NO.3: SHEIKH MUHAMMAD ABDUL WAHHABI ALIFUKUZWA KILA NCHI ALIYOKWENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 185

  • @islander3191
    @islander3191 11 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wa comment msitie tu mashallah kwa shekhe bila kutafuta ukweli, huyu shekhe ana laana za Allah kwa uzushi, msifate tu, wallahi huyu sheikh ni muongo. We unamzulia mwana chuoni aliopigania njia ya hakki bila la kumuogopa Allah kwa mj wake, ulimi sheikh utakupeleka pabaya kwa uzushi.

    • @SAIDIYABUSHINGEDJUMA
      @SAIDIYABUSHINGEDJUMA 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu jama ALLAH amuongoze kumzushia muana chuoni

  • @mohamedmichonjo5077
    @mohamedmichonjo5077 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka llahu kheiri mungu akupe nguvu kwa kutufungulia tusiyoyajua

  • @HasanHasann-z1b
    @HasanHasann-z1b ปีที่แล้ว +4

    Shekhe muogope ALLAH Uyo unamuongelea vibaya ni mwanachuoni mkubwa sana ALLAH akufahamishe

  • @thamani5842
    @thamani5842 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu lkheir Shekh. ALLAH akupe mazuri Duniani na akhera

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Mohammed abdulwahaab Mimi namukubali Kwa kuondoa bida na shirik Sasa saa hii kila mosq ingekuwa ina makaburi

  • @manyotamussa1328
    @manyotamussa1328 ปีที่แล้ว +2

    Huenda MTU akawa ana elimu lakini hana ufahamu nikiwa na maana huyu mzee ana elimu lakini Allah amemnyima ufahamu na sababu kubwa ni kuendekeza matamanio ya nafsi na hawi mwenye kufanya hivyo ila amepotea umbali was juu kabisa pole sana mzee umechelewa sana na kazi unayoifanya hapo ni sawa sawa na kuzuia upepo usivume

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว

      Twayibu Inawezekana Nawe Ukawa Hauna Elimu Umebaki Na Ufahamu.

    • @manyotamussa1328
      @manyotamussa1328 ปีที่แล้ว

      @@nurdinmfamau3493 bado hujaelewa na huwezi kunielewa

  • @muhamedihamis2571
    @muhamedihamis2571 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe ufaham mzuri wa kuielewa dini maana umeielewa zaidi siasa din bado hujaielewa vzr

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f ปีที่แล้ว +6

    Uwahabi Sahi Sio kikundi
    Ni Umma umekubaliwa
    Nawatu wengi kila mahali
    Sio ushia kula pesa Kisha ukalale

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว

      Uwahabi ni genge tu la uhaini

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 ปีที่แล้ว

      Haki ikiwafikia acheni kushupaza shingo.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +8

    Tunajua kuwa unalipwa na bakwata Kwa ajili ya kupotosha waislamu kweli

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว +1

      Mbona mnateseka

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 ปีที่แล้ว

      Pokea ukweli acha ushabiki haki ikikufikia ipokee
      Wewe tazama SAUDIA saivi anavyo udhalilisha uislamu

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 ปีที่แล้ว +6

    kazi kubwa aliifanya sheikh umebaki t kumchikia bila ya sababu bakinna chuki zako ewe muabudu makaburi

    • @RiziwanKess
      @RiziwanKess ปีที่แล้ว

      Ni vema na wewe upinge hoja hizo kwa ushahidi, au sivyo Sheikh Hamis attendeea kuwa sahihi.

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 ปีที่แล้ว +5

    A.alaykum warahmatullah wabarakaatuh...
    Comments zenu nyingi hapa zimejaa HASIRA ,CHUKI ,KEJELI na MATUSI. Je ,lugha hizi chafu na mbaya mnadhani ni SUNNA ya Nani ?
    Tabia hizi za Hasira ni Matunda ya Mafundisho ya Nani?
    Aqida hii ya watu mnaotusiana waislam baina yenu ni Aqida ya wapi?
    Jiulizeni hapa wote waliotoa Matusi ni wafuasi wa Nani na dhehebu gani? Kama wengi waliotoa Hasira na Matusi ni MASUFI au MASHIA au MAIBADHI au MAWAHABI basi majibu yawe watu hao asili au msingi wa Aqida na Madhehebu yao ni Mbovu na hauna uhusiano na SUNNA ya MTUME s.a.w......
    Jitafakarini sana
    Allah atusamehe na atuongoze ktk njia ya Haki Aamin

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp ปีที่แล้ว +2

      Je kuwasemea uongo na kuwatukana maulamaa ni sunna ya nani

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp ปีที่แล้ว

      Anaonesha wazi kua huyu mwenye kidev kama balbu ni adui mkubwa wa dola ya saudia wakiwamo mashia wenzake ila kufeni kwa chuki zenu

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  ปีที่แล้ว +1

      @@AllyAhmad-zg2yp Uongo UPI. Hukusikia nukuu za vitabu ambavyo ndani yake yamechukuliwa Maelezo hayo.

