Peter msechu ft Amin Nyota ❨official music video❩ directed by einxer

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Song title; NYOTA
    Song writers; PETER MSECHU & AMINI
    Audio producer; AMYZ/C9 RECORDS
    Video director; EINXER

ความคิดเห็น • 759

  • @goldenpoze
    @goldenpoze 9 หลายเดือนก่อน +101

    It’s 2024 and it’s still a hot banger🔥🔥👏

  • @bizzonganilevanu9330
    @bizzonganilevanu9330 8 หลายเดือนก่อน +72

    2024 nipe like zang

  • @perfectchikwende1707
    @perfectchikwende1707 5 หลายเดือนก่อน +56

    2024 kama uko live na goma kali kama hili piga like yako kibabee

  • @luluanania-cb1bw
    @luluanania-cb1bw 6 หลายเดือนก่อน +140

    Tunaongalia huu wimbo 2024 like hapa❤

    • @HelenProtas
      @HelenProtas 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ngoma noma Sana ❤❤

    • @DOMINICUSHAULE-xr3em
      @DOMINICUSHAULE-xr3em หลายเดือนก่อน +1

      2024 September still 👀 Nyota naing'ae

    • @bradorobert8967
      @bradorobert8967 8 วันที่ผ่านมา

      Mm naangalia huu ni mwaka 2016 bado sijafika 2024

  • @ndegeboe7883
    @ndegeboe7883 6 หลายเดือนก่อน +34

    .......2024 hii ngoma 🔥

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 4 หลายเดือนก่อน +16

    Nipo hapa kuwajua wanaoangilia 2024

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 5 หลายเดือนก่อน +50

    Nipo 2024 ngonga like

  • @jumachanewstrends6899
    @jumachanewstrends6899 4 ปีที่แล้ว +237

    Uliye husika kuungalia huu wimbo 2020 naomba tupiaa like ako hapoo

  • @dicksonbonyi9559
    @dicksonbonyi9559 ปีที่แล้ว +36

    It's 2023, april.but this song hits as if it's new.its a timeless jam.

  • @mbotasimon7188
    @mbotasimon7188 9 ปีที่แล้ว +21

    Kwa wale tunaojua mziki huu ndy mziki ambao hauwezi kufa hata siku moja, kuanzia Melody mpaka waimbaji ni raha tupu, ila watanzania wengi hawajui muzik ila wanajua kelele za muzik that's why kuna baadhi ya wanamuzik wanaoneka wanajua kuliko hawa wenye vipaji vya mziki not only that pia mziki umeshiliwa na watu bila wao mtu huwezi kunufaika na kipaji chako,unadhani kama kweli watanzania wanajua mziki na biashara ya mziki ikawa free bila kushikiliwa na watu wachache si hv vipaji vya msechu na Amini wangekuwa milionea kuliko hv ambavyo unawaona wanapiga mziki wa kuganga na njaa, Amini and Msechu nawakubali sana kaka,msijali kuna siku ukweli utajulikana, like kama tuko pamoja kwa wale wanaojua mziki

  • @fredythomas1848
    @fredythomas1848 ปีที่แล้ว +24

    Naikubali sana ii ngoma 2023 gonga like hapa

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue 4 หลายเดือนก่อน +12

    Bado tupo nao 2024❤❤❤

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 ปีที่แล้ว +91

    Tunao upenda huu wimbo bado 2019 achia like

  • @lafredoh2953
    @lafredoh2953 4 ปีที่แล้ว +125

    The chemistry of those two guys is amizing...who's still watching this ngoma 2020..gonga like ya nguvu apa!

  • @isabhatototwin6542
    @isabhatototwin6542 4 หลายเดือนก่อน +2

    best of all time ( Nyota na ing'ae kwako we bwana amini...nakuombea bado 2024🎉😢

  • @zumibrown1939
    @zumibrown1939 9 ปีที่แล้ว +2

    Amin na Msechu,kwakweli nawakubali,dah....mungu azidi kuwapaisha kwakweli,nikimfikiria Linah,cjui kwanini aliamua kutemana na Amin kwakweli

  • @jofreyMsangwa
    @jofreyMsangwa 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba like za kutosha 2023 tunao cheki ngoma hii

