PASTOR EZEKIEL WA KENYA AFANYA JAMBO LA KUSHANGAZA KWA MUENDESHA BAISKELI ALIYEKUJA KANISANI KWAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
TH-cam : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
Mungu nipee imani kama huyu kijana,kupitia testimony yake.madeni yangu nailipwe kwa jina la yesu, amen
❤
😊p
33:58
Duh kweli Mungu mkubwa ukimtafuta Mungu anapatikana
Amen 🙏
Huyu ni mtumishi wa Mungu siku ilikuwa aijafika kumfanyia Mungu Kazi..roho wa Mungu amemwongoza akujie upako..thank you Jesus🙏🙏
AMEN 🙏🙏
Amen my brother from kakamega , l 'm proud of you . May God indeed grant you what you desire in jesus name🙏🙏🙏🇪🇺
Mungu pia mimi naitaji uniokoe familia yangu ikombolewe na nikutumikie siku zote AMEN 🙏🙏🙏🙏
Yesu nikumbuke nilienda kitengela bila chochote pia mm neema ishuke
ABBA Father remember my son's as you remember this man in Jesus Mighty Name 🙏 Amen
Kwa jina naitwa jenitha from tanzania ,nina watoto wawili ,edson na lightness mtumishi naomba uniombee mm na watoto wangu ,mungu awainue ktk elimu yao na mm mungu anifanyie kitu ktk maisha yangu.amina mtumishi natamani nikuone live najua nitabarikiwa zaidi.
Mungu nitendee napitia magumu sana niombe njia zangu zigunguliwe kazi yangu ua salon inawiri in Jesus name.amen
God is grateful and merciful,, glory and honour is with him
Mungu nilipia madeni and set me from them oooh My heavenly Father
😭😭😭😭😭😭 nimejipata nalia. Hiki ni kilio cha haki moyo wa kutafuta Bwana. Mtafuteni Mungu maadamu anapatikana.😭😭😭😭😭😭
NA MUITENI YESU RAFIKI WA KARIBU❤
😂😂😂😂yani stori yake ni huzuni na kichekesho. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi insha Allah
Amen
Nimempenda sana huyu kijana anaonekana ni mtu mzuri sana, nimemsikiliza sana simulizi yake imenigusa sana kwa kuwa ameongea ukweli kabisa simulizi yake,Mungu wa pastor Ezekiel muombee kijana ameungama ukweli wake.31.03.24.
Searching for identity and truth....its encouraging!
Mungu nikumbuke nami nipone pamoja na familia yangu
❤❤Pasta Ubarikiwe sana kwa shuhuda nzuri sana Tunakupata 5/5 Stockholm Sweden
Amen 🙏🙏🙏🙏 God bless you so much pastor muombee
Ameeeeeeen, I tap the same Grace in the name of Jesus Christ
Barikiwa baba mungu waisraeli musaidiye uyu kaka ww ni mungu wa rehema na mwenye huruma mhulumiye uyu kaka sawa sawa na uitaji wake
Pasta Ezekiel Mimi ni Muislam ila huyo mtu aliye kufikia kutoka kakamega mpe na umsaidie kumpa maombi awe mtangazaji na msambaji wa neno la Bwana yesu kristo huyo anania Ya kuokoka
0p
Amen 🙏 and
Jambo Mtumishi wa Mungu Ezekiel Mungu akubariki sana ktk utumishi wake
Very touching story pastor Ezekiel more blessing
Mungu nipee nguvu nya hufumilivu Kwa Hii safari nya Maisha nyangu nko na imani kilaa kitu hitakua poa
Wa kenya wana pendana sana.
Ukiita Jina la Pst Ezekiel, aaa utasaidiwa na kweli wote walio saidia huyu mzee wa imani nina imani wote wali barikiwa sana navyo huyu mzee alivyo barikiwa. Pst Ezekiel Mungu akutetee kwa kila jambo. Huduma yako inawiri uzidi kuombeya wengi nami usini sahau. Amen
Mungu naomba unipee nema na kimbali chako😭😭😭😭😭😭😭
am touched with this story mungu mfungue na mpe tamanio la moyo wake
Mungu amsaidie pia mimi anisaidie nipate kazi
I like this story of this junger man from kakamenga 🙌🏾
Nami mungu nikumbuke na familia yangu unapokumbuka huyu Kijana nikutumikie
Sina la kunena...but God is the way...pastor...just God bless you
Na kila anaeniinilia vita kazini kwangu naomba vikainuke kwake na familia yake 🧎♂️➡️🧎♂️➡️🙏🙏
This guy is a man of God.
Mungu wangu kuptia ushuda wahuyu ndungu mubariki pia ndugu yangu apate mke
Glory to God Asante Pastor pia huyu Kijana 🙏🙏🙏
God as you remembered this bro, i aldo connect my cousin who is also out of sense n nairobi God intervain
Thanks to jesus
Hii ni story yangu 2002 siku ambayo siwezi isahau maishani mwangu mungu Asante ulininda nikiwa mdogo sababu ya shida na uyatima baba mungu ni ninapo tafakari mahali niko ndashukuru sana nipeee nguvu ni kutumikie sana bro mungu akubariki sana
Ala!! Sorry dear, though u look young haukai kama ulikuwa umezaliwa enzi izo 2002,
Nilikuwa nimezaaliwa nineeema ua mungu tu
God you know me better than i know myself...I know you will do it for me.
Amen
mungu utabaki Kua mungu milele
imani nzuri ,sifa kwa mungu
Mungu apewe sifa, najua atawakomboa watu wake
Mungu pie nami niokolea families yangu🙏🙏🙏
Mungu unapomkomboa huyu kijana na familia yangu ikombolewe namadeni yangu yote yaishe nisikope tena.
