ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
😂😂 jaman tuliofurahi zaidi kuiona shilling kwa mara nyingine Tena tujuane haswaaa IBRA gutale Nawapenda sanaaa 🎉❤❤❤
Eeeeh tulio kua tunaifatilia shilingi tokea mwanzo Hadi hii Leo tujuane kwa like jmn
Mnabana saut sana
Sauti inakata kata ko inakata mood
Waturudishie kale ka nyimbo kale shilingi 🎤🎵🎶🎹🎷🎸 heiyeeee inamajina mengiii
Hongera Sana DJ Kwa kujitahidi kutuletea shilingi Kwa MDA mrefu sna mashabiki walitamani kuona muedelezo wake .natumai itaashika moto huko mbele
Wewe acha mZeee
Wow ,wakenya mpooo jamani tujuane kwa likes❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Team shiringi mbona mmenenepa sana maashaallah ,,, Ibra wewe ni big star,,,,,wallah nimekukubali mno kwenye moyo askali mwaminifu
Roma wakati sisi tulikuwa tunangoja shilingi,kumbe nanyi mlikuwa mnakula na kunona,, ila shukran kwa kuleta shilingi tena
Am happy that Chuma is polite and kind
Mbona Shilingi haiendelei?
Aise niliimias Sana Shingi .... David, Edna, Alice, Ngokwe, Mzee Mkude and others you are the best ...!
Vizuri saaaaanaaaaa❤ I love this movie so much,yani nilikuwa na asira ilipo simama
Bring more episodes of shilingi, we are here to support, naipenda tamthilia ya shilingi
Kenya tupo ndani tangu mwanzo, thanks guys you are back again
Naipenda sana hii series ya Shilingi, ila mbona imeanza mbali hivi na pia kwengine haisikiki vizuri. Shida ipo wapi?
Waauuh nimefurai sana kuona shilingi kwa mara nyengine❤❤🎉
OG nembo wa mtaa from Kenya nimerudi nimen like zangu 😂
Much love watching from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mmh jaman niliimiss sana❤❤
Maisha yanaenda kasi sna aaah kibena hyo
Wakwanza mimi hapa nipeni maua yangu boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥🔥
Mfumo mliyo kuja nao Sivyo vnye ilikuwa inaendelea mumefeli Apa for sure Siezi Ambia mtu mwengine aingalie MUMEFELIIIIII😮😮😮😮😮😮
Kweli kabisaa,iko na utafauti na ile ya mwanzo
Shilling ndio kila kitu❤❤❤
We are getting you clearly from Kenya 254, nimemiss mchumba wangu Edna😂❤
Niupenda sana mziki wenu uko tamu sana ❤❤❤❤❤❤
Nmechelewa lkn nmefika..wp dj🤸🤸❤❤🎉🎉
Labda kwakua ni mwanzo lakini shilingi ya kwanza ilikua bomba zaidi
Umeona eeee
Me wamenichanganya nimeishia wapo hospital nashangaa Iko hivi dah
Sjilingi yetu jamani imeludi hadi laha.Mbalikiwe sana watu wetu❤😂
Jamaniiii nawapendaaa sana ibra na gutare
Niliisubiri sana hii filamu pumbavu zangu thankful dj❤❤
Hahaha
Gutale my best friend you make me feel good each time l see you talking 😂😂
Waooo tuliisubuli kwa hamu sana jamani
Adi haileti shangwe wakuu ...mbna msilete SHILINGI tulio izoea .....yani kila k2 kipya apa ndani ....inaboa DJ...fanya marekebisho vile inafaa..tuletee SHILINGI etu
Bom trabalho ❤❤❤🎉 😘 from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Cabo Delgado Pemba
muinto bem
Mumeiharibu sauti ni mbaya haxisikiki vzr Radha inapotea
Vraiment napenda sana ❤❤❤
Sauti naona haipp vizuri sana maneno mengine hayatoki vizuri naona spika ipo juu
Lots of ❤❤❤❤ from kenya
Shilingi is back hongera zko jd
Oyeeee mzigo tayari ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashaallah mungu awazidishie nguvu muzidi kutuburudishan kutuelimisha tunawapenda sana❤
Lovely ❤❤ shilling
DJ filamu ni nzuri Ila sauti inasumbua kweli 😢😢 endeleeni kututengenezea vifaa ya sauti🎉
Pole umenifanya nicheke na iyo dhumbua badala ya sumbua😂😂
@@mejumaabaraza3989 nikweli Kaka 🤣
Inasumbua kweli 🤣
@@ashfrederic3369 nimekuelewa mm😂😂😂
@@mejumaabaraza3989 naandika vizuri Ila wewe njo unaandika vibaya angalia muzuri vile niliandika
Ahsante sana🙏🙏
Rara yashilungi ingiya 🙏🙏💯
I'm so happy ❤
❤❤❤ mach from kenya🌿🌿🌿🌿
Jamaaniii mpaka kawimbo kamebadilishwa mbona kale kalikuwa kananoga sana
WAMEFELI KILA KITU KABIXAA SIYO WIMBO TUUH
Yaani imekuwa kama mpya ndoo inaanza
@@BabaRittatz kama mtindo ndio huo heri waachane nayo tuuh wasiendelee maana watapokea matusi buree Kwa mashabiki
Hapo sasa tutaelewana.
