Ukienda suluhisha wanandoa zingatia hili | Visa vya Ukewenza kipindi Cha Mtume - Sheikh Walid

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @sadiqfixer
    @sadiqfixer 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah mawaidha mazuri sana kwa jamii yote duniani kwa sasa, hasa kwa sisi Waislam, In Shaa Allah!

  • @dungamchafu7605
    @dungamchafu7605 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah sheikh waliD allah akuzidishie kher🤲🏿

  • @ZurehaMiraji
    @ZurehaMiraji 6 หลายเดือนก่อน

    MashaAlla sheikh ALLAH AKUHIFADHI FII DUNIYA WAL AKHERA

  • @a.856
    @a.856 5 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah khayran

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 5 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu kuharibika ndoa msilaumu vijana walioowa kwanza wala wazazi wao, bali laumuni viongozi wa jamii kwa kuwa ilmu ya ndoa iko vitabuni lakini madrasa zinatumika kwa utaratibu tofauti na ule uliowekwa na Mtume.
    Kwanza kufanya madrasa ni pahali pa watoto pekee. Vijana hawahimizwi kusoma kisha wanaingia katika ndoa kabla hawajafikia kusoma ilmu ya ndoa au ya ujenzi wa familia au ujenzi wa jamii sahihi ya Ki islamu.