Mungu ni mungu asifiwe kabisa
Mungu ni saidie nifike kwa mtumshi wako siku moja TU, nitakushukuru.
Namimi mungu naomba unikomboe pamoja na familia yangu
Mungu amtendee pia NAMI anitendee
Mungu niondolee shida ambazo Niko nazo siyo zangu katika jina la yesu
Ezekiel na Sarah mungu awaweke wasaidie wengine wengi.
As you have remembered your son , mighty Jesus save my whole family and give me the heart of helping
Mchugaji huyo kijana amenipanguvu sana naomba uniombee watoto wangu pamoja na familia zao ili wa badilike ni ta mshukuru mungu amen
Pst Paul Gathii ,nvs karagita ,wa Shekinah church nauliza yokofu na uaminifu wanao mcha BWANA ilienda yapi,GOD WILL ARISEN DAUD KNOW HIS IS THE WAY,
What a faith, God help me!
😢😢😢😢😢😢 God see your people were 😭😭😭😭 for you, refill yourself to him on God 😢😢😢😢😢
Mungu nipee imani kma uyu kijana,kupitia testimony yake.tamanio la moyo wangu likatimie niondole aibu katika nyumba yngu na familia yngu futa machozi yngu hii mwezi isiishe mungu wangu tenda jambo katika nyumba yngu kuwenakilio cha furaha huu mwezi .
Mungu unapoenda kumkumbuka huyu dungu NAMI usinipite amen.
Yesu niongezee imani kama huyu kijana
Mungu tengeneza jia kwa ajili ya familia yangu na kizazi changu mungu wangu naitaji kukuona
Asante Mungu wangu katika yote Pasta Ezekiel natamani sana siku moja nifike kanisani kwako.
Groly to God.... respect 🙏🇰🇪
Seek Ye first the kingdom of God and His Righteous and all others shall be added unto you
Waaaaah ak hii hushuuda iko emotional waaah mungu ni rehem na mimi pia usinipite unapozuru wengine
Pole sana mtumishi wa Mungu
Mungu uwasadie watu wako
Mungu nipee amani na ujasiri siku moja nitakuwa na biashara yangu 😢😢😢😢😢😢 am somebody slave God be with me
God remember this man. At least he knows that God heals, saves and gives victory. He has been through fire though he didn't get burnt. Isaiah 43.
Mungu ni mwema
Am blessed had imeshindwa kuongea
Mungu wa neema anehemeshe mtoto wangu Darvin apate kupeana testimony kama huyu kijana.Hamu ya bhang,sigara na pombe viishe in Jesus mighty name.Mungu bariki huyu kijana na imutimixie haja zake in Jesus mighty name
Hakika huu ushuda umenipa kujua kuwa Bado ninayo nafasi ya kutengeneza na Mungu atatenda mambo makuu
sana
God be with him,,,,huyu mzee ananifanya ni mwange machozi kwa mateso na shinda tumepitia na mzee wangu na familia yao,,mungù tuonekania unapo muonekania huyu
AMEN 🙏🙏🙏
Hii story ina nikumbusha kitabu kinachoitwa Safari ya Msafiri nilikisomaga nikiwa mtoto mdogo 😢😢
Imani kwa mtuhuyu nikubwa sana nawaamba Tanisha wale wote nimekua nikiweka nahitaji Yao na yangu aambatanisha nahitaji la huyu baba
Kibali mungu alimpea hyu mtu hki mungu ni mkuu
DEAR LORD IF THIS IS THE CASE I WANT TO SERVE YOU IN TRUTH AND IN SPIRIT ...LORD I WANT MYSELF TO BE A TRUE TESTIMONY TO OTHERS ...SO THAT THEY MAY KNOW THAT YOU EXIST 😢😭 I NEED YOU LORD MORE AND MORE.
So touching God help your people
Asante mungu
Mungu nisaidie nikutumikie na familia yangu kama alivyo sema huyu kijana
Nikumbuke nami bwana amen nyota yangu iliyoibiwa nirudishie napokea kwa jina la yesu kristo mwana aliye hai amen
Kupitia ushuhuda huu Baba wa Yatima naomba nirudishwe kazini
Mungu ni mwema Sasa anatumika katika madhabahu.
A very great faith may it be magnify in may family
this Man has faith more than one can imagine, and he wasnt seeing how strong he is, he only came to be natured.
Pastor please pray for my sister caro and her family to be stable
Na mungu akubariki sana na akupekile ambachounahitaji my dear friend aki sinalakusema ila mungu anipeimani kama yako utuombee pia
Hivi ndivyo mungu anavyobadilishaa watu nami mungu kupitia huyu kakangu nami nikombolewee
Amen naomba ukombozi
Jana nidaiwa Leo nadiwa kesho nadaiwa madeni madeni Mungu Nilipie yesu Nilipie Amen
I see prisoners are coming out amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I asked for food you fed me, I asked for clothes you dressed me up, I asked for shelter you gave me.
I tap the same Grace to my son too in Jesus name.
Amen
Eeh mungu haji watu wake.pastor mungu hakutangulie husidi kuhudumia watoto wa mungu🙏🙏🙏
Next part pls.may God bless that Young Man..na ampatie chenye anaitaji
Amen Glory to GOD🙏🙏🙏
What a powerful testimony is this
Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏
Thè end of man is the beginning of God!
Mungu wangu wale naŵadai pesa zngu wanilipe kw jina la yesu kirsto amen
😢😢😢😢aky GOD jamani
Remember me ooooh lord us you remember your son in jesus might name