YESU KWETU NI RAFIKI. New Video by Dinu Zeno.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2017
- Subscribe to this channel for more videos. Unavyoendelea kubarikiwa na nyimbo hizi, ninaomba jambo moja; kama unaguswa na kazi hii ili isonge mbele na iwafikie wengi zaidi ninaomba kama unauwezo wa kunisapoti ili kazi isambazwe nitashukuru sana na Mungu wa Mbinguni akubariki sana. Sijapata mtu wa kuniwezesha kifedha kwaajili ya kuendeleza huduma hii. Asante sana.
Kuwasiliana na mwimbaji.0625954315.
#dinuzeno - บันเทิง
Braza nyimbo zako ni nzuri mno ila. nashauri kama ungetumia slomotion ingetia fora mnooo..
Ye--su kwetu ni rafi--ki wa--mbiwa haja piaaa!
Damuuuu... Imebubujika...... ni ya.. aa Imanueli..
Bwana Yesu aendelee kukuinua katika utumishi wake
YESU kwetu ni rafiki, mtumishi umeimba Vizuri sana. Huwa namwaga machozi pindi niuskiapo huu wimbo, barikiwa sana na MUNGU akuinue zaidi ya hapo ulipo "Amen"
Indeed Jesus is the best friend in my life
1.Yesu kwetu ni rafiki, Huambiwa haja pia;
Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia;
Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya;
Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.
2. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.
Haifai kufa moyo, Dua atasikia
Hakuna mwingine mwema Wa kutuhurumia;
Atujua tu dhaifu; Maombi asikia.
3. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kuendelea,
Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia, Watu wange kudharau,
Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia.
Amen
Wimbo unanikosha moyo na Akili zangu 🙏🙏🙏
Na barikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa mungu.
Kwelikweli Yesu kwetu ni Rafiki mwema sana,niwimbo ambao unatia moyo na mbubujiko ,(nice spirictual). song
Yesu ndiye Rafiki wa ukweli kabisa
Amen
amen Amen
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa Kazi nzuri
Amen
Dinu unaendelea kunijaza kiroho ubarikiwe
Amina sana...
2020 na korona bado wimbo huu ni faraja kwetu
Hallelujah
Naitwa kwaupendo nami nasema nam Bwana. Nae akasema Mwanangu Karbu . Nawatakia hery yamwaka mpya
Mungu akutunze zaidi. MTUMISHI wa mungu .
Amina
Mungu akubariki
Amen
Mungu kakupa sauti baba more blessing
Mamba ni salama
BWANA YESU akuweke sehemu ya juu ktk mlima wake mtakatifu, daaah nabarikiwa sana nkisikiliza nyimbo zako hasa huu wa YESU KWETU NI RAFIKI
AMEN,KWELI YESU KWETU NI RAFIKI.MUNGU AKUBARIKI SANA.
Nkisiiliza wimbo na pata hatua kiiman barkiwen
Hallelujah hallelujah hallelujah shalom
Sauti nzuri sana! Pia sauti umejaliwa! Dinu zeno
Bwana ni mwema
kweli yesu ni rafk wa kwel🙏🙏🙏
Yesu ndiye rafiki wa kweli maishani,barikiwa sana ndugu
yesu kwetu ni rafiki
Nzuri Sana
Tukiomba kwa babaye maombi asikia 🙏🙏🙏
very blessing song....i have been listening it every morning,afternoon and evening
Yesu kwetu ni rafiki amen nabarikiwa sana na wimbo huu
Ameeen
God bless you bro, nice song.
Can't stop listening....powerful
Mwamba ni salama
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,hakika inanifariji sana Tenzi iyo usiache kuimba Tenzi
Amen amen amen
Barikiwa mtumishi good song
🤝🤝
Yesu ni rafiki wa kwel barikiwa mtumishi wa Mungu.
Amen
huu Wimbo unanitoa Machozi jamani Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Hata mm
Mbarikiwe watu was mungu
2019 bado nabarikiwa na huu wimbo🙏🙏
Oooh. Bwana ni mwema
be blessed by our God! in name of Jesus amen!
Wimbo mzuri sana naamin mungu yu pamoja nasi
Mbalikiwe na MUNGU azidi kuwaongoza katika huduma yenu
Hongera sanaa mwimbaji Jesus raise you forever
Jikazeni na safari ya mbinguni wapendwa ninyakati za mwisho msikubali adui awanyang'anye mlichonacho
Amen
Hakuna mwingine mwema wa kutuhurumia
amina umenibariki sana
Atujua tu dhaifu dua ata sikia
Real
Agnes Stephen
Amen barikiwa
powerful, what a friend we have in JESUS.
Be Blessed.
hakika mtumishi umeimba wimbo mzuri yesu kwetu ni rafiki
amin
Amen.
naomi vales
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,nafarijika mno
Amen
Halfan Rashid
CD zenu zinapatikana wapi mtumishi
Dodoma mjini.
Kwq namba 0625954315 Halfan Rashid
nimebarikiwa.san
Jesus the friend who sticks closer than a brother... Hallelujah.I feel encouraged to pursue this God.
God bless you
Amen. Ni Bwana
john henjewele
Mubarikiwe na yesu
Mungu akupiganie saaanaaa
Amina
Amen
Naskia machozi ya furahaha yakinitoka
Amen amen amen.
Chacha Gichogo
Thanks too
Share to your friends these video links and God bless you more and more.
Chacha Gichogo
How can I get yua cvd brother?
Where are you please.
Chacha Gichogo
n
Balikiwe mtumshi wa Mungu unanibariki sana
Amen Amen
Very nice keep it up
Amen
Hallelujah
Amen
Amen
Ameni
Amen