Siku chache baadaye, Alvin, Ian, Pamela, Bi Robbins na wengine walirudi Kenya. Lakini Lisa alibaki na Charity na kuongozana naye hadi hospitali kwa ajili ya sindano ya ovulation.
Chatty pia una jeuli mnooooooo kama una upendo wa kweli acha kunyanyasa mtu ambae amejieleza na kujitoa kufanya kila jambo na kukuambiya ya kwamba amejirekebisha msamee acha kujitekenya mwenyewe na mwisho wa siku utajikuta unajuta kwani watu wengine awatajari ulemavu wake watapita na yy na kufanya maisha na yy bila ya kujari kwani yy pesa anayo mbona 😂😂
Guys niwe mkweli tuu Hakuna sehemu nzuri na tamu Alvin and Lissa na charity and chesta sijajua jack nimuweke wapi ila me namuweka moyoni Mwangi ❤❤❤❤😂😂😂😂 mpaka najionea aibu mwenyewe 😢😢😢😢😮😊😊😊😊 duuuuh
Jaman ivi kwannn lisa hapendi kumwambia alvin vitu vinavyotokea 😅 ana zarau san kwasababu alivin anampenda ya nn sipendi jamn anamficha san mwezie mm sipendi ya bas2🥹🥹🥹
Kwenye maisha tujifuze Sana kuishi na kila mtu kwa usawa bila kujali Hali yake ya kipato chake kwani uwezi kujua sili ya mtu moyoni mwake kwani unaweza kumuona mtu Yuko choka mbaya kumbe juma yake ni mtu na pesa zake hila tu ameamua kuishi kwa mfomu wake Nyie watu wengine wenye maokoto munatukausha damu Sana na pesa zenu jamani atuwezi wote tukawa Matajiri 😂😂😂
😂😂 watu kwakutaka sifa jamani,hata kutangaza kula mke wa mwenzio kwa macho na maneno,duu😂😂😂😂 dunia hiii😂😂😂hivi kumheshimu mtu hadi ujie yeye ni nani shenzi sana
Muone uyu mama alivyo kosa ekima kisa tu pesa jamani mama Mungu anakuona acha tamaha ya Mali 😂😂 Kuma watu wanafanya pesa ndio kila kitu bila ya kujari utu mm mzazi inakuwaje muhogo kama nin hata ana aibu kidogo pesa hizi 😂😂😂 sijui kama tutafila uko kwakweli Mungu tu atusaidie na kutasamee waja wake
Nimesikiliza na kujifunza sana jamani binadamu tuache kudharau mtu leo yuko chini kesho yuko juu pia Familia zenye ubinasi ni hatari sana kwa safari ya maisha maana ni aibu unaposhuka kwa maneno yako mwenyewe 😊😊😊
Unapokuwa kwenye maisha ya ndoa tegemeya kuishi aina mbili za maisha kikubwa ni ww mwenyewe tunaitaji unataka kuishi aina Gani ya maisha mukiwa na upendo wa dhati bac mtaishi kwa hamani hila changamoto zipo mwenyewe ndoa kikubwa ni kuvumiliya na kusamee hila sikuizi wanawake wengi wenye pesa wamekuwa wajeuli kupita maelezo 😂😂 ndio Mahana ndoa nyingi zinavunjika
Ooooooyooooooo🎉🎉🎉🎉🎉 hatimae anko jay ameachia mzigo ❤❤❤❤❤we love you so much Mungu akulinde 🎉🎉🎉 team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana haturudi nyuma tupo sambamba na chester ❤❤❤❤
Wanafamilia wa anko j chukueni kiti mkae mkunywe soda mm nimependa sana jack Hana majivuno Wala majigambo ila amejua kuninyooshea wale watu wenye kejeli weee yupo vzr mungu ampe mwongizo mwema.❤❤❤❤
Wadau WA anko jay asante kwa kutuletea mzigo WA Chester na charity munipe Leo like nawapatianga like zangu
