Ni kweli shilingi imerudi tumefurahi sana ..ila wasanij wamenenepa sana ni mda mrefu..Hadi imepoteza uhalisia wa tamthiliya kama mwazon..ila sio mbaya kazi iendelee na dj Roma ni mpole upendi kufanya mambo harka harka umesubil moyo imeisha ndo ukatuletea shilingi, big up kaz poa
Waoooooooooh!!!! Naitamani kwa Hali na maliii❤❤❤❤mi scene iliyoniumaa ni palee ambapo ameshafufuka! Alafu wakatoka nje! Wakakumbatianq iliniumaa mpaka moyoni
Umetueka sana mpaka Edna amenenepa Mashallah amezidi kuwa mrembo ❤from 🇬🇧
Umeonaaa kanenepa mashallah ❤❤❤
Mko vizur naamin mtafika mbali sana na mungu awatangulie
pmj aisee juu tumewamiss sana shilingi ndio movie poa sanaaa wahusika wote wako vizuri
Ni kweli shilingi imerudi tumefurahi sana ..ila wasanij wamenenepa sana ni mda mrefu..Hadi imepoteza uhalisia wa tamthiliya kama mwazon..ila sio mbaya kazi iendelee na dj Roma ni mpole upendi kufanya mambo harka harka umesubil moyo imeisha ndo ukatuletea shilingi, big up kaz poa
❤❤❤❤❤❤❤
Mbona mm sijaona ya jana
𝕚𝕞𝕖𝕣𝕦𝕕𝕚 𝕚𝕜𝕠𝕨𝕒𝕡 𝕞𝕓𝕟 𝕔𝕛𝕒𝕠𝕟𝕒
Watu mmekuwa mabongeeeee kwel shilingi imewainua nimependa
Edna Mrembo kivyo vyote, Mjini, na kijijini. Big Up Shillingi yetu pendwa. Can't wait to see you guys very soon. Insha-Allah 🙏 🙏 🙏
Shiling itok kwahalak San maan nimove nzur san
Sanaa bilaa hata makeup❤❤
@@lightnessgoodluck8123 au sio
Haya ndo maneno tunaisubiri kwa hamu sanaa ❤❤❤❤❤🎉
❤🎉
😂😂😂
😂😂😂😂
Hilooo romaaa ndio uliloliashaaa nakubari sanaaa romaaa nilikaaa njee ya gemu kwa kipindi kidogoo nitarudi tenaaa kwa kishindooo
Asante sana Roma tumesubiri kwahamu from Burundi
Aky thanks sana nimewamisii wow l love this shilling
Tuna isubiria kwa kwel ishaallh tuna ipenda sn shilingi ❤
Nice broo wangu twakupemda xana kwakutufundisha mengi❤🎉❤❤❤❤❤❤ endelea kutuburudisha love so mach
Wabeeee mbn tunasubiria sna jmni
mashaallah twaisubiri ❤❤
Tuko tayari kwa kuipokelea sana shilingi yetu tunawapenda sana tena sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤q❤❤❤🎉
Shilingi
wow mashaallah mashaallah hongereni sana thanks dj roma ❤❤❤❤❤❤❤
💎🤳Umetuweka sana mzee why??_🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Tumimisi sana moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿👍👍👍
Kwahiyo tunaanz kuiona rasmi lini
Roma tunaomba rudisha biti la mwanzo inamfanya mjinga kuwa mjanja irudi tunakuomba Sana roma
I’m so so happy to hear that Shilling is coming back
Shilingi yetu karibu
Tumeisubiri sana hili beretabereta ni noma sana
Wow nice waisubiri kwa hamu sana❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
bravo siku mop we really appreciate you guys.
