Billnass feat G Nako, Whozu, Apuki & Dj Joozey - Kinamba Namba (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @Billnass
    @Billnass  2 หลายเดือนก่อน +212

    ANDIKA NAMBA YAKO UNAYOHISI YA BAHATI KUNA ZAWADI YAKO HAPA 👇🏿👇🏿👇🏿

  • @FerhCo-p6x
    @FerhCo-p6x 2 หลายเดือนก่อน +5

    Unyama ni Idris kuwa umoooooooooooo ndaniiiiiiii of course isinge make sense muwe marafikiii alafu tusimuone Idris kwenye ngoma yakooo bilnas ,inshort tumependaaaaa

  • @sarahjacob4384
    @sarahjacob4384 2 หลายเดือนก่อน +55

    Ni balaaaah🔥🔥🔥🔥❤️Kama unamkubali baba naya gonga like hapa🙌

    • @Nyimbo_Mpyaa
      @Nyimbo_Mpyaa 2 หลายเดือนก่อน

      @@sarahjacob4384 search Hapo Juu Neno LIL CRUZ

    • @MusaEdwin
      @MusaEdwin 2 หลายเดือนก่อน

      unyama

    • @MusaEdwin
      @MusaEdwin 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤😢😮😮😮😅nakubali😊

  • @NestymmwampambaNestymmwampamba
    @NestymmwampambaNestymmwampamba 2 หลายเดือนก่อน +51

    Like za G nako ni hapa ❤❤kinamba namba

    • @Nyimbo_Mpyaa
      @Nyimbo_Mpyaa 2 หลายเดือนก่อน

      @@NestymmwampambaNestymmwampamba search Hapo Juu Neno LIL CRUZ

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 หลายเดือนก่อน +31

    Mwalimu kwanini usipige kwenzi huyo mwanafunzi cjapentaaa toto gani halielewi😂😂😂❤

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 2 หลายเดือนก่อน +53

    Billnass ame chekesha 😂😂😂 sana kama unamkubali gonga like hapa 😂😂❤

  • @YAKWETU123
    @YAKWETU123 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ninahisi huzuni kutangaza kifo cha Shetani, ingawa ni jambo la kawaida katika muktadha wa maisha na kifo.

    • @matoboe5732
      @matoboe5732 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @SAWENTHEPOET
    @SAWENTHEPOET 2 หลายเดือนก่อน +12

    Billnass is getting better every single day ❤❤nice song . from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌

  • @SudyMwambola
    @SudyMwambola 2 หลายเดือนก่อน +13

    Namba moja mm apa Leo kama nyimbo ilivo jieleza

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 2 หลายเดือนก่อน +7

    Number yangu pendwa ni number 3 mziki mzuri kabisa nenga kinamba namba ((Simple🔥🔥🔥))

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 2 หลายเดือนก่อน +10

    Daaah kumbe idrisa na billnass niwa jama nilikuwa sijui mimi 🤷‍♂️😂

  • @wilondjaalimasi
    @wilondjaalimasi 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli mziki mzuri , wakucheza ,Ila aina ujumbe wowote ule , jamani mujaribu Ku thamini vya kwenu, na muache Ku iga vya wengine, bongo fleva is the best

  • @fatunam7721
    @fatunam7721 2 หลายเดือนก่อน +34

    😂😂😂😂😂Billinas na Idris you killed my ribs😂😂😂😂😂😂

  • @l.yricallyinclinedTV
    @l.yricallyinclinedTV 2 หลายเดือนก่อน +41

    Nipewe likes za nenga from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Hassannassir122
    @Hassannassir122 2 หลายเดือนก่อน +12

    Wapi like za wa 🇰🇪 kinapa juu👊💯

  • @GeorgeKwame-u1r
    @GeorgeKwame-u1r 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafki m2 akijipata2 mapovu ayawaishi muacheni kijana wawa2 mnamuandama kama chupi zenu unafki2 apo Kila m2 apray party yake sijui binadamu mpoje 🙌🙌

