Pt5_Niligundua nimeolewa na jini baada ya miaka mingi na nikashindwa kumuacha|USHUHUDA WA Aps.Zizi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 22

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 5 วันที่ผ่านมา

    Asante BwanaYesuKristo kutuokoa hayo yote ni kwa wale wasiompenda BwanaYesuKristo

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli maisha bila YESU KRISTO hakuna maisha ...ujanja n kuishi ndani ya KRISTO YESU....na kumtumikiaa utakuwa salama kabsaaa...blessed kaka jacktan na Audax na promover tv ❤

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu atabaki kuwa Mungu,,ndio msemaji wa Mwisho kwa Kila Mwanadamu mwenye pumzi,,Tunaomba mturushie part zote kwenye group la Mtumishi Amieli nimeiona part 1 tu,tuwatumie na wengine Amina

  • @MuyaHappy-j8y
    @MuyaHappy-j8y 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu azidi kukubariki

  • @LizBobo-d8y
    @LizBobo-d8y 11 วันที่ผ่านมา +4

    Yani shida juu ya shida bila YESU utoboi

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 5 วันที่ผ่านมา

    Hadi hasira dah! Jamaniii

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 9 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu mtumishi anazungumza kuhusu maisha yangu hayo ya kiroho na namna naweza kuota ndoto za ukweli na kuona maono na pia niliwah kutaka kaibiwa kichawi vilevile

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 8 วันที่ผ่านมา

      Blessd

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 8 วันที่ผ่านมา

      Utuletee testimony yako..sasa na sisi tusikiee❤

    • @SelestinaHamis-dw1gs
      @SelestinaHamis-dw1gs 7 วันที่ผ่านมา

      @@MaryMichaelMaryMichael-i7o Unajua me sijajaaliwa kuongea/ kujieleza lakni Nachoweza kusema mapepo ni ukweli yapo na YESU yupo kwa asilimia 100 tujitahidi kuishi UTAKATIFU kwa kadri tunavyoweza na ROHO mtakatifu atusaidie

  • @AgathaIsdory
    @AgathaIsdory 11 วันที่ผ่านมา

    Muendelezo tafadhali. Mbarikiwe

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 12 วันที่ผ่านมา +3

    Part 6 wap?

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kama watu wangejuaaaa ujanja ujanja wa shetani....aisee
    Embu angalia uzubaifu mwingi na sarakasi namna hiyooo bado tu mtu hastuki tuuuuuuuuu. Jamaniiiiiiiiii

    • @SelestinaHamis-dw1gs
      @SelestinaHamis-dw1gs 9 วันที่ผ่านมา

      Kazi ya shetani ni kuua na kuharibu na kuiba

  • @LizBobo-d8y
    @LizBobo-d8y 11 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 eti tunamsengenya,unamsengenya jini mama

  • @rerisamba
    @rerisamba 11 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa na mdomo zaa nzingine inasaidia

  • @elijahmuthoka6566
    @elijahmuthoka6566 11 วันที่ผ่านมา

    Part 6 please

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  10 วันที่ผ่านมา

      APOSTLE ZIZI: th-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0mtT0Y1-K7-lt0Jo3lHCotB.html

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 9 วันที่ผ่านมา

    Mbona wachawi hawaibi ela bank

  • @rerisamba
    @rerisamba 11 วันที่ผ่านมา

    Azizi umenifanya sijalala jana usiku

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 8 วันที่ผ่านมา

      Kulikoni mpendwa,,,ulikua unaota au

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂 polee kimbilia kwa YESU KRISTO sasa uwe salama zaidii