Mungu aendelee kukuinuia Sana mtumishi wa Mungu kwa viwango vya ajabu...Hakika MUNGU atajitukuza Sana kupitia wimbo huu na naona utapata watazamaji wengi Sana..kazi yako ni njema brother Lisu
With or without a galatone ur amazing.. Once a legend always a legend Ile kusimama katika utumish miaka yote hii unatutia moyo sana pamoja na majaribu njiani lakin bado anointing inaongezeka Bless you Minister John Lisu.
I can see Pastor Gwamaka, Pastor Nsiandumi.. You are a legendary Servant with so much humility. May God continually bless you. And one day mungu akikuwezesha Visit Kitale Kenya,
Certainly John Lisu always blesses me with his songs because I love worship more than praise Soon we will call him In GVM Dodoma Ministry Welcome to the Servant of the living God. Zaburi 136
Milele na Milele Twakusifu Ee BWANA. Kaka Yangu Mkubwa Wewe ni Baraka sana Duniani
Mungu aendelee kukuinuia Sana mtumishi wa Mungu kwa viwango vya ajabu...Hakika MUNGU atajitukuza Sana kupitia wimbo huu na naona utapata watazamaji wengi Sana..kazi yako ni njema brother Lisu
Hakika kaka john nizaidi yabaraka ,nataman siku moja mfanye kazi yapamoja mtatubariki saana kaka zangu
Tunaomba wimbo wa kaka John Lisu na kaka Boaz. Swezi pata picha huo uwepo wa Mungu
This song should reach 100million views,where are my Kenya brethren?
From kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Baba sifa na ukufu ni kwako Bwana
Baraka yetu Tanzania baba john lisu huyu MUNGU akukumbuke baba kwenye ufalme wake zawadi yetu wewe 🥰🥰🥰🥰
Sifa na utukufu ni zako eeh Bwana🥳🥳🥳
Cant keep Calm.
John lisu umebarikiwa mno kaka😍mungu akutunze kazi yako ninjema sana
Nakukubali Nyimbo zako zinani bariki
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥. I love it. John Lisu always a blessing.
Sifa na utukufu nizako e Bwana.Asante Mtumishi wa Mungu .
Wimbo huu umenibariki sana ukousikiliza ka uko mbinguni
Utukufu hadi utukufu 🙌🏼
With or without a galatone ur amazing..
Once a legend always a legend
Ile kusimama katika utumish miaka yote hii unatutia moyo sana pamoja na majaribu njiani lakin bado anointing inaongezeka
Bless you Minister John Lisu.
This is powerful. Am blessed by this ministration. Thanks for allowing God to use you.
Nimebarikiwa na wimbo huu yaaaan ni powerful song
Barikiwa sana kwa ujumbe mzuri sana Mungu azidi kukutunza na kukufanikisha kila jambo
Milele na milele. Wonderful and powerful song with best blended voices. Blessed to watch and listen more and more.
milele twakusifu eeh bwana!!!
waoh..today was thinking to come and play yr songs...awwww then this..so beautiful milele hakuna kama yeye.uuuuh uyu ,,,mungu wangu anapendeza
Wow! I'm so blessed with this song❤🙏
Wuwuwuwuwuuuuuh hii ni ya moto aisee acha Mungu wangu atukuzwe
Hallelujah 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 more Grace sir. BLESSED by the song
Hakika Milele na Milele hakuna kama wewe BWANA .. Mungu akubariki Mtumishi kwa wimbo mzuri
Amina ubarikiwe mtumishi kwa kazi njema
Baraka Baraka...kazi zuri sana John Lisu.
Woyoooooh!
Nilikuwepo hii siku na mambo yalikuwa fireeeee
Nishapata wimbo wa praise 💞💞🇹🇿🇹🇿🇹🇿😀
Wimbo mzuri sana,mbarikiwe
Nimemuona Gwamaka Mwakalinga
Veteran... we came to worship.
Sifa na Utukufu ni zako Ee Bwana. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Gwamaka ni mnyenyekevu Sana
Mungu amkumbuke🙏
Kabisa
very true and he will remaind the best
Kweli
Huyu kaka gwamaka ni mtu ambae atafika mbali na hakuna atakaefika kwa hapa tanzania yote...ni mnyenyekevu sana alaf anamjua ni nan anamwabudu
Amen barikiwa mtumishi
I cant Have enough of this song. Bado naisikiza mara kwa mara. God bless you Pastor Lisu.
