Melody Mbassa una kipaji kikubwa cha muziki. Mungu akutunze ukue zaidi kimuziki. Muunganiko wa sauti yako na ya Papii ulileta sauti tamu sana ya kuburudisha. Fanyeni collabo zaidi, ikiwezekana muwe bendi moja. Papii kocha nae hapoi, ameitendea haki verse ya kwanza kwa sauti tamu yenye ladha akiyalilia mapenzi aliyopata awali. Wimbo hauchoshi kuusikiliza.
Kideo kikali mnoooooooh km pilau LA kuku.... Halafu kitu kingine hizi voko ata nilikua cjui nani kafungua song mamaee nilikua najiuliza papii kaimba wapiiii!? Kumbe ndio kafungua
Melody mbassa video mpya lin au piga kolabo nyingine na Christian bella itabamba sana aaah nimekumbuka au twanga pepeta unawaonaje achia bas ngoma mpya sie tumemis melodi yako tamu masikion mwetu mashabik zako tunakupenda sana ❤❤❤❤
Nyimbo nzuri sana imenifanya niipige siku nzima, hongera sana Melody Mbasa. Pale inapoishia ungeiacha vyombo viimbe ingechezeka vizuri sana hata kwenye kumbi za music
Asante kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono mungu awabariki sana🙏🏾
Nice Song Bro,,,,,endelea kutupa burudani bro.
Karibia kila siku lazma niisikilize hii nyimbo na ile ya BEBE
Unajua
great song sijui kama watu wameuelewa kama navyouelewa....una sauti nzuri sana keep it up
Toa nyingine na nyingine...kiu ya masound mbassa..
Lete vitu
Tupo pamoj melody
Kama unaamini melody ni msanii mwenye sauti nzuri LIKE zenu tafadhali
mziki mzuri sana
Nyimbo za maana huwa na viewers wachache, Nani kagundua hili????
Ajabu na kweli🤣🤣
Watu wanapenda kuimbiwa matusi na kuona Dada zetu wanaonesha uchi wao
Mimi Yani nyimbo zake nasikiliza kabla sija lala nanikiamuka hivyo sauti yake ❤️❤️❤️🥰✨
Kabisa bro
Hongera kijana nifata nikiwa Kinshasa drc na fkiri Kama skosei niliwai kukuona forty forty tabata kule tanzanie mwaka juzy kipindi nipo tanzanie
Nyimbo kali haipew airtime ...bonge la ngoma
Ngoma kali
Nakuelewa sana kaka mpaka shemeji yako anakasirika mana ndani nyimbo zako kila saa
ngoma kali nashangaa ina views kdg
Melody Mbassa una kipaji kikubwa cha muziki. Mungu akutunze ukue zaidi kimuziki. Muunganiko wa sauti yako na ya Papii ulileta sauti tamu sana ya kuburudisha. Fanyeni collabo zaidi, ikiwezekana muwe bendi moja. Papii kocha nae hapoi, ameitendea haki verse ya kwanza kwa sauti tamu yenye ladha akiyalilia mapenzi aliyopata awali. Wimbo hauchoshi kuusikiliza.
Unafeli wap mdogo wangu?kila kitu unacho yni mpaka nachanganyikiwa
Jaman wimbo mzur lkn hauna viewers
Mda mrefu sanaa sijapata radha adimu kama hz ama kweli pilau la kuku wa kienyeji
Ebanae nomasana huyuma atari sana dah
MZIKI MZURI SANA
Good boy mziki mzuri video kari so wastaiki pongezi mkaka
Woyoooo safi
Papii 2mekumiss ujue
Sijawahi choka kuisikiliza hii nyimbo hongera San bro 🙌🙏
Kiwango cha juu sana Naipenda hii kuisikia tu dah Melody + Sauti ni dunia nyingine big up san .
Naskia sauti yako ikipenya moyoni mwangu mungu akutunze
Bonge ya ngoma hatariiii sana dahhh
Hongera sana kaka yani nyimbo sijawai kuicho kiskiliza sema nashidwa download video yake
Upepo unafanya maua yachanue mapenzi yafanya mimi nisitulie
Big up Papii Mbassa
Ila papiiiiiiiy atari sana wwew ni unachembechembe za kikongo kweli by the way mmi nishabiki wako darasa la 5 mpa sasa ni mtu mzima
Ngoma kali, mwanangu kaza sana aysee🤸♀️
Kazi nzuri ya kuburudisha moyo inasuzika
Melody na Papi, what a combination, this is what we call a collabo. Sauti zmepangwa vizuri. 100% love it
Nikisikiliza nyinbo zako huwa lazima nitokwe na machozi aisee
Nyimbo nzuri sana
Erasto machine atabaki kuwa producer mkali Maana utamu wa mziki ninao usikiliza hapa ni Siri yangu 😂 😂
Kabisaaa
Kila usiku nilalapo nasikiliza upepo na nikukoleze
Nipo apa 2023 and am enjoying this exciting melodies 🔥🔥
Kati ya waimbaji ninaowaelewa bongofleva ni wewe jamaa
Video nxuri sana sema mlichelewa kutoa video
Wow!najisikiaga raha sana huwa nikisiliza melodi tamu kamahizi haki mnajua sana big up for you guys
Nice song swahiba me bd naitaji sn sauti yk masikioni kwng.. bro..
