว

      Hujielew usilazimishe ujinga wako uaminike

  • @frans_dede
    @frans_dede 2 ปีที่แล้ว +3

    Wee Presenter maneno meng yann sas siuweke watu tuskie au aliongea kwa lugha ngeni kwahyo unatafsiri
    acha ushamb wew

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 2 ปีที่แล้ว +9

    Namuona b dozen 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ismailchongera9812
      @ismailchongera9812 2 ปีที่แล้ว +2

      Hhhhh anamcheki basha wake

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ismailchongera9812 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijasema kitu🤣🤣🤣

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ismailchongera9812 heee kumbe 😢😢😢

    • @ismailchongera9812
      @ismailchongera9812 2 ปีที่แล้ว +2

      @@welcometoeat165 lisemwalo lipo stori zake ndugu yetu ni za muda mref mno uliwahi muona kajichanganya na dent?

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ismailchongera9812 mtumeee usnambie

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +7

    Mond katulia kmyaa anawachora tu mnavyoparulana

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 2 ปีที่แล้ว

    Dazen mbona hajachangia mada apo

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 ปีที่แล้ว

    Wasafi fm behind this,not just clouds fm

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 ปีที่แล้ว +8

    Wasafi watawatesa sana! Nyie mpigane Mond anawazoom tu!

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli tanzania roho nyeus namba moja

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 ปีที่แล้ว +3

    Aisee nimbaya sn hiyo wanabomoa hawajengi,Mungu asimame upande wa wenye haki

  • @shadeemzawa570
    @shadeemzawa570 2 ปีที่แล้ว +9

    Kama ww team clous gonga like💪💪💪

  • @nyangaotv8555
    @nyangaotv8555 2 ปีที่แล้ว +5

    Majizo wewe bado sana kucompete na clouds pambana acha kulalamika

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 2 ปีที่แล้ว

    Matamasha matamashaa
    Akili za wabongo mnawafikirisha na matamasha

  • @saidseif1860
    @saidseif1860 2 ปีที่แล้ว +2

    Kila mtu ashinde mechi zake

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 2 ปีที่แล้ว +7

    Bongo fitna tu🤣

  • @suleamber844
    @suleamber844 2 ปีที่แล้ว +1

    EFM ni radio ya wap?

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 ปีที่แล้ว +3

    Kimeumana kumamae nyie ndio mlijiona miungu watu kwenye hii tasnia

    • @fadhiliyusuph5195
      @fadhiliyusuph5195 2 ปีที่แล้ว

      Ingekuwa wasaf hapo wangeonekana wana roho mbya

  • @kitalalagoodluck8317
    @kitalalagoodluck8317 2 ปีที่แล้ว +2

    Mi nilijua hiz show mmekubaliana

  • @rajabuabduly468
    @rajabuabduly468 2 ปีที่แล้ว +1

    Siopoa .....jamani kaanza mjinzoo

  • @mwanahawarajabu1837
    @mwanahawarajabu1837 2 ปีที่แล้ว +3

    Business competition is not bad

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว +6

    Mnajua kwa nini Diamond anapigwa vita?
    Shida ni hizo media mbili hazina msanii mkubwa.....matokeo yake ndo hayo yamekuja sasa malalamiko

    • @roycerolls9641
      @roycerolls9641 2 ปีที่แล้ว

      Point yako haieleweki diamond ana record label na ana media huoni hapo ni tofaut

  • @jonasstephano7680
    @jonasstephano7680 2 ปีที่แล้ว +7

    Sikuizi clouds imekua kama redio nachingwea

  • @davidrichard4174
    @davidrichard4174 2 ปีที่แล้ว +1

    Bola mgombane wenyewe.

  • @seifskai5963
    @seifskai5963 2 ปีที่แล้ว +5

    Clouds ina utamu wa kipekee

  • @officialpaulmabula8346
    @officialpaulmabula8346 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuu kiukweli wamefelisana

  • @mussaissa4973
    @mussaissa4973 2 ปีที่แล้ว +3

    Team clouds

  • @dalton_tz
    @dalton_tz 2 ปีที่แล้ว +3

    🙌🏼🙌🏼💥💥

  • @jaizaniimamu3880
    @jaizaniimamu3880 2 ปีที่แล้ว

    Dazen kamekua kanafki

  • @fadhilimwasumle124
    @fadhilimwasumle124 2 ปีที่แล้ว

    Lipeni wasani sio kuandaa shoo za bure majizo

  • @muhidinimlapi46
    @muhidinimlapi46 2 ปีที่แล้ว +9

    Mm naona sawa TU,kwani wasanii wa WCB hamkuwaona?