  • @eshematran7206
    @eshematran7206 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo picha ya sheikh Muhammad رحمه الله umeitoa wapi

  • @ABDINURA-hb9ky
    @ABDINURA-hb9ky ปีที่แล้ว +3

    We Mzee mwogope na uumche Allah soma na ufwate kitabu cha Allah na sunnah

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e ปีที่แล้ว +2

    Maarifa yako madogo sana mzee

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  ปีที่แล้ว +2

      Tuelimishe wewe na maarifa mengi uliyobarikiwa juu ya kutambua historia ya Sheikh Mohammed Bin AbdulWahhabi iliyo tofauti na hii.

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    وقال الشيخ محمد الغزالي - رحمه الله - في "عقيدة المسلم" (ص 73) : " ولماذا نستحي من وصف القبوريين بالشرك ؟ ، مع أن الرسول وصف المرائين به ، فقال : (الرياء شرك) ، وإنّ واجب العالم أنْ يرمق هذه التوسلات النابية باستنكار ، ويبذل جهده في تعليم ذويها طريق الحق ، لا أن يفرغ وسعه في التمحُّل والاعتذار ، ولستُ ممن يحب تكفير الناس بأوهى الأسباب ، ولكن حرام أن ندع الجهل بالعقائد ونحن شهود" . انتهى .

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa ALLAH. sheikh ALLAH akuzidishiye hakima amin amin YARABI amin 🤲 🤲 🤲 🤲

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 ปีที่แล้ว +2

    Hatusikilizi masufi wachonga ndevu wavaa maisbaal lazma mumchukie shaiykh mana mpo mbali na Sunnah za mtume saw

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      mbn wakoment? km huskilizi we hujielewi kumbe

    • @Muhammadshaka-wj4rk
      @Muhammadshaka-wj4rk ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      Wewe zako zipo karibu ziwapi, kifuga ndevu ndo dini? kuna watu wafuga ndevu lkn washenzi km wewe na wenzio. hata mbwa mzuri ana afadhali kuliko nyie .
      na kuvaa visuruali vifupi ndo sunna za mtume mnazojua,,,, sindo mnazojua? nikuulize kuna sunna za mtume ngapi? nyie mwakamilisha? acha simu hy usiingie mitandaoni, mtume haijui hata simu, wewe waijua aimu, mtume kakwambia utumie simu? huo usenge wako tutolee huo ni ujinga km hujielewi kaa pembeni

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    فقال الشيخ قاسم في « شرح درر البحار » : النذر الذي يقع من أكثر العوام ، بأن يأتي إلى قبر بعض الصلحاء قائلاً : يا سيدي ؛ إن رُدّ غائبي ، أو عُوفي مريضي ، أو قُضيت حاجتي ؛ فلك من الذهب أو الطعام أو الشمع كذا وكذا ؛ باطلٌ إجماعاً ، لوجوه منها : أن النذر للمخلوق لا يجوز .
    ومنها ، أنه ظنَّ الميت يتصرف في الأمر ، واعتقاد هذا كفر ، ... ، وقد ابتُـلي الناس بذلك ولاسيما في مولد الشيخ أحمد البدوي .

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo ปีที่แล้ว +3

    Wewe shehe ALLAAHU atakukutanisha na Sheikh Muhammad halafu utakwenda sema hizo porojo zako

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh ปีที่แล้ว +2

    Mashallwha shekhe shukran sheikh twakufwatiliya vema sanaa na twafaidika Sanaa usiwache kuelimisha uma uma wahitaki kujuzwa

  • @RASHIDBAKARI-rl9cd
    @RASHIDBAKARI-rl9cd ปีที่แล้ว +2

    MUOGOPE ALLAH.... HATA MASWAHABA WALIPIGANA VITA NA KUUA MAKUFAR NA WASHIRIKINA...

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo ปีที่แล้ว +2

    Si kwiti muongo lkn wallaahi naapa unazungumza uongo

  • @zainabmahmoud2522
    @zainabmahmoud2522 ปีที่แล้ว +1

    Huyo sheykh Allah marehemu alikuwa kiboko ya washirikina kitambo mpaka sasa nasisi waislam tunajua ata wewe unajua nivile huwezi acha kuabudu makaburi ndomana wafanya bidii kumuchafuwa sheykh wetu

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj ปีที่แล้ว +1

      Umechanganyikiwa ww jiulize Imani yako upo tayari kupigana na mzazi wako Kwa sababu ya Imani ambayo hujaisoma vizuri na kuilewa ,huyo abdulwahabi alipiga babaake akapiga kaka ake .jiulize wahabi wasasa mbona hawatafuti washirikina wanatafuga waislaamu wenzao na kuwagawa kimadhehebu .mungu atawashinda.

