dah aisee miraji uko vizuri sana yaaani unaongea ukweli na facts, pre season ya simba na yanga ni malengo mawili tofauti huyu anatengeneza timu na huyu anaangalia madhaifu ya timu na kuimalisha sasa wachambuzi wetu hawayajui haya maskini sijui huwa wanafikiria nini hawa watu , simba hawezi akacheza na mamelod mechi ya kwanza tu na wakati kocha bado anapanga mifumo je hamuoni kwamba akicheza na timu kubwa alfu akafungwa magoli mengi hii inaweza ikawaathiri wachezaji wageni? ebu tuwe na uwelewa basi anachokifanya simba ni sahii kabisa na vile vile anachokifanya yanga ni sahihi kwa mahitaji ya yanga hebu tuondoe ushabiki kwenye uchambuzi big up kaka miraji
Haya mbona yanalingana na ya fesal, msameheni kibu bado mdogo mwacheni akatafute riziki yake, si mlilaumu sana Yanga walipomgomea fesal mkidai anaonewa ila mkataba wake na Yanga ulikuwa bado haujaisha, mwambieni arudishe arudishe njulu.
Huyo a naenda kujimaliza Lana sio nzuri
Miraji mwanangu kikulacho kinguoni mwako, wachezaji wamepewa thank you viongozi je, watatuvurugia team toeni hiyo kikulacho bila ya hivyo mmmh
Kweli huo ni utovu wa nizamu tuna omba viongozi wa munyoshe Ili uwe mfano kwa wengine ubaya ubwela
aise inauma maana sana
Hakuna Cha marekani mipango imeanzia hapa tz
Miraji mimi nipo Norway Kibu ameshapata Uraia wa huku sasa hivi jina lake Daniel Saruga ujuwe hivyo
Uyo asitupe shida ata asiporud
dah aisee miraji uko vizuri sana yaaani unaongea ukweli na facts, pre season ya simba na yanga ni malengo mawili tofauti huyu anatengeneza timu na huyu anaangalia madhaifu ya timu na kuimalisha sasa wachambuzi wetu hawayajui haya maskini sijui huwa wanafikiria nini hawa watu , simba hawezi akacheza na mamelod mechi ya kwanza tu na wakati kocha bado anapanga mifumo je hamuoni kwamba akicheza na timu kubwa alfu akafungwa magoli mengi hii inaweza ikawaathiri wachezaji wageni? ebu tuwe na uwelewa basi anachokifanya simba ni sahii kabisa na vile vile anachokifanya yanga ni sahihi kwa mahitaji ya yanga hebu tuondoe ushabiki kwenye uchambuzi big up kaka miraji
Acha dawa iwaingie 😂😂😂😂😂😂
Kwel kaka nimekuelewa sn
Msenge yule aludishe ela kuma la mama ake
Boss baada ya hapa kunamaisha tulza akili wapo watu hadi sasa asila na ulimi umewaponza
Ni pesa ya babako ao ya mo?huyu ni mpira bro pinguza ushamba
Makasiriko fc.
Haya mbona yanalingana na ya fesal, msameheni kibu bado mdogo mwacheni akatafute riziki yake, si mlilaumu sana Yanga walipomgomea fesal mkidai anaonewa ila mkataba wake na Yanga ulikuwa bado haujaisha, mwambieni arudishe arudishe njulu.
Ni tofaut huyu kibu kasain mkataba kw matakwa yake anayoyataka siomkataba mwanzo ni wapili lkn fei ilikuw ni mkataba wa mwanzo wa njaa
Rudi shule ukasomee sheria ya mpira. Faisal alifuata utaratibu ,kibu katumia ubavu na utapeli
We akili ndo huna think before talk
kwa kibu yanauma ila kwa Feisal ulifurahia maripo nihapahapa duniani
Kibu mhuni apewe adhabu Kali afungiwe kwanza ni tapeli Simba ni kubwa kuliko kibu toeni adhabu Ili na wachezaji wengine wasifanye hivyo wasituvuruge
UBAYA UBWELA MSIMU HUU HATUMWANGALII MTU MACHONI
Hawa watu au wachezaji WA aina hii wameusika kuhijumu ssc kipindi cha mwisho k he is stupid