Nafikiria kwamba Allah kajaalia kesho tarehe 10 dunia nzima watasali Iddi kwa pamoja AUMBUKE ABUU IDD. kwa sababi hudai haiwezekani hàutekelezeki na haupo anatupilia mbali khitilafu zilizopo.
Na nyinyi msiofata pia mtihani maana hakuna anaejuwa Nani yupo sahihi... Imam Malik msimamo wake ni mwezi mmoja duniani, Ahmad bin Hanbal pia msimamo wake ni hivyo,Abuu hanifa pia ni hivyo hivyo... Katika maimam 4 wakubwa Shafii peke yake ndio kasema kila watu wa mji na mwezi wao ikiwa kutakuwa na tofauti ya machweo na mawio ya jua,yaani ikiwa macheo ya jua yakitofautiana basi mnatofautiana kimuandamo,cha kushangaza sasa Tanzania wanautangaza mwezi nchini ukionekana popote wakasahau kuwa Tanzania pia ina utofauti wa majira... Hapa bakwata wamekosea
Sheh hata sisi maamuma hatujakuelewa unatuambia mwezi ukiandama mangalib utawaabiaje walionyuma masaa 5 wafunge ina maana tunaanza kufunga mangalib lete hoja mungu kasema au mtume kasema jitahid kusoma
Hana lolote huyo, ni mtu wa kuropoka tu, wala hana uadilifu katika maneno yake, angekuwa muadilifu angekuchukua pia kauli zao na dalili zao zenye kukataza maulidi, amebakia kuegemea kwenye kauli ambazo zenye kutetea hoja yake
Uko nyuma ya ulimwengu we unapenda kuzozana sana hiyo hijja hua mnaenda mwezi upi kama sio wa kimataifa? Hao unaowashutumu hawatumii nguvu hivyo halafu hawako kwenye hiyo mizozo tena wao walishatoka huko watu walishaelewa siku nyingi
Darweshi Lacha Kama maneno yako ni kweli . Kwamba hawapo ktk mizozo jee ndivo wanavofuata kama masheikh zao walivyosema ?? Kama hawafuati basi mzozo bado utakuwepo . ........ Kisha suala la hijja .. Allah amesema : ((الحج أشهر معلومات)) Hijja ina miezi maalum .. kwaivo watu wanafuata Qur-an hapo . CHAGUA MOJA Ima Masheikh waliokaa kamati hio woote pmj na Uthaimeen wamekosea kwa ksema Mtu afuate ktk nchi ake. Wewe ndio uko sawa. AU WEW ndio umekosea na wenzako .. Na masheikh wako sawa (wamepatia) .
Wacha kuwasingizia masheikh wa saudia sasa sisi tunamfuata mtume au masheikh? Mpumbavu tu wewe na mamiwani yako kama site mirror za malori alafu elimu yako wewe ni ya nursery school mdogo saana kielimu na fahamu yako ndogo saana kwenye dini.
Unachukua kauli zao ambazo zinatetea hoja yako, mbona katika mambo mengine kama suala la الاحتفال بالمولدالنبي صلى الله عليه وسلم (kusherehekea mazazi ya ktume) hutetei kwa kuleta kauli zao na dalili walizoegemea?
Juma Nasoro Hata wewe umechukua fatwa ya احتفال بالمولد النبي ﷺ Lakin inayohusiana na mwezi muandamo umeiacha .. ......... ...... Halafu Abuu ldd amewataja hao kina Uthaimeen ili tu wajue wale wafuasi kuwa masheikh zao wamesema hivo . .... ...... ... Ama Ukiachana na Kauli hio .. Basi sisi Mashafii tunazo kaul kibao ktk vitabu zinaeleza hivo ... kwaivo Abuu Idd amewanukuu hao ili akufahamishe wewe na wenzako . Kama kweli mnawafuata basi wamesema ivo .
