I sat and ask myself if they can worship GOD like that what can heaven sound every sec, minute and everyday!?😭😭😭🙌🙌🙌 BE GLORIFIED LORD, YOU DESERVE MORE OF OUR PRAISES🙌🙏
Nikisikiliza hii nyimbo huwaga nahisi kunyakuliwa namoyo wangu huwaga unauma Sana natamani cku 1 nije niurith ufalme wa mungu nikiimba wimbo huu yesu nisaidia
Hivi Kama Duniani watu mnaabudu vizuri hivi Bado najiuliza mbinguni itakuwaje jamanii jaman jamanii hapo choir master akiwa kerubi mkuu mwenye nguvu itakua Raha sana
This a practice on how we will join angels in heaven I will be very happy to see my Brother John Lizu leading us in heaven this is a sacrifice that is accepted by our father worship is my food
#YESUwastahili🙌 📖Ufunu 5: 9-10 9. Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa, 10. ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Wow this is so powerful my elder brother John Lisu....mungu akuongezee upako zaidi na zaidi. Wewe ni baraka katika kizazi hiki cha sasa. Barikiwa sasa...from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
My God since I was introduced to this song by my husband I can't stop listening to it repeatedly it really invites the presence of God! Iam thankful God bless you man of God!
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, unanibariki sana na kuniinua kiroho kwa nyimbo zako, Mungu mwenyewe aendelee kukuinua zaidi na zaidi katika Jina la Yesu, Amina.
John 4:23 [23]A time will come, however, indeed it is already here, when the true (genuine) worshipers will worship the Father in spirit and in truth (reality); for the Father is seeking just such people as these as His worshipers.
its 8th of August 2022,,,,the song has come in my mind and wondered whose song is this in my mind as i was discussing the Bible online ,,,i decided to switch to you tube and search it by typing 'Hallelujah',,,,,,i feel the intence presence 🙌🙌🙌
Mungu Akuinue sana Kaka Yangu Halleluyaaa kwa YESU wetu
Wow mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, nakufurahia pia. I like your worship 🙏
Mungu aendelee kukutumia
Unapanda mbegu ya Imani na Bwana ananyeshea nayo inazaa matunda katika kuwapata waabudu halisi🙇🙇
Nangoja ile siku Mungu ataichagua muwe pamoja kuabudu Bwana nyote wawill. Siku Hiyo naamini mbingu itakuwa pamoja nasi kama mvuke ushukao Kutoka Juu
Amen. Nawe pia Mungu akuinue
Be blessed too brother
Yesu wastahili oooh Hallelujah,nikisikiza wimbo huu najipata kwa maombi Mungu akuinulie viwango mtumishi
I sat and ask myself if they can worship GOD like that what can heaven sound every sec, minute and everyday!?😭😭😭🙌🙌🙌 BE GLORIFIED LORD, YOU DESERVE MORE OF OUR PRAISES🙌🙏
You said it!
Absolutely true. OhhLord help me to worship you in truth and in spirit.
Such voices literally take me to heaven…our God deserves the best!!
Heaven must be so sweet 😋 Lord help me to love you in truth and in spirit I can't miss this😭😭😭
U k know what u real thought of it
After Nigerian worshippers we have tanzanian
Pure love from kenya 🇰🇪
It's by God's grace only
Yesu wastahil kuabudiwa
This song is worthy to have million plus viewers, Christians we have to support our Artists.
EEE Mungu naomba uniletee wateja na nguvu za giza zinazojirudia zitoweke zote in Jesus name
Asante Mungu umefanya nilivyokuomba
Tanzania you are blessed with amazing worshippers who worship God in Spirit and in truth. We love you from Nairobi, Ke.
Godbles you
Amen
@@mugoremuzia5398 I usually ii
@@mugoremuzia5398 and
@@happylema3801 ili>iiiii>iiiii>iijijjjjjjjjjj+ii
Hakika Mungu alituhudumia sana sikuu hii Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana
Ufalme wa mbinguni una tekwa na wenye nguvu. Sote tuuteke Ufalme wa mbinguni tuimbe sote Hallelujah kwenye kiti cha Enzi mbinguni. Amen
AMEN BARIKIWA SANA
I feel like I'm in heaven worshipping with Angels, Glory to God
Nimebarikiwa na nimefurahi tena kukuona mtumishi wa Mungu John Lisu.
Ee Mungu nakusihi umkumbuke mtumishi wako katika ufalme wako.
Hallelujah Ni lugha ya mbinguni tunaunganika na kikosi cha mbingu kukusifu ,kukuadhimisha ,hallelujah wastahili
Nikisikiliza hii nyimbo huwaga nahisi kunyakuliwa namoyo wangu huwaga unauma Sana natamani cku 1 nije niurith ufalme wa mungu nikiimba wimbo huu yesu nisaidia
Hivi Kama Duniani watu mnaabudu vizuri hivi Bado najiuliza mbinguni itakuwaje jamanii jaman jamanii hapo choir master akiwa kerubi mkuu mwenye nguvu itakua Raha sana
Mie huja hapa mara kwa mara sababu ya kubarikiwa. Mungu akibariki mtumishi John Lisu. Naamini hii neema inateremka huku kwangu kwa imani na matendo
Najivunia kuwa na Yesu, mambo ni mazuri sana mbarikiwe Wana wa Mungu.
