Safari Sio Kifo - AKUDO IMPACT (Official HQ Audio Song) - Akudo Impact Singles
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2015
- Buy it from iTunes: geo.itunes.apple.com/in/album...
Catch the exclusive song "Safari Sio Kifo" sung by AKUDO IMPACT from the Album "Akudo Impact Singles". SUBSCRIBE Mziiki For timeless African Music | bit.ly/MziikiTube
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Visit MziikiTube channel for unlimited entertainment: / mziikitube
Like us on Facebook: / mziiki
Follow us on Twitter: / mziiki
Circle us on G+: plus.google.com/+Mziikiapp
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com - เพลง
2024 wapo kweli💪
Tuliorudi hapa June 2024
2023 tujuane
April 1 2023 still am listening ❤
2020 😍 hit like
Hapa Bella aliimba jaman dah haujawi kuchuja kwangu
The year is 2005-2006 Tanzania Stars on Radio Free Africa! Life was so so nice!
Nan anasikikiza muziki mzuri kama mim August 2020 !?
Dec2022 🔥🔥🔥🔥🔥💛💚💛💚
Nani anasikiliza musiki muzuri 2021 gonga like twende sawa
2023
😂😂😂hii nikali mno
3/1/2023
Nani yupo hapa 2020
Mambo zen u kwema nailiza ili kundi linapatikana wap
2024
I send FOR my LOVELY wife
2023 ?
Naipenda Inanikumbusha mbari
2020 bado naukubali wimbo sana
Naomba mnisaidie nilipat hii bendi
Dah hii nyimbo kwangu haichuji 🎉🎉🎉🎉
Uyu jamaaa Atari, mzee was masaut
2021 nani bado anasikiliza
Mm
Wapenda soft music tunaiskiza
Naisikiliza hata Leo 2021
Oya nipo nakunywa pombe hapa NAPENDA SANAA CHRISTIAN BELA ❤HADI LEO
Mimi Samaki makazi yng baharini umenipeleka jangwani nitaishi kwelii
Mariam Salum haaaa hapo chacha
Kweli. Nitaishi vipi wakati makazi yangu majini
Mariam Salum nimekuelewa
Duuh!!sometimes safar n kifo kbs aliniaga akiwa anaelekea ktk majukumu ya kikaz lkn ndo ilikuwa safar yake ya moja kwa moja ckuamin
Nakumbuka mbali sana hii nyimbo nilikiw chapombe sna ila sas da Mungu mwema sigusi
Haha hongera dear mimi pia naacha pombe 😍
Mungu anaweza yote.hata mm enzi hizo nyantare bar tabata bima.
Mama Alvin ntaludi safari sio kifo
Gonga like kama unacheck hii 2021
Any one listening this song in 2022?
Here
dah...Aisee hpo kale music was sweetie....❤❤❤❤
Naipenda saaaaaana NC
Mimi hapa
Humu Christian Bella alitia fora sana sana.Kipande pia alichoimba Allan kabasele ni kitamu saaaana.Watupiaji wengine kama SURA YA MVUTO NA Masela wametisha kwa kweli.Wapiga magitaa, drums, tumba, kinanda hakika kazi nzuri sana.Studio work nayo nzuri kweli.Tunaimiss sana hii bendi
Chrstian bella
Nani yupo hapa 2019
Mimi mpaka hivi sasa mimi nausikiliza hivi ninavyokutumia ujumbe huu. Mimi mpaka mauti yangu ndo kikomo ya muziki huu wa Mh. Prof Christian Bella. Acha tu bwana USIPIME kwa huyu jamaa!!!!
Nice Cristian bella penda mno music yako
2023
Haijawahii nichoshaa hii nyimbo
Nyimbo muzuri
Listening to this song waiting for my hubby two years he has been away ......najua utakuja tu
2 years? Kuna vijana wanapata pata tenda huku ukimsubiri 🤔🤔🤔
Did he come back?
Amerudi??
💝🖤💛💙💚💟💜💛🐁napenda Sana ngoma hii
naukubali sana
Ninaweza kufa kwa ajili yako.......
wangapi tupo pamoja Atari sana
Safi sana na kazi iendelee 2020
2023bado tunaenjoy na hii nyimbo 😘😘😘
Tuko ote mwamba
Huu wimbo niliufaham kupitia bus za New force wakat natoka Arusha -mbeya nilikua nasoma chuo
Angelina Simchimba angelina upo?
Nomaaa madam,,,naomba namba ako nimekukumbuka
16.12.2022 best of the best Melody ✍️
2020 Safari sio kifo bado iko poaa like za bella hapa
Nipo hapa hadi mwisho wa maisha...!!!
Poa sana hii.
I will never stop listening to this song.
Thanks Akudo.
2021 let's go
Naipenda saana nymbo za huyu jamaa hasa za wakat huo
23Oct 2020
Love this Guy's songs anajua sanaaaa big up Bella u are my role model
Kklaj my la lol kk ok kk kk kllk kk kkkklllklllkh ok kk kk kk m lkk ok A man j kkl kkkkkj kkk mmk kk my kk kllk kn me kllk on me ll lol kkl in hllb
hii nyimbo kali aisee..
Shule ya masauti
Mnani kumbusha mbali sana Acudo nice
I like
King of the best melody
Uyu chaliii fireeeee
Mm njimbo nzima napenda
favorite
+Jamila Millas #ListenLoveShare
Jamila Millas jamila upo?
Jamila Millas
Po
Nice music🚗
Ilikuwa hatari cna miaka
Akudo Impact kazi nzuri sana
Safari sio kifo 2021
❤
good sana
Nice
My Veronica viziri kabisa
Nakulilia sanaaaa
26/06/2024
penda sana akudo
Ku,eka mkono kwenye shavu kwangu ni kawaida! Hapo yupo tanesco? Safi sana akudo
This guy oo
iyongoma hatarikama sio balaha
Twangapepeta
Upo vzuri
Sauti nyororo 👍
Huyo hana mpinzani
Good song...!
Mim samaki makazi yangu baharin umenipeleka jangwani ntaishi kweli
2023 let's go
Ameondoka jaman 26/5/2021 popote pale u lipo ujue bado nakupenda salma wangu 😭😭
2020 naisikiliza hii kitu
2023 🎉🎉🎉
Atarii sana awa jamaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ music long time ago,,
Mzee wa masauti
Safari sio kifo September 2021
2023❤
Hello summer
Mpk leo 3/7/2022 haichuji ata 💯🎊
Nasikiya mziki mzuri 2022
Mimi samaki makazi yangu baharini,umenipeleka jangwani nitaiahi kweli?
Wimbo bora nasikiliza 23.9.2022
2021❤❤❤
I have a CD of this. (I think)
❤❤❤
2020 november👍🏻
Nzuri sana 14.12.2018
Dec2022 🔥🔥🔥🔥💛💚💛💚
🔥🔥2023
Bado Niko hapa 22/12/2021
Goood
Hakuna kama Christiani bell
2020
jamaa ameandika san humu
2020 word up?
2022😍😍
Hamonaiz