  • @rakshiminimakuka9802
    @rakshiminimakuka9802 2 ปีที่แล้ว +11

    Ambao bado wanangalia ngoma hii mwaka huu naomba like

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 7 หลายเดือนก่อน +2

    Namkumbuka dj arungu aiseee whose 2024

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n หลายเดือนก่อน +1

    Me bad najipenda ii nyimb

  • @josephmagembe4294
    @josephmagembe4294 7 หลายเดือนก่อน +3

    Daah amazing song❤

  • @isaacluvanda5022
    @isaacluvanda5022 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika .ni wimbo unao ishi ,living song .gonga like kama unakubaliana

  • @suinance-jr
    @suinance-jr ปีที่แล้ว +16

    It's 2023 and still I feel blessed listening to this song🙏

  • @tuzungumzeafya
    @tuzungumzeafya 6 หลายเดือนก่อน +4

    Here 2024 song is stil hot 🔥

  • @sirsuarez5162
    @sirsuarez5162 2 ปีที่แล้ว +1

    Anacho Fanya ni kucheza mechi yake

  • @victormgaya708
    @victormgaya708 9 ปีที่แล้ว +33

    kaka ujumbe umefika kwa jamii, umewagusa wengi hasa wenye ndoa zenye matatizo, wakisikiliza ujumbe huu wanavamiwa na machozi.
    PAMOJA SANA

    • @maverickcreativesolutions8285
      @maverickcreativesolutions8285 4 ปีที่แล้ว

      Ukilinganisha huu mziki na mziki wa sasa unaona tu tofauti hauhitaji nguvu nyingi kutambua. hii nyimbo unaisikiliza hata na mzee wako. unajenga na wala matusi hakuna. good stuff

  • @charlessimon7728
    @charlessimon7728 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuja kuview na mimi mwaka 2021

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo vocal inayomalizia kwa mbaaali inaonyesha kweli msechu noma!

  • @samwelykashililika6530
    @samwelykashililika6530 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kutimiza viewers million 1

  • @morama7jr559
    @morama7jr559 4 ปีที่แล้ว +19

    2020 bado tunaitumia hii ngoma kwenye playlist zetu.

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 4 หลายเดือนก่อน +2

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    2024
    Everlasting masterpiece🎉❤

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 3 ปีที่แล้ว +3

    Wote tulio upa seport huu wimbo mpka elf 2020 tia comment hapa niambie umegundua nini mimi natamani hawa jamaa waungane kama rostam

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 15 วันที่ผ่านมา

    Sijui bado mnaendelea kuvumilia mpaka leo.

  • @AbrahmanAdballah-xm1yc
    @AbrahmanAdballah-xm1yc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge la ngoma kama uwelewi utaelewa tu Bigap

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 ปีที่แล้ว +1

    Narudi rudia tu kuusikiza maana nahisi wameniimbia mm kwa yalionikuta

    • @charleslabani1693
      @charleslabani1693 3 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja apa mesikiliza toka asubui na naurudia rudia kila mda

  • @hansmswagara2789
    @hansmswagara2789 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yamenikut imenibidi nije kuichek hii 2024 iko pw sn

  • @wemamahulidiy2029
    @wemamahulidiy2029 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana brow maana hii nyimbo ina mafundisho

  • @erickngwavi7354
    @erickngwavi7354 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ndio mziki wa tanganyika huu wa sasa ni watanzania gonga like 2024

  • @emmanuelkarera7155
    @emmanuelkarera7155 4 ปีที่แล้ว +1

    Amini Amini una sauti amaizing Sana yaan after Alikiba unaweza kuwa Ni wewe, ila unafanya mzaha na muziki huu jaribu kutoa nyimbo serious hasa usikae Sana toa nyimbo Mara kwa Mara na shirikisha watu akina mr.blue na kiba mwenyewe, Mimi mwenyewe Ni mshabiki wako mkubwa Sana naumia kuona uko kimya jaribu usikubali kuwekwa chini ng'ang'ania kwenye chati kaka

  • @Consolata-s3u
    @Consolata-s3u 2 วันที่ผ่านมา

    Naipenda Sana hii nyimbo. ❤❤❤❤

  • @ruthhamza3366
    @ruthhamza3366 9 ปีที่แล้ว

    Kwa kwel wimbo huu umetulia, hauniish hamu kuuckiliza, kaz nzur saana

  • @mr.baraka5085
    @mr.baraka5085 2 หลายเดือนก่อน

    "Nyota na ing'ae msechu weeeeeeeeeeeeee", kesho usiku na mchana Amini weeeee

  • @Chiefmukama
    @Chiefmukama 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hapa kushuhudia 1M after six years