  • @Amani_felix
    @Amani_felix 2 หลายเดือนก่อน +7

    Tanzania fans let's gather here ❤

  • @sharob2169
    @sharob2169 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo mbaya kuwai kutokea kwenye historia ya mzikii wa Tanzania

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 2 หลายเดือนก่อน +4

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @Funky547
    @Funky547 2 หลายเดือนก่อน

    Watu tunamuombea Dua Allah amsamehe madhambi take😢😢😢 alafu wewe umeamua kutunga wimbo wa kudhihirisha zinaa aliyokuwa akifanya😮 yaani hata aliekuwa hajui sasa kupitia wimbo huu amejua 😢😢😢😢😢.

  • @CheloDangote
    @CheloDangote 2 หลายเดือนก่อน +9

    🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Goma Congo

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 หลายเดือนก่อน

      Fanya kunicheki kwa link yangu

  • @PriscaBernard-w7x
    @PriscaBernard-w7x 2 หลายเดือนก่อน

    Mjubaaaaaaaa nategemea kuona ukifungwa jera ya kimataifa maana umeuwaaaaaa

  • @Mimi_2910
    @Mimi_2910 2 หลายเดือนก่อน +5

    Those Nandy vocals ate 🔥🔥🔥🔥

  • @recapsultan24hr
    @recapsultan24hr 2 หลายเดือนก่อน

    4 Mr kinamba namba I wish Iphone toka nenga TRONIX kama utanii napata simu# kinamba nambaaa❤❤ namba 4

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jowzey katisha kwenye nafasi yake❤🎉

  • @zubeirbaia3227
    @zubeirbaia3227 หลายเดือนก่อน

    Kitu kikali kweli yani Big up kwenu wote

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 2 หลายเดือนก่อน +3

    Goma Kali sana

  • @MosesMwangi-qs1gp
    @MosesMwangi-qs1gp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba munipee like ya kinamba namba ya billnas kwa hii song tufike milioni mbili views ngonga like hapo tukisonga 👍👍

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ila idriss na bilnass 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @MusaEdwin
      @MusaEdwin 2 หลายเดือนก่อน

      video

  • @JumaMuhhamad
    @JumaMuhhamad 2 หลายเดือนก่อน

    Billnass Kiazi kweli ukitoka1,2,3,5. Na wakati ni 7.

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tulio ludia hiii video zaidi ya mala moja piga like

  • @mariumitolya9741
    @mariumitolya9741 8 วันที่ผ่านมา

    Inafundisha wewe bilnass we whozuuu mbona mkali

  • @amipogba6203
    @amipogba6203 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kinamba namba 💥💥💥🇧🇮✌️

  • @ShariphaSaid
    @ShariphaSaid 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana ukaribu wa hawa watu wote wako file🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @domydocta.
    @domydocta. 2 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 KiNamba Nambawiseeeeee

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa P diddy wasanii wanaenda kwa maelekezo ya mungu wao shetani, wanajua kabsa wanaenda kupgwa miti, na kuondoka na umaarufu.

    • @scholarmawala1403
      @scholarmawala1403 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa hii sms Yako Ina ihusiano Gani na huu wimbo.. mpuuzi kbs wewe .
      Watu wanasonga mbele ,wewe unarudii wapi yaani hata sikuelewi.

  • @abelntirandekura857
    @abelntirandekura857 2 หลายเดือนก่อน +2

    Best amapiano❤

  • @ireneKiposa
    @ireneKiposa 2 หลายเดือนก่อน +1

    2 ni namba ya bahati📌

  • @goramatz9488
    @goramatz9488 2 หลายเดือนก่อน +3

    GORAMA WAS HERE🔥🔥

  • @YuleBoy_King
    @YuleBoy_King 2 หลายเดือนก่อน

    Nenga noma sana ivi unamjua PUFF DAD aka did

  • @jeremiahpaul4404
    @jeremiahpaul4404 2 หลายเดือนก่อน +30

    Wakwanza 🇹🇿 naomba like ata 10 tyu

  • @hamisirajabu7207
    @hamisirajabu7207 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo z sasa hiv doh asee sijui wasanii wamekuwaje