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni watu waliokalili maisha na kujiona wao ndo wao wameua wasanii wengi Sana na kuwaibia wasanii wetu

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 2 ปีที่แล้ว

    Ndo tatizo la media kukumbatia wasanii kama mama zenu

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 2 ปีที่แล้ว +2

    EFM kumbe mnajua kulalamika? Nyie ni wataalamu Sana kuwafanyia figisu wenzenu,mkome nanyi unafiki

  • @philbertemmanuel7630
    @philbertemmanuel7630 2 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wakiwa wanabishana wakubwa wasafi wametulia

  • @ignatiusnyaranga1425
    @ignatiusnyaranga1425 2 ปีที่แล้ว +5

    Jeshiii kaua

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 ปีที่แล้ว

    Waseme majizo katumwa na wasafi mana huwa ivyo mtu akiongea katumwa

  • @logoutjrgongzulu1572
    @logoutjrgongzulu1572 2 ปีที่แล้ว

    Konde alikua fair tu wala yeye sio sigara kali,,tuishi humo

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 2 ปีที่แล้ว +12

    Shenzi zenu, mmemuandama diamond midia zote, mlijuwa mnamkomoa, matokea yake mmeanza kukomeshana wenyewe nyau nyie.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +1

      Clouds na Wcb ni kampuni moja sema Diamond anashea upande wa wcb.

    • @sililohaule
      @sililohaule 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @kingbashar4293
      @kingbashar4293 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aminanamoyo83 kuna tofauti ya wcb na wasafi fm/tv

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว

      @@kingbashar4293 vyovyote ulivyoelewa mpendwa but si ya mtu mmoja (majina kapuni)

  • @fadhilmohamoud
    @fadhilmohamoud 2 ปีที่แล้ว

    Ila clouds walizngua bhana

  • @muhidinimlapi46
    @muhidinimlapi46 2 ปีที่แล้ว +8

    Mlishimdwa nn kuwachukua wasanii wa WCB??

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 2 ปีที่แล้ว +10

    KONDE

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 ปีที่แล้ว +2

    Clouds wanaua Sana vipaji

    • @fadhiliyusuph5195
      @fadhiliyusuph5195 2 ปีที่แล้ว

      Clouds ni wasenge hapo wangekuwa wasaf ungesikia mengi t, alaf baadae mnasema wasaf wanajitenga

  • @lucasmsogoti3435
    @lucasmsogoti3435 2 ปีที่แล้ว

    Bongo tuna nini sisi lakini

  • @MK-dp9rr
    @MK-dp9rr 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndo muinuwe wasaani wengine. Ili msigombanie wale wale

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo sio ckauds ni mkuu wa mkoa bhana msiwalau claudssssss

  • @shahilmmasai2989
    @shahilmmasai2989 2 ปีที่แล้ว +1

    Kenge nyie mgombane huko huko na vimidian vyenu vya uchocholo

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 2 ปีที่แล้ว +1

    Alikiba hatar

  • @tozzowilliams308
    @tozzowilliams308 2 ปีที่แล้ว +2

    All in all is business,efm na clouds mnafanya wote biashara!
    Kama mliona wamewaiga kwanini hamkuahirisha muwaache wafanye wao?
    Na hao wasanii hawajielewi unaendaje kwenye show ya pili na wakati unajua Una show nyingine mahali pengine?

    • @lubavaclassic7048
      @lubavaclassic7048 2 ปีที่แล้ว

      Unajua ugumu wa kuhairisha show ambayo imeshatangazwa mzee?

  • @ibrahimbullah8088
    @ibrahimbullah8088 2 ปีที่แล้ว +7

    Mtajuta sana kuwakataa wcb Sasa mnaona madhara yake

    • @saidinyoni4976
      @saidinyoni4976 2 ปีที่แล้ว +1

      Clouds wapumbavu Sana Tena Sana

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 ปีที่แล้ว +3

      Wcb Wana nini

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani hao Wcb ni midudu gani

    • @belindamadata7862
      @belindamadata7862 2 ปีที่แล้ว

      Lakini bro umekuwa na tabia ya kuwapandilia watangazaji wao,mbona hilo hulisemei???????

  • @abdiazizmohamedali8056
    @abdiazizmohamedali8056 2 ปีที่แล้ว +3

    Bdozen anavyomcheki boss wake ni kama wife anavyomcheki bwanake

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu

  • @barracksgabriell9152
    @barracksgabriell9152 2 ปีที่แล้ว +1

    Show ya mkuu wa mkoa cloudsfmtz inaingiaje humo

    • @rukiarukie6121
      @rukiarukie6121 2 ปีที่แล้ว

      Mm cjaelewa show ya mkuu wa mkoa au ya cloudsfmtz mbona anawapa lawama