  • @edgarmagogozwa9175
    @edgarmagogozwa9175 ปีที่แล้ว +1

    Moja ya wimbo wangu bora wa muda wote🔥🔥🔥

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuliokuj baada dozen selection

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 3 ปีที่แล้ว +5

    Baada ya 1M nimekuja kuangalia tena 🔥🔥🔥

  • @neemasulle4548
    @neemasulle4548 3 ปีที่แล้ว +2

    Ninekuongezeaaa viewers 😂😂😂 Una milioniii na moja😂🙆🏽‍♀️

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 ปีที่แล้ว +1

    Nyota naing'aeee kwakoeee nakuombeaaa

  • @kibibimimi3927
    @kibibimimi3927 ปีที่แล้ว +1

    kazi hii ilinipoza sana moyo miaka ile ya mateso

  • @mussamwita2155
    @mussamwita2155 9 ปีที่แล้ว +1

    Msechu umetisha sana kaza buti utafika mbali

  • @mdl6463
    @mdl6463 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi siwezi kuvumilia ujinga anakuja na mshikaji wake naona lazima niwachinje chinje siwezi kabisa

  • @fredylickykayansikorey6937
    @fredylickykayansikorey6937 7 ปีที่แล้ว +1

    brother umefanya vizuri mpaka nimekukubali xana zidi kutoa nyingine mzuri zaidi ya hz

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimerudi kuuangalia huu wimbo na kuuskiliza

  • @nuruhnyiti3190
    @nuruhnyiti3190 3 ปีที่แล้ว +25

    2021 but still hot

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 9 ปีที่แล้ว +68

    Nimeipenda sana hii Peter msechu, ni yanayonitokea sasa

  • @georgemasumbigana7434
    @georgemasumbigana7434 3 ปีที่แล้ว +1

    😒😒 kam nimeimbiwa mimi vile hii nyimbo

  • @jumalichawi4223
    @jumalichawi4223 9 ปีที่แล้ว +1

    Msechu upo juu huu wimbo umetulia.

  • @princemazani4066
    @princemazani4066 3 ปีที่แล้ว +10

    From Zimbabwe and l love this song still watching 2021 👌

  • @johnsonpaulo2933
    @johnsonpaulo2933 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzur # Amos msechu team

  • @ezeckielsyantata1295
    @ezeckielsyantata1295 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizi ndio nyimbo zinazoishi miaka na miaka

  • @malitoally6389
    @malitoally6389 4 ปีที่แล้ว

    Huuu wimbo unanikumbusha mbali san aliondoka akaniacha peke yangu

  • @rehemaurungu1219
    @rehemaurungu1219 10 หลายเดือนก่อน

    Wlikutana mafundi tupu yaan Huwa sichoki kuusikiliza huu wimbo😊

  • @Mrs.Adam7
    @Mrs.Adam7 3 ปีที่แล้ว +2

    Niko hapa baada ya ngoma kuhit 1M😃 🔥 🔥 🔥🔥🔥

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 9 หลายเดือนก่อน

    2024 nimekuja kusikiliza nyimbo nzuri kutoka kwa Msechu

  • @Clementsimbila
    @Clementsimbila 5 ปีที่แล้ว +28

    who else in 2019???

    • @simbadaudi492
      @simbadaudi492 5 ปีที่แล้ว

      Ameshachora mas tatooo tatooo mpenzi wake mdanganyi hahaha kazi kwelikweeli

  • @josephatmitimingi3016
    @josephatmitimingi3016 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika kwa wote si mwanaume au mwanamke. Ila🥰🥰🥰

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 4 หลายเดือนก่อน

    Such an underated gem.❤🎉

  • @jumawaziri4217
    @jumawaziri4217 9 ปีที่แล้ว +18

    Huu wimbo ndio umekuwa chakula cha masikio yangu kwa sasa

  • @BernardMombuli
    @BernardMombuli 10 หลายเดือนก่อน

    Mr msechu usikae kimya toa njimbo kali zaidi ya hii

  • @abm4183
    @abm4183 9 ปีที่แล้ว +23

    Nyota na ing'ae kwako weee nakuombeaa wao wao waooooo duuh bonge la ngoma...msechu na amin mmeua...yani kazi nzuri mno great music everything on point...sichoki kusikiliza yani naimba hata nikiwa bafuni...keep up the good spirit...msechu yo funny tho mwishoni pale wakati unabugia nyama sijui kuku ileee lol...