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 2 หลายเดือนก่อน +3

    No 4🔥🔥🔥🔥

  • @Faraday13
    @Faraday13 2 หลายเดือนก่อน

    Mngetuwekea ka ulingo kidogo nenga !!❤

  • @FaridaKabusi-b1o
    @FaridaKabusi-b1o 2 หลายเดือนก่อน +3

    NAMBA 5 BOSS

    • @Nyimbo_Mpyaa
      @Nyimbo_Mpyaa 2 หลายเดือนก่อน

      @@FaridaKabusi-b1o search Hapo Juu Neno LIL CRUZ

  • @StevenStephano-c4b
    @StevenStephano-c4b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nengaaa Namba ya Bahati 5

    • @Nyimbo_Mpyaa
      @Nyimbo_Mpyaa 2 หลายเดือนก่อน

      @@StevenStephano-c4b search Hapo Juu Neno LIL CRUZ

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namba 3

  • @25Billion
    @25Billion 2 หลายเดือนก่อน

    This song so lit. From kE and I can tell you guys much love . nipeeni likes za Billnass

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namba 20

  • @msafejb
    @msafejb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Likes za bilnass from Kenya 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @Akili820
    @Akili820 2 หลายเดือนก่อน +27

    Nani anae mkubali nenga kama mimi? Acha basi like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️

  • @SasimZion
    @SasimZion 2 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka yamkini uivyoimba kidogo uchungu umeisha pole kaka a eeh

  • @RathiFlowersKE
    @RathiFlowersKE 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hi beat ipewe marioo, no justice to this beat.

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 2 หลายเดือนก่อน +1

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @digdemkingodi7282
    @digdemkingodi7282 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kali jomba💯

  • @ireneevarist826
    @ireneevarist826 2 หลายเดือนก่อน

    Namba ya bahati ni namba 4 tarehe ambayo nimezaliwa

  • @emmanuelstuart3738
    @emmanuelstuart3738 2 หลายเดือนก่อน +10

    Director unatuumiz macho na hizo effect

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 หลายเดือนก่อน

      Fanya kunicheki apo. Kwa link

  • @AnswarSalim-w7u
    @AnswarSalim-w7u หลายเดือนก่อน

    Miziki kwisha Sasa Mambo nikuhesabu nambari ndio ngoma...

  • @johnndengoofficial
    @johnndengoofficial 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namba mbili hapa bhana naomba gonga like yako chacha😂❤

  • @mccatty9217
    @mccatty9217 2 หลายเดือนก่อน

    Hii collabo ni hatary. Wameitendea haki ngoma, my luck number is 6

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nenga FC drop your comment 🇶🇦

  • @STERINGMAKOTI
    @STERINGMAKOTI 2 หลายเดือนก่อน +1

    💣💣💣 kalisana mm namba 7

  • @ylonlinetv3292
    @ylonlinetv3292 2 หลายเดือนก่อน +7

    GOOD VIDEO NICE SONG NATAKA COMMENT HI IPATE LIKE YA KILA SHABIKI WA MZIKI MZURI NA TUJE TUJAZE REPLY HAPA ❤❤❤❤🙌🏿🙌🏿🙌🏿

    • @AmapianoStyleOnly
      @AmapianoStyleOnly 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊

  • @mulangirakimerareaganstarbwoe
    @mulangirakimerareaganstarbwoe 2 หลายเดือนก่อน +2

    How many Ugandans 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 are here to listen & watch

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama ww unamkubali hiyo ngoma weka like hapa

  • @MalijitiMjami
    @MalijitiMjami 2 หลายเดือนก่อน

    Kweri mmetisha aiseeeeeeee mie namba5😍😍😍😍😍😍😍

  • @PaulineJoseph-e9r
    @PaulineJoseph-e9r 2 หลายเดือนก่อน +3

    Chupaa la kwendaa ❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥namba 1

  • @Neema-h8x
    @Neema-h8x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha 🔥

