UJUMBE MZURI SANA. Unapojirekord video angalia camera ya simu na usijiangalie wewe kwenye simu unapoteza eye contact na sie watazamaji wako.Its something that increase connection with u're viewers.
Jamani Kongo karimie bado wanatudai viza tunaomba msaada kuhusu Kongo jamani wanaomba Hela usipo lipa Hawa gongi viza mama yetu Samia suluh tuna omba msaada
Acha mauzo yasio faaa nenda Direct kwenye mada yako ya kuelimisha watu sio unanyanyuka kwenda kunywa maji unarudi jifunzeni kutengeneza matangazo bila kuwachefua watu jamani
Sister iv mfano nimeingia siku za kukaa zikaisha bado nipo nchini humo na stak kukata Visa kwaiy nitafanyaje ili niendeleee kutumia passport yangu Kam visa
Ubaya upo maana zanzibar ni peke yake ila ukisema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili sasa unapoamua kuzitaja nchi mbili bac lazima useme tanganyika na zanzibar
Asante kwa kunielewa ujue watu wengi wanashindwa kusema tanganyika wanaona haya sana ila mjue tu kuwa tanganyika ipo bado wala haiwezi kuondoka na ndio maana bado kuna sherehe za uhuru wa tanganyika japo mnaficha hili na kusema uhuru wa tanzania bara wakati nchi inayoitwa tanzania bara ilowahi pata uhuru
Nakushauri jiridhishe kwanza na namna nchi zinavyotamkwa, kabla ya ku file: Antigua = Antiiga Barbados= Baabeedos Lesotho= Lisutu St. Lucia= Seint Lusha Guinea Bissau = Gine Bisau Alafu kuna pronunciation humu waweza kutazama kwanza, usivumburuke!
Habari kama unahitaji kufanya maombi ya pasiport Bonyeza link hii👇🏿 th-cam.com/video/-OlY1ELFa8w/w-d-xo.html IJUE TOFAUTI KATI YA PASSPORT NA VISA kama haufaham👇🏿 th-cam.com/video/rckEpKtkLP0/w-d-xo.html JINSI YA KUPATA PASSPORT MPYA UKIWA TANZANIA AU NJE YA NCHI 👇🏿th-cam.com/video/j3bxKT104U8/w-d-xo.html Kama hujui Maana ya visa free na visa on Arrival👇🏿 th-cam.com/users/liveoAXzXJKmesk?feature=share
Dada Witness Hapo kwenye Hongkong na Singapore na Makau Km mtu Anajipsnga kwenda Je?Uwezekano wa Kupata kazi upo Vipi Dada Nisaidie Nijuwe Ili niondoke hapa Gulf Tatizo la Gulf Hawana Part time job hiyo ndo shida na mshahara asaivi ni Mdogo kazi nyingi @Witnessblod
UJUMBE MZURI SANA. Unapojirekord video angalia camera ya simu na usijiangalie wewe kwenye simu unapoteza eye contact na sie watazamaji wako.Its something that increase connection with u're viewers.
Asante sana Michael. I will do that next videos
Actually ni hii tu ndio sina eye contact ila zingine zote nimewangalia
Appreciate your comment so much
Asante sana Dada witness
Me ni msusi natamani kufanya kazi yangu ya ususi nchi za njee kwakuanzia ss ndo sielewi best
Endelea kuangalia videos nyingine
Thank you for sharing mamy 🥰🥰🙏
You are welcome
Nakupenda sana Dada yangu kipenzi ❤❤
Asante sana kwa upendo. Nakupenda pia
Ahsante
Thanks for watching
I see you faraway due to the content you bring to us
Thank you so much. It mean alot
Jamani Kongo karimie bado wanatudai viza tunaomba msaada kuhusu Kongo jamani wanaomba Hela usipo lipa Hawa gongi viza mama yetu Samia suluh tuna omba msaada
He katika nchi ambazo hazihitaji viza na Thailand imo?
Tunwashukulu sana
Mambo n moto kwel kwel..😍
Hampumzikiii
Wawoooo dream Cheser
🙌🏿
Jamani nina shida ya kazi dear
Hujataja Trinidad and tobago
Na kama nikisema naenda kutalii alafu nikipewa passport niende na nipate kazi huko patakuwa na shida?
Hakuna shida
Acha mauzo yasio faaa nenda Direct kwenye mada yako ya kuelimisha watu sio unanyanyuka kwenda kunywa maji unarudi jifunzeni kutengeneza matangazo bila kuwachefua watu jamani
nchi za ulaya mbona huzitaji?
Hazimo kwenye list
Samahani dada yangu nikiwa na passport itaniruhusu kukaa kwa mda gani kwenye nchi nitakayoenda na pia inakaa mda gani bilaku expire
Inakaa miaka 10 ku expire. Inategemeana na visa uliyonayo ndio itaamua utakaa muda gani. Angalia video hapa kuhusu visa
Thank you i whant to go somalia maya i apply visa???
Is it a visa free? Sikumbuki video zote.