  • @mudysalum4093
    @mudysalum4093 8 ปีที่แล้ว

    Mudy Salum kaka ongeza bidii wimbo nyota ukojuu safi sana

  • @edwardshirima5063
    @edwardshirima5063 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulie angaliaa huu wimbo 2021 usipite bila kutupia like

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mkali sana huu, 2024 mpaka leo unadum

  • @mariabasily115
    @mariabasily115 3 ปีที่แล้ว +1

    Tusem ukweli hii nyimb wakat inatok wengi wap tulikuw bado tupo shule at cm atun

  • @dianaeliona2841
    @dianaeliona2841 3 หลายเดือนก่อน

    Naupenda hu wimbo sana sana sana😊

  • @SaadThabit-m6t
    @SaadThabit-m6t หลายเดือนก่อน

    My fave mpaka Leo 2024

  • @amanimichael4533
    @amanimichael4533 3 ปีที่แล้ว +1

    Alieangalia huu wimbo 20121 gonga like hapa

  • @RenifridaRamadhani-ml4ge
    @RenifridaRamadhani-ml4ge ปีที่แล้ว +1

    Nice songs nice vison..

  • @eugee891
    @eugee891 10 หลายเดือนก่อน

    2023 still listen it

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuja kutazama ih nyimbo baada ya Boflo Star Seach Kigoma

  • @amosjulius1523
    @amosjulius1523 7 ปีที่แล้ว +16

    Kwakweli ya Amini Ni Madogo, Tatoo Tu inamliza, ILA nimependa hapo mwisho unaona bora ule zako Tu, halafu ukampa "KWENDRAAAAAAAAAA"

  • @danyapayi8218
    @danyapayi8218 หลายเดือนก่อน

    Ngoma kaliiii walahaitachuja

  • @Msuyafinest
    @Msuyafinest 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama bado unasikiliza track hi 2020 gonga like hapa 🙏🏽🙏🏽

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 kabla jamaa ajawa muombolezaji wa serikali😂

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 ปีที่แล้ว

    Zidi kusema na Mola ataitikaaa.... Aseee hii nyimboo ni yenyeweee kabisaaa

  • @mfudukilufi6269
    @mfudukilufi6269 3 ปีที่แล้ว +1

    Wangap wametoka kuchek interview ya msechu na kuja huku like zenu hapa tafazar

  • @jacklineshayo3962
    @jacklineshayo3962 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ Noma sana nakumbuka mbali kidogo

  • @aliyshemweta9753
    @aliyshemweta9753 ปีที่แล้ว +1

    2023 we are there view 1 milion for 8 years 😂😂😂 piter msechu

  • @emmanuelcharles6712
    @emmanuelcharles6712 ปีที่แล้ว

    2023 Sept Kama imetoka Jana. Timeless Music 🙌🏿🙌🏿

  • @Georgeshema_0933
    @Georgeshema_0933 5 หลายเดือนก่อน

    to day 2024 may song still hitting,big up a lot broo

  • @michaelhillary837
    @michaelhillary837 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kujua kuna watu wananunua viewer angaliaa wimbo kama huu umetazamwa na watu wangapi hapo ndo utajua kuna watu wanajipaisha sana kwa views ila wenye mziki mzuri wanapambana kweli❤❤❤❤

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 4 หลายเดือนก่อน

    huu wimbo uko bomba sana

  • @AminaKibalaluke
    @AminaKibalaluke หลายเดือนก่อน

    Alooih hiki chuma wallah

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 3 ปีที่แล้ว

    From Congo Brazzaville watching now

  • @michaelpaulo626
    @michaelpaulo626 6 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo hii inanikumbusa Bali xana da lafiki yangu Steven da mungu amulaze mahali pema peponi 🙏😤😤

    • @petermsechu
      @petermsechu  6 ปีที่แล้ว

      Michael Paulo steven ndio nani??

  • @praygodayubu4971
    @praygodayubu4971 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunao Maliza mwaka 2020 huku bado tunaskiliza This good Music Pitisha like hapa Kizalendo

  • @nicelove4162
    @nicelove4162 9 ปีที่แล้ว

    msechu nakukubali yamenikuta hayo

  • @kisubiwaro5858
    @kisubiwaro5858 ปีที่แล้ว +1

    👊

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson3640 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu ni mzuri sana.