Ili ni kusudi la Mungu ili injili izidi kusambaa kama kipindi Cha Askofu Emmanuel Lazaro na Askofu Moses Kulola aitupasi kuanagalia mwenyew makosa ayo tumwachie Mungu pekee
Mimi ni mtoto mpendwa WA Mchungaji Moses Magembe, nimempokea Roho Mtakatifu mwezi wa 6/ 2023. Kupitia mafundisho na maombi ya Baba. Baba ushindi ni lazima. SHETANI hana nafasi yoyote. Yesu lazima atukuke pote duniani.Tuko pamoja huku Afrika kusini.
iende mbeleeeeee injili iyo iende mbeleee Wote tuseme iende mbele
UAMSHO NI LAZIMA HAPA TZ UTOKEE ANAYE AMINI HILI. TYPE AMEN
Amen Amen
Ameeeeeeen
Amen
Mimi pia ni mtoto wa magembe aiseee , I see a new church with new power in Tanzania
Merry Christmas, rev Moses Magembe move on.
Mungu amekuweka kwa kusudi lake kwa "WAKATI" huu!
Namba yako hakuna wakuivaa Mzee wetu tunakupenda na kukulilia Mungu aendelee kukuinua zaidi
Mungu akutunze na akutie nguvu Tuko pamoja nawe Na tunakuombea Mtumishi Wa Mungu
Amina Baba❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Injili isiyo ghoshiwa, sema amen
Ubarikiwe mnoo Baba yangu tuko pamojaaaa
Fireeeeeeee
Barikiwa SANA MTUMISHI WA MUNGU Pastor Magembe Kwa KAZI NJEMA ya MUNGU!
Mashallah kanisani kwa mchungaji magembe wana wake wana vaa kwa staha
Na kufuatilia sana baba piga injili na Mungu atusaidie kutimiza kusudi lake usipambane na watu pambania naneno baba
Glory be to Jesus Name
Tunaomfuatilia Mzee magembe Mpka Sasa na tunamkubari tuje hapa
Nafuatulia kutoka kakamega Kenya🎉
Shetani imekula kwakeeeee,Yesu Yupooooo haiiiiiiii
Nakupenda sana mchungaji magembe mungu akupe maisha malefu
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🤲🤲💐💐💐💐💐 mungu akubaliki sana baba kazi mbere 💪💪💪💪💪💪💪💪 yesu mbere
We love you pastor iende mbele injili
MUNGU AKUBARIKI MCH MAGEMBE AKUINUE ZAIDI
Nakupenda mzee napenda huduma yako
Mungu akutunze,kanisa likae ktk Utakatifu,Yesu Arudi
Asante ,mungu kwa mtumishi wako magembe
Nakufuatilia sana pastor ,Wewe ni mpenda haki yule mchungaji aliyevaa ka suti ka blue anayekuponda ,Mungu amsaidie
Ili ni kusudi la Mungu ili injili izidi kusambaa kama kipindi Cha Askofu Emmanuel Lazaro na Askofu Moses Kulola aitupasi kuanagalia mwenyew makosa ayo tumwachie Mungu pekee
mungu akutunze baba magembe........anga limefunguka
Baba Mungu akubarik sana.nakereketwa sana moyoni
Tuko wengi tunaokeleketwa moyoni ❤
Mungo akubariki baba Mungu yupo nawe hatakuainisha
Kote duniani tunamuunga mkono Mchungaji Moses Magembe. Tunaamini sana Mungu anayemuhubiri kuwa ni Mungu mzima
Ameni baba Mungu awe nawe siku zote
Ameni Amen, nakufuatilia niko Iringa, songa mbele baba kazi njema
Asante YESU mwokozi kwa kunipa kusikia ujumbe huu...
Dunia ina mengi Yesu tusaidie Bwana
Mungu aendelee kukutetea Babaangu!
Unaangalia ibada unasikia uwepo wa Mungu, na Mungu atimize makusudi yake kwako
Sifa na UTUKUFU ni za MUNGU atupae Kushindaaaa💪💪💪💪💪💪
The peace of our God Almighty be with u as u work for Him. U r blessed!
🎉Ubarikiwe Mungu wa Mbunguni.
I hope God will be with you
Mungu yupo pamoja naww baba
Mungu akutunze Sana Baba
Very Powerful message hakika Mungu awe pamoja nawe daima
Jina la Bwana Yesu limeshinda majina yote duniani
Mungu akutunze nakukulinda nibola uendelee kumpendeza Mungu ila siyo wanadamu wasiyo na mbingu
Praise God 🙏 natamani niwe hapo ktka Kenya
Ni Tanzania dar es salaam - kinyerezi , your most welcome
Nabalikiwa sana na injili hii haleluyaaaaaaa✊✊✊✊
Moto 🔥🔥🔥🔥 juu ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amina baba Ubarikiwe sanaa nitaungana nanyi Kwenye Changizo la Jumapili.
