Huyu GB nashindwa kumuelewa kama ingekuwa hivyo,Yanga asinge waacha Yaniki bangala,Shabani juma Kisinda walikuwa na mchango mkubwa pale yanga,wasingeachwa,lakini Yanga waliwaacha.Sasa hiki ndiyo kumjengea kiburi yanga.
@@safiliMuhammad kuna watu wanapewa majina hayaendani mbona husemi wakina Fredy fungafunga anakufhnga kitu kwa chama apewe mxua yake atavyojiona simba na ajione ila sifayake ampe hata mm nakuamini chama
@@rabinmarco3782 Yani kwamba shabiki anayesema mchezaji fulani ambaye unaona kabisa kila msimu ukikaribia kuisha anafanya visa kisa kajua anapendwa sana na amefanya mengi basi na wew ndio unahama? HUYO HAWEZI KUWA SHABIKI WA KWELI
Uko sawa brother chama sio sahihi kumuacha
Chamaaaaa oyeeeeee GB64 upo sawa sana
Ni kweli mwamba huyo chama baba lao
Chamaamaa azeeke simba
Huyu anakoelekea abaki yeye na chama
Ila father huu kichwaa namkubali san
Acha ujinga Leo ndio umeongea pumba aswaa chama muache aende
Kwahy una taka chama afie simba we mshambaa nn
Wew GB tulikupenda ila unasema upuuzi, Chama, Saido, Jobe, Luise, Onana na Ayub wote waomdoke, tunataka mabadiliko
Kweliiiii kabisaaaaaa
Kaka auna akili kwani chama ni mungu was simb
😂😂😂👏👏👏
Acha kushabikia, kwani wew nani
Huyu GB nashindwa kumuelewa kama ingekuwa hivyo,Yanga asinge waacha Yaniki bangala,Shabani juma Kisinda walikuwa na mchango mkubwa pale yanga,wasingeachwa,lakini Yanga waliwaacha.Sasa hiki ndiyo kumjengea kiburi yanga.
Wewe uko simba kwa ajili ya chama acha ujinga mwache aende
Kaka acha ujinga
Wewe kama unataka kwenda Yanga na Chama wako nenda tu husituzingue
Acha tu
Kwani ukiacha kushabikia wewe aitaitwa simba acha aondoke chama kazeeka uyo anabahatisha mda mwingine mbona tumetolewa na mashujaa na chama alikuwepo
Wewe mwanachama wa wachezaji ondoka na mchezaji wako.wameppita wachezaji wazuri kuliko chama.
Umewaona wapi mbona hivo
Acha ushamba ww mpira wakisasa hauend kwa mchzaj kama chama
Mshamba wewe ila chama baba lao chama oyeeeeee
Kuna. Mambo nakukubali kwa manufaa ya Simba kwa hili hapana na ndio maana avimba kichwa anajiona mkubwa kuliko simba
@@safiliMuhammad kuna watu wanapewa majina hayaendani mbona husemi wakina Fredy fungafunga anakufhnga kitu kwa chama apewe mxua yake atavyojiona simba na ajione ila sifayake ampe hata mm nakuamini chama
Huyu jamaa sas hivi anaropoka haongei facts, yani yeye anashangilia simba kwa ajili ya Chama
Anasema ukwel ndo inavyo takiwa watu waamke huko walpo lala viongoz wa Simba
@@rabinmarco3782 Yani kwamba shabiki anayesema mchezaji fulani ambaye unaona kabisa kila msimu ukikaribia kuisha anafanya visa kisa kajua anapendwa sana na amefanya mengi basi na wew ndio unahama? HUYO HAWEZI KUWA SHABIKI WA KWELI
Acha. Ujinga Simba ipo. Kabla wewe na chama hamjazaliwa
....eti mchambuzi ana miaka 24 halafu anachambua mpira, je huo mpira kaucheza ana miaka mingapi??? 🤣🤣🤣🤣
😀😀