Ust. Shafi Alivyobishana Na Wakiristu Ndani Ya Ndege Mpaka Wakasarenda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2023
  • Muhubiri wa kiislam Sheikh Shafi Shomari alivyobishana na wakiristo ndani ya ndege
    #makironlinetv #tanzania #shafi Shomari

ความคิดเห็น • 21

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe Shafii mimi nakupendea michapio yako. Uko tayari kusema uongo kunusuru dini yako bila kujali adhabu ya Mwenyezi Mungu itakayowakabili waongo wote siku ya amri kiyama.

  • @yia73
    @yia73 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wallahi huyu shafii ni ahmed dedaat walewo ❤❤❤

  • @hamisirama-ny5jl
    @hamisirama-ny5jl 4 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🏻🙏🙏🙏🙏🙏❣️

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 ปีที่แล้ว +1

    الله اكبر

  • @georgeachiengrestinpeacebr7215
    @georgeachiengrestinpeacebr7215 23 วันที่ผ่านมา +1

    NDEGE Iko wapi hapo

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Mashallah, 😂😂Jazakallahu kher

  • @amriamuri8545
    @amriamuri8545 ปีที่แล้ว +1

    😢Csnbb.

  • @user-zy7xe2vf6l
    @user-zy7xe2vf6l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ona shehe linavyokufuru kwa kutafta sifa na visa vyake vya uongo uongo anaongea kufru za wazi na waislam mnamsifu

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe kwanza ni mjinga wa mwisho

    • @user-vp3kd5le6w
      @user-vp3kd5le6w 4 หลายเดือนก่อน

      Mjinga mwenyewe kwan kakulazmishA umsikilize kama ujaelewa nyamaza

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapa huwezi kupata ukweli kuhusu jambo hilo. Kama kweli juu anachozungumzia aposti video ya Mdahalo huo ili aendelee kutuhadithia.

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shafi hivi ndivyo mnavyo hubiri na uwongo wenu😂😂😂😂

    • @user-vp3kd5le6w
      @user-vp3kd5le6w 4 หลายเดือนก่อน

      Nyie kawchangie mapastor wen magari

  • @YeremiaKuyangwa
    @YeremiaKuyangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe njoo tukufundishe hujui lolote,,kama muhamad ndo loho wakwel na ndo alietabilia na yesu kwamba atakuja bas mhamady nimtume wa yesu ko mhamady alikuw anamwabudu yesu,,,katka yohana 16.14,anasema,yeye atanitukuza mimi kwakua atatwa katka yalio yangu na kuwapasha habar.

    • @user-zh4np7kf5i
      @user-zh4np7kf5i หลายเดือนก่อน

      😂😂 kwan Muhammad anamkataa yesu
      Yesu ni muislam na Muhammad pia wote ni Sawa na Muhammad anasatikisha ya yesu kwa sabb wote wametumwa na mungu

  • @josephmsiri2245
    @josephmsiri2245 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wapumbavu sana kwhyo nyie kazi yenu nikubishana tu

    • @suleim505
      @suleim505 ปีที่แล้ว +1

      KILA KITU ULICHONA SHAKANACHO RUDI KWENYE MAANDIKO NA SIYO PROPAGANDA.

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 7 หลายเดือนก่อน

      Ndio
      Ila Naomba nikulize Kama hutojali ' nawe nikatika kondoo waliipotea ?
      Ao bado Upo kwenye zizi?
      Unatumia majani gani?
      Mashudu huli?

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 7 หลายเดือนก่อน

      ww dogo andiko lako liwapi? usibabaishe watu

    • @alimsabah6451
      @alimsabah6451 7 หลายเดือนก่อน +1

      We kafiri tu unasema nin na ukifa hali ya kuwa kafiri wewe ni ukuni tu

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu hakushindwa kumnusulu Yesu msalabani, Bali ilikuwa lazima ateswe,afe na afufuke soma Marko 14 : 36 Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.