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    قال الشيخ محمد سلطان بن أبي عبد الله المعصومي الحنفي المتوفى عام 1318هـ في كتاب "حكم الله الواحد الصمد" ( 4/7) ، بعد أن ضرب عدة أمثلة للاستغاثات بالأولياء ثم قال : " اعلموا أيها المسلمون ، يا أيها الحنفيون ، هداني الله وإياكم ، أنَّ هذه الكلمات كلُّها شرك ، وكفر ، وضلال في الدين الإسلامي ، والشرع المحمدي ، والمذهب الحنفي ، بل والمذاهب الأربعة إجماعا ، وقائلها مشرك لا تصحّ صلاته ، ولا صيامه ، ولا حجه ، ولا إمامته ، إلاَّ إذا تاب ، وآمن ، وأعلن توبته كما أشهر شركه " . انتهى .

  • @RiziwanKess
    @RiziwanKess ปีที่แล้ว

    Tawhidi tatu za MAHHABI na Tawhidi ya Wakristo inayosema (baba, mwana na roho) zote ni shirk. MAWAHABI sio Waislam. Mungu wao ana mikono miwili tu. Nyie MAWAHHABI ogopeni Siku ya Kiama kuna kazi!!! Msichezee tawhidi, ALLAH Hasamehi dhambi ya shirk, Anasamehe dhambi nyinginezo, someni Quran mtaona.

  • @abdirashidmohammed-qn7xw
    @abdirashidmohammed-qn7xw ปีที่แล้ว

    Alifikuzwa Kila nchii kwa sababu diinii daawa aliyofanya ni daawa mtume Mohammad SAW aliyoifanya na nivigumu watu wakubali aqiida ya towhid kama haswa nyinyi masufii

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว +2

    Mzee endelea kutomboka tu uhuru unao lakini wallahi kama hutotubia juu ujinga huu subiri mwenye hii dini yupo

  • @bagalucha
    @bagalucha ปีที่แล้ว

    Mtasema sana lakini mtume keshasema,Miji mitakatifu makka na madina,namtume keshasema ilimu ipo makka na madina,wewe utabaki na uzindiq wako,naAllah atakupukutisha kwa uwongo wako na fitna na upotoshaji katika diniYa Allah Subhana wataalla

  • @bagalucha
    @bagalucha ปีที่แล้ว

    Bismillah Rahman Rahim
    Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,historia hii wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia unayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia na kighurafi dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili.
    KWA WALE WAABUDU MAKABURI
    Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
    Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allaah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na hunasema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
    Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
    [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
    Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho

  • @FarajiMaulidi-qe5jf
    @FarajiMaulidi-qe5jf ปีที่แล้ว +7

    Ukiwa ni mtu wa matamanio utamchukia ty abdul wahab. Tumesha msoma tumemjua alhamduli lah,,,,..mlikuwa mnatupotosha sana ..mnapenda shirki na kutukuzwa nyie

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      Shekhe umri umekwenda acha vinyongo na mifundo. Hao walishapita iangalie akhera yako wewe ipo vizuri. Kwani huyo marehemu Shaykh Muhammad alikufanya nini mpaka unafikia kusema uongo?

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 ปีที่แล้ว

      ​@@ahmadmzoa74haki ikikufikia na ukiikanusha ni juu yako endelea kuwasaidia Waengereza kufikia malengo yao ya kuwafarakanisha Waislam.

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 ปีที่แล้ว

    Kama haya anayoyasema ni uongo leteni huo ukweli na uhalisia wakwenu, Achene matusi, jibuni hoja kwa hoja za kielimu sio maneno ya mitandaoni yasio na yakini ila hisia na mapenzi na umadhehebu hatuwezi wote kuwa na uelewe mmoja na mlengo mmoja.

  • @zainabmahmoud2522
    @zainabmahmoud2522 ปีที่แล้ว +2

    Mtume wetu (S.a.w) alipoanza dawa ya tawhiid washirikina walianza kumutukana matusi mbali mbali mpaka kumufukuza mujini maka nahii ndohali sisi mawahabi kama tunavyoitwa nahawa wabudu makaburi tunaoyo pambana nayo

    • @yohana1242
      @yohana1242 ปีที่แล้ว +1

      Saw ila mtume alikua akitukwan akilengw mawe na makafiri sio waislamu ila nyinyi mawahab munakataliw na waislamu wenzenu kwa uposhaji munaoufanya

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 ปีที่แล้ว +2

    Uzur shekhe anajitahid ila hatoi ushuhuda kwemy vitabu vya shekhe mwenyewe nahii siyo radi yakuelimu poroja nyingi

  • @zainabmahmoud2522
    @zainabmahmoud2522 ปีที่แล้ว +2

    Bilashaka washirikina hawa watafedheheka wao kama wanzao wakitambo warivyo fedheheka mbere ya mtume s.a.w mzee hakuna kitu unaambia ummat wakislam nichukitu zidi yawatu wa sunnah na tawhiid bilashaka wa islam wengi wanajua haki ila wale wachache unao wapotosha ogopa Allah wacha kuuza dini yako kwakipato kidogo cha dunia

