#WITOWANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 25

  • @beatriceabeid9943
    @beatriceabeid9943 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor myamba is anointed pastor wee maombi yake ya anza siku na Bwana ni 🔥 ubarikiwe sana Dady 🙏

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Great Pastor Myamba wewe tumesoma wote shule huko moshi Kilimanjaro.

  • @attumwendamseke1275
    @attumwendamseke1275 7 หลายเดือนก่อน +2

    Haleluya My spiritual Dad, Mungu azidi kumimina mafuta juu Yako ili watoto wako tuzidi kuzifahamu Siri za Ufalme

  • @faithe4063
    @faithe4063 7 หลายเดือนก่อน +4

    Sijeona Gods kingdom ni lasima nione hii, juu huyu mtumishi alinifanya nimepende Mungu sana kwa hiyo movie ya devil kingdom, ata nilikuja kushangaa akiubiri injili nikamshukuru Mungu kweli, sai mimi nimekuwa mtumishi wa Mungu tangu 2011 nikakombolewa 2015 nilipokea Roho mtakatifu na sasa ninaamini Yesu atanikumbuka katika ufalme wake

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubari pasita muyamb

  • @WisdomKajekurya
    @WisdomKajekurya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipenda kuanzia kwenye filamu nabado nakupenda sana katika utumishi wako

  • @Priska247
    @Priska247 22 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana watumishi. God's Kingdom tutaipata wapi?

  • @ngenaluonga9701
    @ngenaluonga9701 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @FloridaSyombua
    @FloridaSyombua 7 หลายเดือนก่อน

    ....
    Mimi nilidhani wakati huo kuwa ulikuwa mchungaji hakika,,,nlipenda vile ulifanya ile kazi kwenye movie.God bless you

  • @Pendo-r6k
    @Pendo-r6k 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kwenye movie zake ni kama alikuwa anafanya kweli kama ni maombi anaomba,Hadi mtu unaetazama unahis hayo maombi yamekugusa,Mungu ambariki pastor Myamba

  • @HappyMbuyaOg
    @HappyMbuyaOg 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimevutiwa sana na shuhuda hizi❤

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @bazurimwemdi9060
    @bazurimwemdi9060 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amena

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Mungu anatisha huyu mtumishi alikuwa anaigiza tu kumbe ndo Mungu anapanda mbegu

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu tokea akiwa mdogo alikua na chembe chembe hai za yesu

  • @acci6516
    @acci6516 24 วันที่ผ่านมา

    Sijaona God's kingdom movie. Tafadhali mnipe link nikaitazame Iyo movie

  • @janevivdevid
    @janevivdevid 7 หลายเดือนก่อน +1

    ile movie yake ya Jennifer ilinifanya mimi niogope kutumia dawa za kienyeji kabisa wakati nikiwa na ujauzito

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa Huyo PK naye jamani ni Mchungaji??Jamani please Mkato huo wa Nywele Nafikiri inahitaji Marekebisho Kidogo

  • @ezekielphilimon004
    @ezekielphilimon004 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona move zako azipo youtube pastor tuzipataje?

  • @optimamarenda7082
    @optimamarenda7082 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakukubalisana hata movie zako zilionyesha tu wewe.ninani.

  • @rachelkyala4907
    @rachelkyala4907 7 หลายเดือนก่อน

    Pk unameangusha Mungu
    Unatuangusha wafuasi wa promover
    unaiangusha na promover
    Mnyoo gn huo kakaangu km kweli umeokoka?
    Acha plz
    Sisi ni barua

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 7 หลายเดือนก่อน

    Lakini namuogopa hadi leo kwa Vile Ameigiza na Mtu aliyeenda saana Kwenye mambo ya giza

    • @eliethmwanguya7118
      @eliethmwanguya7118 7 หลายเดือนก่อน

      Tunaishi na watu wabaya maisha mwetu, majumbani, makanisani, kazini, marafiki zetu, kila mtu anajijua amekaa vipi na Mungu wake. Wote hatujakamilika lakini tukimuhitaji Mungu anatusikia na kutubadilisha

    • @phidramalaika8232
      @phidramalaika8232 7 หลายเดือนก่อน

      kuigiza na mtu liyepotea njia siyo wote walikua na njia hiyo kila mtu alikua na hitaji lake usiogope

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 หลายเดือนก่อน

      Umefungwa hapo na adui, pole mwaya.