Anko yaleo nimejifunza usimdharau usiyemjua watufundisha kwakweli wewe nimwalimu hakika 😊😊
Nikweri usimdarau mtu kwa muonekano wake
Ni mafunzo tosha usimdharau usiemjua asante anko j
Jamani team viporo mko wapi mzingo ndio huu hapa
tupo
😂😂😂
Tupooo❤❤❤
@@MuzznaMo12😊😊😊😊😊😊😊
Yaan simuliz hii ina majina duuuh !!!wanjara,wanjiku,kimaro,mush,ngosha,njau,masanja,choka,tishombe,tikisa,tambwe,😅😅😅😅😅
Umexaau family ya Jonas 😂😂😂😂😂
Yaan we acha 2 kipenzi maana si kwa majina haya😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haki nimecheka mie😂😂😂😂😂
@@everlynemusimbiamwayi2322 ,🤣🤣
Umesahau MASAWE😂😂😂😂😂😂😂😂
Haloooooooo timu viporo mzigo tiyari huku gongeni likes hapa❤❤❤
Hakuna kulala leo mpaka simulizi iishe wangapi leo hatulali leo 😂 hii simulizi tamuu jamaniii LIKE 10 KAMA NA WEWE SIMULIZI YAKO YA 2024 ✌️✌️
Jamani mm ndio nitakesha cos huku kuzurura na warabu saa hii ndio tumerudi na naona mzingo umetumwa😂❤
Chatty pia una jeuli mnooooooo kama una upendo wa kweli acha kunyanyasa mtu ambae amejieleza na kujitoa kufanya kila jambo na kukuambiya ya kwamba amejirekebisha msamee acha kujitekenya mwenyewe na mwisho wa siku utajikuta unajuta kwani watu wengine awatajari ulemavu wake watapita na yy na kufanya maisha na yy bila ya kujari kwani yy pesa anayo mbona 😂😂
Nakwer maana atammi ananikerasana
Guys niwe mkweli tuu Hakuna sehemu nzuri na tamu Alvin and Lissa na charity and chesta sijajua jack nimuweke wapi ila me namuweka moyoni Mwangi ❤❤❤❤😂😂😂😂 mpaka najionea aibu mwenyewe 😢😢😢😢😮😊😊😊😊 duuuuh
Jaman ivi kwannn lisa hapendi kumwambia alvin vitu vinavyotokea 😅 ana zarau san kwasababu alivin anampenda ya nn sipendi jamn anamficha san mwezie mm sipendi ya bas2🥹🥹🥹
Kwenye maisha tujifuze Sana kuishi na kila mtu kwa usawa bila kujali Hali yake ya kipato chake kwani uwezi kujua sili ya mtu moyoni mwake kwani unaweza kumuona mtu Yuko choka mbaya kumbe juma yake ni mtu na pesa zake hila tu ameamua kuishi kwa mfomu wake Nyie watu wengine wenye maokoto munatukausha damu Sana na pesa zenu jamani atuwezi wote tukawa Matajiri 😂😂😂
Watu WA viporo nipeni like wakwabza🎉🎉🎉🎉🎉
Jack anajua kutunyooshea watu😂😂😂😂😂
yap hakika acha wenye viburi wapate halali yao na kama ingewezekana hawa watoto wa firauni wanamhitaji jacky ili awanyooshee
Wakwanzaaaa time lisa
Naaapenda sana
Like zangu jamani♥️♥️♥️♥️
Jameni nmekua wa70 wadau munashinda TH-cam naomba like zenu
Jmn leo nimekuwa wa 80 pls nipen like hata 5 watu wang wa gulf 😊
Team fulus 😊😊😊 thanks anko j wetu love you so much ❤
Team fulus bhana yan sisi esabu tew😂😂ukahesabu adiii 80😅😅
P
.😊 okay with 😮😊 a good day 1:11:20 😢😂 1:11:21 l😢😊 lol pl
@@FatumaRamadan.Mwalima
😅😅😅😅@@user-ku3ud4qb7c
😂😂 watu kwakutaka sifa jamani,hata kutangaza kula mke wa mwenzio kwa macho na maneno,duu😂😂😂😂 dunia hiii😂😂😂hivi kumheshimu mtu hadi ujie yeye ni nani shenzi sana