  • @zawiyatanzaniatraders8449
    @zawiyatanzaniatraders8449 11 หลายเดือนก่อน

    فلا تزكوا أنفسكم هو أعلم بمن تقي MSIZITUKUZE NAFSI ZENU YEYE ALLAH NDIE ANAEMJUA ANAE MUOGOPA TUMUOGOPE ALLAH ACHENI PROPAGAMDA ZA KISHIA

  • @sirajramadhan7542
    @sirajramadhan7542 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee kwawanaomjua alishawahikua kiongozi wa msikiti wamtoro hebumulizeni nini kilimtoa kwenye uongozi nawaibiasiri aliiba mabati nanondo navifaa vingine ambavyo nimaliya msikiti akaenda kujenga kilekigorofa chake palemagomeni sasahivi kanunuliwa namashia Huyu njaainamsumbua shekh hawikamahuyu huyunimwehu

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  ปีที่แล้ว +2

      Akili za kuambiwa changanya na zako.

    • @uwesundembo5147
      @uwesundembo5147 ปีที่แล้ว

      😢😢😢 mzee mche Allah acha njaaa

    • @HusseinSalum-il6bz
      @HusseinSalum-il6bz 8 หลายเดือนก่อน

      We tahira na wew kaibe nondo na mabati umbeya umekujaa eti nawaibia siri kama hadija kopa bwana😂😂😂😂😂

  • @ndevumbili7117
    @ndevumbili7117 ปีที่แล้ว +2

    Kusomaitima na kuabu makaburi nyinyi mnasoma maurid

  • @sheikhzaidu4790
    @sheikhzaidu4790 ปีที่แล้ว

    الله المستعان

  • @MunirMasoud-c5s
    @MunirMasoud-c5s ปีที่แล้ว +1

    Huyu anazungumza kama wanavyozungumza MASHIA

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    Someni kitabu Tajridi Attowhidilmufidi
    Ujue ushirikina unaioogolea ndani yake
    وقال الإمام العلامة أحمد بن علي المقريزي المصري الشافعي في «تجريد التوحيد المفيد» ، (ص 52 - 53) : وشرك الأمم كله نوعان : شرك في الإلـٰهية وشرك في الربوبية ، فالشرك في الإلـٰهية والعبادة هو الغالب على أهل الإشراك ، وهو شرك عُباد الأصنام وعباد الملائكة وعباد الجن وعُباد المشايخ والصالحين الأحياء والأموات ، الذين قالوا (إنما نعبدهم ليقربونا إلى الله زلفى) ، ويشفعوا لنا عنده ، وينالونا بسبب قربهم من الله وكرامته لهم قرب وكرامة ، كما هو المعهود في الدنيا من حصول الكرامة والزلفى لمن يخدم أعوان الملك وأقاربه خاصته .

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    Hawa masufi walio bakia kuwawo kuwa danganya wafawsi yao lakini kutetea tawhidi haitasimama Insha'Allah

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb ปีที่แล้ว

    Hata Mtume Muhammad alifukuzwa Makkah na akapigwa mawe ndani ya Thaif
    Ina maana Mtume Muhammad
    Alikuwa hayuko katika haqi???
    Nabii Musa na Issa na ibrahim na Yusuf wote hao walifukuzwa
    Umetangaza vita na mwanachuoni
    Na nyama ya mwanachuoni ni sumu

  • @rashidsaid9409
    @rashidsaid9409 ปีที่แล้ว +2

    Kila mtu utakaemsikia anawaongelea kwa ubaya mashekhe hawa :Shekh Muhammad ibni Abdul wahhaby"Shekh Mohammad nassurddin Albany"Sheikhul Islam Ibnu Taimiyya. Allah taala awarehemu. Basi mtambue mtu huyo {ni mtu wa matamanio ya nafsi jitu la bidaa). Huyu kapotoshwa ńa anataka kupotosha watu.ki Kweli kabisa ukitaka kuwatambua vizuri watu hawa someni vitabu vyao. Ńa Alhamdulilĺah vitabu vyao vipo nawatu hivi sasa wanavisoma kwa wingi ńa watu wanaondoka katika ujinga Alhamdulilĺah. Wewe ndevu zimekushinda kiasi umchukie maana shekh Muhammad ibni abdl wahhaby alikuwa anawalingania WAISLAMU juu ya laailaha ill Allah. Ńa sivyengine. Watu kama wewe wanaofuata matamanio ya nafsi zao bida} wameshagundua tayari wa Islam. Ayo yako ńa wenzio. Zilipendwa.