  • @gladygodwin3453
    @gladygodwin3453 2 หลายเดือนก่อน +3

    Professor kamchoka mwanafunz kabeba na ubao🤣🤣

  • @ArakazaOrialva
    @ArakazaOrialva 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Kwanza from burundi❤

  • @AminaTapwale-e5t
    @AminaTapwale-e5t 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama wewe sio tikiti kama billnass like hapa but billnass❤❤❤a.k.a watermelon

  • @BlassiusMapolu
    @BlassiusMapolu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi nmesikia umeulizwa “ww ni tikiti”😂😂🙌🏾💔

  • @irealyxchamdori596
    @irealyxchamdori596 2 หลายเดือนก่อน

    Mmeuaaaaa kwny ukwel tuseme ❤❤❤❤

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sho Madjozi Yuko wapi awake verse humu❤

  • @realpupanene
    @realpupanene 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namba 1 namba 2 namba 3 namba 4 🙌🏿🚀🔥

  • @RenzoJofre-my9lz
    @RenzoJofre-my9lz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi mzuli blo🎉

  • @osiahstimah
    @osiahstimah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Videos now days ni qaliiiii sanaaa❤❤❤❤

  • @SERIESCLIPS-m8i
    @SERIESCLIPS-m8i 2 หลายเดือนก่อน

    Namba nanee🙌🏽

  • @MilliamRobert-s3o
    @MilliamRobert-s3o หลายเดือนก่อน

    Mwbo wenu ni mmbaya sio kuliko wa samina ee

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ หลายเดือนก่อน

    vibe vibe gonga like hapa

  • @BallDancer
    @BallDancer 2 หลายเดือนก่อน

    10 minambanamba 🔥🔥

  • @mohamedykibwana9908
    @mohamedykibwana9908 29 วันที่ผ่านมา

    Whozu entrance is 🔥

  • @teddygilosa4935
    @teddygilosa4935 2 หลายเดือนก่อน

    No 4 ni no yangu ya bahati

  • @MansuruGad
    @MansuruGad 2 หลายเดือนก่อน

    Much love from Congo gonga likes hapa

  • @Kichii_kithaks25
    @Kichii_kithaks25 2 หลายเดือนก่อน +1

    Listening from 🇰🇪🔥

  • @OlivierLocky
    @OlivierLocky 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namba saba 7 ✌️

  • @backleydastan
    @backleydastan 2 หลายเดือนก่อน

    Namba Mojaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!

  • @Taryngolle-ij2tb
    @Taryngolle-ij2tb 2 หลายเดือนก่อน

    Namba 1 namba 2 namba 3 Swahili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊🐐🐐🐐🐐

  • @AshaMchuwa
    @AshaMchuwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa bilnass ana miama mingapi 😁😁 iyo ndio namba yangu

  • @bernieherman2566
    @bernieherman2566 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yan mecheka idris na baba naya jaman kaah uyo mwalimu nomaaa😂😂😂

  • @MohamedAbdallah-o5i
    @MohamedAbdallah-o5i 2 หลายเดือนก่อน

    kinamba namba on 🔥

  • @DanishKillo7-n6n
    @DanishKillo7-n6n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma ❤

  • @LevinaBasil
    @LevinaBasil 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa bureeeee❤❤❤

  • @ZzikoliaKE
    @ZzikoliaKE 2 หลายเดือนก่อน

    GOOD VIBE HERE FROM KENYA.

  • @kenyanlilbaby1142
    @kenyanlilbaby1142 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mistari ya kiupuzi tu 😢

  • @lazaromwambene4516
    @lazaromwambene4516 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipendaa sana hii video

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha wanangu🔥

  • @MethodMgaya-b9d
    @MethodMgaya-b9d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama na wew umekuja kutazama hii video baada ya kuona post ya mwijaku gonga like hapa

  • @MellowBoytz-tc9er
    @MellowBoytz-tc9er 2 หลายเดือนก่อน

    Bill 💵 nass noma sana 😅 this song best song vibes

  • @paulcosmas2317
    @paulcosmas2317 2 หลายเดือนก่อน

    Kinamba namba chiiiii