Clouds wamenifanya niitafute hi song imenigusaaa kinomaaa story yangu
Tuko wengi kumbe
Namkubali Sana huyu jamaaa jamani dah
Bonge song aisee uko na sauti nzuri mno ila naomba ufanye kolabo na Cristian bella
Mamae nakukubali sana mzee mungu akufikishe mbali
Oyooooo asanteeeeeeeeeeeee
Kama hii ngoma imekugusa gonga like
Mzee unakwama wapi kuweka hii nyimbo Apple Music aiseee nyimbo kali sana aisee haistahili kufanywa ndogo kiivo.
Kideo kikali mnoooooooh km pilau LA kuku.... Halafu kitu kingine hizi voko ata nilikua cjui nani kafungua song mamaee nilikua najiuliza papii kaimba wapiiii!? Kumbe ndio kafungua
Uko vizur yaan nimebahatika kukusikia azam ukwel hii mizik ya wakubwa da!
Hii ngoma naikubali saaan ❤❤❤
hii video haijautendea wimbo haki, ila all in all mwanzo mzuri
Nyimbo iko hot sanaaaa...... Kazi nzurii
Huu wimbo hatari,sio pw
wimbo ambao sichoki kuusikiliza kazi zako nimezipenda sana unaujua miziki jamaa
Hizo sauti ni balaaa saaana. Mungu awape maisha marefu yenye heri na baraka tele
Daaah cjui kaka hata upewe jina gani .....ni hatareee ....aseee
www mbona ni mkal San hizo ndio nyimbo zako nyimbo nzuri sana
Km pilau la kuku mamaeee bado tupo pale
Iki kipaji toka kwa mola 🙏
Dah ni hatari sana kaka
Papii kocha ndo nasikia hii nyimbo mwaka huu dah umeitendea haki sana kwenye ule ubora wako kabisa
Sijawai kuichoka hii nyimbo kwanza kiswahili kimeenda shule dah nataman siku niione live inkuaje
Papi mungu anajua kutuludishia sautiyako
Ngoma ya Moto sana hii
😂😂nilikuwa nakwenda mpanda nasikiliza hii song 😂😂 dah!! Mapenzi haya❤😂😢😅
Hongera sana, nimekubaliana na vocal arrangements ziko poa
Muziki ulikuwa muziki. Ngoma kali
melody mbasa na papi kocha mko juu sana mimi sielewagi nyimbo za tz ila melody mbasa na papi kocha nawaelewa sana
uko vzr sana melody
Wimbo bora sana king mbassa
Mungu akupe hatua kubwa zaidi bext
Wimbo nzuri
Melody mbassa video mpya lin au piga kolabo nyingine na Christian bella itabamba sana aaah nimekumbuka au twanga pepeta unawaonaje achia bas ngoma mpya sie tumemis melodi yako tamu masikion mwetu mashabik zako tunakupenda sana ❤❤❤❤
Nina EP mpya Stream or download " MOTO (Full EP)" by Melody Mbassa on BOOMPLAY MUSIC 👇🏿👇🏿hapa www.boomplaymusic.com/share/album/14535736
It's an sadness song but it sounds good
enzi yako ulikuwa shida
I like rhumba music
I like this song 💕💕💕💕🎶
It's a good song
Kaz nzuri san ,bro
ngoma ya moto sana
Reminds me of Bushoke 🎉, great sounds fire, keep pushing son
Unatisha mwangu
Ngoma Kali sana
Good songs bless
Nice song to me
HII NYIMBO NI KALI SANA, TIMU KIBA, TIMU WCB, TIMU XXL, TIME BSL, GUYS SHARE HII NGOMA TUINUE VIPAJI VIPYA #SHOW LOVE
Melody.....big up sana ngoma ni kali vidio iko poa pia.....Dondoshaaaaaaaa!/ upepo kweli!
nakubali nyimbo nzuri sana pamoja na video zinaendana
Ukiona nimecoment jua umeweza. Pambana mzee unaweza.
Wakala forty forty pub. Kaka unazidi kutuaminisha unaweze kwa hii video umeweza ni 🔥🔥🔥🔥🔥👀💪💪💪
Hili ni jiwe la mwaka nyie jamaa msikae mbali mbali huu wimbo uwaunganishe daima hongereni sana wimbo hauchoshi 😇🔥🔥🔥
Video Kali Sana #upepo big up
Melody Mbassa Umeniweka sehemu sahihi kwa Muda mrefu...Thank you.
Sana mkuu umetishaaaa
Nyimbo kali sana...naona unataka kuwa Christian Bella...ila video umeniangusha kidogo...ila big up saaaana...naanza kukufuatilia
Nyimbo nzuli
Za kiutu uzima▶️▶️
Ukisikiza kwa audio tu unaweza usijue nani kaimba verse na chorus sauti zao zinafanana
Naskiliza muda wote hii nyimbo inagusa sn maisha yako
this banger is absolutely underrated , it should have surpassed 9m viewers
Wimbo mzurii🎉❤
Nyimbo Zuri sana ongela
Nyimbo nzuri sana imenifanya niipige siku nzima, hongera sana Melody Mbasa. Pale inapoishia ungeiacha vyombo viimbe ingechezeka vizuri sana hata kwenye kumbi za music
Nice song nice melody I'm enjoy #bigup&keepitup
Hatari sana melody
Huu wimbo upo very deep
daa hili jimbo kali kama tupo kinshasa big up. excited 😘