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 ปีที่แล้ว

      Huo ni ufaham wako finyu huyo Abdul Wahhabi hakuwa Swahaba wa mtume bali alisoma kwa mashekh wake,na ukimuona mwanafunzi anatengwa na mashekh zake ujue huyo ni khazab.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka leo huyu mzee hajajuwa Dini? Kuna dalili zikithibiti kwa mtu hujulisha Hutu mtu hajui Dini hata kama atakuwa mfasaha kiasi gani.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      1995 alikuwa mwanasiasa. Hajaacha ubabaishaji.

  • @muniramtoy8280
    @muniramtoy8280 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mzee ni muislanu au
    Mbona anapingana na hata Alama za uislamu?

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni Mshia Lazima Azungumze ujinga Wake
    Bado Hujasema - Zungumza lkn wewe Halifa hamisi ukumbuke uliondoshwa Masjidi Mtoro Kwa Tabia zako mbaya mbaya za Umbea Unbea na Ulongo

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Propaganda yenu ya kufanya sie Sunni tuungane na nyie MAWAHHABI katika vita yenu dhidi ya mashia imefeli. Sasa mmeona mmuite na sheikh wetu shia mkiamini KWA kufanya hivyo siri za upotovu wa Dini yenu ya kikufurishaji ya KIWAHHABI zitasalimika. Ni nyie pekee mnaokufurisha waislamu wote na kujiona peke yenu ndio mlioandikiwa pepo.

    • @Jambo693
      @Jambo693 ปีที่แล้ว

      @@MizaniOnlinetv kwahiyo mashia walikuwa wanakubaliana na masunni kabla ya kuja sheikh Muhammad Abdullwahab?!

  • @JumaChilwele
    @JumaChilwele ปีที่แล้ว +1

    Ww nipumba tu.

    • @JumaChilwele
      @JumaChilwele ปีที่แล้ว +2

      Meneno unayoyatumia yakowazi kua nimjinga wawajinga hauna sifa elimu.soma kwaza alafu ulinganie

  • @dizomapenzi
    @dizomapenzi ปีที่แล้ว

    Kama ni hivo dah

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 ปีที่แล้ว +2

    Mtaongea story mingi lakini sisi tunangalia umuhim na juhudi yake yakuondoa bidaa na shiriki na akurudisha watu katika uislam original Sasa hii ingekuwa tumejaza bidaa kila kona

  • @AbassShabani
    @AbassShabani ปีที่แล้ว +1

    Ndo kama nyinyi mnavyolipwa Na Mayahudi nduguzake mawahabi

  • @nurdinikisoma5452
    @nurdinikisoma5452 ปีที่แล้ว +2

    Iyoo pichaa yake mmeipata wapi wakati. Zamazake picha akuna

  • @mohamedjackson5593
    @mohamedjackson5593 ปีที่แล้ว

    Shida sio kufukuzwa kila sehemu bali ni msimamo wake wa kuondoa Shirki na Bidaa zilizokua zimejaa

  • @ndevumbili7117
    @ndevumbili7117 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi waha budu makaburi

  • @BakariMagoti
    @BakariMagoti ปีที่แล้ว

    Sheikh Allah akuhifadhi nimepata kuufaham vizuri uwahabi na nimeridhika kua uwahabi ni tatizo kubwa ktk uislam haufai.

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM 4 หลายเดือนก่อน

    Ili sheikh ongo kweli

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 ปีที่แล้ว +1

    Wewe sheikh ubwabwa tunakujua kitambo ni mtu wa tamaa huna dini wala chochote.

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo ปีที่แล้ว +3

    Kidevu cheupe kama papai

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 ปีที่แล้ว +1

    Sass huyu kichaa Mzee mzima hovyoo ,,,,,,,mwamsikiza kichaaa huyu mchochezi....

  • @ShuaibuMsofe
    @ShuaibuMsofe ปีที่แล้ว +4

    Mawahab kwenye ukafir mpo karib na ktk iman mpo mbali japo hamjijui Kama walokole zinduken!!!

  • @muniramtoy8280
    @muniramtoy8280 ปีที่แล้ว

    Wewe Mzee unajuwa kuwa baada ya kuondoka mtumie hii dini ilinajisiwa.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    HUYU KHALIFA KHAMIS NI WAKALA WA MASHIA HAPA TANZANIA!!

  • @JumaChilwele
    @JumaChilwele ปีที่แล้ว +2

    Huyu Sufi mjinga sanns

  • @sirajramadhan7542
    @sirajramadhan7542 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee nimwehu kinachompeleka mbio ninjaatu huyuanalipwa namashia ndiomaana unamuona anahangaika hukunakule yotenjaatu mtumsomi hawezikuzungumza utumbokama wahuyu njaakali

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Sifa ya muislamu ni umakini. Yeye anaongea KWA data. Wewe unazungumzia habari ya njaa yake. budget ya nyumbani kwake umeifahamu vipi?