Wueeeehhh 🎉💃💃💃 Anyone else enjoying the voice blend??
Didn't know Lisu would sing without the guitar 🤣🎉🥳💃
I feel the voice
Kazi nzuri Sana picha, sound, stage Mungu akubariki Sana Sana unatubariki mnooo
Sifa na Utukufu ni zako eeh Bwana ooooh allellujah🙌🙌
Wow this is great I'm being blessed from Kenya Nairobi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏good work bro
Sifa na utukufu ni zako Eee Bwana! amen..Please remove the ads
Bariikiwaa sana
Hakika nyimbo zako zimekuwa zikinibaliki sana mtumishi ubarikiwe
I can see Pastor Gwamaka, Pastor Nsiandumi.. You are a legendary Servant with so much humility. May God continually bless you. And one day mungu akikuwezesha Visit Kitale Kenya,
Wow, God bless you bro Lisu you really ignite my spirit when I listen to your songs... More anointing...
Chokwadi hakuna wakafanana naJesu Christu
Umebarikiwa Mtumishi
Angelic voices!!!!!
Higher heights Pastor - Emmanuel with you.
Umenibariki ubarikiwe
Certainly John Lisu always blesses me with his songs because I love worship more than praise Soon we will call him In GVM Dodoma Ministry Welcome to the Servant of the living God. Zaburi 136
Lisu you are my mentor. 🙏🙏
Kazi nzuri sana Kaka John, umebarikiwa ndg
milele hakuna kama Mungu
Thanks kazi nzuri
Milele ametukuka. Hakuna kama mungu wetu
Also Christine Essence of worship I can see you
Amen Amen Mtumishi
This is more than talent but the God's presence may God continue to lift his name through this powerful ministry and our brother by JONLISU
Milele nakusifu 💕💕 Ebwana
Sifa na utukufu ni zako eeh Bwana 🙌
Loving it
I can see Gwamaka there..God bless you ..you people are amazing
Hii njema kwa BWANA, hata mziki umepigwa Sana , lakini Huyu bassist ni hatar .
SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO EEH BWANA . AMEN
Woow love it,,,,,,ppl did u see leader of essence of worship John one who sang aliyeniokoa
Haitwi John 🤗Anaitwa Gwamaka Mwakalinga 🤗🙏🏽
@@raymsanii oooh okay
Wow, I love this be blessed
More blessings bro John Lisu,very powerfully song,video imetulia sana kaka
Aririririririririri milele 💃💃💃
My favourite. Mungu azidi kukutumia John.
Kaka uliongeza ladha kabisa
God has gifted John Lisu so uniquely. May the Lord continue using him as a vessel to reach many lost souls.
Such A beautiful song. Mungu azidi kukubariki servant of God.
🙏🙏 sifa na utukufu ni zako.
Ah Papa John wapi Ka guitar 🎸 jamani and Kazi nzuri Sana utukufu Kwa Bwana
Baraka
More grace🙏
Amen 🙏
Hakun kabisa kama Yesu
Lissu never disappoints💫💫
I bless you Lord for this song of praise.
Amazing.... wapi 🎸 yako....🎈You bless my heart
SIFA ZOTE KWA JEHOVA MILELE NA MILELE.. BROTHER JOHN LISSU HAS NEVER DISAPPOINTED . POWER FULL SONG
Forever and ever there is no one like You Lord
Really amazing
Good sound
Touched by this new hit with strong power.....just like
Hallelujah hallelujah Amen
One of my most favorite worshipers. God bless you Lisu.
Nimebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu...kazi zako zinaishi..hakika ni baraka kwangu mimi
Hallelujah 🔥
Amina
Amazing and a wonderful song..be blessed
Powerful
Muy buena música gospel de la nación de Tanzania, África Oriental
Wonderful
Sifa na Utukufu ni zako eeeeeeh Bwana 🎼🎼🎼
Niliusubir sana huu wimbo wa Ibada ya MUNGU ashie milele
Patiently waiting ....to be ministered through the song ..
Baraka
Nice
Milele twakusifu ee Bwana
awesome saxophone
Amen barikiwa Sana mtumishi
Amina Mungu azidi kukubariki,,,
Lisu,God continue blessing you,centy,Mrs ruto
Splendid nice,you bless my heart
Glorious!
Bro Lisu praising God powerfully... bila guitar 🎸
Glory to God
Wimbo wa Baraka mtumishi