Shilingi ni moja ya movie nzuri mno, hongeren sana washiliki
Bien sn karibu tena
wow welcome again
Sawa!! Tumo tunafatiliya
Leo ntalals vizuri ❤❤❤❤❤😂
Wow shuklani dj❤sema hii part2 kama imepoa poa ivi au bado mzigo aujachanganya vizuri😊😊
Yani bado aisisimui kununua Bando langu 😅
Jamani leo ndo nafika hadi machozi yanidondoka nmekuwa njiulizia kila wakati kama ilitoka
Mama tiiii mwaissa na mnyamwezi njoooniiii
Nilikua naitamani ❤
Leo nimefurahi kuaonashilingi ijakua ime chenji, na muunga mkono chuma boratu nia Yake yakwenda tafutamaishakwengine, siombaya hio ndi masha.
Good, good shiling
Thanks for update
Léo nimefurai sana DJ Roma uku nsubiji
Wow nimeisubiria kwa hamu n ghamu sana asante dj roma❤❤❤nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤shilling imerud ten
Maiki mnayotumia muweke sawa atuwasiki vzr
Maasha Allah twende nalo
Daah siamin❤
Ooooh shilingi, twaomba mtuludishie kawe kawimbo bas
wow walio mmiss ibra wa like
Naona mambo ni moto
Wapili mm hapa leo nipeni like zangu🇲🇿🇲🇿🔥🔥Mozambique🇲🇿🇲🇿
Ni nzur lkin kwenye sauti ni tatizoo
Leo mm wa kwanza
ya shilingi nifilam muzuri sana ila mimi niko Congo sasa namutaka sana. edina kweli eko namume jamani pris munipe na mba ya ebina
Naona mmeamua kutuletea kinacho tusihaiki great thanks for you brothers
❤❤❤❤❤wow that's good pull up 👏👏 niko hapa kwa mpigo tena sana ❤❤❤
aisee mmalizieni hii move mbon imeishi pazuri
tuko mimi toka 🇨🇩
Tumeshukuru sana dj ila hii imerudia.
Mziki rudisha uleule bhana
Thanks dj for your job meany love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sauti sio mzr jmn😊😊😊😊
Mumenona vibaya bana
Endeleeni kuporomosha sasa tuzidi kuenjoy ❤❤❤❤❤
Asante sana dj kwa kutujali
💃💃💃💃💃💃 hadi raaaa jamani ilikua naitamani sana mumefanya vizuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
nilikuwa naisubiri sanasaaaana
Yani tupo sambamba nanyi good nice one job 👏👏🇿🇦🇿🇦
Kweli bwana Kuna muda sauti haisikiki
Shilingi ya pili sio kweli mi cjailewa hapa tumepigwa na kitu kichwani nimeshituka hamu ya shilingi imeniisha
WAMEFELI SANAA TENA
Hii sio shilingi mganga kawa msomi?
Jamn 🙏 kazi mzuri sana lakini jitadi sana sauti ❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wow ❤❤❤❤❤ nilikuwa hatasiingii yuo nilikuwa nimebieja
Wao jamn kweli imetoka je inatoka lini tena
Tipo baba🎉🎉🎉🎉
Allahamdulillih Hatimae Shilingi Move Yetu pendwa ya shilingi Imerud Tena
Butale na ibra na chuma jamani mmekuwa sana pamoja na Edna jamani kibena amekuwa msomi movie tamu jamani
Mbn yarejewa tena au ameishiwa
Shurkani sana dj wetu❤❤❤
Mbona sielewi hii shilingi kweli
Wakwanza ni mm
Sauti tu haijakaa sawa
Edina wangu nimuhone❤❤❤❤
Welcome back
Woow🎉🎉 shilingi n tamu jmn bs endleeni kutupa episode nyngn mana 2lkw tumeboeka

Niupenda sana mziki wenu uko tamu sana
❤❤❤❤❤❤

Wapili mm hapa leo nipeni like zangu🇲🇿🇲🇿🔥🔥
Mozambique🇲🇿🇲🇿