    • @itilimadc
      @itilimadc 11 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kuchangia kwa adabu, hekima na busara mpaka umtusi mtu... Sisi niwafuatiliaji wa mawaidha ya wanazuoni na tunafuatilia na vyanzo vingine vya elimu...Sasa kwako tufuatilie Matusi na kebehi ulizo toa....kama una hata chembe ya Facts ziwasilishe utakuwa umesaidia

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 ปีที่แล้ว

    Vita yoote anayopigwa sheikh Mohammed abdulwahhab ni kupinga mawlid na khitma

  • @zawiyatanzaniatraders8449
    @zawiyatanzaniatraders8449 11 หลายเดือนก่อน

    Sk wacha uchochezi تلك أمة قد خلت لها مكست ولكم ما كسبتم ولا تساون عن ما كانوا ىعملون Tafsiri ya hii ni kwamba HAO NI WATU AMBAO WAMESHATANGILIA WAO WANAYAO WALIYOYACHUMA NA NYINYI MNA YENU MLIYOYACHUMA WALA HAMTAULIZWA WALIYOFANYA WAO mwisho wa tafsiri wacha kuwasema masheikh

  • @SaidAbaas-z6z
    @SaidAbaas-z6z ปีที่แล้ว +4

    Acha uongo mzee wewe wewe ni mzushi ila allah anakuona

    • @hatibuahmadi7237
      @hatibuahmadi7237 ปีที่แล้ว +2

      Yeye anatoa ushahidi wajuu ya anacho kiongea nawewe toa ushahidi wauongo wake

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว

      Mbona mnateseka

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo ปีที่แล้ว +1

    Mropokaji wewe ALLAAHU akuongoze unazungumza uongo wa hali ya juuuu

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 ปีที่แล้ว

    KILA ANAYE TETEA TAUHEED ILIO SAHIIHI LAZIMA UCHUKIWE NA WASHIRIKINA NA WAFANYE PROPAGANDA ILI USIKUBALIWE. LAKINA KAWAIDA YA ALLAH HUSIMAMIA WATANGAZA HAQQ.

  • @mirajimrumbi7300
    @mirajimrumbi7300 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee anajifanya Sufi wakati ni Shia,
    Anawahadaa masufi na ndio kawaida ya mashia hutumia "Taqiya."
    Na wewe Sufi kama utamuona yupo sawa unganeni ktk kuwatukana Maswahaba wa Mtume rehma na aman ziwe juu yake halafu mtakutana na Allah siku ya mwisho

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 ปีที่แล้ว +1

    HAO WATRUKI AKINA ALI BASHA WALIWACHINJA MAWAHABI MIAKA YA KARIBUNI NA KUWATEKA HISTORIA HIYO HUJAONA

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 ปีที่แล้ว

    Mtu wa haki hapendwi ukijiona hupendwi jua umekuwa mchamungu.

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor ปีที่แล้ว

      Wewe muongo

    • @HusseinSalum-il6bz
      @HusseinSalum-il6bz 8 หลายเดือนก่อน

      Kwahy ibilisi mtu wa haki au hahahahaha 😂 kweli wew tahira

  • @ghalibhemedsaid9306
    @ghalibhemedsaid9306 7 หลายเดือนก่อน

    Vitabu vya Muhammad abdulwahab viko vengi sana, sasa mm nataka utuelezee ni katika kitabu gani umeona hayo ww waongea? Aqeeda ya Muhammad bin abdulwahab twaijua kupitia vitabu vyake ..tuoneshe kosa hata moja kupitia vitabu vyake.

  • @AbuuAbdillah-hb8li
    @AbuuAbdillah-hb8li ปีที่แล้ว

    Huyu mzee ni katika wanafiki ni ni katika watu waovu wapingaji mafunzo sahihi ya mtume swalallahu aleihi wasallam swala la kufukuzwa sio dalili kama mtu ni muovu kwani hata mtume swalallahu aleihi wasallam alifukuzwa maka na twaifu na akapigwa hadi damu zikamtoka kwahiyo kufukuzwa sio alama Ya uovu huyu mzee ni kama ibilisi ni mtu muovu hana dini bali unafiqi umemjaa na haya anayoyasema ni uongo mtupu

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 ปีที่แล้ว +1

    Abdul wahabi, alipinga bidaa na bidaa alianza mtume kukemea ndio maana kama nyinyi mnamkataa. hata ibrahim aligombana na baba yake kwaiyo akawa ktk haki hata dunia nzima wakikuchukia ila akikupenda allah tu inatosha. halafu shida ya mashekh wa bidaa hadi hadithi dhaifu wao wanatumia kama alivosema shekh said kusapoti kuongea wanyama mimba ya mtume ilipotungwa, alithibisha kua ni hadithi dhaifu ila maulid anasoma na anatangaza kusomwa na anajua kua ni hadithi dhaifu.

  • @YusuphuYahya
    @YusuphuYahya ปีที่แล้ว

    Mtu kutetea sunnah ndio mbaya sio kweli na kupiga vita shiriki du mim sina elimu lakin nimemjua shek mohumad cha alithul tharath kasome ndio utamjua huyo .pia quran inatwa alfurqan pia ujuwe kwa jina lingine

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 ปีที่แล้ว +3

    KUMBE HUYU MJINGA BADO YUPO????