"Malaika wanazitupa taji zao, wakisema haleluya kwa BWANA"
This a practice on how we will join angels in heaven I will be very happy to see my Brother John Lizu leading us in heaven this is a sacrifice that is accepted by our father worship is my food
#YESUwastahili🙌
📖Ufunu 5: 9-10
9. Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa, 10. ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
You listen to these songs from our friends from Tz and you feel like ‘To live is Christ and to die is gain’. Nothing to lose
❤
Mungu akupandishe kiwango cha juu katika huduma yako, barikiwa kwa wimbo mzuri, Mungu akupe kibali zaidi
Hallelujah be blessed Lord asifiwe mungu hallelujah
Wow this is so powerful my elder brother John Lisu....mungu akuongezee upako zaidi na zaidi. Wewe ni baraka katika kizazi hiki cha sasa. Barikiwa sasa...from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
Nimekwama hapa....
Mungu azidi kukuinua sana mtumishi wa mungu ...nimeguswa sana nawimbo huu mtumishi najiis kumwabudu mungu kila napo uskiliza ...
Amazing worship laced with humility & brokenness!! Glory! Glory!
Nyimbo zako zitadumu mtumish vizazi vitazitumia kusifu na kuabudu neema ya mungu ikujalie
Wow such a blessing. Barikiwa mtumishi am blessed
Mungu Akubariki sana kaka John Lisu kwa wimbo huu hakika unatia moyo sana mungu aendelee kukupa kipaji zaidi ni zaidi
I am First Kenya likes jameni
Wastahili Muumbaji wa Vyote🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Asante sana kwa Huduma hii Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Wastahili sifa zangu zote Yesuuu
This is spiritual found myself deep in spirit while worshipping now
Yes of course
100% correct
Kenyans love you.moreso Nakuru
DIEU EST FIDÈLE DANS TOUTE SA SAINTETÉ SOIT LOUÉ FROM KINSHASA DRC MUNGU KWANZA ONLINE
Yesu unastahili kuabudiwa,,,, hallelujah
Saa ndio hii ambao wamwabuduo halisi tunamwabudu katika roho na kweli. Nabarikiwa sana na mtumishi wa Mungu @John lisu. Be blessed so much
Mungu akubariki na team nzima Mtumishi wa Bwana
😭😭😭😭😭 Yesuuuuuuuuuu nimehisi kugusa pindo la vazi lako kwenye huu wimbo, 😭😭😭😭 Asante Yesu , Asante Yesu Asante Yesuuuuuu 😭😭😭😭😭😭😭 🙌🙌🙌🙌
Nikisikiliza wimbo huu nahisi jelusalemu mpya sipati picha ee bwana jina langu liwepo kitabuni siku iyo amen
7:06
Asante sana Kwa wimbo nzuri sana. Mola awabariki sana. Fanikiweni milele na milele
Hakika Wastahili heshima zote wakupewa sifa na utukufu Zikurudie milele na milele Amen 🙏🙏🙏
What a song! Nimeirudia Mara nyingi, Mungu azidi kukutumia toka utukufu hadi utukufu kaka Lisu!
Kaka Lissu, Hakika MUNGU anakutumia kwenye kipawa chako hiki cha uimbaji na tunabarikiwa & kuguswa mno na jumbe zako.
I've never had goosebumbs for 2 minutes straight worshipping😭😭😭 ..... & I cant stop replaying it.... glory to Jesus...... YESU WASTAHILI
🙌🙌🙌🙌😭😭😭 Ubarikiwe kaka kwa nyimbo nzuri kweli yupo anae stahili chini ya jua na mbinguni🙏🙏
Nilimisi sana ibada hizi. .barikiwa sana kaka mkubwa. .Mungu akupe mafuta zaidi
Uwepo wa MUNGU uko ndani ya hii nyimbo hakika YESU Ni mkuu Sana 🧎🧎🧎🧎
Legend is back, Hallelujah...Hakika Yesu unastahili. Barikiwa sana Mtumishi, Mungu azidi kukuinua
Amen
Kaz th-cam.com/video/O5Z1Ai6aZwA/w-d-xo.html
Barikiwa sana mtumishi
Neema iongezeke Mtu wa Mungu 🙏 Ninabarikiwa sana na huduma yako
Powerful powerful Utukufu wa Mungu Ni mkubwa sanaaa
Halleluyaaa😭😭😭😭😭your holly,Unastahili Mungu wangu
My God since I was introduced to this song by my husband I can't stop listening to it repeatedly it really invites the presence of God! Iam thankful God bless you man of God!