Na Oscar kimemuramba chezea jack kimaro wewe😂😂😂😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 😂😂 mdomo umekiponza kichwa 🤣🤣🤣🤣
@@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣🤣 kweli kabisa sipati picha jinsi hiyo familia ya wanjiku ikigunduwa utambulisho wa jack 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
Anko leo unatak tusilale mapma jmn team vipor mpoo au mupobize na eid 😂😂😂😂
Muone uyu mama alivyo kosa ekima kisa tu pesa jamani mama Mungu anakuona acha tamaha ya Mali 😂😂 Kuma watu wanafanya pesa ndio kila kitu bila ya kujari utu mm mzazi inakuwaje muhogo kama nin hata ana aibu kidogo pesa hizi 😂😂😂 sijui kama tutafila uko kwakweli Mungu tu atusaidie na kutasamee waja wake
Nimefurahi Sana vyenye Jack bado Yuko hai❤❤❤
Nimesikiliza na kujifunza sana jamani binadamu tuache kudharau mtu leo yuko chini kesho yuko juu pia Familia zenye ubinasi ni hatari sana kwa safari ya maisha maana ni aibu unaposhuka kwa maneno yako mwenyewe 😊😊😊
Charity.. ogopa a determined man. Utaza na Chesta tuu ❤
Charity lazima apandikizwe mbegu za chesta hana pakukimbilia na hanabudi kumupenda 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimewadia uwanjani hakika Ankoj umeamua kutuburudisha na sauti Yako njema Allah Akulinde❤❤
Na hii tabia hipo kweli kwa wafanya kazi wasomi wengi utuona SS watu wenye kipato Cha chini kabisa wanadamu tuache majivuno na kejeli tuache 😂😂
Mwendo wa kufosi tuu let's go chesta mpaka Eliza atuelewe😂😂😂😂
Kweli kabisa
Tujuane wale tutakao kesha na anko jey na simulizi ya binty lisa
Dakika tatu mmeshaniacha mbali hivyo waah mnajua kukimbia jmn 😂😂😂
Hey wa mwisho hapa nisikilize kwaubora zaind ankojy Asante familia ya Anko like bas 🌹🌹🏃
Tupo wengi
Jomoni🤣🤣
Asante Mungu Jack bado yu hai 🎉🎉🎉🎉🎉
Wanaopenda kujuwa maendeleo ya Kelvin tujuane 💃💃💃💃💃💃🪭🪭🪭🪭🥰
Nadhan huyo atakuwa amesha msindikiza safa na linna
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉jukueni maua wana familia ya anko mapesa
Daaaaaaahhhh❤❤❤❤❤❤ Anko amebadilika .si mseme tu mungu ambariki na ampe afya bora
Go Chesta mpaka kieleweke 😊
Alvin,hansi, jack,chesta, Rodney,na sam anko jay anawasifia akisema ni mahandsom atariiiii IV niyakweli ay 😂😂😂😂
Unapokuwa kwenye maisha ya ndoa tegemeya kuishi aina mbili za maisha kikubwa ni ww mwenyewe tunaitaji unataka kuishi aina Gani ya maisha mukiwa na upendo wa dhati bac mtaishi kwa hamani hila changamoto zipo mwenyewe ndoa kikubwa ni kuvumiliya na kusamee hila sikuizi wanawake wengi wenye pesa wamekuwa wajeuli kupita maelezo 😂😂 ndio Mahana ndoa nyingi zinavunjika
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤unatufurahisha hatakamatuko kwenye huzuni hongera wewe kaka❤❤
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
Woyooooo nlikuwa boad umejuaje now niko vyedee🎉🎉🎉🎉
Asante sanaa ankojay, haki Chester namuonea huruma sanaa, basi Mungu amsaidie mbegu zake zisigunduliwe na charity.