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 ปีที่แล้ว

      Hoja uvunjwa kwa hoja na sio matusi si tabia za kiislam kwani uislam ni hoja.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +1

    Wewe Mzee wa kishia Acha uongo na ujinga Kwa mashia na masufi.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      na wewe shoga wa abdulhabi acha ujinga

  • @bagalucha
    @bagalucha ปีที่แล้ว

    Jamaa muwoongo huyu

  • @AbuuAbdillah-hb8li
    @AbuuAbdillah-hb8li ปีที่แล้ว

    Muulize hicho kitabu anachosoma ni kitabu gani kama si cha kishia au cha kisufi masufi waliochupa mipaka

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน

    yapo mabaya ya abdulwahab ila ktk mafundisho na vitabu vyake amechukua mafunzo ya mtume wala hamna shaka ila kuna chuki za kishia tu ndo zinazusha haya kwani kutimuliwa ndo laana bwana mtume alipigwa mawe taif alihama makka akenda madina unaongea nini wewe tunakuheshimu kwa kutuhabarisha habari za ghazza si ktk masuala ya wanavyuoni

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu hana hata ushehe

  • @9119-r4t
    @9119-r4t ปีที่แล้ว +1

    Ushawahi somesha kitabu chake.wewe na babako aliyekuzaa hamuwezi toa makosa hata moja. Ila washirikina watakubaliyana nawewe lakini aliyeshikana na sunnah za mtume hawezi kukusikiza wewe mpiga ramli

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 ปีที่แล้ว +1

    Ninyi ni Ubbadul'qubuur..na hamyapimi mambo kwa karne 3 zilizo bora...kama wewe twakuelewa vema.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว

    Wewe Mzee Acha uzushiii na upumbavu na ujinga.Acha kudanganya watu ipo siku utajutia .Ambayo ni siku kiama

    • @komkya_Nexus
      @komkya_Nexus ปีที่แล้ว

      Anachokisema Shekh yupo sahihi soma kitabu kinaitwa Dolat al Saudia

  • @lusitamagora23
    @lusitamagora23 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Khalifa anasema yaliyoandikwa katika vitabu. Ni kweli tupu wala si uzushi. Muhammad Abdul wahhabi aliuwa maelfu ya waislamu sasa matusi ya nini? Kama mnavyoona Mayahudi wakiuwa Waislamu Palestina, ndivyo Ibn Wahhabi alivyouwa Waislamu. Na kwa kuwa Uwahhabi ni dini iliyoanzishwa na Waingereza na Mayahudi ili kuwagombanisha Waislamu. ALILAANIWA NA MASHEIKH, BABA YAKE NA HATA KAKA YAKE SHEIKH SULAYMAN ABDUL WAHHABI. BALI HATA ALIJARIBU KUTAKA KUMUUA KAKA YAKE. MNA MATUSI NA UTOVU WA ADABU NA HAMNA MWIKO WA KUSEMA UONGO NA HIVYO NDIVYO ALIVYOKUWA SH MUHAMMAD ABDUL WAHHABI

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 ปีที่แล้ว

    Njaa tu bakwata wamemjima kibarua mtaani njaa kali ndio maana anatapatapa youtube kutafuta Riziki 😅

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 ปีที่แล้ว +2

    UMENYOA NDUVU KAMA BIBI HARUSI MAELEZO YAKO KUIFUPISHO NI HASAD JUU YAMALI WALIO NAO WASUUDI NA HASIRA YAKUWA WATOI MALI ZAO KUWAPA KULA MPUNGA MFUNGO SITA

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 ปีที่แล้ว

      Matusi yako ndio matunda ya UWAHABI...
      Mawahabi hamna upendo wala kauli nzuri kwa wasiokua MAWAHABI...
      Dini yenu ya UWAHABI haina Athari ya Sunna ya Maneno Mazuri ktk Daawa ya Mtume s.a.w...

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 ปีที่แล้ว +1

    Darsa kubwa sana wengi hawayajui haya wanafata mkumbo

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk ปีที่แล้ว +1

    KWA MAWAHABI HAPA MNACHOJOLEWA NGUOZENU ATA ZANDANI. NYINYI MFUATENI SHEEWEENU KUWAKUFURISHAWATU NA KUWAUWA WAISLAMU BILAHATIA NAKIPORA MISIKITI YAWENGINE, HII NI HISTORIAYENU INAJIRUDIARUDIA.

  • @ibrahimmsabah440
    @ibrahimmsabah440 ปีที่แล้ว

    Sio hoja wala dalili kua alifukuzwa kwenye kila nchi.mbona mitume mingi tu ilifukuzwa katika nchi zao? Acha chuki zako kwa watu wema.

