VIDEO: KIGOGO, BUSISI DAKIKA 5, BADO KIDUCHU KUMALIZA UJENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว +5

    The king of Africa 🇹🇿💪🔥🏹🔥 R.I.P. mzee Baba JPM mzalendo

  • @veronicalaiser7869
    @veronicalaiser7869 ปีที่แล้ว +5

    Umesema vyema kiongozi. Awamu ya sita imeendeleza. Mungu ibariki Tanzania.

  • @alibushiri4725
    @alibushiri4725 ปีที่แล้ว +5

    Punzka kwa aman jpm , tutakukumbuka sana

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo ปีที่แล้ว +4

    Hakika Tz inakwenda mbelee zaidi R.I.P JPM

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +5

    Mungu amlaze jpm mahala pema peponi amiina

  • @AliBatko
    @AliBatko ปีที่แล้ว +6

    The king jpm❤

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli kwa hakika ametawala mda mfupi ila kafanya mambo makubw ataishi milele

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah Amiiin Kazi
    Iendelee.

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnasahau kazinjema ya magufuli aliofanya jamani hayoyote nimaono ya magufuli nabwawa lamwalimu nyerere nareli ya umeme nikaszi yamagufuli narajalawami na njia 8 kutoka kimara mpaka kibaha

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx ปีที่แล้ว +2

    God bless Tz

  • @gotfriedmwesiga4234
    @gotfriedmwesiga4234 ปีที่แล้ว +3

    Ndo maana tuliambiwa nchi yetu siyo maskini

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +3

    Ziwa nyanza tunavyolijua wazalendo

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +1

    Ujenzi gani umekufa wachakuongopa

  • @TAMay-vf5xt
    @TAMay-vf5xt ปีที่แล้ว

    Siyo Kigogo ni Kigongo waandishi kuweni makini.

  • @reubenbegashe2066
    @reubenbegashe2066 ปีที่แล้ว

    Asilimia chache Sana, ilitakiwa liwe kwenye Asilimia 98 Kwa Sasa

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

    JPM daima atakuwa kwenye mioyo ya WaTanzania wazalendo , hii miradi mikubwa kama hii mtaisikia tu nchi jirani bibi tozo hana uwezo wa kubuni na kuthubutu kujenga miradi mikubwa kama hii. JPM alikuwa Mzalendo sana na alikuwa sio mtu wa nonsense! Viva JPM na laana ya kumuuwa JPM ina watafuna watz mmeanza kufirana huko na mtafirana sana Mbwa nyie mlimuuwa JPM

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli oyee

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +2

      Oyeeeees

    • @zainababdulrahman1649
      @zainababdulrahman1649 ปีที่แล้ว +2

      Tutamkumbuka kwa mema. Yake RIP

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

      Mbwa nyie mlimuuwa JPM na laana ya JPM inawatafuna na hiyo miradi mtaisikia tu kwa majirani na mwehu wenu huyo bibi tozo

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 ปีที่แล้ว

      ​@@kabwelasutiviraka4765 Kama jina lako
      Unaishi kwa kutegemea Ramli chonganishi.

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 ปีที่แล้ว

    Si mseme mradi huu ulianzishwa na serikali ya awamu ya Tano chini ya rais magufuli na unendelezwa na serikali ya awamu ya sita

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Wameua akunakazi ambayo inafanyika waongo

  • @michaelminja3458
    @michaelminja3458 ปีที่แล้ว +1

    Millard hizi ndio habari zenye hadhi yako. Achana na habari ya wasanii na mapenzi yasiyoeleweka. Unajishushia hadhi

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Watanzania Wanakuongopeeni

  • @kanyeshahigirimana5686
    @kanyeshahigirimana5686 ปีที่แล้ว

    ni Kigongo to Busisi sio Kigogo muwe mnatuuliza wazawa tuwaambie yaliyo sahihi na ya kweli.

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 ปีที่แล้ว +1

    Natamani pesa ya picha yamagufuli namtengeneze mnara wamagufuli

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +1

    Mamae huyu kimbofa aliyenenepeana bila mpango yaani unafiki hata kumtaja JPM na kumpa pongezi hawezi , hiyo yote ni uthubutu wa JPM na hela yote ya daraja ilikuwepo tokea mwanzo Kwa hiyo awamu sita ya mavi hamna chochote cha maana wanafanya

    • @magesakhamis4808
      @magesakhamis4808 ปีที่แล้ว

      Acha matusi

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@magesakhamis4808 usiwachagulie watu jinsi ya ku comment kwa utumbo anayoengea huyo kimbofa sijui hamna gym huko Tanzania ya mavi kunuka

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 ปีที่แล้ว

    Kuwa makini cyo mnatengeneza muda mfupi limeharibika

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 ปีที่แล้ว

    Hapo mnasema kiduchu!? Tuulizeni watu wa kanda ya ziwa!!

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Wacha upngo daraja ujenzi umekufa

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 ปีที่แล้ว

    JPM alisha Lipa kila kitu

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Acheni uongo huo, Sheria ya TZ inataka wanaojenga mradi wowote walipwe kwa awamu na Kila hiyo awamu ni lazima waoneshe certificate kwanza ya kumaliza sehemu husika ndio malipo yafanyike......Pesa haitoki tu kama mafua kaka..

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว +1

    Halitakuwa na tozo kwa sisi wa pitaji wa bodaboda?

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Acha kuaogopa tozo mwana ume wewe 😆😆 hutaki na wenzio wajengewe

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว

      @@mudighurayra hyo inakuwa nisawa na ukienda kwenu ukitaka kwnda chooni unaambiwa ulipe. Wakati nyumba inajengwa ulikuwa unatuma hela ya mafundi.kama unaona sawa.okay.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Tatizo una ogpa sana maana mbaka kitu hakiwezekani pia una ogopa

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 ปีที่แล้ว +1

    Mbona daraja la Nyerere alivyolishika JPM kutoka kwa Kikwete ujenzi wake ulikwenda speed sambamba na airport ya Dar hili vip mbona linachelewa kuisha wakati na kuchukua mda mlefu

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว +1

      Ujenz hauko kama unavo ufikiria kilakitu kina muda wake kwenye ujenz ilo daraja ni kubwa huwez kujenga kwa muda mfupi ukaja kusababisha maafa makubwa apo

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale ปีที่แล้ว +1

      Daraja la Kigamboni JK alimaliza kila kitu. Acha uwongo!

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Daraja la Kigamboni lilikamilika lote wakati wa JK mwenyewe

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว +1

    JPM

  • @reubenbegashe2066
    @reubenbegashe2066 ปีที่แล้ว

    Asilimia chache Sana, ilitakiwa liwe kwenye Asilimia 98 Kwa Sasa

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Watanzania Wanakuongopeeni

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Ujenzi gani umekufa wachakuongopa

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Watanzania Wanakuongopeeni

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Ujenzi gani umekufa wachakuongopa

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Ujenzi gani umekufa wachakuongopa