Umuhimu wa namba ya Usajili wa Matibabu katika Hospitali.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Umuhimu wa namba ya Usajili wa Matibabu katika Hospitali
    Fuatana na Mkuu wa idara ya kumbukumbu na taarifa za wagonjwa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Geofrey Semu kupata elimu zaidi kuhusu hili.

ความคิดเห็น • 3

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongereni idara hii kwa kazi nzuri sana kwa Taifa la Tanzania na Africa kwa ujumla. Idara zingine nchini Tanzania zinapaswa kuiga utaratibu wenu kama ambavyo mmefanikiwa kuwa na mfumo mmoja kwa miaka mingi na kutoa huduma bora ya kumbukumbu na taarifa za afya.❤

  • @innocentvicent5513
    @innocentvicent5513 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥

  • @martinbenezeth827
    @martinbenezeth827 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri 👏