Asante sana Anko kwa kutufurahisha mambo yanafurahisha ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wow kaka,kazi nzuri
Ahsante Anko tunakumiss sana❤❤❤mola akupe nguvu na uzima🎉🎉🎉
Hata mm nna nambaa pongezi zako ❤❤❤❤Ankooo❤❤❤❤❤❤unastahilii kabisa kiongozi wetu
❤❤❤🎉🎉🎉 Asante sana Anck Jay kwa muhendelezo
Asante anko wetu kwa mwendelezo❤❤❤❤❤❤❤❤
Daaaaaaaahhhh nimependa hii sana kwa kweli hadi raha ❤❤❤
Amujambo tumefika apa sio raisi wapendwa 😂😂😂❤❤❤😊
Leo si comment😢 Kwasababu nawapa hi😊
Mambo 🔥 🔥🔥🔥 anko jay mapesa uko moto umetuamulia. Utaki mchezoo🇴🇲🇴🇲
Khaaa,Heriet jamani,ngoja utakapoumbuka utalijua jiji la Nairobi mara moja
😂😂😂😂😂😂hakika yani huyo dada yupo kama Anna kitaro
Ooooooyooooooo🎉🎉🎉🎉🎉 hatimae anko jay ameachia mzigo ❤❤❤❤❤we love you so much Mungu akulinde 🎉🎉🎉 team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana haturudi nyuma tupo sambamba na chester ❤❤❤❤
This tym hukana pumua thanks so much jay❤❤❤❤❤
Ankojei Asante leo sisi ndio tutakuangusha kuchelewa kusikiliza
Waooo mambo kama haya sasa asante sanaa Ankomapesaaaa
Anko jay pokea maua na MUNGU azidi kukupa afya njema Kila itwapo Leo mbaka azidi kukuzidishia afya njema kwako🙏🙏🙏
Jamani haki Leo nimechelewa ila silali Hadi kieleweke shukran Ankojay ❤❤❤
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
am number 95 aki 😂😂
Nimewahi jamani❤❤❤
Wow tunakupenda sana anko jay 🎉🎉🎉🎉
Nimewahi kiddooogo leo❤❤❤❤😅
Tupo tupo asantee sanaa
Sante sana anko jay , saizi simuli imenoga jamaniiiiiiiii 🎉🎉🎉
😂😂😂😂❤🎉ank jay umepigaj hapo 🎉🎉🎉🎉🎉
Shukran
Duu! Simchezo, haya bwana
Naaam anko nipo wa namba 90 naskiliza kwa ubora zaidi
Jamani anko jay mapesa tunakupenda
❤❤❤🎉🎉nawapenda wanafamilia wanguu❤❤
Asante sana ankojey
Thanks Ankojay wetu ❤️
Hatimae namm nimewai❤❤❤
Enjoy dear mupenzi
Siyo tyuuu simulizi had nyimbo ya mwisho ya anko nime-enjoy💃💃💃aaaah😂
Wa viporo n wengi kushinda wa wa VIP
wacha hata Mimi niambie ankojei tuu nai subiri kwaha mu mu noo charity Aki weka mi mba ya che ,ches ta
Huyo Jack ni mdogo wa Alvin jamani
Me wamwisho kabisa like zenu jamn
Nimewamiss wallahy😍❤❤❤❤🎉
Nimejaribu 😂😂🎉
Tumewahi 😂😂😂
Duuh Asante
🙏🙏🙏
Asante sana Ankojay ♥️♥️♥️
Anko lengo lako tulale saa saba usiku sio maana huku kwetu saa nne tayari 😢😮
CJUI NICHEKE AMA NILIE AISEEE MAANA NATHANI KULALA LKN ANKOJAY NI NANI 😂😂😂😂😂😂ANYWAY ASANTE XN KIPENZI CHE2
Anko umeamua kutufurahisha
Haya sasa humu kunafamiliy nyingi kwel kwel mmmmh
Kweli kabisa anko j hii sumulizi nitamu sana kama hapo mwanzo
Nimewahi jamani
Guys like zngu jmn nimewahi
mambo ni moto
😊
Kweli umeamua
Mm ni wa kiporo ndio nimeona
Jaman mm nimekuwa wa 2700 nipeni tu like hata kama nimechelewa😂😂🌹🌹🌹💐💐🌺🌺🌺🌺
Ankojay ❤
Asante anko nimekupenda Leo😘
Wanafamilia wa anko j chukueni kiti mkae mkunywe soda mm nimependa sana jack Hana majivuno Wala majigambo ila amejua kuninyooshea wale watu wenye kejeli weee yupo vzr mungu ampe mwongizo mwema.❤❤❤❤
Part ya Jacky inamafunzo kabisa hongera❤❤❤❤...
❤❤❤
Asante
Nimefurahizaid toka uja jaki