Kama nimesema ni visa free huitaji visa
Nipe namba yako
Sister iv mfano nimeingia siku za kukaa zikaisha bado nipo nchini humo na stak kukata Visa kwaiy nitafanyaje ili niendeleee kutumia passport yangu Kam visa
Unakua uko kinyume na sheria
Kuna tofauti kati ya visa na passport
IJUE TOFAUTI KATI YA PASSPORT NA VISA
th-cam.com/video/rckEpKtkLP0/w-d-xo.html
Kwaiy nakaaa sku ngap nikiwa na passport
Mi natak nimalize 4m4 nisepe niende ufilipino 😁😁😁😁
😂😂 tutaenda wote ❤
@@Bongomastermind😂😂😂😂😂umesha sepa
Jee Nigeria unaweza kwenda bila visa
Kama nimeitaja hapo unaweza. ila kama haipo unajitaji visa
Hv visa arrival ndo ikoje hyo?
th-cam.com/users/liveoAXzXJKmesk?feature=share
@@Witnessvlog mbna nmeangalia video yote...lkn nmeona ujainyumbua hyo visa arrival..
Visa on arrival Ni visa ambayo unapata ukifika airport ya nchi husika. Mfano mmnarekani akiwa anakuja Tanzania anapata visa on arrival pale Airport
@@Witnessvlog ooh..owky..nayo itahitaji uoneshe documents hapo airport or?
Hapana.
What about Morocco 😢
If I i didn't mention it then you need the visa
Oky
Nina omba namba yako ya simu
Tuwasiliane Ig @ Witness Vlog
Naomba jbu best
VIGEZO VYA KUPATA VISA KWA KISWAHILI | VFS #tanzania #ulaya #ughaibuni
th-cam.com/video/3LhoZtlWQVo/w-d-xo.html
Kam ukitaka kwenda Ecuador unahitajika uwe na nn
Sijui kwakweli nikushauri u google official
website website
Naomba namba yako
Nitafute instagram @ witness vlogs
Naimani ipo siku yangu
Kabisa dear. Trust the process
Kwahio tiketi unaruhusiwa kukata kivipi hizo nchi za bila visa
Sijaelewa
Wacha story zako
Tupe zako sasa
Pemba vp dada
Nadhani itskua hivo hivo unaandika visiwani sio bara
Zanzibar na Tanganyika wewe na sio Zanzibar na Tanzania
Kwan ubaya upo wap jaman😂😂
😂😂yani mi nilikosa cha kujitetea
Ubaya upo maana zanzibar ni peke yake ila ukisema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili sasa unapoamua kuzitaja nchi mbili bac lazima useme tanganyika na zanzibar
Asante sana ndugu kwa ufafanuzi
Asante kwa kunielewa ujue watu wengi wanashindwa kusema tanganyika wanaona haya sana ila mjue tu kuwa tanganyika ipo bado wala haiwezi kuondoka na ndio maana bado kuna sherehe za uhuru wa tanganyika japo mnaficha hili na kusema uhuru wa tanzania bara wakati nchi inayoitwa tanzania bara ilowahi pata uhuru
Nakushauri jiridhishe kwanza na namna nchi zinavyotamkwa, kabla ya ku file:
Antigua = Antiiga
Barbados= Baabeedos
Lesotho= Lisutu
St. Lucia= Seint Lusha
Guinea Bissau = Gine Bisau
Alafu kuna pronunciation humu waweza kutazama kwanza, usivumburuke!
Asante kwa correction. Will do better next time
Mmmh 😅😅😅
Belize - Belaizi
Asante kw masahihisho
Habari kama unahitaji kufanya maombi ya pasiport Bonyeza link hii👇🏿
th-cam.com/video/-OlY1ELFa8w/w-d-xo.html
IJUE TOFAUTI KATI YA PASSPORT NA VISA kama haufaham👇🏿
th-cam.com/video/rckEpKtkLP0/w-d-xo.html
JINSI YA KUPATA PASSPORT MPYA UKIWA TANZANIA AU NJE YA NCHI 👇🏿th-cam.com/video/j3bxKT104U8/w-d-xo.html
Kama hujui Maana ya visa free na visa on Arrival👇🏿
th-cam.com/users/liveoAXzXJKmesk?feature=share
Ebu jaribu kuongea kiswahili kizuri tu
Nikushauri uende channel ya BAKITA na BBC swahili.
Kuna nchi ndo naziskia leo jamani duh
😂😂Mimi mwenyewe. Hii dunia ina nchi 197
Duh!
Nyingi NCHI hizo zimechoka 😂😂😂😂😂 KIDOGO HONGKONG😅😅
😂😂
Dada Witness Hapo kwenye Hongkong na Singapore na Makau Km mtu Anajipsnga kwenda Je?Uwezekano wa Kupata kazi upo Vipi Dada Nisaidie Nijuwe Ili niondoke hapa Gulf Tatizo la Gulf Hawana Part time job hiyo ndo shida na mshahara asaivi ni Mdogo kazi nyingi @Witnessblod
Naskia zimeongezeka mpaka 72,
Oh ziendelee tu kwakweli maana visa zinachosha
@@Witnessvlog mimi naisaka green card bwana na leo nashukuru nilikua uhamiaji hapa kwetu kigoma kuchukua passport,
Oh hongera sana . Endelea kuomba
@@Witnessvlog amen