Bas ungenukuu na qaul zao kuhusu maulid ungekua umefanya la maana sana kwani hayakufanyika wakat wa mtume hata wakat qarne tatu zilo bora bali nguvu kubwa na mishipa yakutoka kwenye jambo lilo thibit ndan ya qur an na sunna na ufahm wa wanazuon wema walotangulia kama hanbal abuu hanifa maalik
Ha ha Anatoka Vipovu Abuu iddi Unaweza Rudi Kwenye Meza ya Elimu na Sheikh Qassim Naona Umekimbia Mwalimu wa Sheikh Qassim Mafuta Hoja Hizi Watafute Wauza Mikate na Chapati ndio Wataona hoja Unaweza Ruddi Mezani Umepewa Miaka 2 Kujadiliana mambo ya Elimu Na Mwanafunzi wako Qassim Mafuta Usibwabwaje ukaongea wajinga Wa ka Comment n
haaahaa Huyo Qassim Mafuta Anawafuata akina Sheikh Uthaimeen na masheikh wa Saudia .. Na wao ndo wamesema hivo .. sasa anahoja gan iliobakia uyo Qassim Mafuta wako ?? ........ ....... Na mimi nafaham kuwa mas-ala ya mwezi ni mas-ala yenye khilaf baina ya Maulamaa . Na sisi mashafiii kila mji wana muono wao .
Subscribe our TH-cam channel Babdeo Miladu
Nafikiria kwamba Allah kajaalia kesho tarehe 10 dunia nzima watasali Iddi kwa pamoja AUMBUKE ABUU IDD. kwa sababi hudai haiwezekani hàutekelezeki na haupo anatupilia mbali khitilafu zilizopo.
Hoja safiii kabisa Allah akupe umri na afya shekhe letu
siku zote huwa namkubali abuu idd. allah ambaaiki na ampe umi mefu
SHUKRAN JAZAAKAL-LAAHU KHAYRAN JAZEELAN
UKWELI HAPA KILICHO BAKIA NI UBISHANI TU NA USHABIKI TU !
Alla akubarik Yaa Sheykh Alhamdulillah tunafumbuka kila tunapokusikiliza Alla akuhifadhi
Mwezi wa kimataifa haupo,hauwezekani,hautekelezeki😄😄😂shukrani saana shekhe letu abuu iddy muhammad iddy
Ahsante sheikh wape khabari zao Allah yuko pamoja na wewe
Shukran imefahimika mno Allah akujaze kulla la kheri
mashaAllah, nadhani wamekuelewa na kama hawajaelewa basi itakuwa ni makusudi tu
Allah akupe.umuli mlefu
Vipi kesho dunia nzima ikisali siku moja Abuu iddi atapeleka wapi maneno yake haya.
shkh mgumu kuelewa
Jazaaka llaahu asiyeelewa bac asubiri kufa tu
Kweli kabsa asubiri mwanandani na dongo pamoja na mirungu ya malaika itamwelewesha kaburini
Kiukwel hyu shekh yupo sahh xn
Wamekuelewa sana
Ila wanapitisha ukaidi wao tu...
njoo nikusomeshe huku zanzibar
Kama kweli mna msimamo kwanini mnazingatia kenya uganda, na africa mashariki.. Kwanini msi focus na tanzania
😄😄😄😄 Eti wakae pamojaa @Mohammed Iddi Abuu Iddi
shkh hiyo rai yako Acha ubishi
Wanaofata mwezi WA kimataifa wanamtihani kwa kweli
Na nyinyi msiofata pia mtihani maana hakuna anaejuwa Nani yupo sahihi...
Imam Malik msimamo wake ni mwezi mmoja duniani, Ahmad bin Hanbal pia msimamo wake ni hivyo,Abuu hanifa pia ni hivyo hivyo...
Katika maimam 4 wakubwa Shafii peke yake ndio kasema kila watu wa mji na mwezi wao ikiwa kutakuwa na tofauti ya machweo na mawio ya jua,yaani ikiwa macheo ya jua yakitofautiana basi mnatofautiana kimuandamo,cha kushangaza sasa Tanzania wanautangaza mwezi nchini ukionekana popote wakasahau kuwa Tanzania pia ina utofauti wa majira...
Hapa bakwata wamekosea
Baraaka LLAHU fiiqu
Sheh hata sisi maamuma hatujakuelewa unatuambia mwezi ukiandama mangalib utawaabiaje walionyuma masaa 5 wafunge ina maana tunaanza kufunga mangalib lete hoja mungu kasema au mtume kasema jitahid kusoma
Huyu kaumbuka Jana Takribani mataifa yote yamesali pamoja
Twayyyyyib Sheikh...
