SAM SIMBA APAGAWA CHAMA SIO MZEE KAZALIWA UPYA YANGA/YANGA BINGWA WA CAF/DUBE BALAA JIPYA MJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
  • #alikamwe #azizki #hersisaid #mayele #yangaleo #live_ #yanga #yangatv #yangasc #msuva

ความคิดเห็น • 56

  • @RosePetro-ck8pt
    @RosePetro-ck8pt 2 หลายเดือนก่อน +7

    Chama ,wew nifundi mzee wamaasist poa sana bro

  • @AminaJackson-w5h
    @AminaJackson-w5h 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu akupe maisha marefu Samu🎉🎉🎉

    • @peterchande957
      @peterchande957 2 หลายเดือนก่อน +1

      Baka hajacheza kabisa

    • @SatielNdayeza
      @SatielNdayeza 2 หลายเดือนก่อน

      Huo ndo ukwer

  • @HammyVanmaarifa
    @HammyVanmaarifa 2 หลายเดือนก่อน

    Bro I wish nikuone one day from msumbiji

  • @Anandezi
    @Anandezi 2 หลายเดือนก่อน

    Samu unasema ukweli kila wakati. Unajua mpila 💚💚🇹🇿

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera samu

  • @NyassyBoy
    @NyassyBoy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hengereni sanaa wa zee wa bonans

  • @NuruMbukwa
    @NuruMbukwa 2 หลายเดือนก่อน

    Wooooow

  • @LeahJulius-y3h
    @LeahJulius-y3h 2 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi

  • @aminaami1103
    @aminaami1103 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa.ana.ongea ukweli.sam

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana samu yupo vzr,anaujua mpira

  • @SalumLugwadu
    @SalumLugwadu 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana Kaka Sam unaongea ukweli mtupu🎉🎉🎉

  • @HusseniMkopi
    @HusseniMkopi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi

  • @FarajaTitus
    @FarajaTitus 2 หลายเดือนก่อน

    Ase congratulations my time

  • @SylvesterFabian-kt1lj
    @SylvesterFabian-kt1lj 2 หลายเดือนก่อน

    Safarihi tutawasumbua sana kwa yanga hìiii balaaaa

  • @KhatibuMadizii
    @KhatibuMadizii 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana unajua mpira

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Fetymama
    @Fetymama 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nasema hivi hawaogopiii!!??

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sam nakupenda kwa kulijua boli

  • @mcheukaphone3730
    @mcheukaphone3730 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anajua

  • @shomarikhalfani5709
    @shomarikhalfani5709 2 หลายเดือนก่อน

    Hacheni shombo wew na mchome

  • @PeriousSilungwe
    @PeriousSilungwe 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe Ni shabiki WA Akili kwelikweli

  • @dismanManota
    @dismanManota 2 หลายเดือนก่อน +2

    Du.mambo si ayo

  • @RaphaeliAdamu
    @RaphaeliAdamu 2 หลายเดือนก่อน

    Nce bro

  • @georgechimya753
    @georgechimya753 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chama katoa asist 4 bro

  • @NyassyBoy
    @NyassyBoy 2 หลายเดือนก่อน

    Watamfilisi mama yetu yanga

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shida ya wabongo, ni kuizoea YANGA!! Yanga sasa hivi hakuna club inayotaka kukutana na yanga!

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wa mpira tupo pamoja nawe Sam na Miraji huwa mnazungumzia fact

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      Hata Kisugu na GB 😂😂😂😂😂

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@errydeo8865hao ni wahuni

  • @Mambisokonie
    @Mambisokonie 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @SalimuomaryMashaka
    @SalimuomaryMashaka 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anajua sana kwa kweli yaani ni mtu wa mpira kabisa

  • @IbrahimMjojo
    @IbrahimMjojo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unatisha baba

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 2 หลายเดือนก่อน

    Samu apewe maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SIYAOSAID
    @SIYAOSAID 2 หลายเดือนก่อน

    Jana ilikuwa hatari

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kolokolo mmesikia hekima hizo?.

  • @imanishabani37
    @imanishabani37 2 หลายเดือนก่อน

    Sam Huyu jamaa Simba pale Mngempatia Nafasi jamaa anajua mpira

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @HARUNAJERADI
    @HARUNAJERADI 2 หลายเดือนก่อน +1

    shaki wa ukwel nafatiliaga sana

  • @HafidhHamad-b7k
    @HafidhHamad-b7k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kujigamba kwa kupunguziwa wachezaji

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 2 หลายเดือนก่อน

      Lete timu yako

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe timu yako ilikua na wachezaji 12 , 11 uwanjani na 1 mashabiki 😂

  • @SaidPogolo
    @SaidPogolo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama anajuwa sn usimfanameshe na makoro

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi shakibi wa simba naungana na wewe sam

  • @RamadhaniMwambe
    @RamadhaniMwambe 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani.sio
    Kweli.yanga.nitimu.kubwa.asasa.hi i

  • @FatumaMtanda-c8x
    @FatumaMtanda-c8x 2 หลายเดือนก่อน

    Iv huyo msemaji wa vitalo alisema kwamba akifungwa na young Africans atajiuzulu vp mpaka sasa sjaerewa kajiuzulu kweri ?

  • @ElikanaYuda-fb4md
    @ElikanaYuda-fb4md 2 หลายเดือนก่อน

    Naomb kujua huyu ni mchambuz au mshabik wa simba shabik gn wa simba anauzulia mechi nying za ynga kulik za timu yke

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 หลายเดือนก่อน

    kwa timu gani walocheza nayo wewe chawa?

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mtangazaji hizo bilioni 7 au nne kiongozi gani kakuonyesha? Hakuna anaye jua dhaman ya hivi vikosi nje ya viongozi na wadhamini wa hivi vilabu! Unaijua bll 7 wewe??i

  • @HafidhHamad-b7k
    @HafidhHamad-b7k 2 หลายเดือนก่อน

    Mpaka wapunguzwe ndo mushinde

    • @RoseMuniss-y5q
      @RoseMuniss-y5q 2 หลายเดือนก่อน

      Vip nyie mliyekua kamili dhid ya prison na mkafungwa 😅😅😅

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 2 หลายเดือนก่อน

      Hata Mashujaa waliwatoa kwenye FA mbona walikuwa wachache?

  • @NyassyBoy
    @NyassyBoy 2 หลายเดือนก่อน

    Hengereni sanaa wa zee wa bonans