MWENYE DHAMBI HAANGUKI KWASABABU HAKUWAHI KUSIMAMA MAISHA YAKE YOTE NI DHAMBI TU"PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

ความคิดเห็น • 24

  • @rithamichael1838
    @rithamichael1838 8 หลายเดือนก่อน +1

    A godly psychologist, hungera baba kwa kazi nzur. Mungu azid kukutumia kuponya matatizo ya watu

  • @alfredouma8298
    @alfredouma8298 8 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba Mungu anipe kipawa Kama yako Mhubiri...you are my role model n my online pastor

    • @jumaaggy
      @jumaaggy 7 หลายเดือนก่อน

      Amen he is a good man of God I have the teachings

  • @jamesamos2691
    @jamesamos2691 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika alichoweka Mungu ndani Yako nikikubwa unaigusa mioyo ya wengi. Ubarikiwe saaana mtumishi

  • @MerciIgunzi-tq7ko
    @MerciIgunzi-tq7ko 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kazia apo baba kwenye waimbaji chorale moja ikifeli nyi'gine linafurai sana

  • @kondamurhabazi5832
    @kondamurhabazi5832 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muchungaji na mwalimu kwa wengi. Tunabarikiwa saaaana

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mgogo tupashe tupashike

  • @kmtcuniversity9310
    @kmtcuniversity9310 8 หลายเดือนก่อน +1

    Be so much blessed oooh Baba mtakatifu utusamehe😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤

  • @joyceotiso5142
    @joyceotiso5142 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mchungaji
    Hakika unanibariki sana

  • @Iamwinningspirit27
    @Iamwinningspirit27 8 หลายเดือนก่อน

    Big up pastor GOD BLESS YOU FOR THIS MORAL AND INSPIRATION TEACHINGS🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mlagz8032
    @mlagz8032 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @alice-sd1sv
    @alice-sd1sv 8 หลายเดือนก่อน

    Pastor Mimi ni mmoja wao,mungu anisaidie.Ubarikiww umenitoa uchafu maskioni

  • @RIZIKISEMUNAOFFICIAL
    @RIZIKISEMUNAOFFICIAL 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe sana 🙏 🙌

  • @kondamurhabazi5832
    @kondamurhabazi5832 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe.

  • @AliceKuya-i7r
    @AliceKuya-i7r 8 หลายเดือนก่อน

    Amen pst unatusaidia sana kujua kanuni sa ushirika

  • @alice-sd1sv
    @alice-sd1sv 8 หลายเดือนก่อน

    Amen,ni kweli pastor umeongea

  • @ByamunguLusambo
    @ByamunguLusambo 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana, tunabarikiwa kwa maubiri yako

  • @ImaniPatrick-z3h
    @ImaniPatrick-z3h 8 หลายเดือนก่อน

    Asantesana mchungaji

  • @ByamunguLusambo
    @ByamunguLusambo 8 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa na swali, m'chungaji
    Je kwa nn watu wa nzuri wanakufa araka?,walio tengemewa sana na family zao?

  • @MAUWA122
    @MAUWA122 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤💌👌🏻🙏🏾

  • @maureenwetola3862
    @maureenwetola3862 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂dhambi

  • @ImaniPatrick-z3h
    @ImaniPatrick-z3h 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Daniela-vn1mn
    @Daniela-vn1mn 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ngoinicole1274
    @ngoinicole1274 8 หลายเดือนก่อน

    Amen