Kila elimu ikizidi ulimwenguni ndio watu wanazidi kutafautiana, zamani watu walikuwa wanafunga na kuifungua kwa kuona mwezi ktk nchi zao
Kweli
Hahahahaha badala ya kutoa hadithi wa2 wanapiga kelele😂😂😂
Kuna imaam anaitwa imaam ashawkaan n mshafii yeye kapita na mwez popote unapoonekana n imaam mkubwa ktk madheheb ya kishaafii
Jembe la khilafu za miezi
Hana ujembe wala kitu ni porojo tu
Huyu ni mwanaume kwelkwel
Webabaika tu
Wanaswali Eid kila mwaka
لكل قوم هلال
Mwenye akili hawezi kumuelewa sasa kwa mfano Saudi na tz Yuko Sawa kimasaa sasa iweje kwenye kufungua turned tofaut
Duh umewakaa na Koo Shekh
Hana lolote huyo, ni mtu wa kuropoka tu, wala hana uadilifu katika maneno yake, angekuwa muadilifu angekuchukua pia kauli zao na dalili zao zenye kukataza maulidi, amebakia kuegemea kwenye kauli ambazo zenye kutetea hoja yake
Hiki kitabu Anachosoma kilichosainiwa na masheikh wa said kinaitwaje?
Nadhani somo limeeleweka vyema wakukataa akatae kwa itikad yake tuyh lkn kilakitu kipo wazi
Mambo mengine atakiakili tu yanaeleweka jaman mabishano yann
Sio haupo Elimu yako imeishia hapo Elimu ni Bahari
Waislam watagawanyika makundi 73 tuzingatie hilo na Allah anasema shikamaneni na msifarakane
بوركت ووفقت
Mbna she Kama kweli unahoja umemkimbia shehe kwanini haumpelekei hizo hoja na kwanini unakimbianazo
Kwan mtume alioisema fungen kwa kuonekana mwez alikuwa anawaambia watu gan.?.. na allaah kasema pamefaradhishwa funga akiwaambia nan s n waislam au??
Hivi huyu Sheikh anajua kuwa kuna nchi watu wanafunga hadi masaa 18 kweli?
Shekh mohd ead jibu hoja kwa hojja c kwa vioja
Unatumia nguvu badala ya kutumia dalili
Kuwa muadilifu tafadhali
Mbona kaonyesha vitabu Hapo, we unataka HOJA gani
Hojja gan unayotaka wewe na dalili zipi utakazo
We unataka hoja gn xaxa una kichaa nn ndugu yng
Wewe weka hyo hoja hapa tuione
Wewe sikio lko la kufa haliwez kuckia dawaaa
Hawa pia ni wanafiki maana wanasema ety kila mtu na nchi yake mbona afrika mashariki nchi 3 na zinatofautiana majira Ila wanafunga pamoja...???
Naona unajitangazia kua na wewe ni mjinga
ww shehe bana pumba tu
Wee mpuuzi acha matusi kwa masheikh mshenzi weewe, nyumbu wee, kamtukane baba YAKO kwanza
Hautekelezeki vipi wakati watu wanaswali?
Uko nyuma ya ulimwengu we unapenda kuzozana sana hiyo hijja hua mnaenda mwezi upi kama sio wa kimataifa? Hao unaowashutumu hawatumii nguvu hivyo halafu hawako kwenye hiyo mizozo tena wao walishatoka huko watu walishaelewa siku nyingi
Darweshi Lacha
Kama maneno yako ni kweli .
Kwamba hawapo ktk mizozo jee ndivo wanavofuata kama masheikh zao walivyosema ??
Kama hawafuati basi mzozo bado utakuwepo .
........ Kisha suala la hijja ..
Allah amesema : ((الحج أشهر معلومات))
Hijja ina miezi maalum .. kwaivo watu wanafuata Qur-an hapo .
CHAGUA MOJA
Ima Masheikh waliokaa kamati hio woote pmj na Uthaimeen wamekosea kwa ksema Mtu afuate ktk nchi ake. Wewe ndio uko sawa.
AU WEW ndio umekosea na wenzako .. Na masheikh wako sawa (wamepatia) .
جزاك الله خيرا
Nadhani kuna kauli ya mufti zuberi kuhusu ili jambo alipokutana na mufti wa saudia na kumuuliza jibu kila nchi na mwandamano wake
Naam
Wacha kuwasingizia masheikh wa saudia sasa sisi tunamfuata mtume au masheikh? Mpumbavu tu wewe na mamiwani yako kama site mirror za malori alafu elimu yako wewe ni ya nursery school mdogo saana kielimu na fahamu yako ndogo saana kwenye dini.
