Kila mkihojiwa mnapenda sana kuelezea mambo ya mataluma . Ila naamini kwa mchina kazi itakwisha lakini kama hakuna pesa ya kulipwa mchina atasimamia mwenyewe ajilipe
Lipeni fidia acheni kusema mnawaomba wananchi hivi mfano unapita unakuta nyumba et unamuomba ahame aende wapi sasa na hamjapa fidia yake na tayr mlithaminisa
Urefu wa tuta unategenea jiografia ya eneo na uhitaji wa kimiundombinu mf vivuko na madaraja.Kuna maeneo tuta linasimama Hadi MITA 9 huko.NB:Mimi nafanya kazi kwenye huo mradi
Mama Samia anafanya kazi nzuri sana Mwenyezi Mungu awe nae
Good!!!!
Mambo ni mazuri hakika
Mbona hamtuonyeshi ramani ya stesheni ya Mwanza itakavyo kua???
Mambo mazuri kwa kweli watu tunataka maendeleo na vitendo siyo siasa majukwaani
Kwa kwel inapendeza
Kila mkihojiwa mnapenda sana kuelezea mambo ya mataluma . Ila naamini kwa mchina kazi itakwisha lakini kama hakuna pesa ya kulipwa mchina atasimamia mwenyewe ajilipe
Tatzo mwandishi anaongea sana kuliko engineers
Dah! kwahiyo nimeongea kuliko mtaalam, 😂😂😂😂ntarekebisha
@@hemedmohamedmanyeko6736 jaribu kubalance air time ..anyway unafanya kazi nzuri
Ila eng the way anavyojielezea sometimes inachukua muda kumuelewa hivi aisee
Lipeni fidia acheni kusema mnawaomba wananchi hivi mfano unapita unakuta nyumba et unamuomba ahame aende wapi sasa na hamjapa fidia yake na tayr mlithaminisa
Tatizo la trc kipindi cha magufuli shirika lilikuwa linaenda vizuri ila kwa awamu hii ya sasa watu wanafanya kazi kwa maziea
Labga maxho yangu lakini hilo tut linaonekana liko chini ukilingnisha na tuta walilijenga waturuki!
Tuta linajiengwa kulingana na maeneo maneo ya Kanda ya Ziwa ni Magumu mengi hayatitii ndo mana hawajengi makubwa
Mbona kama tuta la mchina ni dogo ukilinganisha na mturuki
Aisee umeonaee yaani kuna utofauti flan labda engineer atuambie
Urefu wa tuta unategenea jiografia ya eneo na uhitaji wa kimiundombinu mf vivuko na madaraja.Kuna maeneo tuta linasimama Hadi MITA 9 huko.NB:Mimi nafanya kazi kwenye huo mradi
Arsenal wakimkosa caicedo....wakusajili ww
Mambo ni mazuri hakika