Wekeni lipa namba tuliombali tuchangie injili
❤❤❤
Magembe ni mtumishi wa kweli ya yesu....shetani hatoweza hili pambano
Amen mch. Mungu akubariki
Baba piga kazi, uanyo taji yako mbinguni
Baba nakupenda sana hakika wewe ni mtumishi sahihi nakupenda sana
Nabarikiwa sana na mahubiri yako songa mbele baba
Tangazo tangazo tangazo maalumu Majiraniiiiiiii moto Umewakaaaa huku kwa mchungaji magembe tolokeni huko mliko kimbilieni huku halaka sana
Ushawishi uo mhhhhh
Ni wap kanisa lake lipo nije nisali JAMANI
Kazi nzuri ya mz huyu nampenda sana magembe
Kikosi kazi Kiaze kila Mkoa,Mashuleni na Vyuoni,NaMikutano kila mkoa,Hakika Haya ndiyo aliyotuagiza Mungu
MUNGU akutiye nguvu baba mchungaji na toka congo drc kinshasa
AMINA BABA YESU LAZMA ATAWALE 💪💪💪
MIMI NI MTOTO wa MCHUNGAJI MAGEMBE watoto wake wote gonga lile hapa
Dada me mwenyewe najikuta nampenda sana mchungaji magembe viela vyangu nanunua sana mb kumfutilia mahubili ya mchunguji
Mimi Huyu ni Baba wangu wa kiroho mafindisho yake yamenitengeneza sana .Vita vya dunia tunashinda
Hata mimi ni mtoto wake wa Kiroho nimeokoka kwenye Injili yake 2003/ 10. Trh 14. Niliokoka moja kwa moja mpaka leo.
Ata Mimi nampenda sana pastor Moses magembe
Hongeren sana sana sana katibuni Dar kinyerezi mwembeni mkabala na sheli ya ATN
Hongera sana mchungaji kwa huduma yako.Hakika hii nchi ni yake Yesu mwenyewe.Uamsho ni lazima kwa taifa hili la Mungu.
Waoooooo waooooo ushindi ushindi, ushindi
Ameni baba angu.
Fire fire menemene tekeli😊😊😊😂😂😂
Mambo yote hutendeka kwa wema kwa waminio na walio itwa kusudi la Mungu. Kumekucha sasa, barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Tutashiriki kuijenga nyumba ya Bwana. Tupo pamoja katika roho
Ameeeeen 🔥🔥🔥🔥🔥
Bwana Yesu asifiwe Sana ukweli mtupu
Bado mm from Zambia 🇿🇲 I will be there soon
Tuko pamoja baba Mungu akukumbke sna
❤❤❤❤Mungu akupe siku nyingi
Amen,barikiwa Mtumishi
Wote tunaunga mkono Injili tumchangia Maghembe
Naipenda nguvu ya watu walio toka vifungoni inakuwa moto mno
Jembe la Yesu
Sijaona jipya hapo ni yale yale ni moto wa mabua.....fireeeeeeèeee
Songa mbele Baba, Tunakuunga mkono. wenye dini waachie dini zao!!!
Amen🎉
Mungu nimoto ulao
Nasikia upako!
Matilio yamekaa..barikiwa baba nipo na wewe nakufatilia
Baba Mungu akupe Neema andaa watendaji 30 kwa ajili ya kuwepo na kanisa angalau 1 kabla ya February 2025 kila Mkoa halafu mikutano ya Injili kila mkoa
Amina Baba ubarikiwe sana
Mchungaji Mungu akitie nguvu
Mungu akutunze mchungaji
AMINA baba songa mbele itajulikana tu hata nuhu hakukata tamaa nyakati za kukatisha tamaa
Mungu akutunze
Mungu alibariki kua kazi unayofanya
Hata mimi ni mtoto wake kwa kweli,anatupatia injili ya kwa kweli
Haleeeeeeeeeluuuuuuuuuyaaaaaaaaaaa
Mimi ni mtoto mpendwa WA Mchungaji Moses Magembe, nimempokea Roho Mtakatifu mwezi wa 6/ 2023. Kupitia mafundisho na maombi ya Baba.
Baba ushindi ni lazima. SHETANI hana nafasi yoyote. Yesu lazima atukuke pote duniani.Tuko pamoja huku Afrika kusini.
Glory be to God ❤
🎉🎉. Ameñ🎉🎉
Barkiwa sana baba magembe nakuombea naishi kwa mafuta yako baba
Amen 🙌
Huyu mchungaji magembe tumepewa na Mungu
Mchungaji magembe ni msafiri wa kwenda mbinguni Wala wewe hakika sio mpiga debe Wala mtetea brand za dini.
Tukuza MUNGU Wetu wa Mbinguni.Barikiwa Baba mpakwa mafuta
Nipo nyuma yako Baba
Magembe anahubiri u Pentecost halisi hana mzaha katika hili
Amen Mutumishi