ACHRAF HAKIMI (MCHEZAJI PSG) AFUNGUKA ENG. HERS ALIVYOMFUATA UFARANSA |AELEZA LENGO LA KUJA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 21

  • @DorikaKamori
    @DorikaKamori 3 หลายเดือนก่อน

    Im so appreciate Hakim🎉🌷God bless you#viva Morocco 🙌

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 3 หลายเดือนก่อน +7

    ...manzoki tena?...kwani Hakimi kaja kwny mkutano gani wa Yanga?....acha majungu makolo wewe, Sisi tulifanya mkutano hatukualika viashiria kama nyie makolo!....Hakimi kaja kwa mwaliko wa Eng Hersi Said Rafiki yake!.... .huyu walikutana naye wakati Rais wetu wa Yanga alipokwenda Spain wakati akijifunza namna ya kuongozwa mpira na uongozi wa La Liga!...

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tumpe maua yake Injinia kwa kushiriki kukuza utalii na kurudisha kwa jamii.

  • @geroldjohn4698
    @geroldjohn4698 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga atuna siasa tungesema tunamsajili uyu jamaa mungesema siasa tulielewe ilo uyo jamaa amekuja kwenye mambo yake na kuja kufanya utalii na sio Yale ya ( 3:42 manzonki)

  • @Mdingila
    @Mdingila 3 หลายเดือนก่อน

    Jmn yanga weee

    • @Mdingila
      @Mdingila 3 หลายเดือนก่อน

      Are sure boy jchampren aboubakal

  • @hildegundembilinyi9042
    @hildegundembilinyi9042 3 หลายเดือนก่อน

    Huo sio uchaguzi msijichanganye

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 หลายเดือนก่อน

    MNAKUMBUKA YA MANZOKI? NA YEYE ALIONGEA MANENO MAZURI SANA KM HUYUHUYU SASA YUKO WAPI?

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 3 หลายเดือนก่อน

    Wee kolo ACHA KUFANANISHA uchupli WENU na mambo ya Wananchi, UNAOSEMA manzoki Kwani HAPO kunauchaguzi? NYIE manzoki mlimleta KWENYE UCHAGUZI HUYO kaja kutalii kaamua kutembelea club ya MPIRA.

  • @officiallmaduhuwilliamtzof7056
    @officiallmaduhuwilliamtzof7056 3 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa sisikilizi hotuba mm nilikwa na mwangalia bodigadi apo tu wabong wapo waivyo

  • @jumahamad3272
    @jumahamad3272 3 หลายเดือนก่อน

    Hakim rais wa wanaume dunian

  • @SaidyKigoda
    @SaidyKigoda 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga hatuna uchaguzi siasa inatokea wapi

  • @IssaAthmani
    @IssaAthmani 3 หลายเดือนก่อน

    wewe hiyosiosiasa huyo nirafiki wa rais

  • @AUCHO561
    @AUCHO561 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hakimi sio manzoki 😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 หลายเดือนก่อน

    SIASA KAMA ZA MANZOKI ZIMEHAMIA YANGA

    • @johnzege209
      @johnzege209 3 หลายเดือนก่อน

      Sisi uchaguzi tushamaliza, hapo ni urafikii tuuu, tunataka awe balozi wetu huko kwao na ufaransa pia

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂una akili nyingine ndugu angu ama uko na hii hii tu nianzie hapo na unaelewa kinachoendelea hapo ama umekurupuka ujaelewa lengo la hii kitu

    • @hasanimohamedi279
      @hasanimohamedi279 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kolo kwel ww

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 หลายเดือนก่อน

      Unachanganya mambo huyo ni mchezaji wa psg watu wanafunguwa wigo kujitangaza unaleta mtori wa manzoki vinafanana vipi