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf ปีที่แล้ว +1

    Watu wa bida wakikosolewa sababu ni wahabi

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

    Allah (SWT) Akujaze kila la kheri Sheikh Halifa. Huu ndio ukweli ambao tunaufahamu. Lakini Mawahhabi hawautaki.

    • @masanjalaissa1660
      @masanjalaissa1660 ปีที่แล้ว

      Uyu ni punda wa shia mtu faraka we unamsapoti umjui itakua

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

      @@masanjalaissa1660 Maneno yake ni sahihi. UWAHHABI ni balaa kwa Waislam. Tumuogope Allah, Siku ya Kiama haiko mbali. Sikiliza vizuri maneno haya ili Allah Akuongoze, usiufiche ukweli kwa kimtuhumu eti Shia. Maneno ya kweli hata yakisemwa na Kafiri pokea mradi yana ukweli ndani yake.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe unopiga maneno ya khalifa khamis sasa toa ushahidi wako mwenzio kaonesha vitabu tunataka hoja ya dalili wewe unatukana bila ya kua nadalili huna hata kipande cha gazeti

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot ปีที่แล้ว

    Jasusi huyu, na kibaraka wa bakwata, yani uislamu huu ulio nao wewe ndio nasisi tuwe hivi?
    Khatari ya ajabu ya zama hizi Wallaahi, wenye elimu na wenye ukweli ktk Dini ndio wanao hujumiwa na mijitu mipumbavu mijinga eti ndio wanaokaa kuwakashifu wasomi na kuwazulia urongo, na watu wanaamini ujinga huu

  • @ndevumbili7117
    @ndevumbili7117 ปีที่แล้ว +1

    Auna fati chuki tu

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว +6

    Tawhid ishaenea na hamwezi kuzuia na bidaa zenu

    • @swalehkhatibu5451
      @swalehkhatibu5451 ปีที่แล้ว +1

      Haswaaaaaaaaaaaa

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni pembe ya sheytani wa kutoka Najdi. Kulingana na hadisi ya mtume.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว +1

      TAWHEED YA MUNGU ANA MIKONO AU VIPI?!

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 ปีที่แล้ว +2

      Kuigawa tauhidi ni shirki sawasawa na Imani ya kikristo hajaifundisha mtume Wala masahaba Wala itifaki ya wanavuoni tauhidi ni moja tu nayo ni لا الله الا الله واشهد ان محمد رسول الله Sasa mawahabi Wana mungu mwengine si mungu wa waislamu na Wana tauhidi zao ndio hizo tatu

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว

      @@jumafaki2891 limegawa tawhidi na medebehu la ashaira masufi wanao fwata masufi soma
      قسَّم بعض السادة الأشاعرة رحمهم الله تبارك اسمه التوحيد إلى ثلاثة أقسام: توحيد الذات، وتوحيد الصفات، وتوحيد الأفعال. أَيّ اعتقاد أنّه لا يوجد ذات مثل ذاته، ولا صفات لغيره مثل صفاته، وأنّه المتفرد بخلق الأشياء وإيجادها وليس لغيره من ذلك شيء. أمّا توحيد الذات فمأخوذ مِنْ قوله تعالى {قل هو الله أحد} [الأخلاص /1]. وتوحيد الصفات فمأخوذ من قوله تعالى {ليس كمثله شيء} [الشورى/11]. وتوحيد الأفعال فمأخوذ مِنْ قوله تعالى {الله خالق كل شيء} [الزمر / 62]، وقوله {والله خلقكم وما تعملون} [الصافات /96]، إلى غيرها مِنَ الآيات الكريم

  • @abuuiqrimah1125
    @abuuiqrimah1125 ปีที่แล้ว

    Ww ni zindiki

  • @ndevumbili7117
    @ndevumbili7117 ปีที่แล้ว

    Ww unatofauti na shia

  • @rushu1232
    @rushu1232 ปีที่แล้ว

    Mbona mawahabi unachukia haqqi hiyo historia iko International sio TZ tu kuna kitabu cha itwa the British spy ulaya kimieleza hiyo historia.

  • @rushu1232
    @rushu1232 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndio historia yakweli uhawabi hakuna anaemchukia ila nifitina kubwa alioingiza duniani alipoacha ilmu nakufuata hawaa za nafsi yake.

    • @suodymmbaga6583
      @suodymmbaga6583 ปีที่แล้ว +2

      Ndugu yangu kama ww una muohopa Allah na siku ya mwisho embu nenda kasome kitabu cha shekh Muhammad Abdulwahab, usulu,thalatha, alafu ukimaliza uje umtukane tena,unaongea kwa muhemukoa,

    • @rushu1232
      @rushu1232 ปีที่แล้ว

      @@suodymmbaga6583 hakuna anemtukana wala anaesema sio alim lakini alifuata hawaa nakutaka kuwa ndio sheikh mkubwa mpaka kukosana na baba yake na kaka yake nakuuwa watu kudai wanafanya shirki someni historia doll ya saudia ilisimama vipi.