Bora hata umeipost maana most of the time mm siwaelewi how they make it maana hta nikiona tutorials zao gaal yo killing it i real did love it😚😘😘😘hata hvy huwajawah niangusha
Aunty Shuna nmejaribu Mandi ya kuku kupitia recipes zako.. masha Allah was good na mtamu hattari lkn nmeshindwa kukutumia mrejesho😍😍😍😋😋🤗.. Allah barik masha Allah🙏🙏
Bora hata umeipost maana most of the time mm siwaelewi how they make it maana hta nikiona tutorials zao gaal yo killing it i real did love it😚😘😘😘hata hvy huwajawah niangusha
Thank you dear for the support :)
Hahaha eti ajali kazini..
Pole mapishi mazuriii Dada Hongerw
Mashaallah nzuri sana
Masha Allah nice .nimecheka tuu gisi umesema khajali kazini .Allah akulipe kila lakher In shaa Allah
Aunty Shuna nmejaribu Mandi ya kuku kupitia recipes zako.. masha Allah was good na mtamu hattari lkn nmeshindwa kukutumia mrejesho😍😍😍😋😋🤗..
Allah barik masha Allah🙏🙏
Amne Mkubwa mimi pia jamani... The food was finger licking wallah
Amne Mkubwa
Asante sana my dear nafurah kuskia hivyo
Asante sana
Your taking food to another level. looks delicious, Your recipes are easy to make and the ingredients are common. Thank you!
So nice
Beautifully
Thank you dear :)
So true..
@@ShunasKitchen I enjoy watching your dishes are just on point. Thank you!
Asante sana..huu wali nitaujaribu leo.. Shukran ☺
Hi Shuna.. tafadhali nionyeshe jinsi ya kupika keki bila mayai. Asante
Masha Allah nimependa saana.
Ma shaa Allah shukran habibty
Safi sana
Nitajaribu nzuri sana
thank you for putting English subtitles
You are welcome dear :)
Mashaallah chakula kizuri sana
Ma sha Allah mm nimependa in si Allah kesho tu nitajaribu
Very nice,najifunza
Wow nitajaribu kuupika unavutia 😋😋😋😋😋
Asante sana my dear kwa kuangalia :)
Asante sana my dear kwa kuangalia :)
Nitaupika karibuni pia. Vizuri kuwaakilisha nchi zote za Afrika na vyakula vyao. Afrika tumebarikiwa vile!
Sana alhamdulillah
MashaAllah !subiri mrejesho
In shaa Allah dear nasubiri
Mashaallah very nice habibty ♥️👌💯
Nigerian dish, mashaallah mzr sna wakiupka wnyw ohooo originally based in nigerian coz jellof pol are based there
Wooouuuh mpka huku nimeusikia unavyonukia
Mashallah nmejarbu ni tamu...ya samaki inakua tofauti?
Nitajaribu hii kwani 😍, asante sana
Asante sana Janet kwa kuangalia :)
❤❤❤❤😘😘😘🌷🌷🌷i love everything about this recipe ,including uvodondosha kibakuli cha chumvi ,nami ntageza hivo hivo nkipika ili utoke kama wako😂❤
mashalllah. ..💕💕I will. ..inshaallah
Shukraan. Mashaallah
Afwan dear
mashaallah kwamcho tu unashiba tena haujawa bondo
mashallah barak llahu fiik
Na mi ntajaribu kuupika huo tutapumzika pilau. 😘😘😘
Leo wakwanza
Shukran wajazakum lkheri
Asante pia my dear
Shukran ukhty
afwan habibty
MashaAllah nzuri sn hii na inaelekea ni tamu sn
In your next video can you please put all of the ingredients and measurements in the description box?
Nimejaribu tamu mashallah asante dada
Asante sana
MashaAllah habibty. Asante sana kwa kushare ur recipes with us. Tunafaidika . BarakaAllah Feek. 😘
Shukran dear
MashaAllah my dear , nitajaribu kupika , shukran jazakallah kheir
Afwan dear
Mash Allah
Good work
Maa shaa Allah
mashaallah
i will definetly try this soon..asante sana😍
Afwan dear, please let me know how it goes 😉
wow nakukubali boss wangu yummy
MashaAllah 😋😋😋
Shukran dear
fantastic
Nice
Safi sana Mama, napenda sana mafundisho yako na subtitles zinasaidia kweli. Ahsante
Nzuri Sanaa, imetaka kufanana na pilau.😋😋
On it ijumaa kwakwel.....yummy
Msha allah tamu sana
Masha Allah tabarakallah🇸🇴🇸🇴
Masha Allah it look yummy💕💖💕
Maahallah
Very nice 👌👌👌 and easy.
Keep it up.
Thanks so much Shuna. I have learned good skills from you. Please keep on uploading more and more.
Thanks dear for the support.. I do appreciate it.
Yummy yummy food thanks sis
safi sana
Asante sana Hadija kwa kuangalia :)
Mashallah Allah akubarki
Yummy........ Must try dis
Asante sana Flora kwa kuangalia :)
Masha Allah dear
Asante sana Swalha kwa kuangalia :)
Mashaallah looks delicious 😋. Inafaa kujaribu hii recipe. Thanks sis for sharing
You are welcome dear
Waooh must be sweet i will try
Nakuaminia Dada, natumia recipe yako ya half cake. Nafanya biashara watu wanazipenda sanaa
MashaAllah asante sana my dear . Mungu akuzidishie
Assalam aleykum habibty shukran Allah akubarik , nilikuwa nahitaji curry powder wa UK tutaipataje
W msalam dear, zinapatikana maduka ya Jumbo cash and carry London
Ok asante bt mm sikai london online hawauzi
Sorry dear kwa late reply, unaweza kuzipata EBay
Masha Allah,,,, kiswahili sanifu,,,,shukraan,,,####+254
+254 sijui itabidi turudi shuleni😂
Looks very tasty 🤤 must try
Mashallah mpak mate yamenitoka
Mazuri sana
nice video
Asante sana Everlyne kwa kuangalia :)
MashaAllah. Nzuri saaana & tamuu 😋👍🏽👌🏽👏🏼🙌🏽
Tnx mmy ngoja nianze
Wow....nice
Sante sis😋
Nimependa sana
Asante
Ahsante mwalim wng
Unaweza kuniandikia all the recipes so I can buy it please ?
nyam nyam
Shukran dear
Nitajaribu leo
Awesome..thank you😊
Mmmmh! Delicious!!!!?!
mashaallah 👌😋😋
Yani ndio umenipa mapishi ya Leo thanks
Shukrani
Woow thanks
Ahsante we call this pilau Njeri😁😁
asante
Asante sana my dear kwa kuangalia :)
Navo skiya njaa 😱💕
Nimependa Sa na,nitajaribu nipike hiyo pilawu.
i will try this,thank you
Yummy.. Asante
Tnx shunas
Nic
Nice mashaAllah a written recipe would have be appreciated. BarakaAllah
Mashaalah inarangi nzuri mpk nimeitamani
Awww I’m goin to try diz wiz chicken 😍😍
Asante sana Jamila kwa kuangalia :)
✅✅
Chakula hiki si kama pilau tu?
Yummy
maashaallah nzuri sana kama sina tomato hiyo yakawaida inafaa
Ndio inafaa, tomato nzuri zinasaidia wali wako kua na rangi nzuri
Unaweza kutumia tomato paste
Nice Maa shaa Allah
Waweza kuweka viazi?
Ukipenda unaweka ila sio maalumu yake
Receipe plz