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, unanibariki sana na kuniinua kiroho kwa nyimbo zako, Mungu mwenyewe aendelee kukuinua zaidi na zaidi katika Jina la Yesu, Amina.
Nakupenda Sana kaka Kazi yako ni njema mnooo, usikae Muda mrefu bila kutuletea Ibada nyingine kama BWANA Yesu atakupa kibali, Mungu akubariki Sana
Mungu wastaili kuabudiwa...nakupenda Yesu wangu.
Tanzania's you are the best worshipers. You bless my heart
Very Powerful...
Hakika Mungu Wastahili 🙏
Nakukubali mtumishi unajua kulinda wingu la Roho mtakatifu
Rekatalababoz.... Rekete riamazando👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
God's presence 👏🏽👏🏽👏🏽
Kila nikisikiliza wimbo huu nazama kabisa. Kweli ni deep worship
🙌🙌🙌 Kaka Lisu asante kutushirikisha IBADA hii 🙌🙌🙌
Amazing worship song man of God.
😭😭😭Sifa na Utukukufu Ni kwa Munguu🙌🙌
Hakika Bwana wastahili hakuna Alie kama ww God is faithful 🙏thank you Jesus 🙏🙏🙏
Strong worship song from a man of God.....hakika anastahili Sifa na Utukufu wakati wote.
Nimepatwa na ganzi baada yakuplay hii nyimbo kuna upako mkubwa sana humuu. Kazi nzuri sana kaka john
John 4:23
[23]A time will come, however, indeed it is already here, when the true (genuine) worshipers will worship the Father in spirit and in truth (reality); for the Father is seeking just such people as these as His worshipers.
Glory be to God
🙇🙇 I can't stop listening to this song I feel like taken and seated with angles
When listening to this it is powerful 🤲🤲
Yap, that is true also in Romans 12:1
Amen
I can't complain christ is alive
MUNGU aendelee kukutumia kwa utukufu wake
Ayeeeee MY GOD MY GOD MY GOD🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙉🙉
Ameen nimebarikiwa sana huu wimbo Mungu akubariki mnoo.
Yes Yes Yes grory to God 🔥🔥🔥🔥🤝
Hii imenileta karibu na Baba yangu 🙏🇰🇪😭😭
Ubarikiwe sana mtumishii WA Mungu John lissu
mungu akulinde mahali yalipo manono ya nchi akuweke amen🐦🌹
Father of worship Tanzania and all over the World dahhh cjui ht nseme nn kaka ubarikiwe saana
🙌🙌 sifa na utukufu zina wewe mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake.
Uinuliwe juu zaidi 🙌🙌🙏🙏
Voice
Mungu azidi kukufanya Baraka kwa kila anayesikia injili hii kwa njia ya uimbaji wako.
Hallelujah kwa yesu wetu na mwokoz wetu..ubarikiwe na yesu Kaka🙏🙏
Nazipenda Sana nyimbo zako maana zinanibarki sanaMungu was mbingu na nchi akubariki huduma yako hapa dunian na mbingun
Wow this song is Powerful 😇💪💪💪Amen amen Halleluyaa😇😭😭😭😭
Amen amen amen
Astahili Mungu pekee
Ɓariƙiwa sanaaaa kaka
hongereni sana hii ni ibada halisi mbele za Mungu ya kumsifu yeye pekee mzidi kutumika shambani mwa Bwana
This is the Apparent connection.Mungu akuzidishe katika huduma yako Kaka.
Wastaili Mungu maisha yangu siwez bila wewe Mungu
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾hakuna kama mungu wetu
Hallelujah to the most higher na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏
Halleluyah Halleluyah.. Uweponi mwako Bwana kuna furaha tele..
th-cam.com/video/O5Z1Ai6aZwA/w-d-xo.html ▶️
Amen wastahili bwana sifa za moyo wangu
Mungu akutunze sana mtumishi John Lisu. Mungu akupe mafunuo makubwa ya kumwinua ....
I am only dwelling through wastahili ,,,2021
Mungu was mbinguni akubariki Sana kwa huduma nzuri
Amen Mungu azidi kuibariki kazi yako kaka Lisu!
Yes Lord what a powerful Song..
Yesu wastahili sifa za Mioyo yetu
Tunakupenda Yesu. 🎶🙏😭
Amen. Hallelujah 👏👏. Here I am Lord. With all my faults
Barkiwa sana mteule wabwana kweli anastahili yeye pekeee sifa zamyoyo yetu
Amen barikiwa mtumishi tunakupata na kukuombea
its 8th of August 2022,,,,the song has come in my mind and wondered whose song is this in my mind as i was discussing the Bible online ,,,i decided to switch to you tube and search it by typing 'Hallelujah',,,,,,i feel the intence presence 🙌🙌🙌