Mm Niko Kenya nakupenda sana shilingi❤❤❤❤❤❤
Waaah tunaisubiri kwa hamu na gamu
Shilingi is very quality tunaisubir kwa hamu sana iendelee nawapenda sana shabiki wenu no 1
Jamani mumejua kunifraisha aki🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawasubiri sana
Can't wait❤ my Edna miss you..msituangushe buana kenya Mombasa imara xna best scene ever
Mombasa woiyeee
@@kalonzomasimbu617 woiyeeee cjawai enjoy scene za bongo kama hii since our late Steven Kanumba buana...acha 2bambike
@@AliJoao-pe2ur shilingi ni mambo yote
Edna kanenepa mashalaah nawapenda aki shilling nimei miss ❤❤
Waaaaah tunaisubir kwa hamu na ghamu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Welcome back shilingi
Jamani yani nilivyo na hamu nayo acha tuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Dj mungu akupe uzima na uhai uweze kutupa uhondo jamani
Mbon siioni
Tupo tunaisubiria Shilingi book 2 mana nimeipenda sanaa move ya shilingi
Wooyoo🎉
Michael m2 mbaya me na ww kuna ugomvi ujue mana bado namtaman sana 😂😂😂😂
Waoooooooooh!!!! Naitamani kwa Hali na maliii❤❤❤❤mi scene iliyoniumaa ni palee ambapo ameshafufuka! Alafu wakatoka nje! Wakakumbatianq iliniumaa mpaka moyoni
Aiseee Mnatunyima uhondo
Tuko tayari kwa shilingi yetu penda sana❤❤❤❤❤❤❤
Aaaaa kibena amekuwa mzuri kumbe mjini raha sana
Wauuu dj asnte mauwa ykoo big love from kenya
Wow wow 👏👏👏👏🥀🌺💐tuko tayari kuwatch🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️
❤❤❤nawapenda sana na nakupenda sana Edinat 😂😂😂😂nawasubili sana
Mim iyo shiling nilipenda sana
Mashaallah 😊😊😊 shilingi irudi tu kwakweli
Amani idumu watanzanzia na wakenya east Africa kwa ujumla,,, napenda Sana shilingi, inatufunza mengi hasa katika Maisha ya Sasa.... Leteni naisubiria
Wawooo asante sana dj tunapokea kwa mikono miwili karibu shilingi tulikumissss
Waoooo safi San dj Roma wetu shilingi yetu jamna siamini mmm 🤔🤔🤔🤔
Mi naona radha ya wimbo wa zamani ndio ilikuwa nzuri zaidi.muirudishe.
Tunategeaa❤
tunasubili sana jmn tunawapenda sana ❤❤
Jamani piga kelele kwa shilingi yetu❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥
Wololoooo😂
Nangoja Sana kuona finishing Jamani from KENYA
Tumeludi mjini shilingi yetu imeludi tena❤❤❤❤
Fanyeni haraka .shilingi ni tamu sana kukulika
Wapi kelele yake wewe 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳apa sasa ndio mambo tuyatakayo❤❤❤❤❤🤟🤟🤟🤒🤒🤒🤒
Wooow mzee baba chuma yuaanglia sana
jamani mko wapiiiiii shilingiii imekuja Tena haki Roma nakupenda sasa
That is welcome news! Harakisha tumechoka kungoja!!!!!
Tuna hamu sana❤❤❤❤ tunaigoja xna
Yaan mi mwenyewe Niko tayar kuipokea shilingi kwa mawoko gavili jaman dub
Jmn mbn kawa boge edin nani kaona hii😅😅😊
❤❤ tuipenda snaa🎉🎉🎉
sawa babu lete shilingi mafunzo tu ndo nafuata hapa🎉
Yaan shilingi ndo kila k2 kwangu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Karibuni sn kabisa nafurahi sn kusikiya ivo tukotayari kuiona kabisa
Waiting for it aseee, nasubr kwa hamu sana ila song liwe lilelie la mwanzo jomoon ndo liko bur bur
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂apooo ndo mmecheza penyewe sasa
Shilingi hoyee 😂😂😂😅 Niliisubiri kwa ghamu SANAA...Edna na washiriki wote wa shilingi NAWAPENDA ❤❤.
Nimefurahi sana kutuletea shilingi
Hongera sana sana tunakusubiri na hamu kweli🇨🇩🤜🤛
Roma Asante sana kwa kunipa tarifa SHIRINGI inaendea ❤❤❤❤❤❤❤❤
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamani hata siamini kama shilingi awamu ya pili yaja
❤❤❤fanyeni mpango basi itoke please
Maneno kidogo kazi sanaaas
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda wote wana shilling nimewamis jamani tupo tunasubr kwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Woyowoyooooooo.!!!! tunaisubiri kwa hamu
Aki na vile nimeingoja ❤❤❤❤❤
Mahali lipopenda pale pa Maiko kupigwa bunduki Devidi akilia kweli machozi yalinitiririka sana bila kutarajia ❤❤❤
tunaomba kaka utuangushie huu wimbo wa shillingi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tumewamis jamn waooooooooo
Asante wana roma sababu movie yeyote mkieka mpaka nifuatilie lakin shilingi is the best
Nawapend san shilling tumeipokea❤❤❤
Woyooooo Naona kama naota Iwe kweli dj wetu
Jamn hadi watu wamekuja na vipara karibu sana shilly utupe vitu
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tunaisubiri kwa hamu kubwa san❤❤
Tukipenda kazi zenu sio iwanyenye kulinga nakututesa ,tupe Shilingi jamani.
Mimi na subiri sana shilingi
Mambo ndio haya wapendwa mupoo
mambo moto moto aki dj mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asanta mana turikuwatumeyimis mungu awazindishiye
Asante sana 🙏 na tunaingojea kwa hamu na ghamu 🎉🎉🎉
Jmn shilingi ndio mpango mzima ❤❤❤❤❤❤❤
iyo ndo point sasa mr david tunaisubiria iyo
Shilingi mpango mzima ❤❤❤
Shiling nimeku subir kwa amu San maaaaaaaa silali ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwanetu ana bonge moja la baraaaaa 😂😂😂😂