ASKOFU MWANAMAPINDUZI AWAANIKA HADHARANI VIONGOZI WANAFIKI NA WAONGO WAONGO, CHANZO CHA MIGOMO TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • #TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi balaa, amvaa Rais Samia bila woga, migomo ya Wafanyabiashara, "ni siasa?, amezungukwa na watu waongo waongo"
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 6

  • @SylviaCoelestine
    @SylviaCoelestine 10 วันที่ผ่านมา

    Mwanamapinduzi Mungu akubariki sana umesema ukweli kabisa, wanamdanganya mama anashindwa kutoa maamuzi ya kusaidia wananchi wake anaamua kwa kusikiliza hao wanaomdanganya alafu wananchi wanakosa imani na mama wanaona kama anawapuuza, kumbe hao wanamdaganya wanasubiri hali iwe mbaya wamtupie lawama.

  • @AugustinoPeter-rn9bn
    @AugustinoPeter-rn9bn 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kugoma wilaya ya uvinza ni sh 22500

  • @macsaly8862
    @macsaly8862 13 วันที่ผ่านมา

    Umeme umekuwa tishio. Hayo Mankato hatuyaelewi.

  • @Edwinkanyela
    @Edwinkanyela 13 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa ccm ni zaidi ya majambazi maana wanatunyonya ,kwenye umeme do balaa

  • @user-mf7xy3sf6q
    @user-mf7xy3sf6q 13 วันที่ผ่านมา

    Siyo kugoma ni kigoma

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 10 วันที่ผ่านมา

    Carword into Tanzania national will drive as lnto more trable but is ok let it be ndio tutapa akili zaidi ujinga wetu ndani ya utumwa bado tunasubiri nvua ingine ili tuone Pana vuja