Unachukua kauli zao ambazo zinatetea hoja yako, mbona katika mambo mengine kama suala la الاحتفال بالمولدالنبي صلى الله عليه وسلم (kusherehekea mazazi ya ktume) hutetei kwa kuleta kauli zao na dalili walizoegemea?
Juma Nasoro
Hata wewe umechukua fatwa ya
احتفال بالمولد النبي ﷺ
Lakin inayohusiana na mwezi muandamo umeiacha ..
......... ......
Halafu Abuu ldd amewataja hao kina Uthaimeen ili tu wajue wale wafuasi kuwa masheikh zao wamesema hivo .
.... ...... ...
Ama Ukiachana na Kauli hio .. Basi sisi Mashafii tunazo kaul kibao ktk vitabu zinaeleza hivo ... kwaivo Abuu Idd amewanukuu hao ili akufahamishe wewe na wenzako .
Kama kweli mnawafuata basi wamesema ivo .
Doh!
Wataelewatu
صَدَقَ وَهُوَ كَذُوْبٌ
هاهاهاهاها..
Bas ungenukuu na qaul zao kuhusu maulid ungekua umefanya la maana sana kwani hayakufanyika wakat wa mtume hata wakat qarne tatu zilo bora bali nguvu kubwa na mishipa yakutoka kwenye jambo lilo thibit ndan ya qur an na sunna na ufahm wa wanazuon wema walotangulia kama hanbal abuu hanifa maalik
Abdallah Juma
Hata vigawanyo vya TAUHIID havikuwepo wala havikugawanywa wakati wa Mtume wala Salafi Swaleeh mbona hamsemii kuwa ni bida'a ??
wacha ujinga wewe abui idi wewe na imamu malik bora nani wakati una kula haramu
Mohamed Eid Abuu Eid Ahsantum
Hatr sana mwalimu wangu haya bana.watoke na vitabu vyao nao watuoneshe na watuambie mashekhe waliotunga sio kutujajia mawahab wasio fahamika.
Shukran laka
povu. kawaida I yako
ibadhi ni nani njoo zanzibar nikufundishe ibadhi ni nani hao ni kama wewe urafat na bidaa mkubwa
wewe ni mnafiki mkubwa hapa tanzania urafat mkubwa wewe
Ha ha Anatoka Vipovu Abuu iddi
Unaweza Rudi Kwenye Meza ya Elimu na Sheikh Qassim Naona Umekimbia Mwalimu wa Sheikh Qassim Mafuta Hoja Hizi Watafute Wauza Mikate na Chapati ndio Wataona hoja Unaweza Ruddi Mezani Umepewa Miaka 2 Kujadiliana mambo ya Elimu Na Mwanafunzi wako Qassim Mafuta Usibwabwaje ukaongea wajinga Wa ka Comment n
haaahaa
Huyo Qassim Mafuta Anawafuata akina Sheikh Uthaimeen na masheikh wa Saudia ..
Na wao ndo wamesema hivo .. sasa anahoja gan iliobakia uyo Qassim Mafuta wako ??
........ ....... Na mimi nafaham kuwa mas-ala ya mwezi ni mas-ala yenye khilaf baina ya Maulamaa .
Na sisi mashafiii kila mji wana muono wao .
Kumbe ww kinacho kukera ni Saudia rabia sindio basi pia tunaposwali tunafata huko ww Fata kibla Cha Tanzania,, soma acha jazba
Hoja iko wap sasa hapa ama ni jazba tuyh? pinga alichokisema kwa hoja sio maneno matupu
Ummu Mulhim
Nakuonea huruma saana ..
Maana inaonekana umejaa chuki ktk moyo wako kutokana na maneno yko .
Ukisema MBONA KIBLA TUNAFUATA SAIDIA (MAKKA)
JAWABU: Ndio tunafuata Makka kwa7b Allah ametuamrisha tufuate huko.
SUALI KWAKO : Wapi Allah ametuamrisha tufuate mwezi huko ??
Mamengwa kasomeeeeeee
Pole sana kumbe wewe qibla chako ni saudia!
Abuu iidi hukutaja aya ya Quran wala hadithi ya mtume katika hoja zako bali unachenga chenga tu
Wajinga ndio waliwao
Weweeee''''nimjingatuu kaakimyaa khurafiituu wewe..
Khurafiituu ni ww na mjinga mkubwa
Hoja safiii kabisa Allah akupe umri na afya shekhe letu