Baba Ahsante sana kwa tafakari hii juu ya urejesho. Nimeguswa sana na hii tafakari ya urejesho! Kwamba kuna kubebana, ukinibeba, nitakubeba, alibebwa na kitanda, na kitanda pia akakibeba. Nimejifunza pia kuwa ilikuwa fursa kwa waliombeba mwenye kupooza pia kufika kwa Yesu, maana kama asingelikuwepo mwenye kupooza waliombeba wansingelifika kwake Yesu. Hivyo nimejifunza kuwa hakuna mwenye kujitosherez katika maisha, kila mmoja anamwutaji mwingine.
Ahsante sana baba. Mwenyezi Mungu azidi kukufunulia utajiri wa Neno lake. 🎉
Asante ww ni azina na zawadi kutoka Kwa Mungu
Asanteeeh sanaa padre, tunaomba uendelee kutumia njia izi za kimtandao tulio mbali tuendeleee kukua kiroho asanteeeh sanaa
Ubarikiwe sana Father Kamugisha
Napokea kwa jina la Yesu kristu.
You bless my heart Mtumishi wa Mungu. I am one of your silent listener and follower 🙏🏿
Ubarikiwe baba
Baba Ahsante sana kwa tafakari hii juu ya urejesho. Nimeguswa sana na hii tafakari ya urejesho! Kwamba kuna kubebana, ukinibeba, nitakubeba, alibebwa na kitanda, na kitanda pia akakibeba. Nimejifunza pia kuwa ilikuwa fursa kwa waliombeba mwenye kupooza pia kufika kwa Yesu, maana kama asingelikuwepo mwenye kupooza waliombeba wansingelifika kwake Yesu. Hivyo nimejifunza kuwa hakuna mwenye kujitosherez katika maisha, kila mmoja anamwutaji mwingine.
🙏🙏🙏
Milele Amina
Asante Kwa neno ..Fr kamugisha,...Mwaka wa urejesho,..ntarudi tena oficini kwangu
@@handmanserv527 ubarikiwe
Asante sana father
@@GeraldMutarubukwa asante ndugu yangu
Milele Amina